ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Asante, nimejifunza kitu kipya.
Shukran tumejifunza
Asante umenifundihs kitu❤
Waoh! Asante nilizoea mayai nimejifunza 🙏
Karibu
Hongera kipenz nimejifunza kitu kipya
Nizur sana mimi ndio nimeona
Mashaallah Mashaallah
nzuri
Asante kwa kutusaidia swali langu mbona mimi nikiandaa zinabaki wazi upande mwingine na zinakua hazina sura ya kuvutia lakini ni tamu,nakosea wapi?😢
Yani barikiwa mmy
Asante samahani hii ndo inaitwa karanga za diamond
Mashallah pishi jipya kupata chchote coz vtu vyimekuwa ghali c mchenzo asnte muziwada
Hapo kweny kufunga unapata sh ngap
Biashara nzuri sana
Ni kweli
Nahitaji mwenye mashine,nisage, za kwangu! Dada nisaidie
naweza kuchoma kwa gas au ni nzuri zaidi na kuni?
Kazi nzuri sama. Tafadjali mashini ya kufunga vikokoto nitapata wapi?
Mnapatikana wapi Mziwanda !
Hizo karanga zilitoa packets ngapi??
Umetumia sukari kiasi gani kipenzi
Nahitaji kufahamu kilo 5 nina gharama kiasi gani mtaji
Naweza kuweka Maziwa ya UNGA?
Naomba unifundishe Bila sukari
Naomba yako jamani au fungua darasa whatsup tuwe tunalipia dear
Me nikajua unakaanga kwaza karanga
Nahitaji kuanza kufanya biashara ila sijui vipimo
Jamani Nashukuru kwa Elimu mnayotupa, nisaidieni no yenu ya simu ya mkononi Niko interested na mambo ya mikate, plz plz nsaidieni no ya simu
Sikuwahi kujua hii recipe nitajaribu mm hupika hupika karanga za mayai ,nitajaribu hii nashukuru sana mziwanda barikiwa
Nina karanga mpya pia nauza kilo elf 3500 Kama utahtajiii
Unapatikana wapi