Maulid unajua kuimba vizuri sana Mungu akupe afya njema ila kuna baadhi ya nyimbo nyingi na nzuri azifunguki kwenye TH-cam je tufanyeje ili ipige naomba unifahamishe mimi nipo Tanga Tanzania
Mmmmhhh mmmmhhh naam jomba. Likoni hadi ukunda. Kisauni; hadi bamburi. jomba wakati huo hautarudi tena miaka ya 80 na 90. Amani tupu na utulivu wa hali ya juu.. tutabaki na kumbukumbu. Ahsanta jomba umeturudisha nyumbani.
Ewe mfadhila wangu sijui nikulipeni kwa fadhila lonifanyia❤❤❤
Hongera mzee kwa mashairi yako nyimbo zakutuliza roho
Namkumbuka marehemu babangu .nikiskia hii nyimbo asante maulidi juma
Bado nyimbo hii inamaana kubwa Na Naipenda Zaidi Na Zaidi...
Nyimbo za babu haziishi utamu❤❤❤
Ewe, maulid juma,sija kosa kufunjika kwa lika.nyimbo ulio imba,mungu mpe Rehema
Zama zile when Babu was babu...mfadhila wangu wanikumbusha nyumbani
Wanikumbusha mbali sana kaka japokua nimdogo lkn napenda sana nyonda watu wa tanga tunakutakia kila la kheri
Maulid unajua kuimba vizuri sana Mungu akupe afya njema ila kuna baadhi ya nyimbo nyingi na nzuri azifunguki kwenye TH-cam je tufanyeje ili ipige naomba unifahamishe mimi nipo Tanga Tanzania
Mahaba sio mchezo ukimpata huyo mfadhira utaona dunia haina taabu. Maneno mazuri mno
Maulidi wanikumbush mbali babu
Mashaallah maneno kuntu
Kenya
Mmmmhhh mmmmhhh naam jomba. Likoni hadi ukunda. Kisauni; hadi bamburi. jomba wakati huo hautarudi tena miaka ya 80 na 90. Amani tupu na utulivu wa hali ya juu.. tutabaki na kumbukumbu. Ahsanta jomba umeturudisha nyumbani.
Baazza Md weacha tu usiseme
Kabsaa.
Hupita zama wala hazirudi tena
Nakuskiliza vzr maulid shikaadabu Hadi daresalam kinondoni
@@winnsletndusya3097 p
Saaaanthaaa saaanaaa yn ili gomaa ndio nmlisakaaa sana,,,, mnyikaaaaaaa hoi
Nyimbo hii bada yanikumbusha tuu shukran
Mbona nyimbo za babu ni kidogo km hasidi sioni
Ever Green👌👌
Zipo
Good
Sina chakukulipa malipo yako kwamungu webwana wee nyimbo yanikumbusha nyumbani nikikata gomba na babaake
Nyumbani wapi najau Mombasa lakni wpi
SIJUI NIKULIPE NINI
Naupenda wimbo huu nzuri
Sanaa
😭😭😭😭😭 inanikumbusha home
Mashllah maulidi aliimba na taarab yke maneno yke yanamafunzo, maulidi pekee . taarabu yke inapumbaza
Kabisa bro
Babu nakutambuwa miaka mia uko juu mpaka sasa
Ewe mfadhila wangu sijui nikulipeni malipo yako.kwa mungu.
Ameimbaa hiii waaaaahhh
Enzi hizo
Kumbee niko na bingwaa wakubwaa na shabiki wallah ucngzi umeruka🤣😅😆😂🙏
+254....home sweet home
Waazi Mzee ubarikiwe
Yaumizaa wallah 😰😥🙏
Hakika hizi ndio taarab cku hizi hakuna taarab bali nipasho tu.
Really message
Pole babu usilie sana hii ni dunia
Legend!!! ❤❤❤
I love you
Hana mbadala. Jamaa yu aimba.
Watu kumbusha MBALI SANA
Ewe mfadhila wangu 😍
Sijui nikulipeni
Jamani 👌😘😘
kenyaa
P1😍😍😍😍
Kweli kabisa
Nice MashaAllah🕎
Nayote ulonambiya siyasahau moyon
Naam
Mfadhila lakukulipa sina
Kenya
Kweli Babu nikiboko
jamani babu
Naam jomba
Fadhila zinatabu lakini kuna wenyekujua kuzila
Mashallah
Yoooooooohhhh😗😘😘❤❤❤🙏🤣
Ewe mfadhila wangu
My fevart song
❤
😍😍😍
Jaman
❤❤
😍😍😍😍😍😍😍
Mi naomba n ibilis ndie akusumbuae kma Kuna mtu anayo nmpe namba yangu ya WhatsApp antumie plz