ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Nkisikiza hii nyimbo nakumbuka marehe Babuyangu... nakupenda Sana jumaa salimia familia apo soko mjinga kwa Salim bazawad
natamani miaka irudishwe nyuma kidogo
Hakuna badala hamnawarithi sauti hakunna badala mtakumbukwa daima
Yani hizi! Ndy zilipendwa ukisikia, yani raha mpaka, taratiiibu. Taarabu ndo hizi big up!! Nakumbuka mbali sana!!!
Napenda nyimbo zako ❤sana
Yanikusha mbali sana
Big up pulooo❤❤penda sana hioo🥳🥳🥳
❤
Zilipendwa lesiwanyika
Nakumbuka mbali sana nikiwa ndogo mama Na baba walikuwa wakipenda sana hii nyimbo
Saidi of
Mmenifikisha hapo ndipo 1956 hadi kesho pindi nikiazimwa pumzi laha,sana
Zilipendwa
Brings the memory of my late mother
Niko mwanza tanzania
Hiyo isiwe sababu nyonda tukaepukana
Wah sioni tofauti ya Kishore Kumar na Mohamed raffiq
Hawa ndo waimbai,wangine watukana tuu
Asante maulidi,,, I mis soko mjinga wallahi
My life time always I like it for sure
Ndiyo tarabu hizi
Maulid juma huyu
Mashaalla ❤❤❤
Maulid juma
Lesi wanyika
Mambo yatanga
Hatar na
Saidi of nyonda
💖💖💖❤
Kwa anae taka kuziona aingie yutb
Hiyo isiwe sababu
Very cool coastal music of my time!!
Nasinzia waarabu hawana gati santhaa babu
Hahahahah
Raha ya mapenzi
Nzuri sana
Andike jila muimbaji anae mtaka
Hi 0:40
Saidi
Santhaa santhaa zilizo pendwa hizo
Penda sana huyu mtu
Professional songs
Wakati wa raha na umakini, ndio ushapita. Sasa raha hakunatena ni fujo tuu, na uvundro.
asanta kupana tabu si jambo la maana
Mungu ailaze roho yako Pahali pema pepon majaliwa Abdallah. We always miss u
Mashaallah
ikiwa naskia hizi nyimbo myo wangu unatulia sna
Asanta babu apanilipo raha tu naburudika
Uko wp ww
Fatuma babu yuwatuburudisha
Asallam aleykum nitapataje nyimbo za maulidi juma niko mwanza tanzania
Ingia yutbu uandike Jina LA nyimbo unayo taka
asante san
Asallam aleykum nitazipataje ?
download tu apo
Naomba nyimb za juma balo kwa wing mweny nazo nimpe namb anitumie wasap
nipe namba yako nikutumiye nyimbo za juma balo
@@zinahattas9906 Asalaam Alaykum naomba WhatsApp no 0701348764
Zinah Attas 0746318046 nitumie na mm
@@zinahattas9906 asalaam aleykum naminaomba unitumie nyimbo zajuma ballo
nitumieni pia mm
0745429621 naomba mwenye hii nyimbo anitumie wat sup plzzzz

Zinah Attas
0746318046 nitumie na mm
@@zinahattas9906 asalaam aleykum naminaomba unitumie nyimbo zajuma ballo
nitumieni pia mm
0745429621 naomba mwenye hii nyimbo anitumie wat sup plzzzz