Nimeangalia video zako nyingi ni nzuri sana nimejifunza kupitia kwako. Swali langu ukimaliza kutengeneza naweza kutunza kwa mda gan na kama nitakuwa nakula taratibu matunzo yake yakoje kwakile nitakacho bakisha?
Assalam alaykum habbty Shukran kwa mapishi mazuri tunajifunza mengi kupitia nyie Swali langu hizo dry rosted peanuts nyingi zao huwa Zina chumvi je Jambo la kuzingatia Ama hamna neno?hata zikiwa na chumvi
Mamy leo nimepika hizi nashkuru zimekua mzuri na laini na zimekua zinawasha kidogo kama zile napenda cos nimeweka na tangawizi ya unga kidogo na tam nawazazi wamefurahia... Mungu akuzaidishie mamyyyy tujifunze zaidi kwako inshallah
In Shaa Allah nitajaribu pia hii Hubby anazipenda sana ila kuzipika ndio sijui inabidi nijifunze kila anachopenda kuliko kuenda kununua nje.. so hio Robo Kilo ni sawa na Measuring Cups vingapi?
Mashaallah Mashaallah Mashaallah sichoki kuangalia mapishi yko Mashaallah allah akupe afya allahumma amiin.
nimepika hizi kashata zimetoka nzuri balaa... shunas u are the bestttttt
Thank you so much for the feedback :)
Maa shaa Allah mambo ya kwetu pwani hayo baaraka llah
Unaweza kutumia sukari ya brown au haifai. Asante sana kwa somo la kashata. Masha Allah
Maasha'Allah habbinty shukuran tuekee video ya kashata za nazi pia
In shaa Allah dear
Welcome back chef tume kumiss
Thank you chef 😙 nipo bado😆
Nakupenda Aroma of Zanzibar
Mashallah hodari shuna alafu video zake dakika 5 azichoshi Allah akubarik kazi ya mikono yako ishallah 🎉😊
Maa shaaa Allah shukran kwa mapishi Allah akupe afya njema uzidi kutufunza amin
Ameen asante sana
Mashaallah dada angu nimejfunza mengi yaan hubby ananenepa tu nakuzd kuwa mfupi hahahaha wote twapenda vinonoooo
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mashallah nimezipenda Allah akuongeze ujuzi na sisi tufaidi ujuzi wako
Ameen yarabbi, kwa sote. Shukran sana
Mashaallah tupike uji wa Lozi wa kingazija niliunywa lkn siujui unavyopikwa
Shukran sana. Leo nime pika na zimekuwa nzuri sana Mashaa Allah.
Shukran kwa feedback habibty
Nice one mashallah mungu akuzidisia kujuwa kupika mashallah
Ameen, shukran :)
Shukran kwa receipe. Naomba kujua sukari in cups please.
Hiii ni simpo sana
MashaAllah .Shukran sana habibty, naomba utuwekee na kashata za mayai
In shaa Allah
Asante sana nataka kujua Karanga zipi ni nzuri zaidi kwjl ya mwonekano mzuri(nyekundu au Nyeupe?
Naomba msaad wa kutengeneza kashata za ubuyu
Mashallah..
Mbna mm nmejaribuu zmekua kma zinanataa ivii hazikaukii vzr nakosea wapii sistr
Mashallah nzuriiiii sana ndo najaribuuu
Love from Zambia. Asante
MashaAllah hapo baada ya maji naweza weka maziwa
ahsante kwa upishi huo naomba tufunze kashata za ubuyu wa unga
Sijawah kujaribu na maziwa dear
Maashallaah
Asnte kwa somo
Asante sana the look yummy naomba kujua inaweza kaa kwa muda gani zikiwa nzuri
Shukran....hicho kisu nnakipenda...cha aina gani???
alaf kazi nzuri uifanyayo...
Nmeipenda io.....naja Zanzibar kula yahyeeee😊😊😊😊
Ni nzuri mnooo maashallah
Asante
Hakika unajua! Nakufatilia sana
Maa shaa allah kipenzi
Kumbe very easy..Ahsante kwa mapishi dada
❤❤ Ma sha Allah
Mashaallah nitajaribu, great recipe
Hongera sana umejitahidi
Nimeangalia video zako nyingi ni nzuri sana nimejifunza kupitia kwako. Swali langu ukimaliza kutengeneza naweza kutunza kwa mda gan na kama nitakuwa nakula taratibu matunzo yake yakoje kwakile nitakacho bakisha?
Shukran jazakaallah kwa mapishi mazuri
Ameen. Shukran dear
shukran habbty nitajaribu kutengeza.
Wow nzuri sana
Ahsante mpishi kwani mm nazipenda sana 👌
thank u n god bless u fr teaching us al kinds of lovely food am so gratefull i hv learnt so much thanks
Assalam alaykum habbty
Shukran kwa mapishi mazuri tunajifunza mengi kupitia nyie
Swali langu hizo dry rosted peanuts nyingi zao huwa Zina chumvi je Jambo la kuzingatia
Ama hamna neno?hata zikiwa na chumvi
Waalaykum Salaam dear, mimi ndio ninapozipendea 😊 yaani ile chumvi yake inafanya kashata zako zisiwe na sukari ya kuchukiza, zinakua nzuri zaidi
@@ShunasKitchen okay habibty shukran kwa ufafanuzi maana nlikuwa najiuliza
Mashallah asante sana mpenzi😘😘
Nimepend na nimejifunza ndg asante san
Maashallah Allah akuzidishie ujuz ili uzid kutufikishia sote tuelimik asant umrnifunza kitu kizur, nakupnda sana na ninapnd mapish yko
Ameen yarabbi. Kwa sote. Shukran habibty
Asalam alaikum Dada Shuna hongera sana kwa mapishi yako mazuri
Dada Shuna naomba RECIPE'S za Kupika Ubuyu
W msalam habibty, asante sana. In shaa Allah nitajitahidi
Shuna's Kitchen Shuqran Habibty Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi katika Maisha yako
Ameen, kwa sote
Sauda Ali ok dear
Wow nitapima
Nimeipenda ntaifanyia kazi
Ma Sha Allah tasty
MashaAllah! Nimependzwa nitajaribu
Asante sana shunas kitchen napenda sana hii kitu wakati nipo shule nilikuwa namaliza pesa kwahizi kashata nitajaribu namm kupika tunakupenda
MashaAllah. Asante sana dear nasubiri mrejesho in shaa Allah
@@ShunasKitchen okay sawa
Shukran jazaka llah khaira
MashaAllah u r a fabulous cook. thanks for the nice recipe. plz teach us kashata za mayai...or za ubuyu...
In shaa Allah dear I will. . Thanks for watching :)
Mashallah tufundishe pudding
In shaa Allah, next video itakua
shukran dada Alla ahfadhi mikono yko
Amen amen. Asante sana
Asante Kwa mapish me nilikuwa naomba urudie Ile recipe ya sambusa za nyama jinsi ya kukunja Manda za sambusa
In shaa Allah dear, asante
Ma Sha Allah looks so delicious hun 👌👌👌❤❤❤
Thank you sweetheart 😘
@@ShunasKitchen hellow,mambo mpendwa hizi karanga za pakti zinapatikana wapi
@@ShunasKitchen maana nimehangaika kariakoo sehemu nyingi sijazipata
@@ShunasKitchen nlikuwa naomba nifahamishe tafadhali
Asalam alaykum hongera sana
MashaAllah at last nimepata vipimo vya kuridhisha niliisubiri kwa hii recipe ya.... In Shaa Allah ntajaribu kesho nikupe feed back kwenye IG.
In shaa Allah dear asante
Nakupendaa bureee
Mamy leo nimepika hizi nashkuru zimekua mzuri na laini na zimekua zinawasha kidogo kama zile napenda cos nimeweka na tangawizi ya unga kidogo na tam nawazazi wamefurahia... Mungu akuzaidishie mamyyyy tujifunze zaidi kwako inshallah
ameen asante sana
Mashaallah jazakallah khayran shukran sis
Mashallah tutajarubu
asante tutajalibu lnshaallah
asante Techer. Je kama za biashara ni shs. ngapi hizo?
Nimependa rahisi sana
Kama umetumia karanga nusu unaweka sukari kiasi gani?
Aki wah i looked for this recipe everywhere. Thanks for the video
Ur welcome
Woww ni nzuri tuletee upishi wa ubuyu mzuri mlaini please
In shaa Allah dear
Tunauza ice cream machines na rambaramba machines Follow me @hakika_ice_cream_ltd
Jamani kama sina brenda yakusagia nitumie kinu kinafaa?
Jamani zinapendeza Sana nimefurahi nimejifunza kitu punde nitafanyia kazikwani mwanangu anaoenda Sana kula kashata.
Asante sana dear
Shuna's Kitchen nimeskwishakaribia dada naamini kupata mengi zaidi kutoka kwako.
Shukraan sana hbbty
MashaAllah nice recipe, twaomba recipe ya kashata za ufuta
In shaa Allah dear, nitajitahidi
@@ShunasKitchen InshaAllah Allah akuwezeshe Shukran habibty
Napenda mapishi yako
Ahsante
Nitajaribu na mmi inshaallah
mashallah mamy nzuri sana
Asante sana
Shukran habibty
Mashaalaa
Masha Allah nzuri
Nimepend mapish yako
Upo vzr
MaashaAllh
Asante sana kwa kuangalia
Asante sana dada
Ahsante next time tupike kashata Za ubuyu
Mashallah very nice
Thanks for watching dear
Nzrii dada
Maa Shaa Allah, nimependa, pia naomba kujuwa hiyo one cup uliyotumia ni sawa na gram ngapi?
240gm
Supa.
MashaaAllah, santeee mummy
Mashallah na mimi leo najaribu habity ila hiyo uliyo weka baada ya maji ni sukar?
Asante dear
nice thnks
Sweetheart naweza kutumia peanut flour incase sina blender 🥰
Ni unga wa njugu pekee? Yes dear, unaweza
Thanks for a reply,much love from USA ❤
Asante kwa upishi wa kashata juzi nimepika kashata za nazi azijatoka vp naomba tuweke na kashata za nazi please 🙏🙏
In shaa Allah dear, asante kwa kuangalia
Afuan hbbty 😍
Ma Shaa Allah shukran habibty
Love u mama frm 🇧🇮
Mashaallah 💜
Mashaa Allah nice
In Shaa Allah nitajaribu pia hii Hubby anazipenda sana ila kuzipika ndio sijui inabidi nijifunze kila anachopenda kuliko kuenda kununua nje.. so hio Robo Kilo ni sawa na Measuring Cups vingapi?
Nimesubiri jibu cups zinakua ngapi lakini naona hapana jawabu
Woooow yummy
Masha Allaj🥰
Safi
Masha Allah yummy 😋
Shukran
Zina uwezo wa kuvumilia hata wiki moja? Ninataka kufanya za biashara
Masha Allah ugonjwa wangu huu