Amina sana sana Martha umeongea kweli katika kweli ni mbaya sana kujiona wewe bora kuliko wengine hiyo ni mbaya kabisa ubarikiwe endelea kunyenyekea tuu chini ya mkono wa mungu barikiwa mnooo
Ameen alléluia "usizarawu wengine katika uduma yako katika watu wengi usijione wewe njo kila kitu,kilicho ndani ya mwengine ni cha maana saana"yaaaa ameeen ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU Martha MUNGU akubariki rafiki yangu unaongeya kitu cha muhimu amen
Its very true nakuelewa sana martha you are my best na kila wakati mimi hukufatilia tu kwa ajili ya mafundisho na pia kwa upendo ambao ninao kwako barikiwa sana lakini mimi natamani kuwa kama wewe 🙏🙏na ni ombi langu najuwa mungu atanijibu kwasababu una mfano mwema sana kwangu mungu azidi kukulinda mkubwa wangu
Really respect is needed and encouraging others I can't forget one day when am on my Audios believe God for Video some one telling me you do your things fast Do it we see you on CITIZEN TV AND ALL OVER THE WORLD I believe God had it and that day is coming AND GOD WILL BE GLORIFIED THANKS DEAR FOR SEARCH GREAT MESSAGE AM HUMBLED AND BLESSED LOVE YOU UGANDA
Ukweli kabisa, love your neighbor just as you love yourself. Do to others just as you'd like them to do to you. Kuwa na shukurani kwa wenzako kwa yote mazuri. Pia waombe, waombee na uwape musahama.
Love you Martha. Mungu akubariki mtumishi wake. Namuomba saaaaana Mungu baba tena rafiki mwema, anipe Nehema ili sikumoja nimwabudu Mungu nakumusifu pamoja na wewe katika njia ya uhimbaji. Baba jitukuze
True we are equal before the eye of God rich and poor because one God can units us what he created was good and change us to his image so when I saw you and you see me you see the image of God so it's good to respect one another. Amen
Amina Neema inatuendeleza....... Mungu akubless mummie
Ubarikiwe sana
Amen sister
Wanao irudia clip hii tu juane jamani. Barikiwa sana. Don’t judge a book by its cover. Read that 🥰🥰❤️🥰🥰
Tuko sote safaririni hakuna haja kudharau wenzetu.🇰🇪
Kiukweli dada Martha naikubali kz yako uko makini kutuletea vitu vilivyo Bora
tunakufuata 5/5 na tunakupenda sana Dada yangu Mungu akuongezee siku zakuishi. nakutambaza injili yake Dunani kote. Baraka nikwako.
Amina sana sana Martha umeongea kweli katika kweli ni mbaya sana kujiona wewe bora kuliko wengine hiyo ni mbaya kabisa ubarikiwe endelea kunyenyekea tuu chini ya mkono wa mungu barikiwa mnooo
Ameen alléluia "usizarawu wengine katika uduma yako katika watu wengi usijione wewe njo kila kitu,kilicho ndani ya mwengine ni cha maana saana"yaaaa ameeen ubarikiwe Mtumishi wa MUNGU Martha MUNGU akubariki rafiki yangu unaongeya kitu cha muhimu amen
Amen ni kweli kabisa
Amen Amen mum pia ww barikiwa sana
Asante Sana sister Martha Mungu akubariki Sana ndio I agree kila mutu ni important kivyake. Tupendane tuhesimiane na tumpende Mungu first
Its very true nakuelewa sana martha you are my best na kila wakati mimi hukufatilia tu kwa ajili ya mafundisho na pia kwa upendo ambao ninao kwako barikiwa sana lakini mimi natamani kuwa kama wewe 🙏🙏na ni ombi langu najuwa mungu atanijibu kwasababu una mfano mwema sana kwangu mungu azidi kukulinda mkubwa wangu
Ubarikiwe zaidi dada Martha
Acha Mungu akubariki.🙌🧎♀️🙌
I wish you could mean what you say because it's always easy to speak but had to act. Thanks
Amina,Mungu hajawahi kumwacha salama yule anayewadharau wengine.......barikiwa ulipo...
Mozala nde mutu
Ninashuku
Really respect is needed and encouraging others I can't forget one day when am on my Audios believe God for Video some one telling me you do your things fast Do it we see you on CITIZEN TV AND ALL OVER THE WORLD I believe God had it and that day is coming AND GOD WILL BE GLORIFIED THANKS DEAR FOR SEARCH GREAT MESSAGE AM HUMBLED AND BLESSED LOVE YOU UGANDA
Ameen ,,Neema yatosha ,Mungu saidia wa2 wako walijue hilo.asante saana mtumisho kwa hilo himiza
Ukweli kabisa
Ukweli kabisa, love your neighbor just as you love yourself. Do to others just as you'd like them to do to you. Kuwa na shukurani kwa wenzako kwa yote mazuri. Pia waombe, waombee na uwape musahama.
Ilove you 💋 amen from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Love you Martha. Mungu akubariki mtumishi wake. Namuomba saaaaana Mungu baba tena rafiki mwema, anipe Nehema ili sikumoja nimwabudu Mungu nakumusifu pamoja na wewe katika njia ya uhimbaji. Baba jitukuze
Leza wamulu akuesele MAMA MARTHA wafwako ne majingi,
Amen Amen amen good news
❤️❤️❤️❤️Napenda maubiri yako barikiwa kabisa🙏🙏🙏
Never judge anyone in this world,God's Grace is sufficient, be blessed ,
We love 💘you from 🇰🇪
Ubarikiwe Dada Martha
Mungu akubariki Saana Dada
Amen barikiwa Martha inspiration one
Amina🙏🙏ni kweli kabisa acha Mwenyezi Mungu azidi kkuzidishia maishani mwako napenda sana nyimbo zako dada
God teach me to remain humble and obedient to your word, Asante sana mtumishi wa Mungu ♥
Amina
Asant Dada Martha mungu akubariki,,,,nakupenda
Amen, ujumbe mzuri mno. Barikiwa sana Martha
Amen! Ni kwa neema tu
Amen dada Martha mungu akuinuwe zaidi sanaaaa nime barikiwa nikiwa saudia thank you so much
Martha Mungu akubariki sana Mimi much Asajile
Amen Asante dada mpendwa kwa mafunzo Bora Sana kwangu
Asante sana dada kwa fundisho
Kweli.kabisa.wote.chini.yajua.wanakusudi.mungu.anawapenda.wote.maana.amewaumba
Kweli.kilamumoja.aliyeumbwa.namungu.mungu.anakusudi.lake
Amina.. ubarikiwe sana kwa huo ujumbe
Amen my sister martha balikiwa
Barikiwa sana Dada yangu nakupenda sana sana
Ujumbe mzuri. Asante
Amina umenena vyema mungu akubaliki
Amina mama mungu mwema utafika pale ametaka uwe maana unamaneno ya busara juu yake na utumikie yy daima mm nakupenda Sana tu
Ameen❤Asante
Ni ukweli I like your songs 🙏
This is a great message , thank you mum Martha
Maneno ya hekima,barikiwa sana
Amen Amen be blessed martha
Amen mungu akubariki
Huwa unasoma koment
Fesa
Hameen mama 🙏🙏🙏💯💖
Naomba ulafiki dada
Amen
amen amen amen maman🇨🇩🇨🇩🇨🇩
🙏
Ameen
Asante mama
Very true my sister God bless you.
Amen
ILOVE YOU SOMUCH
Nagupenda sana amiss you
Mti wa matunda lazima upigwe mawe, Mungu anakupenda Martha, Endelea kuimba, wajana na watu
Ameeeeeeeen Mummy be blessed
Amen and very true
very true Martha,may God bless you
Amen 💟
Amen sister yu av said it
True mummy💘💘
Very nice
Amen and amen 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen
True never despite anybody in this life.
Amen
Amen🙏
Ameen be blessed so much dear 🙏🙏
Amen! Amen!dada 🙏
God bless you mom 🙏🙏
God bless you 🙏❤️
Amazing minister of christ, we love you much ,barikiwa kabisaa
Amen it's only the grace of God that we are living.
Very true my sister God bless you so much, from Kenya 🇰🇪
Amen and be blessed 🙏🙏💓💖
Amen, "🙏".....
Great words Amen!🙏
Amen 🙏🙏 barikiwa love from Kenya 🇰🇪
Amen be blessed woman of God
Waaau very inspiring and encouraging be blessed matter nakupenda sana
True we are equal before the eye of God rich and poor because one God can units us what he created was good and change us to his image so when I saw you and you see me you see the image of God so it's good to respect one another. Amen
Amen,I receive this word to walk with,be bless mum and more grace
powerful words