Mia mr adery kwa kutuwaishia kazi hongereni sana chezea mshahara usichezee kazi na dakika mmetuongezea mpewe maua yenu mambo ya kuomba like sina niko bize na hii season mbaya mbovu
Hila baba halima eeee yup makin na kazi yake San mau 🌹🌹🏵️🏵️🏵️ yako baba halima mashallah kipesile wajidagaja ww maiti yangaika tu hvyoo mait mait kiboko wako Dora tu ww
Maiti inajikuna 😂😂😂 balaaaa sio poa vp maiti ndyo una mafuta pole San shani Shan mast anazid kupigwa tu na mama kipesile baady ya kipesile zamu ya mama sasa utanyoka mwaka huuuuuuuu
Kazimiya gani uyo mama yake ndio kwinji wama gwinji adeli uyo hana huruma analiya wallahi mama kipesile unanimaliza uku weye hatari daa kweli mchawi naweza kula nawe na kumbe nakumaliza hhhh
Wanao mkubali baba halima tujuane jamani 🎉🎉 bro kazi nzuri
Huyo baba ndoo kaifanya movie iwe nzuri ila wote akuna chamaana
Hhhhhh yup vzr bb alim walah apew mau yak 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 ❤❤❤❤❤
Ba Halima namkbar jaman
@@LingstonMwakaboko-q2k na dory bila kusahau
Uyo mzee ndie anafnya nafuatilia
Huku Burundi tunawapenda San watanzania wenzetu ❤❤❤
Oya ata me leo nimewah jamani msininyime like bas🎉🎉🎉😊😊❤
Duuuu haisee mchawi hafai jamani
Saw
Team kipesile kazi nzuri🇰🇪🇰🇪
Buda Yuko vizuri sana
Naki bono baba 😊😊
nzuri sana
Jamani nipeni laiki hata Moja 😢😢Leo Mimi wa kwanza toka Kenya❤😂
Kila mkenya ni mimi wa kwanza😂😂😂😂😂😂
@@JacklineWaithera-g4f😂😂😂 Umewaona
Had na😢😅
Had n😢😅
Ank maiti anahangaik😅😅
Jaman uncle maiti 😂😂😂😂pole unavyo jikuna sasa had huruma
😅😅😅 anasikitisha yaan
😂😂😂
😂😂😂
🤣😂🤣🤣🤣🤣
Yaani wewe kipesile utamsumbua Sana baba yako mdogo komesha yako baba halima tu
Tukopamoja bahalima 5zake
Kabisa
Like za baba halima jmniiii 🌹wa kwanza leo
Baba halima kiboko
❤❤
Ana hatr sana baba halimaa
Kazi nzuri sana Kipesile🇹🇿
Mia mr adery kwa kutuwaishia kazi hongereni sana chezea mshahara usichezee kazi na dakika mmetuongezea mpewe maua yenu mambo ya kuomba like sina niko bize na hii season mbaya mbovu
Huyu mama mkuu anajifanya jamaniii mmmh sijapata kuona 😂😂😂😂
kaz nzur #aderymaster kaz aichelew tuna enj0y sana mwaka umeanza na unakuja kwa spee m0ch l0ve ❤❤
Kumbe wachawi pia huomba Mungu,,Mungu tusaidie 😂😂😂
Wanamuomba mungu na si Mungu
Wachawi hata ndo Hukua ww Kwanza kanisani😂😂
@@DomitilaMtuakwakweli wanamukmba mungu siyo Mungu
Napenda uigizaji wa dorry,,, pongezi kwa kazi nzuri na wapi like kutoka 🇰🇪
Huyu Vero kiingereza TU, kujua halima alikuwa msukule aaah😅😅😅
Kipesile nakupenda Mungu akupe maisha maref tuzd kuenjoy❤
Leo nimekua 88 nimaajabu nipen like zangu
Wa kwanza leo ❤❤❤❤❤ kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪254
Tangu nianze kupiga comments apa hakuna ata mmoja ashai like comments zangu naombeni like jameni😢
Nimekupa iyo
😅😅
Pole
Pole jamani😢😢😢😢😢
Jamani mpeni like tafadhali mi nisha mpa akaaaaaaa😅😅😅😅
Mama kipesile mnafiki jamn kilio hicho vp na yy ndo gwiji
Cjachelewa jaman kaz mzur adery
Huyu mama mnafik sana 😅😅😅kah ety Ana yutiay😂😂
Hila baba halima eeee yup makin na kazi yake San mau 🌹🌹🏵️🏵️🏵️ yako baba halima mashallah kipesile wajidagaja ww maiti yangaika tu hvyoo mait mait kiboko wako Dora tu ww
Etii nini iiii babuu zetu mzaa maaaa alikuwa mpenda deniiii mtaniua 😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Akika kwa xaxa mko fasta. tunaenjoy mungu awabalika xana
Kaz nzur kaka nataman sku moja nije kuig na wee maua yako adrey masta ❤❤❤ timu yako ipo vizur
Maiti inajikuna 😂😂😂 balaaaa sio poa vp maiti ndyo una mafuta pole San shani Shan mast anazid kupigwa tu na mama kipesile baady ya kipesile zamu ya mama sasa utanyoka mwaka huuuuuuuu
Kazi ipo fty Sana kaka Andery master
Wa kwanza kutoka kenya❤❤❤
Why wa Kenya n wa kwanza sio Tanzania 😂
Tuko rada
Kujituma @@RogersRugumisa
Kasongo yeyeyee mubarinagaaa😂😂😂tusha fika
Nitatenga😂@@MagyNganga
Baba halima mau yako Kipesile acha kusumbua baba ako mdogo😂
😂😂😂😂mama mkuu noma sana ana uongo promax eti ana UTI.Ila augue pole😂😂
kazi nzuri Nawapongeza kutoka🇰🇪🇰🇪💓👏👏👏
Wa kwanza kutoka dr nipen like zangu
Subir nioge kwanza ticha nakuja kulimalizia Ngoma letu tunatamba nalo b mdogo utanyoshwa mwaka huu ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Kipesile unavyomtesa bamdogo ako jmn😂😂🙌🏻❤️
Mimi naonelea kwa kila episode ya kipesile Dori asiwahi kosa.Nimemiss sana kucheka kwake
Wana Adery nawapenda sana nikiwa Kenya. Salute kwenu.
nimependa vile ambavyo mnaleta kipindi hiki mfululizo sasa hapa nilikuwa nangoja wiki tatu ziishe😁😁
Kipesile mpango wa mm yako sio mzuri anamuwa baba yako mdgo sasa umeingia cha kike,baba buda muwekee mtoto chanjo kipesile anamzungukia
Mama kipesile ww uko n ujinga ujui baba mdgo ndio analea kipesile 😢😢😢😢😢
Kiboko ya kipesile ni Baba halima 100%🎉🎉
Kipesile na mm Ake wananifurahisha kisa mzizi😂😂😂😂😂
Tunakupenda sana Adery haukawii❤❤❤❤🎉🎉🎉
Wakwanza kutoka KAMPALA Uganda
Hapa baba halima afanye kitu kumsaidia adery
😂😂😂 ukiacha unafiki kipesile anajuwa 🙌🙌🙌
Moto hatari🔥🔥🎉💖
Ila huyu mama kipesile muangalie vzr huenda mchawi kwel sema kaz nzur🎉🎉🎉
Tamuui sana jamaaaan yaaani Mimi hata uniwekee masaa mawili bado nitasema mbona ni fupi😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kipesiile😂😂😂 mchawi aliyeshindikana😂😊
Nampenda sana Kipesile❤
😂😂😂anco maiti kapauka kapaka majivu au kimemlamba kama koni😂🎉
Aaamu😂😂😂
Wakwanz kutoka Burundi Kaz nzur mama mkuu❤
At least leo nimefika mapema kidogo 😂😂
Nani mwingine amenotice kwamba dawa ya kipesile ni baba halima, wakwanza kutoka Uganda ❤
bigup kipe chukua 🎉🎉🎉 yako
Napongeza sana na mwendelee hivyo hivyo
Kazimiya gani uyo mama yake ndio kwinji wama gwinji adeli uyo hana huruma analiya wallahi mama kipesile unanimaliza uku weye hatari daa kweli mchawi naweza kula nawe na kumbe nakumaliza hhhh
Hahahaha had kichocho ninacho mimi😂😂😂😂😂😂
Ngoja nicheke kwanza 🤣😂😂😂😂😂 mast anazidi kupingwa tuuuuuuuuu na m kipesile 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kazi zuri kipesile
Kipesile mjasiri, lakini anavyompenda babake nimependa tuu🎉🎉🎉🎉❤
Masta bad ujasehem mapka useheme 😂😂😂 utakufaa na poresha mwaka huu 😂😂😂 maan sio poa ticha
Ila shani chukua maua yako mama🎉🎉🎉 maan sio kwa hiyo UTI na kichocho😂😂😂😂
Habari kwa wote mnaofuatilia move hii kiukweli uchawi nihatari
Waaaa noma hii naipenda mno 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Wapi maua ya baba Halima Mungu akulinde kazi zuri 🌹🌹🌹🌹🌹
Mama kipesile kafanana na zuwena wa mondi
Mama kipesile ana kichocho 😍😍😍
Eeh we mama kipesile mbona mnafki sana jaman 😂😂😂😂
Guys,,ati mama mkuu ana hadi kichocho,,weka like kama umesikia hiyo
Kichocho ndo nn
@WinfredMbula-t4f typhoid,,anaharisha
Vero upo hatarini masikini
Uncle mait kafanana kwel na uhusika wake
😂😂
Nampend San solidi😂😍
Kichocho mama mkuu😂😂
Adery hii movie umeweza sana❤🎉
🎉🎉🎉wa 6 leoooooo
Uncle maiti kaparara kweli😂😂
😂😂😂 uncle maiti ,🤣🤣baba mdogo sidhani anaeza fariki Dio mwenye filamu 🤣🤣🤣
𝐊𝐮𝐦𝐛𝐞 𝐮𝐦𝐞𝐨𝐧 𝐞𝐞𝐞😂😂😂
Dori uko wapi leo jmn dah
Asante sana Mr aery masta ,kazi nzuriii tukoopamojaaa, utaaaamuu utamuuu utamuuuu,,,,,,Mr adery,,,,,,,,tunasubiriaaaa a endelezooooo,,istosheeeee umetuachaaaa na mshangaooi ;paka hapa tulipofikia,,,,,,,,,,
Kipesile umeua aisee😂😂😂❤❤
Am from Kenya 🇰🇪 ila nawatch nikiwa dubai ❤❤❤❤
Was dubai necessary surely
Looh mama Kipesile umecheza kama Pele,,(kama hujui chochote kuhusu mwanao
Kipesile ww wamoto sana baba Ako mdogo unafanha kama mtoto mdogo vile
Wakwanza kutoka nkololo ❤❤
Tunao mkubali mama kipesile tujuane jaman💚💚
From Kenya wapi likes
Nakapenda kawimbo ka kipesile
Mm ndio wakwanza leo nipeni likes jamani 😊😊😊😊😊😊tafadhalini
ichukue
Team dorry tukutane hapa jaman
Aya sasa kumeanza kuchangamka wanga wanalogana wenyewe😂😂
Team Baba halima tujuane Kwa mikono✋✋✋
Wakwanza toka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wagapi wanapenda kipindi iki mkono juu
Kwann kipesile havai sketi au gauni😮😮
Chani umejua kucheza party yako😂😂😂😂
🎉hiii move Iko poa sana,nabambika nkiwa Kenya kijji Cha watamu....
Wapili kutoka kenya
Hatimae nimewai mimi toka congo Lubumbashi
Waoooooo mmetuzindi nn🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KamisaRamdan Amna tumewazidi tu labda tupo makini mtandaoni
@ProKakan vizuri sana