EXCLUSIVE: ABDU KIBA Afunguka kwa UCHUNGU MBOSSO kuzaa na MKE wake

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 83

  • @kaizakuyava9672
    @kaizakuyava9672 2 ปีที่แล้ว +18

    Abdukiba umeonyesha u gentleman wa top Level. Big up sana bro

  • @nancymalemba8139
    @nancymalemba8139 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa majibu yako bro you are a man and a half 💪

  • @yusramadhani149
    @yusramadhani149 2 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah mashaallah mashaallah hongera nime mpenda sana 🥰🥰🥰 Allah amu ongoze majibu mazuri sana

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimekupenda bure Abdukiba, umetumia busara sana kujibu maswali🥰

  • @cholocaptain1623
    @cholocaptain1623 2 ปีที่แล้ว +23

    Inaumiza sana imenikuta najua maumivu yake najua unakuaje kwanza unakosa aman unaic unachekwa na kila MTU kumbe so kwer unakuwa na maswali meng ya kujiuliza mungu tutie wepes tusahaulishe

    • @motasimali9053
      @motasimali9053 2 ปีที่แล้ว

      Pole kaka ndio mitihan ya kimaisha

  • @wiseman6276
    @wiseman6276 2 ปีที่แล้ว +7

    Anamajibu yakiuwana ume sana uyu mwamba like nyingi sana kwako bro

  • @shiru_choppa7654
    @shiru_choppa7654 2 ปีที่แล้ว +11

    Alaah!kumbe huyu ana akili nyingi vile Abdu kama Abdu majibu zimeenda shule"tamthing"🤣🤣💕💕

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว +8

    Abdukiba unabusara ssana jamani ila nakuelewa sana kwenye nyimbo zenu

  • @paulrichard4696
    @paulrichard4696 2 ปีที่แล้ว +13

    daah jamaa ana busara saaana kajibu kiume kabisa✊🏽

  • @ruthiecharlz898
    @ruthiecharlz898 2 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana huyu jamaa interview zake anajua kujibu na kujielezea anapihojiwa

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 2 ปีที่แล้ว +4

    Very calm and wise responses

  • @hakizimanaaishwarya20
    @hakizimanaaishwarya20 2 ปีที่แล้ว +3

    Shukran kwa jibu sahihi

  • @hellenpaul2149
    @hellenpaul2149 2 ปีที่แล้ว +2

    Abdu your right na nyie ni wanaume pia nawapenda Sana you & mbosso some times girls tunakosea pia upendo wenu udumu wewe na mbosso

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe ni mwanaume big up sana

  • @glorybrayankessi7002
    @glorybrayankessi7002 2 ปีที่แล้ว +7

    Anaonekana kbx anaumia ila mwanamke akiamua kukushika pabaya anakushika kisawasawa

  • @zakianzai6854
    @zakianzai6854 2 ปีที่แล้ว +3

    Abdukiba asante yaani wewe mtumzima kabisaa

  • @travellingandadventures2549
    @travellingandadventures2549 2 ปีที่แล้ว +6

    Jibu la kiume sana iloo.

  • @yusrasalum
    @yusrasalum 2 ปีที่แล้ว +1

    Abdu kaumia sana na mboso yani hata jibu yake mpaka akune kichwa uyo ex wife abdu kafanya kusudi! Pole sana

  • @razackamimu4645
    @razackamimu4645 2 ปีที่แล้ว +1

    Cool

  • @arleneilunga9202
    @arleneilunga9202 2 ปีที่แล้ว +4

    Katumiya busara ya kingdom 🥰

  • @walterchilumba8302
    @walterchilumba8302 2 ปีที่แล้ว +3

    Umeongea kiutu uzima 🤜🤛

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 2 ปีที่แล้ว +2

    Umejibu vizur bro😍

  • @christinaonditi9341
    @christinaonditi9341 2 ปีที่แล้ว +1

    Yani Abdul Kiba wewe ni mwanaume,nimependa ulivojibu kiume na kiroho safi,umeamini mnoso alichokisema.lkn ingekua sisi wanawake hapo,kisingeelewa kabisa

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole saana bro

  • @faridajohn5589
    @faridajohn5589 2 ปีที่แล้ว +1

    Shoo. Niliielewasana jeneza nkt chakawaida sana niliinjoi iludiwe. Jamani

  • @aishaboko5146
    @aishaboko5146 2 ปีที่แล้ว +9

    Sio mke ni mtalaka wake point of correction

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 2 ปีที่แล้ว +3

    Abdu Kiba anaonekana bado anampenda mke wake kutokana na alivyojibu hapo mwisho 😄

  • @yusufm1
    @yusufm1 2 ปีที่แล้ว +6

    Mdogo wangu umejibu kiutu uzima sana

    • @mwakashee3689
      @mwakashee3689 2 ปีที่แล้ว

      Nakupongeza sana Abdulkiba kwa ujasiri wako..

  • @sophiarajabu8500
    @sophiarajabu8500 2 ปีที่แล้ว +6

    Dahh huyu mwanaume wa shoka

  • @husseinmaula5914
    @husseinmaula5914 2 ปีที่แล้ว +2

    Dawa ya mwanamke anaefanya hivyo ni kumfungashia virago vyake aiwezekani upambane Kwa jasho alafu thamani Yako isiwepo.

  • @abdallahmwinyi2106
    @abdallahmwinyi2106 2 ปีที่แล้ว +8

    watanzania tushiriki sensa kwa maendeleo yetu. sensa ya watu na makazi kuanzia 23 August 2022

  • @salehmwarabu6017
    @salehmwarabu6017 2 ปีที่แล้ว +11

    Walikuwa washaachana is not big issue

    • @yousramutwale2463
      @yousramutwale2463 2 ปีที่แล้ว +3

      Tatizo wanaume wakumuacha mwanamke wanapenda asipdwe namwingine

    • @salehmwarabu6017
      @salehmwarabu6017 2 ปีที่แล้ว

      @@yousramutwale2463 hahahahahaaa

  • @salhayahya4521
    @salhayahya4521 2 ปีที่แล้ว

    Nioe mm too jmn maan nakupendaga

  • @parfaitkale2503
    @parfaitkale2503 2 ปีที่แล้ว +2

    Nimekujibu fresh

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 2 ปีที่แล้ว +2

    Good

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 2 ปีที่แล้ว +3

    Àliye kuw Sio mkee mu ulizaji una uchochezi ndani yko

  • @Djroja_mo
    @Djroja_mo 2 ปีที่แล้ว +3

    Mbona bongo Move wana fanya wangeanza kukataza kitambo

    • @phinaswai4718
      @phinaswai4718 2 ปีที่แล้ว

      Bongo muvie huwa inakua ni story na inamafundisho pia. Na huwa wanavibal kabisa,

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 2 ปีที่แล้ว +1

    Vizuri

  • @fatemazanzibar877
    @fatemazanzibar877 2 ปีที่แล้ว

    Umeongea vizr sna

  • @jackyluns8224
    @jackyluns8224 2 ปีที่แล้ว +2

    Kwani huyo Dada aliachana na abdukiba

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 2 ปีที่แล้ว

    Sasa huyu mbona huyo mke hakuishi naye hata miezi sita wakaachana mnapenda kuchonganisha watu mtalaaniwa

  • @hadijaabdallah8614
    @hadijaabdallah8614 2 ปีที่แล้ว

    Useme aliyekua mke wako kwani si mlishaachana. Weka hicho kitu clear Kwamba mlishaachana. Kila mtu afanye kinachompa furaha

  • @lailaoman3856
    @lailaoman3856 2 ปีที่แล้ว +2

    Minaona kaongeya bumba sasa mkewe au alikuwa mkewe,maana nipo njia panda

  • @mrs2918
    @mrs2918 2 ปีที่แล้ว

    wanawake wanahitaji maombi mengi sana yaani ukimbie ndoa yako ukazae na wanaume tofauti mpaka uishie kuwa 11th baby mama

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว +4

    Mmekosa adabu..bendera waifanya tishu

    • @aminasalim8708
      @aminasalim8708 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣shwaiin

    • @vennyrichard2139
      @vennyrichard2139 2 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa nimechek km mazur daaa

    • @dianarobert3989
      @dianarobert3989 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂Umeona ipo juu ya mlingoti hapo akili huna walah

  • @lindambilinyi6253
    @lindambilinyi6253 2 ปีที่แล้ว +2

    Mboso kaongo asijue km alikuwa mke wa Abdu wakat ndoa yao ilikuwa publick kbsaaaa

  • @shaneshane4175
    @shaneshane4175 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio mkewe bwana mbona hivyo ukishindwa kuzalisha bas acha watu wazalishe naulikua ushamwacha sasa nini

  • @idayamataifakey7813
    @idayamataifakey7813 2 ปีที่แล้ว

    Usijali

  • @الرعدالصغير-ت1ش
    @الرعدالصغير-ت1ش 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnaliana sikuhizi😂😂😂

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwa mimi mfumo wa simba day nimependa kwa sababu mbona majeneza ya wasanii yalifanjwa mengi so

    • @dadamuebrania1539
      @dadamuebrania1539 2 ปีที่แล้ว

      Nasema hivi ,wanaomjaji mtu kutumia jeneza na msalaba vilivyotengenezwa kwa miti na mikono ya wanadamu hao si Wakristo, wanaitwa waandishi wa mafarisayo ambao Yesu Kristo aliwaita WANAFIKI

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 2 ปีที่แล้ว +1

    Thamthing ndio nn ss 😭😁

  • @tusekilemwakoba1348
    @tusekilemwakoba1348 2 ปีที่แล้ว

    Duu!!

  • @ruthkasumba7739
    @ruthkasumba7739 2 ปีที่แล้ว +1

    Wabahil hawa ndio maan wanawake zao hawatulii naoo lol😂😂😂😂😂

  • @christercheru8328
    @christercheru8328 2 ปีที่แล้ว +2

    Kamuulize mkeo...kachepuka .mdangaji

  • @yousramutwale2463
    @yousramutwale2463 2 ปีที่แล้ว

    Lakin Mimi sioni chaajabu mboso kuzaa nae sanab nyie wanaume nimalaya wakwanza duniani nawasaliti kwenye ndoa zenu

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 2 ปีที่แล้ว +1

    Ww nawe ongea kwani unamuogopa huyo mbosso?🙄

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 2 ปีที่แล้ว +1

      Walishana achana hao hata wakati huyo mke wake anazaa na mbosso yeye tayari walishana achana

  • @opensessionwithjulie273
    @opensessionwithjulie273 2 ปีที่แล้ว

    Thamthing 🤣🤣🤣

  • @jamiljamal5067
    @jamiljamal5067 2 ปีที่แล้ว

    kumbuka ulipotoka

  • @iddykayembe727
    @iddykayembe727 2 ปีที่แล้ว

    Busara ipo

  • @blackhandsome_
    @blackhandsome_ 2 ปีที่แล้ว

    Ukubwa ndio huoo

  • @enocksilungwepondajr9707
    @enocksilungwepondajr9707 2 ปีที่แล้ว

    Nani kaona mwanamke kavaa gauni jeupe..

  • @MikiGermany210
    @MikiGermany210 2 ปีที่แล้ว

    Umejibu vizuri ila bado kuongea haupo vizuri kitete kidogo