Utakapo soma comety yangu tafadhali ifanyie kazi,kwanza mungu a Nakupenda sana ujue hilo na nimwngi ulipitiya mazito lakini Mungu a Nakupenda sana karibu kuangalia nyuma wa ngapi wamefariki mwaka huhuu na so magonjwa no ajali za pikipiki kama wewe lakini ww upo hai Mungu a napenda Ufanya kazi yake uwe ushuhuda kwa watu achana na vyadunia kaka yangu mpe Mungu maisha yako
Mrudie Mungu kijana mpaka apo ulipo Mungu ndiye aliekuwezesha kijana wa Mungu 🙏 dah ilakiukwe nimeamini ile kauli ya kusema ujafa ujaumbika 😭 Rafa fanya kazi na Mungu kaka yangu 🙏
MAISHA NI FUMBO KUBWA, TUMUOMBE MUNGU SANA KATIKA NYAKATI IZI, POLE SANA KIJANA NA FAMILIA NZIMA NA TUMUOMBEE NDUGU YETU ARUDI KWENYE HALI YAKE YA ZAMANI🙏🙏
Ama Kweli Mungu Ndie Mpagaji wakila jambo . Akiamua iwe Na kweli itakuwa lakin kama haja amua kamwe Aiwezi kutokea . Ndugu zangu Mungu kwanza. Tembea Na hi itakusaidia WAKE UP PRAY AND THEN HUSTLE
Mazoezi inakufaha kwa ajili ya kukamilisha mfumo WA damu miguhuni na mfumo WA mouvement ya miguhu.(kinésithérapie) Usipendi kitanda sana kinaweza kukuletea SHIDA .
Nime umiya sana napia mujitaidi ku take care and before you start driving you should pray and be careful like to be very careful oh my God, I don’t know what to say. I’m so speechless like I wish I can help, but I can’t but I hope God will help you guys and help you too, oh my God i’m so scared.😭
Utakapo soma comety yangu tafadhali ifanyie kazi,kwanza mungu a Nakupenda sana ujue hilo na nimwngi ulipitiya mazito lakini Mungu a Nakupenda sana karibu kuangalia nyuma wa ngapi wamefariki mwaka huhuu na so magonjwa no ajali za pikipiki kama wewe lakini ww upo hai Mungu a napenda Ufanya kazi yake uwe ushuhuda kwa watu achana na vyadunia kaka yangu mpe Mungu maisha yako
That’s true ❤😢😢oooh my goodness Rafa 😢😢
Mungu nimwema sana huyu jama hanalinduwanamungu tuu kwasababu kwahile ajali hiliyo tokea hile siku Mmmm kihukweli mungu kwanza asante❤❤❤❤
Pole sana tena mungu mkubwa kweli yote amkabizi mungu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Daah rafa kweli pole Sana mungu mkubwa kweli 😢😢
Mungu ni mwema siku zote 😢😭🙏
Pole sana kwake anaonekana aliathirika kisaikolojia but naamini MUNGU ni mkubwa time itakavozidi kwenda atakaa sawa😢
Dah noma sana kjn wngu mungu yupo
Dah mungu mkubwa bado yupo hai amen 🙏 ❤❤❤❤
Hee Uyu Mungu ni mkubwa 🎉🎉
Duuh kwakweli uyu kaka Mungu yuko nae kba ❤❤❤🙏🙏🙏
Mmmhh 😢😢 uyu mungu ni fundi jaman pole sana kakaangu mungu anakupenda sana
Sorry for what happened but let’s thank god u are alive 😢😢😢😢 yesu wangu
Mungu ni mkubwa kweli 🙏🙏
Daaah..!! Mungu Mkubwa Kweli❤️🙏🙏❤️
Mungu mlinde❤❤
Mungu ni mwema kbs
Mrudie Mungu kijana mpaka apo ulipo Mungu ndiye aliekuwezesha kijana wa Mungu 🙏 dah ilakiukwe nimeamini ile kauli ya kusema ujafa ujaumbika 😭 Rafa fanya kazi na Mungu kaka yangu 🙏
Daah mzungu ni mkubwa rafiki yangu 😢😢😢
Pole sana mzee dah
Mungu kama bado anampenda Mtu uwa anampitisha kwenye njia za hatari sana ila chamuhimu kumbuka Mungu bado anakupenda kijana Rafa
Alobo vibe nakubali mzee❤❤
Mungu mkubwa, Yeah ndo changamoto pekee ambazo zipo kwenye safari yetu hii kwa kweli, hakika nakuona kiongoz wangu 🙏
Pole sana rafa mungu yupo
Kama mungu alikutendeya basi ata zidi kuku tendeya pole sana kweli 😢😢❤❤❤
Mungu atakusaidiya utakuwa sana kabisa mdogo wangu🙏🙏🙏
Glory To God 🙏🙏❤️
Pole sana
Mungu nimkubwa kwakweli 🙏🙏
Dah! Pole sana
Pole sana dogo
Mungu ni mwema siku zote
Pole sana Raphael unahitaji Therapist
Duuh pole sana bro
Bwana yesu asifiwe
Pole sana ndugu yangu
Mungu yupo 🙏🙏🙏🙏
Mungu Ni Mwema kweli
Pole sana kweli 😭🙏
Mungu amsimie sana awe taaa kwa familia yao kabisa mungu asifiwe sana
Mungu kwanza kila kitu kina wezekana 😮😮
Be strong 💪 ✨️ ❤️ 🙏
MAISHA NI FUMBO KUBWA, TUMUOMBE MUNGU SANA KATIKA NYAKATI IZI, POLE SANA KIJANA NA FAMILIA NZIMA NA TUMUOMBEE NDUGU YETU ARUDI KWENYE HALI YAKE YA ZAMANI🙏🙏
Ama Kweli Mungu Ndie Mpagaji wakila jambo .
Akiamua iwe Na kweli itakuwa lakin kama haja amua kamwe Aiwezi kutokea .
Ndugu zangu Mungu kwanza.
Tembea Na hi itakusaidia
WAKE UP PRAY AND THEN HUSTLE
Mazoezi inakufaha kwa ajili ya kukamilisha mfumo WA damu miguhuni na mfumo WA mouvement ya miguhu.(kinésithérapie)
Usipendi kitanda sana kinaweza kukuletea SHIDA .
Pole sana bro
Nime umiya sana napia mujitaidi ku take care and before you start driving you should pray and be careful like to be very careful oh my God, I don’t know what to say. I’m so speechless like I wish I can help, but I can’t but I hope God will help you guys and help you too, oh my God i’m so scared.😭
Pole sana mdogo wangu
Pole sana ndunguyangu
Pole san
🙏🙏🙏🙏
Kijana mrudie mungu
Kikubwa dogo hachia mazimazima nakuomba rudisha kumbukumbu zako haponyuma familia mlikutwa na Nini? Asante 🎉
Nimejifunza kitu Kwa rafa pole San sim ndio mwanzo wa haya yote tusivipe thamn vya kutengenezwa na kununuliwa tikasahau mwili wetu
Pole bro
Mungu atasaidia utakuwa sawa
Rafa ukipata mda wakusoma comment please 🙏 nipe Namba yako 😢😢😢
Rafael polesana ndugu. Nakuomba please usirudi tena kwenye boda.
Mungu yupo shem wng
😢
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu mkubwa
Walio ku post umefariki kumbe ndo adui zako ila pole kwa yalio kutokea mzee baba mungu mwema
Mtangazaji jifunze kusoma maneno ya kiswahili eti maharufu..ni maarufu...yaani hujui kitu
Rafa Mungu mkubwa sanaa😢🎉🎉🎉
Jamani sasa ndo jina ngani ilo Tena RAFA MWEU ?
A❤❤❤❤❤❤❤❤n
Aty miaka 24????
Rafa achana naiyo kazi ya babo
Nani mkubwa kuliko Nungu wangu?
Inauma San
𝐌𝐮𝐧𝐠𝐮 𝐧𝐢 𝐦𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥 😢🙏
Mungu yupo🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Pole san
😢
😢
😢