Sheikh japo makafir wa nchi hii wamewatia jela lkn wamekusafishia njia ya kwenda peponi hata nabii Yusufu alifungwa jela insha allah nakuombea duaa insha allah utatoka tu. Ndugu yangu na waislam wote walioko jela
Kwakweli huyu shekhe wetu msellem nimwisho wa matatizo katika ilmu Allah amempa na tunamuombea kila la kheri pamoja na mitihani iliyomfika lakini Allah tampa kheri hapa duniani na kesho akhera hakuna urefu usokua na mwisho
Mmmmh MUNGU wake ndio atakae mlipa kiukweli kuna maneno hata anayatoa hata mtu asie mwislam anaona huyu Mzee kadhulumiwa bila shaka awe na maisha mema na yenye baraka na furaha tele
Jazakallah kheri Wa subra
Mashaallah shekh Allah atuhifafhi inshaAllah na akuzidishie Iman na akuondolee mtiani inshaAllah
jazakallah kheri
Maashaallah shekhe wetu mselem bin ally inshallah allah atakutoa kwenye mikono ya wazalim hao.
Allah akulipe kheri in sha Allah
Ma Shaa Allah
Allah akulipe pepo
MashaAllah Allah akuzidishie in shaa Allah shukulan
mashallah nakupenda sheikh wetu kwa ajili ya allah mungu akulipe hapa duniani na kesho akhera
ametakasika mwenyezimungu
ametakasika mwenyezimungu
aliyekuimba ametukuka
mashll mung afany wepes utoke kweny mikon ya makafir il uje utuelekez kweny haki ishall
Allah akulipe kher
ALLAAH akukinge na kila baya
Masha Allah
hakuna ustaarabu ktk dunia bila kuwepo wanazuni mw mungu atawalinda na madhwalim huko muliko
Sheikh japo makafir wa nchi hii wamewatia jela lkn wamekusafishia njia ya kwenda peponi hata nabii Yusufu alifungwa jela insha allah nakuombea duaa insha allah utatoka tu. Ndugu yangu na waislam wote walioko jela
Kwakweli huyu shekhe wetu msellem nimwisho wa matatizo katika ilmu Allah amempa na tunamuombea kila la kheri pamoja na mitihani iliyomfika lakini Allah tampa kheri hapa duniani na kesho akhera hakuna urefu usokua na mwisho
Mashallah
Mmmmh MUNGU wake ndio atakae mlipa kiukweli kuna maneno hata anayatoa hata mtu asie mwislam anaona huyu Mzee kadhulumiwa bila shaka awe na maisha mema na yenye baraka na furaha tele
Ivi jaman anakoxa gan huyu mbona hata maongezi yake haonekan kama Anataka hivyo vyeo vyenu mpeni uhulu sio yy anazungumza kutoa kwenye kitabu kitukufu
shekhe wewe ulikuwa ufaa kuwa hakim
Masha Allah
Mashallah