GB64:VIONGOZI WA SIMBA WAMENIUMIZA MOYO MIMI SIO GAIDI HADI NIWAKWEPE POLISI NAISHI NA WATU VIZURI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
  • Baada ya tetesi nyingi kuenea ya kuwa shabiki wa simba Gb64 amekuwa akitafutwa na jeshi la polisi lakini amekuwa akiwakwepa sasa amejitokeza na kuweka wazi ya kuwa yeye haweza kuwakwepa ma askali bali pale wanakuja ofisini kwake hakuwepo

ความคิดเห็น • 15