Sheikh Hamza Mansoor - Thamani ya UMRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 65

  • @nassorrashidynassorrashidy7272
    @nassorrashidynassorrashidy7272 4 ปีที่แล้ว +6

    Jamani maneno hayo wallah tumuogope mungu ipo siku tutaondoka duniani tumuabudu allah

  • @rahmaswamad1746
    @rahmaswamad1746 4 ปีที่แล้ว +3

    Ya rahmani mpe rahma zako shke wangu mungu akupe umri mrefu akuepusheye na kila aina za fitna

  • @khalefhamad7243
    @khalefhamad7243 4 ปีที่แล้ว +6

    Subhannallah😭😭😭😭😭😭kwa kweli inahuzunisha sana, Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +10

    Tusomeshe sheikh Allah akujalie kheri

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 4 ปีที่แล้ว +4

    Subhanallah ewe nafsi yangu kumbushika na utosheke kwA mawaidha haya amin ya Allah 🙏 tujaalie mwesho mwema na familia zetu na waislam wote kwa jumla na uwasamehe marehemu zetu na uwajaalie nuru katika makaburi yao na yetu.

  • @khalidbajber1581
    @khalidbajber1581 4 ปีที่แล้ว +15

    😥😥😥 Ya Allah tume mwisho mwema sisi waja wako wadhaifu

  • @zuhoudyabbas8101
    @zuhoudyabbas8101 4 ปีที่แล้ว +4

    بارك الله فيكم يا شيخنا الكريم .
    نسال الله العفية وسلمة .
    زادك الله العلمً والحكمً

  • @tary9868
    @tary9868 4 ปีที่แล้ว +3

    Allah akujalie neema kwa kila ulifanyale Sheikh. Baraka zake ziwe nawe na familia yako. Aameèn

  • @rashidford6523
    @rashidford6523 3 ปีที่แล้ว +1

    Ahlan wasahlan akhy

  • @allykhamis9246
    @allykhamis9246 4 ปีที่แล้ว +3

    Allaahumma innaa nas_aluka khusnal khaatimah (Aamiyn)

  • @9_M77
    @9_M77 2 ปีที่แล้ว

    Mashaal Allah sheik wangu Allah akujalie kila l heri

  • @yusuphwm
    @yusuphwm 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah kheirah 😔

  • @abdirahmanosman9725
    @abdirahmanosman9725 4 ปีที่แล้ว

    M.a aqhi hamza mansoor.

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa5588 4 ปีที่แล้ว +2

    Inshallah Allah atujalie wenye kukubuka Mambo Mema 🤲 ..Nawe Allah Akuzidishie elimah uzidi kuukubusha umaah 🤲 Amiin inshallah

  • @tandimwamba2898
    @tandimwamba2898 4 ปีที่แล้ว +5

    Allah Akbar hakika sote ss silolote😱😱
    Allah tuongz ss😭😭

  • @hassanawale3576
    @hassanawale3576 4 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah kheir Bro

  • @SwabirSaid-y6f
    @SwabirSaid-y6f 4 หลายเดือนก่อน

    Allah atuongoze atupe na sisi husnulhatma ndalmaut

  • @KachiboYusuf
    @KachiboYusuf 8 หลายเดือนก่อน

    Baraka alhahu fikka

  • @khayraathassan4018
    @khayraathassan4018 4 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe endelea kutuelimisha kwa elimu nzur allah akupe subraaa subraaa nawepesi wa mambo yako akufanye kuwa bora duniani na akhera

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 4 ปีที่แล้ว +5

    Innalilah wainailah rajiun umma mswiba Allah atuongoze ktk njia za kheri

  • @naimadam1588
    @naimadam1588 4 ปีที่แล้ว +5

    Nasheed inaharbu dawah

  • @fatwimabintathmanbinthawa8155
    @fatwimabintathmanbinthawa8155 4 ปีที่แล้ว +4

    😭😭Ya Allah tuongoze kwenye njia ilio nyooka😭utujalie mwisho mwema YARABI😭

  • @vincentveezy9570
    @vincentveezy9570 3 ปีที่แล้ว +3

    Your teachings makes me want to be a Muslim

  • @MwajumaSadickBagomwa
    @MwajumaSadickBagomwa 7 หลายเดือนก่อน

    M/Mungu akuzidishie Ilim

  • @abcmnbb2610
    @abcmnbb2610 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Yaarabi tupe mwisho mwema

  • @khadijaamri738
    @khadijaamri738 3 ปีที่แล้ว

    Jazaqallah khaira

  • @kevinmunene5279
    @kevinmunene5279 3 ปีที่แล้ว

    you are a good teacher nataka uni slimin

  • @halimasaidi1952
    @halimasaidi1952 3 ปีที่แล้ว

    Ni kwel hapa dunian tunatakiwa tuishi km ni wapita njia tu, Ya Allah tupe mwisho mwema.

  • @allykhamis9246
    @allykhamis9246 4 ปีที่แล้ว +1

    Jazaak Allaahu khayr

  • @naenukhamissi6734
    @naenukhamissi6734 3 ปีที่แล้ว

    Mashaa allah

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 ปีที่แล้ว

    Hakika 😭😭💔🤲🏻Allah atujalie mwisho Mwema 🙌

  • @jimmykithi2257
    @jimmykithi2257 4 ปีที่แล้ว +3

    subhanallah

  • @abdallahaccessories6036
    @abdallahaccessories6036 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah

  • @mcharoadamu3099
    @mcharoadamu3099 3 ปีที่แล้ว

    Allah akbar Allah akbar Allah akbar

  • @SwabirSaid-y6f
    @SwabirSaid-y6f 4 หลายเดือนก่อน

    Duniya ni mapito

  • @nassorozubery7394
    @nassorozubery7394 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah Akbar,,,,

  • @fatumakeche6027
    @fatumakeche6027 3 ปีที่แล้ว

    Yarrabi tupe mwisho mwema
    🙏🙏

  • @nasorozubery439
    @nasorozubery439 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭😭

  • @ummyzee6247
    @ummyzee6247 4 ปีที่แล้ว +2

    Kulli nafsi dhaikatul maut,ya Rabbi tupe mwisho mwema waja wako

  • @hassanalihassan5073
    @hassanalihassan5073 4 ปีที่แล้ว +3

    Duniani tunapita akhera ndio makazi ya kudumu

    • @ruizyremy4173
      @ruizyremy4173 4 ปีที่แล้ว +1

      Hakika ya mauti hayachagui umri kabila wala rangi .. Nafs angu tubia kabla ya umaut haujakufika daaah . Vijana wezangu tuthamin wakat hu tusijekujutia kesho siku ya sku.

  • @heyumi2340
    @heyumi2340 4 ปีที่แล้ว

    subhanallah subhanallah

  • @alhajiabbas4359
    @alhajiabbas4359 4 ปีที่แล้ว +1

    Allah tuhifadh

  • @aishaalizubeir7964
    @aishaalizubeir7964 4 ปีที่แล้ว +2

    جزاكم الله خيرا و أحسن إليكم. Mahasin tv
    Jamani mahasin tuekeeni nashid ileile ya zaman kwenye shortclips zenu ....tunaomba mufanye hivyo

  • @husseinkomanda698
    @husseinkomanda698 4 ปีที่แล้ว

    M.a

  • @bashiruhamad1552
    @bashiruhamad1552 4 ปีที่แล้ว

    🥺🥺🥺

  • @abdallahasilia9918
    @abdallahasilia9918 ปีที่แล้ว

    1

  • @hadijamushi8674
    @hadijamushi8674 3 ปีที่แล้ว

    MashaAllah, Mwenyezi Mungu muhifadhi sheikh wetu na vyombo vyetu vya habari, tukitaka kuchangia media yetu tunafanyaje, hakuna number kama Iman media?

  • @khadijashabaninimba7890
    @khadijashabaninimba7890 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika 😭😭💔🤲🏻Allah atujalie mwisho Mwema 🙌

  • @SwabirSaid-y6f
    @SwabirSaid-y6f 4 หลายเดือนก่อน

    Duniya ni mapito

  • @shakitizimshakx7055
    @shakitizimshakx7055 4 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭

  • @kimendehemed9664
    @kimendehemed9664 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭