Mwanamalundi: Mtu wa Maajabu aliyedaiwa kuigawa bahari katikati ili apate njia ya kupita!

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 70

  • @veronicadaniel1122
    @veronicadaniel1122 4 ปีที่แล้ว +12

    Daaah sitamani story iishe Ng'wanamalundi msukuma piga kelele kwa wasukuma hivi alikufa bila kuoa hata

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 4 ปีที่แล้ว +6

    Mwanamalundi ni great hero

  • @songabaluku4153
    @songabaluku4153 4 ปีที่แล้ว +11

    Hivi ndio vitu tunafaa kugundisha watoto wetushuleni, historia zetu wenyew

  • @mohammedkhamis6893
    @mohammedkhamis6893 4 ปีที่แล้ว +4

    Wa kwanza ku view wakwanza ku like

  • @mohammedkhamis6893
    @mohammedkhamis6893 4 ปีที่แล้ว +5

    Asubuh mchana na jioni kk sky

  • @slywish4098
    @slywish4098 2 ปีที่แล้ว +1

    Maana halisi ya kusimulia story
    Sky 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @mkaapwekekariakoo6417
    @mkaapwekekariakoo6417 ปีที่แล้ว

    Usiponifaa kwa Muziki, utanishika kwa siasa, napo usiponipata basi utamfaa mwingine kwa Mpira wa miguu. Lakini nako ukinikosa basi hapa sitokimbia kwa mpangilio wa maneno na utukuzwaji wa kiswahili. Na hapa hakika nimetia nanga japo katika uchovu lakini si haba kupata utulivu na radha ya utamaduni wetu sahihi. Asante sana Bukandambili (😊Bundala)... Na kesho nitarejea kusikia tena

  • @zavaramponjika7411
    @zavaramponjika7411 3 ปีที่แล้ว +3

    Shukuran sana ndugu kwa riwaya hii asilia na halisi. Nashukru sana kwa mtiririko wako bora sana katika kusimulia hizi simulizi adhimu. Ntafanya mpango tuwasiliane chonjo kwa mengine ya ziada. Ila nashauri tu hicho kichwa hapo kua "aliyedaiwa" ingefaa isiwepo maana jamii nyingine zote wakisimulia wahenga wao hata wa kutunga hilo halipo sababu linamaanisha tunatilia shaka ukweli wa hilo.
    Jingine ni kuhusu neno uchawi kadri lilivyotumika humu, badala yake kwa hisma ya sayansi na maarifa hayo ingefaa tuite mazingara maana neno uchawi linatumiwa sana kubeza maarifa yetu asilia na yenye kuzidi maarifa ya wakoloni.
    Mfano mzuri pale wanapoelekea Tabora na alipochoma ile misitu, lile tendo ingekua mtu wao angetukuzwa hadi angetengezewa sanamu. Ule sio uchawi bali ni nguvu za mazingara ama nna hakika kuna neno bora zaidi ya hapo. Tuko pamoja sana ndugu nna hamu ya kuskia zaidi kuhusu Ng'hwana Malundi.

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  3 ปีที่แล้ว +1

      Tunashukuru sana Kaka Zavara

    • @zavaramponjika7411
      @zavaramponjika7411 3 ปีที่แล้ว

      @@SimuliziNaSauti Tuko pamoja wapwa. EE bwana chungulia twitta nlituma ujumbe kule, tujenge

  • @vincentgeorge178
    @vincentgeorge178 4 ปีที่แล้ว +3

    Story kali sana 🔥

  • @RamazaniMulongeca
    @RamazaniMulongeca 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow.. you are so good at it Mr #SKY

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani wa africa bhana wa kwetu tunaita uchawi wa kwao tunaita miujiza

  • @adamnasib7928
    @adamnasib7928 4 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @jasminemajidy3184
    @jasminemajidy3184 4 ปีที่แล้ว +3

    Kweli nyanyo zipo uko kwetu kijijini

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 4 ปีที่แล้ว +1

    Mahadithi yamerudi kama zamani,thanks sky,but usituache tena mzee wa simulizi na sauti yenye mamlaka

  • @jamil1547
    @jamil1547 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni

  • @khadeejaabdullah7083
    @khadeejaabdullah7083 4 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante

  • @geoffreysoloshija1909
    @geoffreysoloshija1909 2 ปีที่แล้ว +1

    Nice story

  • @abelbest4984
    @abelbest4984 4 ปีที่แล้ว +4

    Shemej yangu uyu

  • @gradientwani23
    @gradientwani23 3 ปีที่แล้ว +1

    Uwezo mkubwa Sana Kwa aliyeandika hii stori, ni zaidi ya kipaji

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 4 ปีที่แล้ว +6

    Wasukuma twimane

  • @othmanmgongo3942
    @othmanmgongo3942 4 ปีที่แล้ว +2

    utabaki kuwa juuuuuuu

  • @mcjmcheshi
    @mcjmcheshi 4 ปีที่แล้ว +3

    Saaaaaafi mzeee

  • @salumshakespeare
    @salumshakespeare 3 ปีที่แล้ว

    Thanks sky

  • @fedricklubigisa139
    @fedricklubigisa139 4 ปีที่แล้ว +2

    Mwanamalundi nimeanza kumsikia tangu nikiwa mdogo mpaka leo nazisikia Sifa zake,,

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 ปีที่แล้ว

    Eti alikua nguvu kubwa za kichawi. Sijapenda msemo huu

  • @nurumaulid2462
    @nurumaulid2462 4 ปีที่แล้ว +2

    Story Kama isiishe daa yaukweli sana

  • @oxygen9603
    @oxygen9603 3 ปีที่แล้ว +1

    700K subscribers
    .
    we feel proud #SnSDieHardFans

  • @sharifaallan2386
    @sharifaallan2386 3 ปีที่แล้ว +1

    Shkuran kwa history hii

  • @semoramwara6458
    @semoramwara6458 4 ปีที่แล้ว +2

    kweli siku kumbe ni masaa 3 zu

  • @thisboyisgreat
    @thisboyisgreat ปีที่แล้ว +1

    Mwana malundi tuseme TU alikuwa nabee alietumwa na mngu sematu wazungu wametupambaza nakumuona mwana malundi ni mchawi

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani natamani ingekuwa kitabu kizima hii story

  • @aceotz2579
    @aceotz2579 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah umenikumbusha enzi zangu za A-level😩😙😙😙😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍❤❤❤😙😙😙❤❤❤😍😍😍😙😙😙

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว +1

    Hilo tto lilikuwa ni jini

  • @amenahussien6134
    @amenahussien6134 4 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤❤❤

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว

    Tamuuu

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 4 ปีที่แล้ว

    Makala nzr sana sns mko juuu

  • @noel3290
    @noel3290 4 ปีที่แล้ว +1

    Sky why doesn’t tanzanians speak Germany if their colonizers stayed that interior

    • @freedom-ui2et
      @freedom-ui2et 2 ปีที่แล้ว

      but why should we speak the language of our colonizers?. that's slavery.

  • @MightyLumber
    @MightyLumber 3 ปีที่แล้ว +1

    Waafrika tulivyo wajinga, hapa tumamuita Mwanamalundi mchawi kutokana na maajabu aliyokuwa anafanya, lakini Mwanamalundi huyu huyu angekuwa Mwarab au Mzungu angeitwa nabii na Waafrika kibao wangemtukuza na kujiita jina lake. Tujifunze na kupenda historia yetu, waarab wao wanayo kwa Mohammed na Wayahudi kwa Yesu.

  • @haimahaima9473
    @haimahaima9473 4 ปีที่แล้ว +2

    Vitu kma hvi ndo tunatak kupotezea mawaz ya corona maan unawwz kupat Corona kwa zile presh za mitandao🙂🙂🙂🙂

  • @rahemaheri1615
    @rahemaheri1615 3 ปีที่แล้ว

    Wa mwanza piga kelele