,kiongozi wenu haogopi. ,mahakama kashika msahafu kuapa uongo mwezi wa radhani kuwadhulum yatima kuwaweka katika mazingira maagumu ,allah anamuona anamsikia hawasamehewi hapa duniani na kesho akhera inshaallah
,tunamshtaki kiongozi wa ansar na hilo baradha lake la dhulma katika mahakama ya allah kwa kuwadhulumu yatima wa marhum said janjira na allah atawahukumi hapa hapa duniani inshaallah
Kwani we umeitafsir kama nembo ya msikiti? Ama. Hiyo ni sign ya kimtandao kukujulisha ww mfatiliaji baada ya ku subscribe uiguse ili usipitwe na maudhui husika. Haina mahusiano na mskt ndg yangu.
MashaAllah TabarakAllah 🤲❤
Sheikh Allah akuzidishie na kukupa nguvu maishani mwako uzidi kutujuza...Allahu Akbar 🤲📿🌙
Mungu habariki maneno yako shekh w2
Masha Allah tabaraka llah
Nampenda sana uyushekhe kwakunijuza nisiyo yajua Masha Allah
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا وحبيبنا ونبينا محمد وعلى اله وصحبه اجمعين ❤❤❤
Mashaallah ❤Allah akujaze kher shekhe na waislam wote atuepushe na moto inshallah
Shukran
Shukran
:::mungu akupe afya njema Naumri mrefu::::::
Mungu Akuzidishieilimu.akupe afiya namayisha mema.namwisho mwema
Allah atuzidishie eilimu
Masha Allah!!!
,kiongozi wenu haogopi. ,mahakama kashika msahafu kuapa uongo mwezi wa radhani kuwadhulum yatima kuwaweka katika mazingira maagumu
,allah anamuona anamsikia hawasamehewi hapa duniani na kesho akhera inshaallah
,tunamshtaki kiongozi wa ansar na hilo baradha lake la dhulma katika mahakama ya allah kwa kuwadhulumu yatima wa marhum said janjira na allah atawahukumi hapa hapa duniani inshaallah
Allahu Akibarr
Allah azidi kukupa nguvuvu maishani mwako na familia yako.
Sherk hamza AllAh akulinde akupe maisha marefu
Mashallah....
Mola utujari kesho ahkera
Alhamdulillah kwa ukumbusho bora
بارك الله فيك حفضاك الله
Tuiogope siku ya hukum
Mashallah ❤
Ya rabb!
Amen
Mashaalah
MashaAllah
Mashallah
Mashallah mola akuzidishie ilmu
Ahhl akulind
❤❤❤❤
Asalama Aleyekumu samahani saana nauliza hii kengele inamanisha nini?
Waleykum salaam warahmatullah. Ukiibonyeza hiyo inakujuza kila kazi inayokuwa imetumwa kwamda huohuo.
Iyo. Kengel. Haipo. Kwenye. Msikiti. Ni. Watu. Wa. Mtandao. Shekhe. Wangu. Hakuna kengele. Musikiti wowote. Duniani
Kwani we umeitafsir kama nembo ya msikiti? Ama. Hiyo ni sign ya kimtandao kukujulisha ww mfatiliaji baada ya ku subscribe uiguse ili usipitwe na maudhui husika. Haina mahusiano na mskt ndg yangu.
Alhamdulillah 🙏
@@al-hidayahonlinetv3447swadapta jawabu lisilo na shaka kabisa, shukran jazzila
39:17 shukran jazzila
Mashaalla
MashaAllah
Maashaallah