Allah akujaze subra huko jela uliko na inshaallah utatoka tu kwa uwezo wa allah na allah akulipe kheri hapa duniani na akakupe pepo ya Firdausi huko akhera Amin
Asalam aleykum shukraan Kwa haya mauidha Allah awafanyie wepesi Hawa mashekh katika hali inayowakabili pia naomba kama kuna mauidha mengine ya shekh Muselem mtuweke
Allah akujaze subra huko jela uliko na inshaallah utatoka tu kwa uwezo wa allah na allah akulipe kheri hapa duniani na akakupe pepo ya Firdausi huko akhera
Amin
Sheikh mselem weye kiboko yao masha Allah Mungu akupe umri mrefu amiin
Allah akuhifadhi sheikh mselem bin
Fi sabil llah (1)wakikuhamisha hijra (2)wakikufunga itqaf (3)wakikuua shahidi ..
Allah akupe shufaa huko huliko
Allah atulehemu sote
Alhamudulilah mungu akupe umri mrefu uendelee kutupa elm muselem allyi
Asalam aleykum shukraan Kwa haya mauidha Allah awafanyie wepesi Hawa mashekh katika hali inayowakabili pia naomba kama kuna mauidha mengine ya shekh Muselem mtuweke
Uongozi wa radio imaan ziwekeni bc na izo party zilobakia za surah tunaomba
Sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah insha Allah jApo mAkufari WA nchi hii wamekutia jela lkn Allah yu pamoja na waumini kama ww
Kwan mselem ally alifungwa😓😓😓 mbna mashekhe wanafungwa lkn 😓😓😓
Hadhihullah mselem ally
I love you
Allah akulinde inshaaalah
Masha Allah
Jazaakallahu khayran
mashalah
mashaallah
mashalah
mashaallah