OMARY ABDALLAH OMARY SKILLS AND GOALS MCHEZAJI MPYA WA SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • OMARY ABDALLAH OMARY SKILLS AND GOALS MCHEZAJI MPYA WA SIMBA, OMARY ABDALLAH OMARY GOALS, MAGOLI YA OMARY ABDALLAH OMARY, MAGOLI YA OMARY OMARY, OMARY OMARY MASHUJAA,MAGOLI YA OMARY ABDALLAH WA SIMBA, SIMBA NA OMARY OMARY #SIMBA #SImbasc #tetesizausajilisimba

ความคิดเห็น • 25

  • @gavidasmlyuka6745
    @gavidasmlyuka6745 หลายเดือนก่อน +3

    Yupo vizuri Sana....Ila wapewe nafasi ya kucheza Ili kulinda vipaji vyao visife..

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 หลายเดือนก่อน

    Ni mashine 👊

  • @fredybalua6299
    @fredybalua6299 หลายเดือนก่อน +4

    ajipange kupambana kijana umri wake unafaha akipambana atafika mbar

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      Bado kinda sana , Akomae tu

  • @fakihsule5988
    @fakihsule5988 หลายเดือนก่อน +1

    Yupo vzr

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 หลายเดือนก่อน

    Kipaji kikubwa 😊

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน +3

    Kwa sajiri hizi mi km mshabiki wa simba nimejua ni mpango wa muda mrefu sio wa kuhitaji kikombe cha ghafla kwa mashindano yatayoanza sasa. So ni vzr tujiandae kisaikolojia

  • @israelmunuo7938
    @israelmunuo7938 หลายเดือนก่อน

    Hili beat la kisport huwa linanikosha sana! 😂

  • @emmanuelsimpamba80
    @emmanuelsimpamba80 หลายเดือนก่อน +2

    Tutachukua kikombe inategemea na Mwalimu atakaekuwepo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      Hakika

  • @MichaelJoseph-v9g
    @MichaelJoseph-v9g หลายเดือนก่อน +1

    simba wawatumie vijana kuliko kuwasajili na kuwaweka benchi,

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u หลายเดือนก่อน +2

    Dogo anauwezo mkubwa atatusaidia

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      Ila alipata nafasi

  • @VictorMgodomi-xj1ey
    @VictorMgodomi-xj1ey หลายเดือนก่อน +1

    Msimu ujao kagera sugar kwa mkopo

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      HAHAHAHA

  • @ezzepuritykamwene2121
    @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน

    Huo mwaka wa kumaliza mkataba hahahahaa,, hatutakuwepo akiwemo yeye mwenyewe.

    • @KlikHapaTV
      @KlikHapaTV  หลายเดือนก่อน

      hahhaa kwanini

    • @ezzepuritykamwene2121
      @ezzepuritykamwene2121 หลายเดือนก่อน

      @@KlikHapaTV mwaka wa kumaliza mkataba , usome vzr