Al khabib Mselem bin Ali Allah akijalie afya njema inayostahili kuwanayo binadam Ammin Ammin Na akujalie ufumilivu ktk maisha uliyokuwa nayo Akujalie Msimamo wako huohuo tuko nyuma yako shekh wangu ukweli utakuwa ukweli na wala hautokaliwa na kitu chochote juu yake nk
Mwenyezi Mungu anaona yote wafanyayo madhalimu kwani Dunia yenyewe hamna kitu and besides viongozi wetu wa kiislam ni wanafiki mno, lao moja na hao madhalimu... hamna tamko lolote wakati masheikh wetu wakubwa wanateseka behind bars for almost 8 years now... this is madness! ipo siku tu inshaallah tutapokusanywa yote yatawekwa dhahir. Naomba Mwenyezi Mungu akupe moyo wa uvumilivu, subra na afya njema ktk kipindi hiki kigumu, naamini kwa uwezo wa Allah utakuwa released soon pamoja na wenzako kwani hamna kesi ya kufanya bado uwe ndani bali ni maneno ya Mwenyezi Mungu unayotufikishia ndio yanayowaumiza madhalimu.!!
Siku zote watu wenye iiman dhabit na mit,Ham yake inakuwa mikubwa ili kupimwa iiman shekh msemo ally anacho sema kipo swahihi tena anasema kwa hisia ya hambo mpaka msikilizaji anaguswa na kisa
Allah akuifadhi shekh mselem na wenzako Allah awalinde na mtihani mnaopitia inshaAllah iwe ktk njia ya firdaus inshaAllah
Allah Akbar.. Nakupenda sheikh mselem kwa ajili ya Allah.. Kwa kweli unanifanya nisikose kukuskiliza
shekh mwenyezimungu athibitishe Imani yako, subira,na akuondolee mtihani haraka ,akupe ushindi mbele ya adui yako
mselem
Jazzakhallahu khairn sheikh tariji jannah fridaus
Allah awafanyie wepesi inshaallah
Ma Shaa Allah
Jazaakallahu kul khayr
Allah akulipe hadi uridhike ewe sheikh wangu. nakupenda liajliĺlahi
Al khabib Mselem bin Ali Allah akijalie afya njema inayostahili kuwanayo binadam Ammin Ammin Na akujalie ufumilivu ktk maisha uliyokuwa nayo
Akujalie Msimamo wako huohuo tuko nyuma yako shekh wangu ukweli utakuwa ukweli na wala hautokaliwa na kitu chochote juu yake nk
jazzaka llahu lkheir
ALLAH anayaona unayo yafanya atakulipa Inshaallah.
mashaa-Allah
shekh wetu mselem allah atakulinda na vitimbi wanavyo kupa ni huo binaadam zaifu.
biidhni llah bega kwa bega mimi na wewe mpaka peponi
Mwenyezi Mungu anaona yote wafanyayo madhalimu kwani Dunia yenyewe hamna kitu and besides viongozi wetu wa kiislam ni wanafiki mno, lao moja na hao madhalimu... hamna tamko lolote wakati masheikh wetu wakubwa wanateseka behind bars for almost 8 years now... this is madness! ipo siku tu inshaallah tutapokusanywa yote yatawekwa dhahir. Naomba Mwenyezi Mungu akupe moyo wa uvumilivu, subra na afya njema ktk kipindi hiki kigumu, naamini kwa uwezo wa Allah utakuwa released soon pamoja na wenzako kwani hamna kesi ya kufanya bado uwe ndani bali ni maneno ya Mwenyezi Mungu unayotufikishia ndio yanayowaumiza madhalimu.!!
hafidhahullaah
artist palliatars shekhe mselem allwa akujalie subrayahaliajuu pia akujalie kwakilahali yawatu watakao enda pepini
Mugu akubariki
ALLAH awafanyie wepesi Inshaallah masheik wote ktk mtihani walionao