Nilikata kuolewa na vijana wa kisasa kwa sababu ya hali iliopo nikaole na mwalim wa madrasa umri wake nikama wako na mimi nikiwa na umri wa miaka 20 nikadhani utulivu unapatikana kwa watu wanao jua dini kumbe nailikuja kujuwa si yeyote anae soma na kufuwata amri ya allah na mtume wake bali wengina wanajionesha tu kwa watu
Maasha'allah allah kulipe kheri sheikh
Mungu akujazi kheri
Mashaalah sheikh hamza mungu akulipe kheri ..umebarikiwa
MASHAALLAH ❤❤❤❤
Mashaallah tabarakaah
Shukran
MashaAllah
Subhanallah
Badilu ramadhan
Shekhe mimi ni mwanamke anae pitia mitihani kiupende wa mume wangu
Allah akuondolee mitihani unayopitia na akupe subra.
❤❤❤
Barakallahu fikhy sheikh wetu
🎉🎉🎉
Shukulani kwa kutukumbusha
😢😢😢😢
Nilikata kuolewa na vijana wa kisasa kwa sababu ya hali iliopo nikaole na mwalim wa madrasa umri wake nikama wako na mimi nikiwa na umri wa miaka 20 nikadhani utulivu unapatikana kwa watu wanao jua dini kumbe nailikuja kujuwa si yeyote anae soma na kufuwata amri ya allah na mtume wake bali wengina wanajionesha tu kwa watu
Mashallah Allah atupe hidaya