GIDI NA GHOST ASUBUHI - Gidi anasema hatazamii kuacha utangazaji hivi Karibuni

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ส.ค. 2016
  • Wengi wanijua sauti yake lakini wengine hawajui sura yake.Kutana na mtangazaji mahiri GIDI wa Idhaa ya Radio Jambo akikwambia alivyojikuta katika utangazaji.... Victor Wetende anamhoji kuhusu mengi usiyojua kumhusu ktk #KikaoAlhamisi kwenye runinga ya Ebru Tv Kenya...
  • ตลก

ความคิดเห็น • 46

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 ปีที่แล้ว +3

    Gidi na Ghost haki mungu amubariki kwa kazi munayo fanya👏👏👏

  • @jamesokello9812
    @jamesokello9812 5 ปีที่แล้ว +1

    I always tune Radio Jambo for Gidi na Ghost. Keep it up. Saturday at 10 am Bramwell Mwololo and Mwaura etc.

  • @gracendungu5860
    @gracendungu5860 6 ปีที่แล้ว +3

    Aki mm nawarank kwa sana mkiwa na ghost.ASANTE sana kwa kutuekea patanisho kwa TH-cam. .Grace nikiwa Lebanon

  • @selinamuhakho4812
    @selinamuhakho4812 4 ปีที่แล้ว +1

    My favorite presenter ever

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 ปีที่แล้ว +1

    Mimi pia ni shabiki wa radio jambo patanisho,nawasikiza kutoka uswis.nimefurahi kukuona mr gidi.09.02.19.

  • @jacklinekazungu1651
    @jacklinekazungu1651 7 ปีที่แล้ว +4

    napenda sana patanisho lakini siamini huyo ndiye gidi yule namsikia asubuhi

  • @bettyangano6339
    @bettyangano6339 7 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed Gidi na Ghost

  • @beckybeto4328
    @beckybeto4328 7 ปีที่แล้ว +4

    we love you Gidi na ghost

  • @kevohkingsly6094
    @kevohkingsly6094 6 ปีที่แล้ว +14

    Haiyah nani anajua Gidi kwa mara ya kwanza hapa,kumbe huyu ndiye Gidi nilikuwa nadhani yy ndiye Ghost..

  • @michaelodiwuor5496
    @michaelodiwuor5496 7 ปีที่แล้ว +3

    Gidi am very happy to get you almost every morning anyway big up .

  • @estheroyondi6757
    @estheroyondi6757 4 ปีที่แล้ว

    Nilijua tu Gidi ni Jaluo original big up braza

  • @mercianashilako6431
    @mercianashilako6431 6 ปีที่แล้ว +2

    Mm napenda show yenu sana

  • @safinahlatina8961
    @safinahlatina8961 7 ปีที่แล้ว +4

    apo sawa ogidi napenda show ya asubui tena sana

    • @halimazuberi9464
      @halimazuberi9464 7 ปีที่แล้ว

      anapenda sana gidi na ghost nackiza nikiwa uk

  • @serahnjogu1776
    @serahnjogu1776 7 ปีที่แล้ว +2

    Be blessed we really love your show

  • @godfreykhamala5590
    @godfreykhamala5590 5 ปีที่แล้ว +2

    Bwana Gidi unakula poa

  • @janejanenjeri8350
    @janejanenjeri8350 4 ปีที่แล้ว

    Gidi show yako naipenda tu sana,

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 ปีที่แล้ว +1

    ni tanzania lkn napenda sana vipindi vyenu Gidy na Gost

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 ปีที่แล้ว +1

    mie ni mtanzania nimekijua kipindi cha patanisho nikiwa huku Dubai nakipenda sana

  • @ebbymbao3865
    @ebbymbao3865 5 ปีที่แล้ว +2

    Giti, jaluo original

  • @RoroRoserororo
    @RoroRoserororo 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza mimi lazima ningie you tube sababu ya patanisho hata kama siyuko kenya

  • @kanakekareko7725
    @kanakekareko7725 5 ปีที่แล้ว +1

    hehehehe Gidi nampenda sana na Ghost no 1 silent lisener

  • @twilikashilongo7887
    @twilikashilongo7887 5 ปีที่แล้ว +2

    Gidy nimefurahi kukuona live. Nasubiri mke wako aombe patanisho na wewe akuombe msamaha ingawa ni wewe ulimchapa akaenda kwao. Tusikie wewe Gid unavyomsamehe mke wako.

  • @kgjffjvkhg4272
    @kgjffjvkhg4272 6 ปีที่แล้ว +2

    For the first time kuona Gidi kumfahamu nlikua naskiatu sauti radioni bt for now nawaona youtube ilike kitengo ya patanisho kwa kweli inahitaji neema ya mungu hata hivo mnajaribu sana mungu awabariki sana

  • @fredrickokoth1886
    @fredrickokoth1886 4 ปีที่แล้ว

    Keep it up

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 7 ปีที่แล้ว +2

    yani penda nyinyi sana kwa kazi njema

    • @edwinyavusumba3760
      @edwinyavusumba3760 7 ปีที่แล้ว

      Lydia Aruba 💓💜💛💚

    • @key.j
      @key.j 6 ปีที่แล้ว

      Nawapenda sana kweri mungu awaripe

  • @eatiopiaethiopia3173
    @eatiopiaethiopia3173 7 ปีที่แล้ว +9

    1997 hadi 1995 mbona kanichanganya huyu Gidi

    • @nimuhsteve1079
      @nimuhsteve1079 5 ปีที่แล้ว

      Haija ata mwingine hakuelewa ...

  • @rosekina3154
    @rosekina3154 7 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana Gidi na Agost kicheko kinaniachanga hoii

    • @marthainnocent9603
      @marthainnocent9603 5 ปีที่แล้ว

      Mimi pia napenda kipindi chenu hongereni sana kaka Gidi

  • @sheillahchisika8414
    @sheillahchisika8414 6 ปีที่แล้ว +2

    Victor kwani ulitoka citizen

  • @sammynjoroge8792
    @sammynjoroge8792 5 ปีที่แล้ว

    Gidi tunakupenda Sana

  • @denniswanjala7683
    @denniswanjala7683 5 ปีที่แล้ว +1

    sauti ni yenyewe tu

  • @alphyzqrw7222
    @alphyzqrw7222 6 ปีที่แล้ว +1

    gidi na ghost tano tena

  • @judithkhayanje4537
    @judithkhayanje4537 5 ปีที่แล้ว

    Gidi.number.yenu.ya.patanisho.ni.ngumu.tafadhali.nitumie.plz

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 5 ปีที่แล้ว

    Wasikilizaji si kenya peke yake ni duniani kote

  • @julienbateba9939
    @julienbateba9939 3 ปีที่แล้ว

    Am julien big fan ya patanisho

  • @qwambokajames5753
    @qwambokajames5753 5 ปีที่แล้ว +2

    1997-9195😂😂😂😂😂😂

    • @lemashonsylvia1334
      @lemashonsylvia1334 5 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha

    • @yvonneanyango4731
      @yvonneanyango4731 4 ปีที่แล้ว

      Tomboya Primary cheering squad..I think Gidi was headboy too in Tomboya..son Mrs Oyoo

  • @mafinamaizez2514
    @mafinamaizez2514 5 ปีที่แล้ว +2

    toka nimejua hiki kipindi sikosi niko Dubai