EWE ULIEDHURUMIWA USIVUNJIKE MOYO KUWA NA SUBRA. SHEYKH; HAMZA MANSOOR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ค. 2023
  • Tafadhali Usiache ku SUBSCRIBE kwenye channel yetu hii ya Al-hidayahonlinetz. Ili uendelee kufaidika kupitia Maudhui zetu zenye mafundisho ya dini na jamii.
    +PIA WAWEZA KUCHANGIA DA`AWAH HII KUPITIA
    LIPA NAMBA AIRTEL 1297069 TIGO `7638500`
    + AMA PIGA NO. +255 710 627 824

ความคิดเห็น • 42

  • @hasaniabdalah6148

    Sheikh huyu nampenda kwa ajili ya Allah .kweli mawaiza yake yananyooka moyoni kwangu moja kwa moja

  • @khadijaali3107
    @khadijaali3107 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah darsa hii yako shekh hamza imenipa moyo kutokana na dhiki na huzuni nilizobeba moyoni😢😢😢 imenipumbaza moyo wangu mungu azidi kuniongoza kwenye njia iliyonyooka na Allah akubariki shekh na akuhifadhi na akulinde na dhulma za ulimwengu

  • @FatnaAlly-go7yt

    Allahu akika waja Wana chuki mpaka onapitiliza tujirekebishe yarabi

  • @MudMuho-zo9do

    Mungu atufanyie wepesi inshallah na atuondolee matamanio ya duni

  • @shuweikhahamad6392

    Allah atujalie miongoni tuonusurika na madhambi

  • @YusufMdoe

    Sheikh Allah akupe maisha marefu yenye faida

  • @nooornoor120
    @nooornoor120 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allahum akulinde kwakila mbaya na uzidi kutuelimisha shehk

  • @user-hj1uj3ts3k

    Assalam wa'aleykum warahmatullah wabarakatu Allah akupe umri mrefu wenye manufaa dunian na kesho Akhera tunajifunza mengi kutoka kwako

  • @salmsalmo931

    Asalam aleikum shekhe naomba kuuliza unafanya kaz huna siku ya kupunzika kila siku kaz hata ukiumwa unafanya kaz pia hiyo dhuluma😭😭😭

  • @HusseinMuro-ki2hx

    Allah akusitiri kwa elimu kubwa unayotoa hakika unafanana kabisa na unachosema unasema kweli

  • @ZainabuZaina-dk7mx

    ❤ allah akulipe kheri sheh hamza baba angu napenda sana maiwdha yako hakika allah atupe mwisho mwema

  • @Omanbahla-f8i
    @Omanbahla-f8i 21 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda kwa ajili ya allah

  • @user-qp2zk5or8l

    Masha Allah

  • @latifanyari8912
    @latifanyari8912 วันที่ผ่านมา

    Allah akuifadhi inshaallah

  • @BraitonBukuru

    ❤❤❤❤

  • @gamalashur5412

    AKUPE UZIMA NA AFYAA AJUZIDISHIEE ILMUU NAAA'FIAAN.

  • @ayoubfute8603

    Mashaallah

  • @user-bl6ul2lz4n

    Allah (SW) akuzidishie katika boraa

  • @saumuzani4360

    Mashallah tabarakallah