"Wewe Mwanasheria Usiniletee Ujinga" KUANZIA LEO KAZI HUNA, SITAKI KUKUONA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 6 หลายเดือนก่อน +13

    Mlindeni sana huyu mtu manyang'au hawafurahii kama ilivyokuwa kwa magu

  • @mc-stephenmasome6553
    @mc-stephenmasome6553 6 หลายเดือนก่อน +8

    Tungekuwa tunauwezo,....basi tu, fikiria huyu ndiye mkuu wa mkoa , vipi akiwa Boss mwenye nchi Je! ,

    • @sarahdeograthias9097
      @sarahdeograthias9097 6 หลายเดือนก่อน

      Akiwa Bosi kwenye Nchi ataaribu,ila..napendekeza awe mkuu wa mikoa yote Tanzania kwa Tafsiri nyepesi kila mkoa akae miezi 3 tu

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@sarahdeograthias9097hapoo umesemaa

  • @mnyongeiddi2454
    @mnyongeiddi2454 6 หลายเดือนก่อน +5

    Vivaa makonda watu wa chuga mlindeni huyu MTU ni mhimu kwenu sana

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 6 หลายเดือนก่อน +4

    RC Makonda uko sahihi kwa sababu wezi hawataki kuguswa hta kidogo.

  • @ManenoSimkoko-df9yj
    @ManenoSimkoko-df9yj 6 หลายเดือนก่อน +4

    Piga kazi mweshimiwa

  • @deusgervas4676
    @deusgervas4676 6 หลายเดือนก่อน +3

    Nimekaimuu MKUU kwa mudaa😂😂😂😂

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 หลายเดือนก่อน +5

    Raisi Samia tunaomba umuongezee ulinzi Mh Makonda

    • @marthaadammakatobemwakatob4246
      @marthaadammakatobemwakatob4246 6 หลายเดือนก่อน

      Mungu ni mwema na nimlinzi kuliko binadamu ndy atakaye mlinda eeh mwenyezi Mungu mfiche muhatamie km kuku anavyo haramia vifaranga vyake

  • @AlphonceJumanne-y1y
    @AlphonceJumanne-y1y 6 หลายเดือนก่อน +3

    Raund hii mtanyooka tu😂😂😂

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 6 หลายเดือนก่อน +4

    Yaani ni aibu kwa mwanasheria kushindwa kufahamu hata kesi moja ambayo Halmashauri imeshinda.

    • @davidkimaro1860
      @davidkimaro1860 6 หลายเดือนก่อน

      Huyo anakiburi huyo....acha apigwe chini

  • @DaudiSaid-bj7dh
    @DaudiSaid-bj7dh 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hiyo ndo nchi yetu jamn Kuna vichwa viameachwa kupasua mbao halfu majitu kama haya ndo uamejazana huko kwenye idara je nani alaumiwe??

  • @paullugendo9508
    @paullugendo9508 6 หลายเดือนก่อน +4

    Mwanasheria ajui kashinda kesi ipi 😂😂😂😂

    • @AminaRamadhan-mg9lj
      @AminaRamadhan-mg9lj 6 หลายเดือนก่อน

      Yaaan 😅😅😅😅😅hadii Raha ningekuaa arushaa alipoo makondaa npoo na mimi😅😅😅😅😅

  • @Olafkaria123
    @Olafkaria123 6 หลายเดือนก่อน

    Mh! Rais ulitembelewa na roho wa mungu kumteua mh! Paul Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa ,kwa kweli ni moja ya viongozi wanaokutengenezea nchi

  • @dayanahally
    @dayanahally 6 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda is the only one

  • @FidasMwaiteghelesya-hw9qs
    @FidasMwaiteghelesya-hw9qs 6 หลายเดือนก่อน +3

    Alafu anadharau

  • @ReneeLouis-r5y
    @ReneeLouis-r5y 6 หลายเดือนก่อน

    Safii sana kakaangu

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 6 หลายเดือนก่อน

    Kwa sura yake huyu anaonekana kuwa anakiburi sana. Kiburi chake sasa kimemfanya akakojoe alale.

  • @matukutajuma156
    @matukutajuma156 6 หลายเดือนก่อน +2

    DAH MWANANGU UMENIANGUSHA UNAZARAU SSSANA MWANASHERIA!! KAMA KAULI ZAKO NI HIZO! HAKYAMUNGU HUTOBOI! HUYO NDIO MKUU WAKOA NA ANA POLISI HAPO JE UKIKUTANA NA BABAANGU MSWAHILI NA KIKOFIA SIUTAMTEMEA KOHOZI WEWE!! DUH!

  • @hamisimwinzagu6624
    @hamisimwinzagu6624 6 หลายเดือนก่อน

    Nafarijika sana maana naona kama John Pombe Magufuli yu hai rest in peace baba etu John Pombe Magufuli umetuachia mtu ambae tunakuona ni ww

  • @directorabiero340
    @directorabiero340 6 หลายเดือนก่อน

    Nimbaya sana kuona unatenda haki ufike mbinguni uwambiwe moto unakuhusu. .... Tutaonana tena by Goodluck gozbert

  • @simangogodfrey937
    @simangogodfrey937 6 หลายเดือนก่อน

    Mwenye namba za Makonda anisaidie walau nimtumie hata sms ya kumpongeza.

  • @davidmalisa8043
    @davidmalisa8043 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanasheria kaimu tinted miwan meusi nenda kashinde mahakaman huna kaz

  • @JescaRugakingira-w7x
    @JescaRugakingira-w7x 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni mtu wa kipekee sana natamani nikuone nikupe kilio changu ila nipo Dar na sina hata Number yako

  • @rashidmkoga3053
    @rashidmkoga3053 6 หลายเดือนก่อน

    Mzee wa kukiwasha huyo

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 6 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanapata nafasi but they are not serious yaani wanafanya kazi kama wapo tu kitaa fulani jamani kwanini Tanzania baadhi ya watu wanafanya masihala hivi

  • @rashidiamani8645
    @rashidiamani8645 6 หลายเดือนก่อน

    Makonda safisha awo mkoa uwe mweupe

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 หลายเดือนก่อน

    Mwanasheria mwenyewe sasa anaongea kabana pua na pozi unashindwa kuelewa

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 6 หลายเดือนก่อน

    Iyo ndo basi tena na mshahara hakuna tena au akienda mwanza ataajiliwa hapo sijaelewa au atapewa kibarua kingine kuitumikia serikali na wananchi wake???

    • @TM.Sullusi
      @TM.Sullusi 6 หลายเดือนก่อน +1

      Ajira iko palepale, amesema amtoe Kwenye kukaimu ukuu wa Idara. Mamlaka ya kumfuta Kazi Hana.

  • @safielkabonda295
    @safielkabonda295 6 หลายเดือนก่อน

    Ukisikia makonda nanakuja eneo lako na mambo hayoko vizuri wewe fanya kusafiri au hata umwa ya uongo na kweli. Ukitokea tu anaweza kumwaga ugali wa watoto🤪

  • @Ginimbi_tz
    @Ginimbi_tz 6 หลายเดือนก่อน

    Ninachoamini one day nitamuoa Nandy. 💪

  • @nkundechindwa9654
    @nkundechindwa9654 6 หลายเดือนก่อน +2

    Hizo kazi wanapataje? Tupeni kazi tuko mtaani huku na uwezo wa kufanya kazi tunao

  • @AlexVenance-s1b
    @AlexVenance-s1b 6 หลายเดือนก่อน

    Rais ajae

  • @tumainmkonyi8459
    @tumainmkonyi8459 6 หลายเดือนก่อน +1

    Tutumie number tutoe hela zamafuta mkuu wewe niwakwetu tunaomba uwe na uhuru wakufanya kazi mpaka moshi

  • @karimunyengema6190
    @karimunyengema6190 6 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🇹🇿