KIPESILE | 37 |

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 687

  • @SelinaImma
    @SelinaImma 16 วันที่ผ่านมา +128

    Kipesile nakupenda sana unavyo mpenda baba yako 👉 mdogo safi sana

    • @LewisHamiltonGLD
      @LewisHamiltonGLD 16 วันที่ผ่านมา +4

      Pia mm nampenda vile Ako na msimamo wake

    • @CharityMutheu-s2q
      @CharityMutheu-s2q 16 วันที่ผ่านมา +4

      Pia mimi napenda sana anavyo mpenda baba mdogo wake ❤❤🎉🎉

    • @VeronicahOtwori
      @VeronicahOtwori 16 วันที่ผ่านมา +3

      Pia mm vile ako n musimamo😅😅😅😅

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 14 วันที่ผ่านมา

      Kabisa❤

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 16 วันที่ผ่านมา +49

    Adery day baba halima anashindwa na Mimi TH-cam khalas 😂😂😂Kwa hivyo take care always 😂😂😂,kama tuko pamoja like ya baba halima tukisonga jmniiii ❤❤

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 16 วันที่ผ่านมา +35

    Kipesile umenifurahisha tu unampenda baba ako mdogo safi mama ako ana roho mbaya

    • @VeronicaNzike
      @VeronicaNzike 14 วันที่ผ่านมา

      Jamani nampenda sana baba yake mdogo❤❤

  • @FAIZAWESAAMANI
    @FAIZAWESAAMANI 16 วันที่ผ่านมา +274

    Nani mwingine anafurahia kipesile ikiekwa kila siku ❤❤❤weka tick

  • @RebecaNika
    @RebecaNika 15 วันที่ผ่านมา +8

    Leo mama kipesile kaniacha hoi hata buku la naul hana ba mdogo ananguvu kuliko mama hahahahah😅❤

  • @NepanepaSafiana
    @NepanepaSafiana 16 วันที่ผ่านมา +17

    Kipesile wapende watu wote kama unavyo mupenda babaako mudogo itakuwa vizuri sana kipesile

  • @SevidaEmmanuel
    @SevidaEmmanuel 16 วันที่ผ่านมา +17

    Kipesile nakupendaga sehem moja tu kwa kuwa upande wa Baba ako mdg waooh ❤❤❤❤

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 16 วันที่ผ่านมา +19

    Nawapenda sana Dori anabambisha kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂 kipesile usikubali babaako mdongo auwawe utateseka Walai

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 16 วันที่ผ่านมา +9

    Wap Dora aje kumcheka mama mkuuu 😂😂😂 kimekuta kitu kizito ukun😂😂😂😂 madam marimu pole San

  • @LizieTopsha-254
    @LizieTopsha-254 16 วันที่ผ่านมา +20

    Kitufe❤❤❤nilikuwa nimekumiss jamani 😂😂😂😂

  • @wanjalajoshwa
    @wanjalajoshwa 15 วันที่ผ่านมา +4

    Madam mariam pole sana daah makuu hayo

  • @StanleyStephen2580
    @StanleyStephen2580 16 วันที่ผ่านมา +7

    Kwanza nikushukuru adery masta kwa kutuwaishia kigongo kikali yaani unanifuraisha kinoma sana movie haichelewi❤❤❤❤❤❤

  • @VictorineKavira
    @VictorineKavira 16 วันที่ผ่านมา +14

    Kipesile kazi nziri sana kutoka congo RDC 🇨🇩🇨🇩

  • @MusaLutumo-r4r
    @MusaLutumo-r4r 16 วันที่ผ่านมา +16

    daaah nimewakubali😅😅watu mnafatilia yn inalushwa tu mshaiangaliaa😅

  • @QueenDiva-e3l
    @QueenDiva-e3l 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mama mkuu mwanao kipesile kakupima safi sana kipesile 😂😂😂❤❤❤❤

  • @LucyKangwana-h4t
    @LucyKangwana-h4t 16 วันที่ผ่านมา +5

    Wow good job jaman mungu hawabariki sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey 16 วันที่ผ่านมา +16

    Kipesile anampenda bamdogo wake mpaka rahaaa.....vita imeanza na mama ake

  • @VeroMelisa
    @VeroMelisa 16 วันที่ผ่านมา +18

    Leo wa kwanza toka kenya❤❤❤Mungu awalinde mnapo endelea kujifunza kwamba uchawi upo na haujui mdogo Wala mkubwa😢😢

  • @EstaTito-b6h
    @EstaTito-b6h 16 วันที่ผ่านมา +12

    Kipesile uchawi wako angalau una akili😅😅😅maana wachawi Huwa akili hua wana ua watu wale muhimu

  • @GiftMichael-l4e
    @GiftMichael-l4e 15 วันที่ผ่านมา +5

    🤣🤣mama kipesile nimeamini tunao watoa nnje usiku wanateseka

  • @TimaBofulo
    @TimaBofulo 16 วันที่ผ่านมา +12

    Kipesila fanya ivyo ivyo ivyo uzuli unaeshimu baba mdgo wko❤❤

  • @DjAlbby254
    @DjAlbby254 16 วันที่ผ่านมา +5

    Nafurahia kazi njema kutoka kwenu kweli, Big up #Aderymasta

  • @OengaMildred
    @OengaMildred 16 วันที่ผ่านมา +112

    Leo maua ya kipesile yaawa juu ya kumpenda baba yake mdogo❤ gonga like tukisonga❤❤

    • @PrinceBenjamin-b7w
      @PrinceBenjamin-b7w 16 วันที่ผ่านมา +1

      Maua kwake❤❤❤🎉🎉🎉

    • @AlphonceVoneShangwe
      @AlphonceVoneShangwe 15 วันที่ผ่านมา +1

      Da kiukweli nimependa

    • @AlphonceVoneShangwe
      @AlphonceVoneShangwe 15 วันที่ผ่านมา +1

      Kiukweli Damu ni nzito kuliko maji kipesile kaipenda Damu yake Baba mdogo

    • @georgegadau7530
      @georgegadau7530 14 วันที่ผ่านมา +1

      Dogo huko vzr namuelewa

    • @LilianAkoth-o9f
      @LilianAkoth-o9f 6 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉🎉🎉🎉

  • @jacquelinekivamba8541
    @jacquelinekivamba8541 16 วันที่ผ่านมา +25

    Adery chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SalumuHokororo
    @SalumuHokororo 15 วันที่ผ่านมา +2

    Baba halima uwe na nguvu yakupambana na kipesile🔥🔥

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina 16 วันที่ผ่านมา +53

    Kipesile kapima mamake wazimu kamelala mamake kapayuka yotee😂😂😊

    • @Abomalek-o2e
      @Abomalek-o2e 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂

    • @LizkaKen
      @LizkaKen 15 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

    • @SadaAthumani-d4w
      @SadaAthumani-d4w 11 วันที่ผ่านมา

      😅😅😅

    • @zainabhamisi9843
      @zainabhamisi9843 8 วันที่ผ่านมา

      Buanah wee 🤣🤣🤣🤣

  • @AnisiaCleophac
    @AnisiaCleophac 15 วันที่ผ่านมา +4

    Mama a kopese
    Ile kimemlamba kama kono😅😅😅😅😋😋😋😋😋😋

  • @zavanitelevision1766
    @zavanitelevision1766 16 วันที่ผ่านมา +7

    @Aderry Masta kazi safi saana..Rep from 🇰🇪 254

  • @MariamMiraji-v3v
    @MariamMiraji-v3v 16 วันที่ผ่านมา +6

    😂😂😂nina uwakika dory kamwambia mariamu umeachwa

  • @sofiaabdallah8741
    @sofiaabdallah8741 16 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤lakini huyu madam mim simpendi 😂😂😂

  • @JeancyMarora
    @JeancyMarora 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mauwa kwa kipesile 🎉🎉🎉🎉, una musimamo kweki, aksante sana kaka Adery kwatuma movie kwa wakati 🎉🎉🎉

  • @umentco9600
    @umentco9600 16 วันที่ผ่านมา +2

    😂😂😂😂 kipesile noma anapenda sana baba mdogo kweli mama yake kiburi kimesha

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 16 วันที่ผ่านมา +36

    Mama kipesile kimemlambaleo😂😂😂😂

    • @alisahaudax4519
      @alisahaudax4519 16 วันที่ผ่านมา +2

      Kimemlamba kama koni aaam aam😅

    • @Kidoaaisha
      @Kidoaaisha 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂​@@alisahaudax4519

    • @hassanhatibu7222
      @hassanhatibu7222 16 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@alisahaudax4519

    • @MariamLuvanga-e6b
      @MariamLuvanga-e6b 16 วันที่ผ่านมา +1

      Kama koni

    • @Martha-u7w
      @Martha-u7w 16 วันที่ผ่านมา

      Kama koni aaaanh aanh

  • @MadamOrida
    @MadamOrida 16 วันที่ผ่านมา +3

    Waaaaaaooooh chumaa hichoo kipesile pokea mauwaa yako🎉🎉🎉🎉💪💪💪

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 16 วันที่ผ่านมา +4

    Kumechaaa kwa mtoto na mama😂😂😂huyoo alikuxidi uchawi huexi kumchawia yy nayee amexudiwaa na ba halima

  • @Mwana85Mwana85-wz1ol
    @Mwana85Mwana85-wz1ol 16 วันที่ผ่านมา +14

    Dora. Umemwamby madam Mariam kama.katembe na maiti hatariiiiii Dora umetisha 😂😂😂😂😂

  • @FrankLuhaha-p4l
    @FrankLuhaha-p4l 16 วันที่ผ่านมา +8

    Gusa achiaa twendee kwaooo ❤❤❤😂😂😂😂😂

  • @NewVip-v2o
    @NewVip-v2o 16 วันที่ผ่านมา +7

    Wakenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪mukowapi ebu tupewe likes ztu coz ss dio tunakuwa wa kwanza kulike na kitazama kipesile😂😂😂 napenda sna huyu kijana mtanashati kipesile👌👌👌 Tanzania movie Iko swa.

  • @MonicaNyakia
    @MonicaNyakia 16 วันที่ผ่านมา +14

    Jmn kipesileeeeeee mapenziii kwa ba mdg ak

  • @abdulisike8320
    @abdulisike8320 16 วันที่ผ่านมา +7

    Hapo umenifurahisha kipesile gingers mdg wangu

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 16 วันที่ผ่านมา +2

    Ader mchumba wangu jaman aasiuwawe duuuu nakukubali kipesile mwanangu 😅😅😅😂😂😂

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 16 วันที่ผ่านมา +20

    Na Mimi musiniaje nyumba from Kenya kipsile tuko na wewe mpaka tumalishe uchawi wetu😢😢😢😢😢😢

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma 16 วันที่ผ่านมา +5

    😂😂😂nmefurah trick aliotumia kipesile kwà mama yake

  • @BenjaminChome
    @BenjaminChome 16 วันที่ผ่านมา +5

    Mm leo wa kwanza kuwahi nakubali kazi zako baba Halima safisana

  • @joycejuma7080
    @joycejuma7080 16 วันที่ผ่านมา +9

    Nimewai leo 🎉🎉🎉❤❤

  • @PurityPurity-e5e
    @PurityPurity-e5e 16 วันที่ผ่านมา +5

    Kipesile murudishie mamako kauwezo jaman apae 😂😂😂😂😂

  • @CassimSultani
    @CassimSultani 16 วันที่ผ่านมา +5

    Iki kisiki cha mpingo😂😂😂😂

  • @MarixBby
    @MarixBby 16 วันที่ผ่านมา +3

    Jaman leo mm nimekuwa wa mwisho juu nilikuwa naosha hammam 😂 kusema kwel Kipesile unajua❤❤❤❤❤🎉

  • @VeronicaWanka-n9f
    @VeronicaWanka-n9f 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nakupenda sana kipesile unavyompenda baba yako mdogo jmnii mpk raha yani👍

  • @josephwambetsa1474
    @josephwambetsa1474 16 วันที่ผ่านมา +8

    Dori is always funny 😂😂😂.
    I like her character 😂

  • @khawiapauline1429
    @khawiapauline1429 16 วันที่ผ่านมา +7

    Na watu si mnawai jamani ❤❤🎉🎉🎉

  • @MauwaSuleiman
    @MauwaSuleiman 16 วันที่ผ่านมา +8

    Jmn leo kwa mara ya kwanza mzanzbar halisi nimekuwa no1 one❤

  • @LatiffaMatajiri
    @LatiffaMatajiri 16 วันที่ผ่านมา +8

    Nzur kipesile mm na mkubali mzee Budapest na kitufye

  • @RachideissaRachide
    @RachideissaRachide 16 วันที่ผ่านมา +8

    Tunakushukuru kwakuwaisha mapema adery nassi tunakupa suppot 💪 asante sana 🎉

  • @everlinekenga437
    @everlinekenga437 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kipesile hongera kwakumpenda bbko mdogo nakumlinda❤❤❤

  • @sonniemsooh7613
    @sonniemsooh7613 16 วันที่ผ่านมา +5

    Kweli mwaka mpya mambo mapya ❤Yaani Adery asante huchelewi kuangusha episodes 🎉

  • @SagaNda-j6i
    @SagaNda-j6i 16 วันที่ผ่านมา +15

    Mama mkuu kanyoooshwa kwa tamaaa yake

  • @JibranMursali
    @JibranMursali 16 วันที่ผ่านมา +4

    Safi saan kipesile 🎉🎉🎉🎉🎉😢

  • @JoyDavid254
    @JoyDavid254 16 วันที่ผ่านมา +19

    Makofi kwa kipesile kwa kumpa mama adabu😂😂

  • @finegatwiri2597
    @finegatwiri2597 16 วันที่ผ่านมา +11

    Number Moja Leo siku zote kilicho na mwisho kina mwanza .siku zingine nakuanga wa mwisho ila Leo nimewinn😊❤❤❤❤

  • @Meirizi
    @Meirizi 16 วันที่ผ่านมา +3

    Watu ni wabaya sana nisemetu nawapendasana❤❤❤ Mungu awasaidiye sana love you ❤❤

  • @AlyKiabi-z2e
    @AlyKiabi-z2e 16 วันที่ผ่านมา +7

    Nampenda sana doli❤❤❤❤❤❤

  • @MERRYMEENAH
    @MERRYMEENAH 16 วันที่ผ่านมา +2

    Baba buda abadilishiwe nguo jamoon 😅😅 limeniuma sana 😢😂

  • @AnneNamasaba
    @AnneNamasaba 15 วันที่ผ่านมา +3

    Kipesile love you so much

  • @milkaandabwa7813
    @milkaandabwa7813 16 วันที่ผ่านมา +7

    Mimi nangojea kuona madam na uncle maiti,wanafikishana wapi 😂😂 mtoto wa mkurungenzii 😂😂😂

    • @RenfridaNjegesi-du8od
      @RenfridaNjegesi-du8od 16 วันที่ผ่านมา +1

      🤣🤣🤣

    • @milkaandabwa7813
      @milkaandabwa7813 16 วันที่ผ่านมา

      Dori I hope umemuambia ana det maiti 😅😅😅😅,haki masikini wanawake sisi,tuko na mshida

  • @RachelJulius-fh9nl
    @RachelJulius-fh9nl 16 วันที่ผ่านมา +11

    Kipesile katisha😂😂❤❤❤❤

  • @Akilimbilicomedy77
    @Akilimbilicomedy77 16 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani yani nimwendo wa bandika badua ❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂

  • @IreneJamec
    @IreneJamec 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kipesile upo vzr unamjali baba yako mdog😂😂😂😂😂😂

  • @Asia-n1c7r
    @Asia-n1c7r 16 วันที่ผ่านมา +3

    Woyooooooo piga kelele kwa master adeli hivyo yaani chapu kwa haraka yaani tuna wapendaaa

  • @KhadijaSalim-xt9sb
    @KhadijaSalim-xt9sb 14 วันที่ผ่านมา +1

    Haha😂😂😂😂 shani ety kweli nimeamini wanao lala nje wanateseka 😅😅😅

  • @MartinaMathias-y9z
    @MartinaMathias-y9z 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mama kipesile poleee😮😮

  • @silviaauma5124
    @silviaauma5124 15 วันที่ผ่านมา +1

    Kipesile hapo nimekupea 💯 good job kamam 🥰❤️🙏🙏

  • @MiriamSamita
    @MiriamSamita 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mama kipesile acha uchawi wew nto umemfusa kipesile 😂😂

  • @gershomchallo
    @gershomchallo 16 วันที่ผ่านมา +7

    Amaizing...❤

  • @AminaciouzChelagat
    @AminaciouzChelagat 16 วันที่ผ่านมา +8

    Safi sana kipesile kwa kusimama na babako mdogo😅😅😅

    • @benmweke-s6n
      @benmweke-s6n 16 วันที่ผ่านมา

      Kitu kuzuri sana kipesile kuheshimu baba mdogo

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 วันที่ผ่านมา

      Kabisa❤

  • @StemmeJennifer
    @StemmeJennifer 12 วันที่ผ่านมา +1

    Napenda kipesile kwa kumpima mamake ety amelala kapayuka yotee😂😂😂😂

  • @JacklineMduma-y3b
    @JacklineMduma-y3b 16 วันที่ผ่านมา +4

    Aisee... Na Mimi nimekuwa wa kumi kwenye kazi mzuri🎉🎉 nipeni like zangu

  • @urembonaprinceszey
    @urembonaprinceszey 16 วันที่ผ่านมา +4

    Hahaha ety nikazurure niokote hata 2000 😅😅😅nani aangushe afu mbili January hii.... BADO HUJASEMA

  • @AlyKiabi-z2e
    @AlyKiabi-z2e 16 วันที่ผ่านมา +5

    Jaman mie ndo wakwanza😅😅❤❤❤❤

  • @SaidiNgomwa-f4l
    @SaidiNgomwa-f4l 15 วันที่ผ่านมา +4

    ira!!!!sigda😂😂😂😂🇲🇿🇲🇿

  • @jcwformediatv5032
    @jcwformediatv5032 16 วันที่ผ่านมา +3

    Mm nawapenda sana wato wa filamu hiiiiiiiii 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HajiMwadin-t9l
    @HajiMwadin-t9l 16 วันที่ผ่านมา +5

    Honger baba halima 🎉🎉🎉

  • @marietacristovao1387
    @marietacristovao1387 16 วันที่ผ่านมา +8

    Ni wa kwanza Leo muwe na jumapili njema

  • @JustinDamas-wb4pc
    @JustinDamas-wb4pc 16 วันที่ผ่านมา +7

    Mambo ni moto

  • @CeciliaMoni-rt9ct
    @CeciliaMoni-rt9ct 16 วันที่ผ่านมา +1

    Bravo sana kipesile🎉❤❤dah ,wampeda baba mdogo❤❤❤

  • @SalimuMadodo
    @SalimuMadodo 16 วันที่ผ่านมา +3

    Hi movi nzuri sana

  • @DishaniDisha-zm2gm
    @DishaniDisha-zm2gm 16 วันที่ผ่านมา +7

    Kazinzuri sana group kipesile 👍 👍 👍

  • @sharonshanny3574
    @sharonshanny3574 16 วันที่ผ่านมา +1

    Safi sana kipee sikudhani unaeza kuwa na upendo ivo kwa baba yako mdogo hapo pokea 💯🌹🌹🌹🌹

  • @FurahaChristine-g8w
    @FurahaChristine-g8w 16 วันที่ผ่านมา +5

    Kipesile kiukweli nime furahiya sana usinuuwe baba mudogo

  • @ChuichuiJozey
    @ChuichuiJozey 16 วันที่ผ่านมา +8

    Hatimae nmeiwahi leo

  • @LovesweetThuva-qj4tb
    @LovesweetThuva-qj4tb 16 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂 mama kipesile😂 shavu limemushuka shuuuuuuuu😂😂😂😂 kipesile nakupenda kwa kujali babako mudongo

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina 16 วันที่ผ่านมา +8

    Wap maua y kipesile🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Luvuno-q1n
    @Luvuno-q1n 16 วันที่ผ่านมา +1

    😀😀😀😀😀shani leo umewezwa😂😂😂😂🎉🎉🎉nakupenda tu bure

  • @MaureenWere-p5d
    @MaureenWere-p5d 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nani mingine. anafrahia. Kipesile. Ikiewa. Kila. Siku ❤❤❤weka. tick

  • @SarahHappy-k1o
    @SarahHappy-k1o 16 วันที่ผ่านมา +3

    Ila Dori nakuoenda❤❤❤❤🎉🎉🎉😂😂

  • @MirajiAlly-y7i
    @MirajiAlly-y7i 15 วันที่ผ่านมา +4

    Kazi nzuli

  • @DicksonClement
    @DicksonClement 16 วันที่ผ่านมา +3

    Kazi nzuri sana mnajitahidi

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 16 วันที่ผ่านมา +6

    Wow nimekuwa wa kwanza kwny kazi yetu pendwa inazidi kuwa ya moto🔥

  • @DottoMoshi-x9o
    @DottoMoshi-x9o 15 วันที่ผ่านมา +5

    kuna maisha mengine baada ya uchawi
    nimeamni sio kila kinacho kuja kwenye maisha yako kimeletwa na Mungu
    cha msingi kushukuru Mungu tu kwa kila jambo

  • @RichardZulu-br3ww
    @RichardZulu-br3ww 16 วันที่ผ่านมา +7

    Mtoto wa elfu mbili usi like 😂😂😂