MZEE CHEMBELA & NASSORO WAMPANGUSA DOSA STESHENI KISA KUMSIFIA DEBRA MAVAMBO | AMETUKOSEA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ก.ย. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 49

  • @joanitamligo6321
    @joanitamligo6321 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi hamjui mpira dosa hajakosea kila mtu anamaoni yake ngoja team ianze kufanya vibaya mtamkumbuka dosa anacho sema mcheza mzuri anasifiwa na yeyote yule

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 วันที่ผ่านมา

    Mnajidai mnajua scout mngechukuwa wazee wa Simba

  • @JosephatMassae
    @JosephatMassae วันที่ผ่านมา

    Mbona hamumfukuzi injinia hersi kumsifia balua na chama kabla hajaja yanga !! Acheni unyumbu mnaishi maisha ya kufwata mkumbo kama NYUMBU !! Dosa kakosea nini!? Ndo maana mko wawili tu katika wenye akili😀😁😂😀😁😂😀😁😂

  • @bakanga1410
    @bakanga1410 วันที่ผ่านมา

    Kwa utaratibu huo nyuma mwiko hamuwezi kupata wapenz wa kizazi kipya kwa sababu vijana wa sasa hivi wanataka furaha cyo kuwafunga mdomo

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 วันที่ผ่านมา

    Simba kuna Mchome na Said wanaiponda Simba Kila siku,mpaka Simba imemchapa Ahli Bado wanakosowa,Wana Simba hawajazuia waandishi wasiongee nao,Uto mna shida

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 วันที่ผ่านมา

    Haya mtoe na hersi si kamsifia sana chama na juzi kamsifia balua acheni ujinga bhana nyie ndo wenye njaa mtu asioongeee mpira bhana acheni ujinga bhana

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu วันที่ผ่านมา +1

    Tatizo wanayanga niwanafki hivi wangapi wanayanga wanaomkubali DEBORA?

  • @DormanDorman-jm3dz
    @DormanDorman-jm3dz วันที่ผ่านมา

    KWA MAANA HIYO DOSA YUPO FREE .SASA ANAWEZA KUENDELEA NA MSIMAMO WKE POPOTE

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu วันที่ผ่านมา +1

    Kwani HERSI alivokuwa akimsifia CHAMA kipindihicho chama alikuwa anachezeawapi? Nanikweli HERSI alikuwa anakosa usingizi mbona awajamtenga? DOSA wamemuonea kwasababu nimnyongetu .

    • @joanitamligo6321
      @joanitamligo6321 วันที่ผ่านมา

      Upo sahihi kabisa

    • @HUMAIRYJUMA
      @HUMAIRYJUMA 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawa nilimbuken hajui mpira

  • @mohammedmohamed9969
    @mohammedmohamed9969 วันที่ผ่านมา

    Afadhali mumfukuze huyo dogo aliongea UPUUZI sana Jana huyo dosa ikiwezekana afutwe uanachama

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu วันที่ผ่านมา

    Nyie mbona mlikuwa mnamsifia MABULULU Mbona amjaamia LIBYA?

  • @gerphasntaziha4475
    @gerphasntaziha4475 วันที่ผ่านมา

    Baadhi ya mashabiki wa yanga kama huyu nasoro na chembela wana roho mbaya, kosa la dosa liko wapi kusema ya moyoni?

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 วันที่ผ่านมา

    Mzee saidi mbona anamsifia azizi k

  • @fatoommeraje2133
    @fatoommeraje2133 วันที่ผ่านมา

    Nyie yanga msimponde dosa huwo sio ubinaadamu

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 วันที่ผ่านมา

    Dosa anapenda sifa kwanza ajui ata kuongea mm kuna mashabiki 2 wa yanga huwa siwaelewagi dosa nimwenzake mwalimu wanangeaga usenge tu

  • @salummkicha6636
    @salummkicha6636 วันที่ผ่านมา

    Ila dosa mbona hajakosea kama wanavozungumza yy amesema mavambo anafaa kuw mbadala wa halid Aucho

  • @AyubuErnest-x1k
    @AyubuErnest-x1k วันที่ผ่านมา

    Tatizo yanga uelewa mdogo

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 วันที่ผ่านมา

    Wache ni ujinga Dosa hana kosa alilofanya kama mchezaji anafanya bidii Wacha ukweliusemwe bila kujali ni simba au yanga

  • @JaphariMwangu
    @JaphariMwangu วันที่ผ่านมา

    mbna hersi anamkubali balua kumkubali mtu dhambi ngogwe Amna kitu kichwani

  • @AminoKhalif
    @AminoKhalif วันที่ผ่านมา

    Jamani wanayanga wenzangu kakosa lakini msameheni tu

    • @bone102
      @bone102 วันที่ผ่านมา

      Dosa hana kosa lolote labda nasoro ndo anakosa

  • @Mkubwa_jr
    @Mkubwa_jr 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yanga wengi kuanzia viongozi wao wapo hivyo wana roho mbaya wamekaa kichawi yaani hawajui mpira....mpira unataka kizuri ukisifie hata km hakipo upande wako wao wanataka hata km mchezaji wako mbovu ndo umpambe tu

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu วันที่ผ่านมา

    Kwani HERSI alivokuwa akimsifia CHAMA kipindihicho chama alikuwa anachezeawapi? Nanikweli HERSI alikuwa anakosa usingizi.

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 วันที่ผ่านมา

    RUDISHENI FUNGUWO NYUMBA SIO YENU 😂😂😂😂 KURUJUWANI ITAWAMALIZ SUPU CHAPATI FC NYIE 😂😂😂😂😂 KURUJUWANI OYEEEEEE 😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA ZEE LA KATIBA OYEEEEEE 😂😂😂😂 MACHOGOOOOOOOOO

  • @binbadru8408
    @binbadru8408 วันที่ผ่านมา

    Yanga washamba bamjyi mpira,mtu kutoa maoni yake iwe nongwa!?

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 วันที่ผ่านมา

    Mchome vipi 😂😂😂dah

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 วันที่ผ่านมา

    Miraji mbona anasifiwa yanga uto acheni ujinga

  • @GeradGmwambe
    @GeradGmwambe วันที่ผ่านมา

    Sio watu wa mpira yanga

  • @maulidmusa8902
    @maulidmusa8902 วันที่ผ่านมา

    Hawa Yanga wa ajabu sana. Ni aibu

  • @StephanoJames-c3d
    @StephanoJames-c3d วันที่ผ่านมา

    Utoo jamani

  • @mariamabdallah9847
    @mariamabdallah9847 วันที่ผ่านมา

    Uto acheni wivu

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud วันที่ผ่านมา

    Dosa asirudi tena hapo atumtaki aondoke zake

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme วันที่ผ่านมา

    Roho zakichawi

  • @yuzoooyuso583
    @yuzoooyuso583 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nyie mashabiki wa yanga kweli mmepungukiwa akili.kumsifia mchezaji wa Simba kunaubaya Gani?huyo Chama huyo injiniaaliwaahi msiffia Chama maana yake huko uanga kulikia na wachezaji wabovu ndio mama Chama mmemchukua.makubwa jinga hàya gongowazi manara aliwahi sema wenye akili ni wawili haina haja ya kuwataja.huyo injinia wamemfanya ni Mungu wao kwaamba hakosei

  • @bone102
    @bone102 วันที่ผ่านมา

    Hersi aliongea chama ni mchezaji bora Tanzania na akaulizwa anataman akachezee yanga akasema why not leo chama yupo yanga juzi hersi kamsifia balua imekuwaje huyu Nasoro amfukuze dosa kisa deborah na sio akashinikizaz kumfukuzaz hersi aliyewasifia wachezaji wawili wa simba

  • @SilasJacob-z6v
    @SilasJacob-z6v 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni ujinga kumbe hata ww hujitambui umefanya ivooo ili uwe unaongea ww mpira hauko ivooo nyie ukweli unasemwa

  • @malietamaliet
    @malietamaliet 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mm naona aliteleza mngemuita mkamuelewesha Dosa mm nina uakika ni mpile atawaelewa binadamu tumeumbiwa makosa jmn yeye sio kama wakina mchome wala meja

  • @lenziangowoko9325
    @lenziangowoko9325 วันที่ผ่านมา

    Mnakuza tu mambo! Mbona mashabiki wa simba wanasifia wachezaji wa yanga,mfano mzee saidi anamsifia sana Azizo ki

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 วันที่ผ่านมา

    Sawa kakosea kwani huko kwenu hakuna onyo mtu kakosea mara moja tu leo unamuondoa kwenye uanachama

  • @MohamedHaruna-l8c
    @MohamedHaruna-l8c วันที่ผ่านมา

    Manara aliwahi sema wana yanga wote hawana akili kosoro kikwete na mzee sande manara nikweli

  • @WakiliAbasi
    @WakiliAbasi 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ili jamaa lina jazba

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot วันที่ผ่านมา

    Wasenge nyinyi

  • @AllyShaban-ms7ot
    @AllyShaban-ms7ot วันที่ผ่านมา

    Kumamako zenu