DOSA : AJIBU MAPIGO KWA KISHINDO "DEBRA MAVAMBO NDIO MBADALA WA AUCHO" | TATIZO UELEWA WAO,SIJAKOSEA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 70

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Dossa kama hamtaki wazee mbona mmemchukuwa Chama,nyinyi mnamsapoti mchome Ili aidhalilisha Simba Leo mnatafnana wenyewe,na Bado mwaka huu mtasema tu.

  • @charlesnzenga4681
    @charlesnzenga4681 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nazidi kuamini yangu akili machicha. Kusema ukweli si kosa NI moja ya tahadhali. Dossa mnamuonea

  • @fareedkhalipher3590
    @fareedkhalipher3590 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    WATU weng wa Yanga mpra awaujuwi ndio maana inapotokea mtu akaongea ukwel awakubalian nao

    • @cosmasthomas9164
      @cosmasthomas9164 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Wala hujakosea ndugu,yaani wengi wao ni mambumbumbu na watu wa kukurupuka😂😂😂😂😂

    • @JosephMwaipopo-px4wi
      @JosephMwaipopo-px4wi 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We ndo hujui

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    HIVI NINYI WAJINGA MUNALIPWA AU VP?
    MBONA MUNANYENYEA SANA VP

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    sakina Othumani ninachokiona hawakupenda umesifia wachezaji wa simba ndyo maana wamemchukia wanayanga si washamba hujakosea dosa❤❤❤❤❤❤❤

  • @eliaminrashid9317
    @eliaminrashid9317 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawana akili hao dosa mbona ally kamwe alimsifia shabalala yeye ana haki ya kusifia ila wanaona wew huna haki ya kumsifia debora achana nao wehu haooo!!!

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mbona hata ally kamwe arimsifia Debora jmn waache unafki🤣🤣🤣🤸

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ww mwandishi pia mnafik unamlazimishaje mtu aombe msamaha kw kosa asolifnya

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umeongea ukwel kaka ma hta ukiisifia simba co vibaya achana na hao machoko😂😂😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu kama Hawa ndio tuliwakosa kule jangwani ❤❤❤

  • @huseinbusaba5064
    @huseinbusaba5064 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    ila nyuma mwiko bana sasa wanachomchukia mwenzao ni nini

  • @mussamakinda8076
    @mussamakinda8076 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Usiwaze msemakweli eg amemsifia pia barua

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Umarufu sio kitu rahisi🎉🎉🎉🎉

  • @Mufti-g3x
    @Mufti-g3x 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi wachezaji hamuwajui mpaka waje Simba? Na tukisema Mambo yote mnakopi kwa Simba mbona mnakua wakali semeni mtaftiwe wachezaji basi

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo ndo mtaamini nyie ni AMNAZO yani mtu kuongea ukweli anatengwa nanikitu ambacho kikowazi mana hata ukimuuliza mtu yeyote anaye mfatilia DEBORA anamkubali kutokana nakile anacho kionyesha.

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani hakuna watu wenye roho mbaya kama nyuma mwiko du mbona sisi Simba tunasifia na mtu hajawahi kuenguliwa hawa watu wanaweza kukuuwa kwa sekunde moja

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwehu ww sasa ukuwasifia wachezeaji wa Simba c ushaisifia Simba Hawa mashambiki wa Uto washamba mno Mchome ,Meja na wanavoisifia Yanga wakiponda Simba walikua wakiona raha karata imegeuka wanamtoa Dosa kafaraa

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    mashabaki wa UTOPOLO wana mambo ya kizamani huo mnaoleta ni ushamba, hkn ulipokosea dosa upo sahh.

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe Dosa mbwa kasolo mkia hatukutaki kukusikia tena kama Hauna la kuongea Bora ukae kimya pumbavu kabisa wewe

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Team ambayo Haina fea niyanga ata hawajielewi yaan uongee PUMBA nisawa kuliko ukweli duh

  • @MshomiN
    @MshomiN 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie mashabiki mnapenda sana kusema,kuchamba kwingi mwishowe utajipaka vinyesi

  • @AbisinaRashidi-c8d
    @AbisinaRashidi-c8d 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Achana nao watu wayanga wasenge TU hata injinia alimsifia barua na dada mmoja wa yanga alimsifia mavambo na kijili na kagoma

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Saa hii mna hahaa na kumtaka mavambo umesahau kua msemaji wako alimzihaki debora kwakusema yani azizi ki na pakome waka cheze na debora ama mmesahau kumanina zenu n.gombe nyie

  • @twalibuchaye7687
    @twalibuchaye7687 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SASA DOSA KAKOSEA WAPI HATA KAMA ANGEISIFIA SIMBA SC KUNA UBAYA GANI MBONA WATU WENGINE SIO WAELEWA ETİ ANAVULIWA UENYEKITI WA STESHENI

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    DOSA unachokiongea ukosahii na huyo mtangazaji asikulazimishe kuomba msamaa mana akuna ulicho kosea.

  • @saphiashabani6410
    @saphiashabani6410 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    hao jamaa wamezoea kuwaponda wachezaji wa simba hata wakiwa wazuri sasa leo mwenzao kasema ukweli inawauma

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dossa mtangazaji ametumwa na kina Mzee Chembela na Nassor,mbona anakulazimisha kuomba msamaha

  • @castormosses33
    @castormosses33 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ahmed ally mbona huwa Anamsifia feisal, anamsifia azizi ki kosa liko wap duuuu😂

  • @AlexKanuya-fs2vr
    @AlexKanuya-fs2vr 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu jamaa yupo sawa sana Iła yanga mną mambo za ajabu sana!! Amtaki ukweli wenu washamba sana nyie

  • @Joseph-e2x6g
    @Joseph-e2x6g 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ukwer humuweka mtu huru yaan ukiongea ukwer eti unakosa mmmm watani achen kumnyanyasa mtan .

  • @mgoamkiza1117
    @mgoamkiza1117 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unajitetea nn ww,nilikwambia mdomo uliponza kichwa😂😂😂

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dosa mimi nipo simba.ila wanakuonea wivu kwa sababu una miaka michache kuliko wewe.

  • @mohdseif2593
    @mohdseif2593 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan umemkosea mungu had uombe msamaa? Achana nao wasiojielewa Babu

  • @MohammedJaizan-yf5yt
    @MohammedJaizan-yf5yt 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzee Magoma alisema mashabik wa uto ni MFU ndio yanadhiirika

  • @donatienbest6043
    @donatienbest6043 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dossa hunakosa ila jambo lakusema viongozi hawalali njo ulipokosea

  • @ZakariaMwamwifu
    @ZakariaMwamwifu 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwandishi aupo kiprofesinal kabisa umetumwa wewe

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Naona kurujuan inazidi kushika kasi tu muda utaongea mzee magoma oyeeeh 😂

  • @fahimkhalifa5904
    @fahimkhalifa5904 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo yule MCHOME MAPOVU aone hali iliyomkuta DOSA vilabu hivi vina utaratibu au mwongozo wake huwezi kuisifia timu pinzani hata mchezaji wa timu pinzani Mchome anakashifu mpaka jezi ya club ya SIMBA sasa. Haeleweki yupo wapi

    • @Sanjey-vp1fm
      @Sanjey-vp1fm 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mchome yy toka apo ni yanga yule.

  • @zaidiissa6695
    @zaidiissa6695 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ulisema hersi gamond hawalalii ajilli ya Deborah

  • @KhamisAbdallah-k6q
    @KhamisAbdallah-k6q 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwamwe kamsifia Muhamed usseni mbona hamjamtimuaa

  • @IMANIMWAITEGE-ve8gr
    @IMANIMWAITEGE-ve8gr 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wanakuonea wivu kwa sababu wewe una muda nchache.

  • @ShehaSalum-p3s
    @ShehaSalum-p3s 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Upo sahihi kak ata na mm simb lkn namtaman pakome

  • @charlesnzenga4681
    @charlesnzenga4681 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnamtaka Debra hella mnayo kapuku nyie

  • @SubiraMorlis
    @SubiraMorlis 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwel yanga wenye akili ni wawili tu😂😢😢

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je lazima tuchukue mchezaji Simba?

  • @Joseph-e2x6g
    @Joseph-e2x6g 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwan kusifia kizur nivibaya shida nini

  • @andrewShola-p6m
    @andrewShola-p6m 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hapo jamaa upo sahihi Saanaaa...!!!!!!

  • @manjamwaibula7739
    @manjamwaibula7739 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uko sawa hao wasiokuelewa achana nao

  • @EmmanuelMwampashi
    @EmmanuelMwampashi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unalazimishasamaha ili iweeje wewe

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyinyi kweli ni masenge hasa ww mavambo hata msimu hauja isha ww una mtaja mavambo hivi una akili kweli

    • @LeonidasStephano
      @LeonidasStephano 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      wewe ndiye huna akili maana mpira ni mchezo wa wazii

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wape ukweli dosa

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dosa pamoja😂😂😂😂😂😂

  • @anastahiliutawala3879
    @anastahiliutawala3879 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    30 huyo ana 50

  • @cletusviatory6907
    @cletusviatory6907 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dosa nguvu moja

  • @ImamuDossa
    @ImamuDossa 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dosa yupo sawa

  • @aliali-ec3oz
    @aliali-ec3oz 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Utamaduni wa mprira bongo unachekesha

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Utamaduni wa utopolo fc

  • @AlamZambi
    @AlamZambi 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa yanga mmeanza kuchanganyikiwa nabado mjasema

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kurujuan inazidi kushika kasi😂

  • @MuhsinJuma-wo2bg
    @MuhsinJuma-wo2bg 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya sasa ww kua hers uende uka mchukue mavambo

    • @LeonidasStephano
      @LeonidasStephano 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      akifikisha 30+ atakuja kuweni na subira

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    SUPU YA KAFARA ITAWATESA SANA

    • @mckobatz5861
      @mckobatz5861 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂!!! Halafu Dosa anaogopa nini kuisifia Simba si ni jambo la kawaida tu ukizingatia Debra hachezei lipuli FC anacheza Simba it's all good wakimzingua si aende tu kwa Ubaya ubwela asingoje kurujuan izidi

  • @AishaMohamed-xv9wy
    @AishaMohamed-xv9wy 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kazo yenu ndiyo hiyo kwani hamuwaoni wachezajipaka wasimba ndio mnao wataka ovyoo

    • @RedmiXiaomi-gm1tg
      @RedmiXiaomi-gm1tg 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yanga hawana skauting toka mda mrefu kwa miaka 3 waliyochukuwa ubingwa asilimia 100 yawachezaj walionao walipointiwa na simba sema kwawakati huo viongoz walikuwaga wanazinguwa ko yanga wakawa wanapita nao xaxa mximu huu walijuwa tutaenda na mwendo huo tupoint wao wachukuwe bos Mo akawa anachana waret anamalizana kabisa na mchezaji wameshindwa na ndomana usajili wao wamagumash msimu huu.