VITUKO VYA DOTTO MAGARI AMVUNJA MBAVU HAJI MANARA NA NANDY WAKATI WAKIWA STUDIO WAKIANDAA NYIMBO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ก.ย. 2024
  • TAZAMA MWANZO MWISHO VITUKO VYA DOTTO MAGARI AMVUNJA MBAVU HAJI MANARA NA NANDY WAKATI WAKIWA STUDIO WAKIANDAA NYIMBO
    #manaratv #hajimanara #dottomagari #nandy #zaiylissa

ความคิดเห็น • 159

  • @masumbukomoussa977
    @masumbukomoussa977 8 หลายเดือนก่อน +23

    Hadji miaka yako ni ya kua karibu na Mungu sana na kufanya ibada ila wewe kama umerudi utotoni

    • @jovincecharles
      @jovincecharles 8 หลายเดือนก่อน

      😂

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 8 หลายเดือนก่อน

      Ww usharudi

    • @KenedyMwaipaja-n8w
      @KenedyMwaipaja-n8w 7 หลายเดือนก่อน +1

      Haji hana ukubwa wa kumzid babaako kuku we utashikwa tako

    • @خليفهالرحبي-ف4م
      @خليفهالرحبي-ف4م 7 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤Roho ya mwanamme haizeeki Waacheni afurahishe roho zao❤❤❤Zay❤na Haji Manara ❤❤❤

    • @خليفهالرحبي-ف4م
      @خليفهالرحبي-ف4م 7 หลายเดือนก่อน

      Hiyo ni tabia za wanaume karibu wote,, mwanamme ni kama mtoto mdogo anapenda kudekeshwa❤❤❤

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 8 หลายเดือนก่อน +12

    Na weewe zailisa tulia kwa kaka haji ufanye maishaa..mungu ni mwema atawasimamia

    • @muhsiniamiri9310
      @muhsiniamiri9310 8 หลายเดือนก่อน

      hahaha wakifka June hawah naamn watafka mbal maan

    • @uvuvweweonyetenyevwe1348
      @uvuvweweonyetenyevwe1348 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@muhsiniamiri9310juni thubutuuu..

    • @UmmyMaganga-ce9ee
      @UmmyMaganga-ce9ee 8 หลายเดือนก่อน

      Wakutulia ni Haji mwenyewe na sio zai

  • @stellawillison1148
    @stellawillison1148 8 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi nimeipenda tu nyimbo jamaniiiii,,NANDERAAAAA is One

  • @qwirinishao1003
    @qwirinishao1003 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hii song itakuwa hiti kwahyo millions 50 itapatikana tuu

  • @maulidhatibu4859
    @maulidhatibu4859 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi kweli nashangaa Haji haji haji wewe ni muislam juzi kati tu umetoka makka pia wewe ni mwanazuoni mzuri sana na mashekhe wengi wa darusalama sijui hawakuwaizi kuhusu AKHERA Yako hii DUNIA mwenyezi mungu anaona tunavyovifanya insha allah mwenyezi mungu atupe kauli thabiti

  • @AllyAniu-ni3ji
    @AllyAniu-ni3ji 8 หลายเดือนก่อน +7

    Nandy.....My Sridev ❤

  • @onesmombele2571
    @onesmombele2571 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nandi unaimba mpaka unawakela watu. Mtoto unasauti balaaaa

  • @miskyabdillah7451
    @miskyabdillah7451 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kukumbushana kupo, pls vipaji vipo vingi madras na huko unajiwekea 4 future tuendapo sote 🙏

  • @salamamamashenge5493
    @salamamamashenge5493 8 หลายเดือนก่อน +5

    I can't wait to hear this "The whole song"😂❤Hajj Manara juuuuu sanaaaa😂🎉😂🎉😂🎉

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน +7

    Zinaa inatumgiwa nanyimbo jamani pumzi zinatuhadaa kweli

  • @user-cy6cr5wt2n
    @user-cy6cr5wt2n 8 หลายเดือนก่อน +4

    Ka nyimbo kasweet jaman ❤️❤️❤️

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 8 หลายเดือนก่อน +5

    Kula Maisha haji rushaina alikukosea nazani ni mungu ndio kaamuua kumnyoosha rushaina

    • @khadejakhadeja9713
      @khadejakhadeja9713 7 หลายเดือนก่อน

      Anajuta..kutoka kwa bugati😂😂😂

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 8 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu manara muislamu wa ajabu juwa mungu anakuona manara

    • @arthurdonnietello9691
      @arthurdonnietello9691 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe ni muislam swafi...?

    • @shabanizena2612
      @shabanizena2612 8 หลายเดือนก่อน +1

      Kafiri uyu albinos

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@arthurdonnietello9691wewe mjinga

    • @Moresa196
      @Moresa196 8 หลายเดือนก่อน

      Unajua ukifa utaenda wapi kaka?? Relax kila mtu na maisha yake

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 8 หลายเดือนก่อน

      Acha unafiki lofa wewe

  • @jahsjjsj583
    @jahsjjsj583 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nimeipenda waoooooo

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 8 หลายเดือนก่อน +2

    Nawapenda sana

  • @maulidimopen1273
    @maulidimopen1273 8 หลายเดือนก่อน +2

    Hio iitwe Manara Label ❤

  • @mbmb8267
    @mbmb8267 8 หลายเดือนก่อน +4

    Doto nakupenda jamani

  • @user-nd8gg4ig7m
    @user-nd8gg4ig7m 8 หลายเดือนก่อน +3

    Kupendwa Raha❤❤

  • @ShekiyaoHussein-ki4ty
    @ShekiyaoHussein-ki4ty 8 หลายเดือนก่อน +1

    Unamwanika mwanamke masuruali yamepasuliwa kifuwa kinaonekana eti mwislamu manara umefeli hapo

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 8 หลายเดือนก่อน

    Queen Nandy, you are the best of the best. Great song

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 8 หลายเดือนก่อน +4

    Lakini wabongo si ndiyo tunapenda Mambo haya??

  • @Sallie358
    @Sallie358 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nandy she so happy 🥰🥰🥰💙💙💙💜

  • @mchaggampole
    @mchaggampole 8 หลายเดือนก่อน +2

    Song lamoto sana linatoka lini

  • @selemanikiumwa4903
    @selemanikiumwa4903 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani doto kahaa😅

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hichi kizeee hakijitambuii hata kidogooo watu wanafanywaaa ujanani uzeeeni wanatubiaa yy uzeeeni ndio atapotokaaa subhana

    • @isaacchalamila
      @isaacchalamila 7 หลายเดือนก่อน

      Nipesa zake mwache 😂😂😂

  • @chisongastephen7299
    @chisongastephen7299 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nimependa Doto ambavyo alikuwa akicheza.

  • @Nyangindu
    @Nyangindu 8 หลายเดือนก่อน +4

    Dotto ndio kasema acha ajidai ndio uwai wake

  • @ErineWisdom
    @ErineWisdom 8 หลายเดือนก่อน

    Mandy unajua kuimba dada yangu mungu akutiee nguvu❤❤❤❤❤

  • @mtumwajumanne4569
    @mtumwajumanne4569 8 หลายเดือนก่อน +2

    Haji ndugu yangu ktk imani haji wewe umesoma dini mwanamke wako mbona kaa kikafiri

    • @MuuYascohy-oc7os
      @MuuYascohy-oc7os 8 หลายเดือนก่อน

      Dunia ya ibilisi sheitwan imeshamuingia kichwan kwake hawez kukuelewa

  • @FOURTEENSTAR-mv1qb
    @FOURTEENSTAR-mv1qb 8 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana kubali sana Mimi nandy more

  • @user-nw9ny2il8n
    @user-nw9ny2il8n 8 หลายเดือนก่อน +3

    Nandy anajua saana

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haji manara jmn akiachana n mwanamke huyu anakua limbuken mm roho imeniuma kumuacha yule aliezaa nae mtt wa kiume * alimsifiaaa siku kajifungua yule dada sahv anazai usije lia ukiachwa had unarekod nyimbo kwa milio 50 dah😢

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nandi ameweza kweli kweli

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 7 หลายเดือนก่อน

    Manara ikimbuke sikuyako yakufa ,achana na Dunia kwn nimapito wewe nimaiti mtarajiwa wakat wowot 😢

  • @annamwakibinga527
    @annamwakibinga527 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Manara

  • @nth3512
    @nth3512 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa alipoachwa na mke wake wa pili alijifanya anazungumza dini, leo kampata mwingine amesahau dini. Dah binadamu kweli ni Mungu tu ndo anatuweza

    • @sistertrashid2488
      @sistertrashid2488 8 หลายเดือนก่อน

      Yalikua maneno ya mkosaji

    • @agwalubifaridah7079
      @agwalubifaridah7079 8 หลายเดือนก่อน

      After kuachana na mke wa pili ulitaka awe vipi labda?aende aishi makka asiowe tena!!ila walimwengu...😮

    • @nth3512
      @nth3512 8 หลายเดือนก่อน

      @@agwalubifaridah7079 kwani nani kasema asioe? Na hivyo anavyofanya ndo dini yake imemwelekeza ivo?

  • @mariamsaid-d7d
    @mariamsaid-d7d 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nice nimependa

  • @mwaitajuma4140
    @mwaitajuma4140 8 หลายเดือนก่อน +1

    Haji nakuahidi huyo demu nitakupigia.. pesa ipo umri upo na hapa ipo #😂😂😂 niutani wa jadi tu yy yanga mm simba

  • @suntzu8959
    @suntzu8959 8 หลายเดือนก่อน +3

    Miziki ya kuungaunga. RIP Mbaraka mwinshehe and coleagues

  • @MashakaShobo-cs5wj
    @MashakaShobo-cs5wj 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mi team Dotto

  • @jomasai6353
    @jomasai6353 8 หลายเดือนก่อน

    Bigapu Manara nyota unayo mushukuru MUNGU sana eyaeyae hoya Doto kweye midia we noma sana wapinzani wajipane miaka 10 mbele

  • @Naju645
    @Naju645 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nandy anajua bana🎉

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo nzuri sana👏

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 8 หลายเดือนก่อน

    Haji kidg nilikuchukulia kaka anayejiskia sana.lakin nimegundua u MTU wa tofauti.plz naomba kuwasiliana nawe.naitwa mwl mfinanga nippo kilimanjaro

  • @arafasaidi2723
    @arafasaidi2723 3 หลายเดือนก่อน

    Ila. Hii. Nyimbo. Inatuliwaza. Wengi

  • @hidayaally9977
    @hidayaally9977 8 หลายเดือนก่อน +3

    Ila doto ananikosha 😂😂😂

  • @user-qh4mk6xw7o
    @user-qh4mk6xw7o 8 หลายเดือนก่อน

    Manara nitafute nipo kenya nami nina kampan plz

  • @ZahraOm
    @ZahraOm 8 หลายเดือนก่อน

    Nandy unajua tena natena ♥️♥️

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto chawa mpyaaa chawa kawa kapata chawa

  • @hajisimaikhatib9002
    @hajisimaikhatib9002 8 หลายเดือนก่อน +3

    Muogope mungu manara haramu hizo

    • @khadejakhadeja9713
      @khadejakhadeja9713 7 หลายเดือนก่อน

      Kahalalisha hajakaa.nae.kimada.au kumzalisha.na.kukimbia.hiyo.ndio haramu 😂😂😂😂

  • @shabaniselemani9159
    @shabaniselemani9159 8 หลายเดือนก่อน +2

    Bonge la nyimbo

  • @isaacchalamila
    @isaacchalamila 7 หลายเดือนก่อน

    Doto unaweza kuliko machawa wote kuongea upo vizuri🤣🤣🤣🤣

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 8 หลายเดือนก่อน +4

    Nani kaskia bugati akibanja na akameza 🤣🤣

  • @teamallyracing1780
    @teamallyracing1780 7 หลายเดือนก่อน

    Nandy kabana pua,subiri auto tune tu

  • @Estella122-m1v
    @Estella122-m1v 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani mbona wanawake mnajiaibisha kuvaa nguo hazieleweki muogopeni mungu jrhanamu ipo

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 8 หลายเดือนก่อน +1

    Milioni 50 na Kuna mtu Hana hata laki hapa😂😂😂😂

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂 huyo dotto

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws 8 หลายเดือนก่อน

    Anaona upuuz2 huy zai anajua kesho kutw mnachana nyimbo zann

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 8 หลายเดือนก่อน

    uyoashakuwachawa wa twigs ama?

  • @frankngoloka2589
    @frankngoloka2589 8 หลายเดือนก่อน +1

    Twiga imepanda sana kwa style ile nyingi Manara lazima upange tofali au stool ili ufikie utamu ulipo

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 หลายเดือนก่อน

    Kwahyo tuliozaliwa Ngwinde kosa letu nini sasa kaka Haji.🤔

  • @AllyAniu-ni3ji
    @AllyAniu-ni3ji 8 หลายเดือนก่อน +2

    Sridev ❤

  • @alfredsaliga1554
    @alfredsaliga1554 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ila dotto aisee nimecheka kufa

  • @allyhamisi6394
    @allyhamisi6394 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh😢

  • @saidulaya7308
    @saidulaya7308 8 หลายเดือนก่อน +4

    SAVE THE DATE NA MILLION 50 NA HAPA IPO🔫🔫

  • @HamisiUliza
    @HamisiUliza 8 หลายเดือนก่อน

    Duuh watu wanaps ya mchzo mung uyuu aya

  • @RICHARDFIKIRLI-jk1vh
    @RICHARDFIKIRLI-jk1vh 8 หลายเดือนก่อน

    Na hapa IPO

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 8 หลายเดือนก่อน

    Naisubir iyo Alhamis

  • @tigejuma9865
    @tigejuma9865 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dotto yye hucheza ata bila beat cku zote.... interviews zake zote ata akiwa field yye hucheza kichwa ....😅

    • @BerthaModest
      @BerthaModest 8 หลายเดือนก่อน +1

      Unamjua uyu ww😂😂😂 muhm kacheza zake tu

  • @MariamuAdamu-r6r
    @MariamuAdamu-r6r 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto unamotoooo

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 8 หลายเดือนก่อน

    Uyo dotoo kumamamaaa msingi

  • @Amisyboya7
    @Amisyboya7 8 หลายเดือนก่อน

    Doto magari bn

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน

    Waislam weng wamekumbwa napepo laushetani

  • @salimrama4125
    @salimrama4125 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo mganga Hana kesi ww mwenyewe ulimuamin🤣🤣🤣

  • @Sarah-tq2vc
    @Sarah-tq2vc 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto kha jaman 😅😅😅

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน

    Doto kujidai muislam kumbe anapalilia zinaa

  • @user-zv2ng6ov2k
    @user-zv2ng6ov2k 8 หลายเดือนก่อน

    naitajinisikiye nyimbo yamillion 50 inaitwaje?

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee atakufa vibaya nyie wanawake hawaa ayaa

  • @bebebebe5677
    @bebebebe5677 8 หลายเดือนก่อน

    Iyo kwapa ya zaylisa sasa😂😂nyeus atali

  • @musa-v3f
    @musa-v3f 8 หลายเดือนก่อน

    IITWE HM TOWN LABEL au HM LABEL

  • @Kaweza-mu6hy
    @Kaweza-mu6hy 8 หลายเดือนก่อน

    Akikuacha umtukie nyimbo

  • @clodoaldusrutakangwa2702
    @clodoaldusrutakangwa2702 8 หลายเดือนก่อน

    Kuna mwamba amekaa hapo cjuh anawaza nn?? 😂😂🙌

  • @ZaharaZuch
    @ZaharaZuch 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwishee apewe eshima yake ila wewe IQ yko ndogo uwezi kua Birrionea penda chakwenu acha fitnaa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 8 หลายเดือนก่อน

    najiuliza baada ya miezi mitatu hii nyimbo mutaipeleka wapi

    • @peninashungu6633
      @peninashungu6633 8 หลายเดือนก่อน

      Wasiweke tu Jina ili wimbo hutuhusu wote

    • @muzafarsharif9465
      @muzafarsharif9465 8 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

  • @mrsab303
    @mrsab303 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto😁😁😁😁😁😁

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 8 หลายเดือนก่อน

    Nandy mkali bana😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน

    Ikitokea mmoja kafa nini anaenda kumueleza mola wetu

  • @kensonyjulius5691
    @kensonyjulius5691 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mchumba mwenyewe kitumbo kama kashiba mbuzi

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 8 หลายเดือนก่อน

    Nandy anajua kuliko zuchu

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 8 หลายเดือนก่อน

    demu mwenywe vituko wallahi😢

  • @aminnoour4788
    @aminnoour4788 8 หลายเดือนก่อน +1

    Uyu naomba nimpe jinalake lakipekee anaitwa zay toll mtoto mrefu kweli kweli zay toll anastahili kuitwa zay toll

  • @ambokileasheengai1140
    @ambokileasheengai1140 8 หลายเดือนก่อน

    Mtu lazima aibiwe

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 8 หลายเดือนก่อน

    Jamni doti😂😂😂

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน

    Masikini roho zenu hamjui mtendalo

  • @dktsaidpatrickmwankunja9647
    @dktsaidpatrickmwankunja9647 8 หลายเดือนก่อน

    Congratulations nandy❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mfinangaexaud3492
    @mfinangaexaud3492 8 หลายเดือนก่อน

    Haji nahtaji kuja kurekodi gospel..naomba mawasiliano niulize machache tu ..naitwa mfinanga exaud nipo moshi

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto 😆🤣😆🤣

  • @anthonylugoi6269
    @anthonylugoi6269 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto is kill them Bro 😅😅

  • @zmclassictv
    @zmclassictv 8 หลายเดือนก่อน +1

    th-cam.com/video/g7jynxmQR0U/w-d-xo.htmlsi=Wq7oTKaPIgGdu19G
    Kijembeee cha haki manara

  • @marthageorge5043
    @marthageorge5043 8 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😊😊