POLISI WAELEZA A-Z TUKIO la SATIVA KUTEKWA DAR na KUOKOTWA PORI la HIFADHI ya TAIFA ya KATAVI....

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 22

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  6 หลายเดือนก่อน

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @sashawambura
    @sashawambura 3 หลายเดือนก่อน +1

    Disc imerukaruka sana..mbovu hiyo toa..weka nyingine

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yaan Disc imerukaruka adi inaona aibu sasa hovyooo et ncha Kali😡😡😏

  • @AmbakisyeSimion
    @AmbakisyeSimion 3 หลายเดือนก่อน +1

    Amepewa asome ila itafika muda bifu kati ya sisi na polisi litajisoma

  • @petromahava865
    @petromahava865 3 หลายเดือนก่อน

    mmmmhhhhh kujieleza kwenyewe sasa😂

  • @SalimuAlmasi-lt9ud
    @SalimuAlmasi-lt9ud 6 หลายเดือนก่อน +1

    Wwe Mwenyewe Anasema Risase Jamani

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mh!! Kutoka Dar Arusha mpaka Katavi,
    Hapo pana jambo ndani yake, hao ni vijana wana mambo mengi

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wana mambo mengi yapi?

  • @twahakinyogoli3035
    @twahakinyogoli3035 6 หลายเดือนก่อน +1

    Kamanda hapimwi kwa kuripoti taarifa tu, kamanda ni zaidi ya hapo muzee. By the way kuzungumza ni kipaji si kila mtu ana fasaha hiyo

  • @Eliasmarwaturuka
    @Eliasmarwaturuka 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha uongo

  • @PapaaKibaki
    @PapaaKibaki 2 หลายเดือนก่อน

    Mmmh unafiki mtupu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 หลายเดือนก่อน

    Tuyatambue majila ya mungu kwamba ni wakati wa mungu kuwafichua wasiojulikana na hawawezi tena kusitilika mpaka mungu akamilishe kazi kikamilifu

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 6 หลายเดือนก่อน

    Ukiwaona kama watu vile kweli mwanadamu kamshinda hata mungu ndio maana ametenga moto liwe fungu lake milele

  • @shukraningetta2809
    @shukraningetta2809 4 หลายเดือนก่อน

    Najiuliza swali moja mtu kutoka dar kupita mpaka Arusha kufika mpanda na humo njian kuna chek point za askari wetu maeneo mengi sana hiyo gar iliyombeba ilipitaje bila kubainika kuwa ni ya waharifuu?

    • @daudimchileg307
      @daudimchileg307 4 หลายเดือนก่อน

      Gar ilipitaje umbali huo, bila kushitukiwa? Hili ndiyo linalotupa house kwa jeshi la police uwezo mdogo.

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiwaona wanaongea kama binadamu kumbe ni mmbwa mwitu mashetani wanaojichunguza wenyewe kwa uovu wao na damu za binadamu wenzao kwenye mikono yao na vizazi vyao

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 4 หลายเดือนก่อน

    Pumbavu poles hamna yee ndo watekaje na wabakaji

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 6 หลายเดือนก่อน +1

    Izo ni chuki izo binaadamu zinawasumbuwa

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu katanga kapewa hi tu nafasi hajui hata kuripot jambo

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 6 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂 mhhh mtihani

  • @Jonnibo
    @Jonnibo 3 หลายเดือนก่อน

    Shame

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan 6 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu kamanda kapewa tu hi nafasi haujui hata kripot tarifa