MWIJAKU apewa gari na DIAMOND BABA LEVO amchana ahame

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 พ.ค. 2022

ความคิดเห็น • 212

  • @boionemkenyaofficial8822
    @boionemkenyaofficial8822 2 ปีที่แล้ว +30

    Ukiambiwe Mwijaku na Baba levo hawana shida,pia Diamond Wala Hana shida na Mwijaku I say Hawa watu wote ni marafiki wakubwa Kwa kweli 💯

  • @gapablessgadison6863
    @gapablessgadison6863 2 ปีที่แล้ว +8

    Hahhahahahaha,mumulete KASULU KIGOMA 🇹🇿 atujengee, shule,stand,studio Kali na eneo lake awekezee KASULU""do that GOD will blessed you""DIAMOND Hana shida 🔥🇹🇿💪🙏

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 2 ปีที่แล้ว +10

    Njaa mbaya sana Allah tunusuru na njaa

  • @coachissah7703
    @coachissah7703 2 ปีที่แล้ว +8

    Diamond platnumz the king of Africa

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 2 ปีที่แล้ว +5

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Mwijaku fala sana

  • @BennyBeeke
    @BennyBeeke 2 ปีที่แล้ว +14

    Mwinjaku Is Peeping Diamond's Deals

    • @johnmichaellukindo21
      @johnmichaellukindo21 2 ปีที่แล้ว +1

      You're right!

    • @oscarmsafibandah6311
      @oscarmsafibandah6311 2 ปีที่แล้ว +1

      Why am I feeling the same sh*t 🤔

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @mwangonjim2mbad155
    @mwangonjim2mbad155 2 ปีที่แล้ว +5

    Fundi majumba leo nime skia akigonga ngeri tu na mzungu 🤣🤣🤣😂😂😂😂

  • @zou7470
    @zou7470 2 ปีที่แล้ว +11

    Mwijaku nakupenda kwakwel mana unajuwa unaco kifanya wew nitafauti na machawa wengine yani unakula kote kote

    • @miritonbikura5487
      @miritonbikura5487 2 ปีที่แล้ว

      Nakubar anajua

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @hemedmganga8536
    @hemedmganga8536 2 ปีที่แล้ว +5

    Nimecheka kwa sauti 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwijaku,, shikamoooooo🙌🙌🙌🙌

    • @kennoveltyke
      @kennoveltyke 2 ปีที่แล้ว +1

      Bloody bleeeedy

    • @fredichaki3497
      @fredichaki3497 2 ปีที่แล้ว

      Mimi nimeona hii video asubuhi hii kitandani nikajikuta pia nimecheka sana🤣🤣🤣

  • @VitaahVwLuhyaboy
    @VitaahVwLuhyaboy 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku analeta amani kondegang na wasafi
    th-cam.com/video/MrXTxZ9rdFY/w-d-xo.html

  • @swalehesaad2692
    @swalehesaad2692 2 ปีที่แล้ว +16

    Leo mond halindwi na mabodyguard analindwa na mwijaku na baba levo

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂 daah wanaume wanadhalilika njaa mbaya

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

    • @lulually5209
      @lulually5209 2 ปีที่แล้ว

      Haki ya mungu midume inaaibika ata mabodygard nafasi hawana hapo

    • @charlenenibigira9941
      @charlenenibigira9941 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @magrethsanga942
    @magrethsanga942 2 ปีที่แล้ว +6

    Dah huyu mwijaku hapana jamni hela hizzz

  • @saimonijoseph4198
    @saimonijoseph4198 2 ปีที่แล้ว +5

    Diamond njoo na mara jamn lkn lazima nifike kwenye shoo kesho mapema sana

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว

      Uombe ufike salama sema mungu akipenda

  • @vickykapama8386
    @vickykapama8386 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani Mwijaku Haki yuko na akili sana Degree 3 nimekubali! Lol amempania H BABA 🤣🤣🤣 hana jinsi ya kutokea hapo MWANZA!! Salute Mwijaku 💥💥💫

  • @sheebahmawazi7843
    @sheebahmawazi7843 2 ปีที่แล้ว +1

    Big up Diamond

  • @shebe2573
    @shebe2573 2 ปีที่แล้ว +6

    Jama anajuwa akifanyacho😂😂😂😂😂😂😂🕺💪

    • @shutop7321
      @shutop7321 2 ปีที่แล้ว

      Walai😂

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto 2 ปีที่แล้ว

    Great opportunists mwijaku na baba levo

  • @josephmollel4526
    @josephmollel4526 2 ปีที่แล้ว +2

    💪🤣🤣🤣.mwijaku mbwa koko 🤣🤣🤣leo unamsifia diamond wakati huwa unamponda..na jee harmonize utamweka wapi

  • @odiwameru4419
    @odiwameru4419 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku Fala wewe...maKende

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani natamani kucheka natamani kulia machawa noma 🔥🔥🔥

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 2 ปีที่แล้ว +2

    Fredy vunjabei ana mkono nzitoooo atowi pesa apokei simu ya mwijaku anapiga sana vishokaaaa kama wadada wa buzaaa acha tuhamie kwa simba Platinumz chibu d chibu deee domo denda anamwagaaa mipesa kwa chawa anakupa gari

  • @kabandilwafariala6093
    @kabandilwafariala6093 2 ปีที่แล้ว +5

    Ile Gari Yake Kama Mkate🙆🙆🙆😂😂😂

    • @siliviasimon7970
      @siliviasimon7970 2 ปีที่แล้ว +1

      Gari km mkate nusu 🤣🤣🤣🤗🤸

    • @kabandilwafariala6093
      @kabandilwafariala6093 2 ปีที่แล้ว

      @@siliviasimon7970 😂😂

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @zakariaathman9019
    @zakariaathman9019 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku ndio senior wao h baba bado ajui kuishi mjini

  • @shutop7321
    @shutop7321 2 ปีที่แล้ว

    Waswahili nomaa😂😭😭

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mwenye skaf ni mwana mwari wa wapi

  • @veronicapius3476
    @veronicapius3476 2 ปีที่แล้ว

    Hahahaaa mwijaku na baba levo khaaa

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 2 ปีที่แล้ว +2

    Mmmh mwijaku sikuwezi

  • @roseamos9930
    @roseamos9930 2 ปีที่แล้ว +1

    Uchawa mzuriiii

  • @suleimanismail8414
    @suleimanismail8414 2 ปีที่แล้ว +1

    Dah teh teh teh teh teh 😅 mwijaku ni senge kweli

  • @fatmarashidmusafatma5218
    @fatmarashidmusafatma5218 2 ปีที่แล้ว

    Kwani mwijaku alihama kondegang🤣🤣🤣

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 ปีที่แล้ว

    Wallah mm nimebaki kucheka tuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wilbertthomas8530
    @wilbertthomas8530 ปีที่แล้ว

    🤣😂Maisha bhuaaana we Acha Tu Leo hiii diamond anaitwa mkuuu duuuuh

  • @carinamatt1031
    @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku shikamoo sana

  • @vinayagamsefu4596
    @vinayagamsefu4596 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwijakuuuuuu 😁

  • @frankmasamaki9640
    @frankmasamaki9640 2 ปีที่แล้ว

    Nakukaribisha kutazama wimbo wangu ni mzuri sana💥💥💥💥
    ________________
    Karibuni

  • @soloboy039
    @soloboy039 2 ปีที่แล้ว

    baba levo mtomo too but music uko jini sasa jui sai next level jeshi konde keng je wewe ajana kusifu ya mtu twataka yakwako pia usifiwe

  • @charlowmathew9762
    @charlowmathew9762 ปีที่แล้ว

    Mjuwe hawa jamaa wametoka kigoma hadi dar kusaka pesa 😀😂😂😀baba levo na MWIJAKU machawa hatari hawa

  • @ImuDabo
    @ImuDabo 7 หลายเดือนก่อน

    Mwijaku simpendi hapendi kusema ukweli ananjaa anamapenzi ya unafiki nakaubalia Baba levo unampenda simba kwa dhati

  • @ericriwa8080
    @ericriwa8080 2 ปีที่แล้ว +6

    Pesa inanguvu sana na pesa inaongea..... ,,,Mwijaku leo yupo pemben ya diamond

    • @mbwanakhamis9634
      @mbwanakhamis9634 2 ปีที่แล้ว

      Amekua kma bodyguard 😂😂

    • @carinamatt1031
      @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว

      Huyu mtu wa daimond kabisa kufa na njaa kupenda yaan ningekuwa mimi daimond ningemfukuza mwijaku asinge nisogelea kabisaaa

    • @issmuking3987
      @issmuking3987 2 ปีที่แล้ว +1

      Ww umejua leo

    • @linahsemindu4261
      @linahsemindu4261 2 ปีที่แล้ว

      @@carinamatt1031 mond mtu w watu hawez mfukuza wao ndo wananjaa🤣

    • @salimlutfimohamed832
      @salimlutfimohamed832 2 ปีที่แล้ว

      Nyinyi mmeshindwa kumuelewa mwijaku yy sio wa mtu mmoja na wala hana team anajua kuplay part yake kwnye maisha anajichanganya kila sehemu ili mradi hela inaingia yy kwa ali kiba kwa harmonize na kwa diamond

  • @roseshelmith4819
    @roseshelmith4819 2 ปีที่แล้ว

    That Baba Levo's jacket.. Haimtoshi???

  • @malikmasoud3190
    @malikmasoud3190 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku hana tofauti na dem yupo km mwanamke wa bar

    • @mbwanakhamis9634
      @mbwanakhamis9634 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂 Nkwl hna n mdangaji tu... Apima kla aina ya uume yy bora pesa

    • @edwinekatundu6844
      @edwinekatundu6844 2 ปีที่แล้ว

      Ila kiukwel jamaa n mjanja Sana,kumbuku apo,akosi chochote

    • @carinamatt1031
      @carinamatt1031 2 ปีที่แล้ว

      Hujakosea kweli kabisaa

  • @hamisshabani3126
    @hamisshabani3126 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku chawa kigeugeu

  • @selemanajali6336
    @selemanajali6336 2 ปีที่แล้ว +3

    Maisha hayaa

  • @lulually5209
    @lulually5209 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji bwana eti hii kwa ajili ya machawa by the way 😂😂

  • @peter4650
    @peter4650 2 ปีที่แล้ว

    Hahahahah kweli mwijaku ilikuwa njaa tuu...

  • @capteinchuimchafu7894
    @capteinchuimchafu7894 2 ปีที่แล้ว +3

    😁😁😁😁😁😁

  • @Mrchachamusic
    @Mrchachamusic 2 ปีที่แล้ว

    Kigoma 👀 niatari 🤓

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 2 ปีที่แล้ว

    Dah mwijaku anaijua pesa

  • @lewisdomician1634
    @lewisdomician1634 2 ปีที่แล้ว

    Mkubwa Fela anazidi kufutuka tuh dadeq! 😂😁😄

  • @coolzeddy_official9216
    @coolzeddy_official9216 2 ปีที่แล้ว +1

    😀😀😀😀

  • @djnajma5627
    @djnajma5627 2 ปีที่แล้ว +1

    MAMBO 5 MUHIMU YA KUZINGATIA UPONE KANSA ; DAWA YA KANSA YA AINA YOYOTEth-cam.com/video/ZgfBwGAJlrQ/w-d-xo.html

  • @MrNdanguza
    @MrNdanguza 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabongo jamaani tumezidi kick 😂😂😂😂😂 funza wameoza kabisa !!!!

  • @saljam82
    @saljam82 2 ปีที่แล้ว

    Umeskia MBele tutakisukuma mwinjaku alivyoililia X 10 😂🤣😂🤣🤣🤣

  • @ramadhanmsangi4676
    @ramadhanmsangi4676 2 ปีที่แล้ว +2

    Watakiskuma machawa 😆😆😆

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe bado uchawa unao nilifikiri unerbetner mr mapua 👺👺👺👺👺👺

  • @muhammadsaidi4872
    @muhammadsaidi4872 2 ปีที่แล้ว +3

    HATA HAMONIZE HANA UGOMVI NA DIAMOND JAMANI SANAA KAMA SIASA WOTE WAKO SAWA HAWA BASI MITANDAO 2 FUJO LINGI😂😂😂

    • @sarahmuhammed6872
      @sarahmuhammed6872 2 ปีที่แล้ว

      Yeah it's all about business

    • @johndavid1593
      @johndavid1593 2 ปีที่แล้ว

      Hapana asingemuongelea mwenzake vby vile pale Airport

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @coachissah7703
    @coachissah7703 2 ปีที่แล้ว

    Diamond platnumz simba baba Lao africa

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ninjaaa

  • @we66ooyeah
    @we66ooyeah 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku ananimaliza sana… Eti " Ngonja ni kae kuna hela huku" Shenz sana

  • @ayubmwangangi6941
    @ayubmwangangi6941 ปีที่แล้ว

    Huyu Ni mweu tyu,,, anongelea mondi na analipwa wasafi bet,,

  • @blackamerica7086
    @blackamerica7086 2 ปีที่แล้ว

    Naamini maneno ya dudubaya kuwa mashoga fresh tz wapo wengi 😹😹😹😹

  • @sazanahussen6715
    @sazanahussen6715 2 ปีที่แล้ว +1

    Jmn namie nifundisheni uchawa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @priscillahsirya6544
    @priscillahsirya6544 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku k
    Pigakotekote
    Unaakilisana
    Tengeneza life 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 ปีที่แล้ว

    Baba levo wacha kimbelembele mutaharibia Simba mipango.punguza kimbelembele.

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 2 ปีที่แล้ว +1

    Dunia hii ina mambo, machawa Wana run tz

  • @dj-reissitolkira2343
    @dj-reissitolkira2343 2 ปีที่แล้ว

    Njaa bahh

  • @JayJay-kd7zs
    @JayJay-kd7zs 2 ปีที่แล้ว +1

    Baba levo ana jitambua siku zote kasimama seemu moja kwa simba sio mwijaku na H mama mara huku mara huku wana kuwa Kama wa chokozi wa temi fanya alaka alaka usimwambie mtu

  • @rashoomohaa9894
    @rashoomohaa9894 2 ปีที่แล้ว

    Ehhh kweli jamani mwijaku siamini hella Ina NGUVU Sana...hapo bado h baba tu team ikamilike

  • @heneryofficial638
    @heneryofficial638 2 ปีที่แล้ว

    Baba levoooooo

  • @ummyhaji8459
    @ummyhaji8459 ปีที่แล้ว

    Mwinjaku weweee sipati picha kwa maneno yako

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku mbona pesa. Za kutoa roho yaani usomi wako wrote kumbe ni materialistic.

  • @alexjovin2981
    @alexjovin2981 ปีที่แล้ว

    Mwiba nawapenda

  • @mlenglewis1747
    @mlenglewis1747 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku naye🤣🤣

  • @koniasalingo2165
    @koniasalingo2165 2 ปีที่แล้ว

    Ko mshikaji kahongwa gari na mwanaume mwenzake

  • @hdmsasa3355
    @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

    Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @tonymurithi877
    @tonymurithi877 ปีที่แล้ว

    Kumamake ashakuwa pastor

  • @madolaclassic117
    @madolaclassic117 2 ปีที่แล้ว

    Kuwa star raha sana ...
    Yani diamond akigeuka tu wote wanageuka😄

  • @BennyBeeke
    @BennyBeeke 2 ปีที่แล้ว +2

    Ama Mwinjaku anaomba PESA😂😂

    • @malikmasoud3190
      @malikmasoud3190 2 ปีที่แล้ว

      Atakuwa anapakatwa

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 2 ปีที่แล้ว +3

    Wanaume tafuteni pesa mnafeli wapi mpaka mnakuwa chawa wa mwanaume mwenzenu mtaliwa nyie eheeee

    • @boionemkenyaofficial8822
      @boionemkenyaofficial8822 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo Pia ni moja wapo ya njia ya kutafuta pesa

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 2 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni njia ya kutafuta pesa mbona nyie mnadanga kwa wanaume

    • @hdmsasa3355
      @hdmsasa3355 2 ปีที่แล้ว

      Hd Msasa oficial KITANZI gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN th-cam.com/video/Cdyxj5ymOR4/w-d-xo.html

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku mtafute rafiki yako Hbaba usimsahau mwijaku

  • @JayJay-kd7zs
    @JayJay-kd7zs 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku na H baba ni wachokozi watemi fanya alaka alaka usimwambie mtu

  • @anjelinakasembe845
    @anjelinakasembe845 2 ปีที่แล้ว

    Ananyojua basi Kuwapanga na kupanga lazima warpende ndio peke yake hapo anaongea fluent English anawasaidia mjanja sana sio mjinga nampenda mwijaku

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 2 ปีที่แล้ว +1

    Msaliti hana alama🤔

  • @tonygee5680
    @tonygee5680 2 ปีที่แล้ว +1

    Upuuuzi 2

  • @yusuphngajilo4076
    @yusuphngajilo4076 ปีที่แล้ว

    Brother toa hao watu wanakuharibia, naamini unaweza kusimama mwe yewe

  • @aboubackhrkassangullah4755
    @aboubackhrkassangullah4755 2 ปีที่แล้ว +8

    Mtoto wa kiume akiwa chawa Hana tofauti na mwanamke mdangaji(Malaya)

    • @sangulorashoo4116
      @sangulorashoo4116 2 ปีที่แล้ว

      hujui kitu hawa chawa wapo kazn kama vle wewe unapo fanya kaz zako

    • @mdmuhammed6533
      @mdmuhammed6533 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa

    • @aboubackhrkassangullah4755
      @aboubackhrkassangullah4755 2 ปีที่แล้ว

      @@sangulorashoo4116 sijakataa hata Malaya nao wapo kazini

    • @josephatmassae7316
      @josephatmassae7316 2 ปีที่แล้ว

      Wakati wew ukipiga kilele hapa ooh chawa ooh Malaya wenzako wanapiga Pesa kila kukicha !!
      Huo uchawa ndo unawafanya wanazidi kutrend mjini na kupata mikataba ya Pesa ndefu kila uchwao !!
      Wew umekalia majungu kwa wanaume wenzio utauponza!!?

  • @roseshelmith4819
    @roseshelmith4819 2 ปีที่แล้ว

    And then they offer Diamond a chance to ride a Horse and Camel (Of course the Resort manager is aiming at a marketing plan) and Baba Levo, kiereere, says they will apparently even ride the both.. Bro, they want someone with traffic, someone who can create a marketing buzz.. Not you.
    Salut SIMBA!!!

  • @richardlameck1624
    @richardlameck1624 2 ปีที่แล้ว

    Leo upo na mwambino hahahahahhahahahahaha mwijaku bonge la chawa

  • @deomkanula7983
    @deomkanula7983 2 ปีที่แล้ว +2

    Jaman maisha haya

  • @sautisaba3872
    @sautisaba3872 2 ปีที่แล้ว

    Haaaaa eti juuyamboga😃

  • @ramaosman8060
    @ramaosman8060 2 ปีที่แล้ว

    #LjayKitchen #SwahiliWalichipsMayai #FrenchFriesmixedwitheggs

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku chawa pro max😂

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @amisidalmo3441
    @amisidalmo3441 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣

  • @imanimalick4148
    @imanimalick4148 2 ปีที่แล้ว

    🤸🤸🤸🤸🤸

  • @kawezaseleman5794
    @kawezaseleman5794 2 ปีที่แล้ว

    Jamani ndio huyu mwijaku au kopi

  • @davidmnyagwia8443
    @davidmnyagwia8443 2 ปีที่แล้ว

    Hyo nguo aliyovaa mondi hata nipewe bure sivai😂😂😂

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @pettywilliam4492
    @pettywilliam4492 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hiyo miguo ya wintar ya nini acheni ushamba

  • @sadammwakifwamba7595
    @sadammwakifwamba7595 2 ปีที่แล้ว

    Mwijaku anakihelehele