Sasa tunataka kwenda CAF muheshimiwa Rais au ndio hili halikuhusu wewe Mheshimiwa Othman Masoud Wazanzibari tunataka kucheza kwenye michezo ya kimataifa sio Mapinduzi ❤
Sasa kitu Gani nimekuzuia usifanye timu ikashiriki kimataifa au unaogopa mijichogo.Akademi hizo unafuja pesa za wanzanzibari bila ushiriki wa kimataifa.
Sie hao kila jambo kulalamika haya hata kesho aseme iwekwe ligi kwa hiari yake fifa au caf inatoa tu unachama kwakua raisi wa zanzibar kasema? Tuwe na akili na tuzungumze vitu kwa kujua sio jazba na akili za kimaskani
Wewe nahisi ndio uko na akili za samaki sio zamani caf walikubali Zanzibar ishiriki mijitwana ya bara kwa uhasidi wao ndio wakaeka mguu Acha ushabiki wa kifirwa
@RashidAhmed-h7t we tukana tena mpaka upasuke unajua taratibu za timu kuwa na uwakilishi unaotambulika na fifa, haya huyo mwinyi afanyaje sasa wazanzibar jazba na maneno ya maskani yanatutusa sana serikali inaingia wapi kwenye fifa au caf , zfa raisi aikiwa mzee ferej tamim alipotaka uanachama majibu yalikua nini toka caf na fifa? Leo ukakae uanze kulaumu watu bila msingi , unatukana ili kutishia watu ongea facts acha jazba za kimaskani na siasa uchwara nakujitia hasira pasi na sababu
Raisi mzima unajisifia na ndondo cup na hii inaonesha wazi kua ww unapenda kupita na upepo wa matukio na kutengeneza mazingira ya faida kisiasa upande wako, Ikiwa ww raisi unania njema na mpira wetu kwanini uridhike ZNZ kutokua mwanachama CAF na FIFA
Sasa tunataka kwenda CAF muheshimiwa Rais au ndio hili halikuhusu wewe
Mheshimiwa Othman Masoud Wazanzibari tunataka kucheza kwenye michezo ya kimataifa sio Mapinduzi ❤
Kweli kbsa Zanzibar Kuna vipaji sana
hongera mh rais wetu
Unapongeza nn mamlaka huna daini mamlaka ili mashindano ya kimataifa kama afcon na chan tushiki mnapongeza ujinga
Ifanye icheze kimataifa au ndio.muungano umekubana unaishia machs😊
Ikitufanyia na ilo utakua umefanya jambo kubwa sana kwa ZANZIBAR
Ligi hamna zanzibar
Sawa ila mapumbu yapo😂😂
Sasa kitu Gani nimekuzuia usifanye timu ikashiriki kimataifa au unaogopa mijichogo.Akademi hizo unafuja pesa za wanzanzibari bila ushiriki wa kimataifa.
Sie hao kila jambo kulalamika haya hata kesho aseme iwekwe ligi kwa hiari yake fifa au caf inatoa tu unachama kwakua raisi wa zanzibar kasema? Tuwe na akili na tuzungumze vitu kwa kujua sio jazba na akili za kimaskani
Wanzanzibari hawaishi kulalamika Kila uchao yaani watapoacha TU roho ya chuki na ubaguzi watafika MBALI sana@@FahadAbubakari-y3f
Wewe nahisi ndio uko na akili za samaki sio zamani caf walikubali Zanzibar ishiriki mijitwana ya bara kwa uhasidi wao ndio wakaeka mguu Acha ushabiki wa kifirwa
@RashidAhmed-h7t we tukana tena mpaka upasuke unajua taratibu za timu kuwa na uwakilishi unaotambulika na fifa, haya huyo mwinyi afanyaje sasa wazanzibar jazba na maneno ya maskani yanatutusa sana serikali inaingia wapi kwenye fifa au caf , zfa raisi aikiwa mzee ferej tamim alipotaka uanachama majibu yalikua nini toka caf na fifa? Leo ukakae uanze kulaumu watu bila msingi , unatukana ili kutishia watu ongea facts acha jazba za kimaskani na siasa uchwara nakujitia hasira pasi na sababu
Siwezi kujutia hasira kwa kibaraka uchwara
Na wabongo vp tumewanyonya au
Vijana kuleni matango pori ayooo
😂😂 matango pori voo
😂😂 matango pori voo
Katika yote yamsingi zaid tunata wanachama wa CAF hichi ndio kilio chetu cha mudamrefu ZANZIBAR
Mheshimiwa nilikua naskiliza kwa hamu nipate niskie utafanya mpango WA kutupeleka caf lkn duh koti LA muungano limekubana vibaya abaa 😏
Tunataka uanachama caf kama haiwezekani basi tuwe na mamlaka kamili kila kitu kitakua sawa
Raisi mzima unajisifia na ndondo cup na hii inaonesha wazi kua ww unapenda kupita na upepo wa matukio na kutengeneza mazingira ya faida kisiasa upande wako, Ikiwa ww raisi unania njema na mpira wetu kwanini uridhike ZNZ kutokua mwanachama CAF na FIFA
Bendera ipi nitaonyesha.mana wahadimi wameigawa Zanzibar toka zamani
Mumewanyonga kenya ndio maana mkawa mabingwa
Umesahau walivyotunyonga wewe Leo hii