MAKALA: MABADILIKO YA JIJI LA DODOMA KWA SASA...DODOMA FAHARI YA WATANZANIA..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Manyunyu TV ni channel ya TH-cam ambayo inakuletea matukio mbalimbali kutoka kwenye jamii. Tunaangazia maisha ya kila siku ya watu wa kawaida, shughuli za kijamii, na matukio muhimu yanayohusu jamii yetu.
    Tunajitahidi kuleta vipindi mbalimbali vya burudani kama vile michezo, nyimbo, na vichekesho. Tunapenda kuwasiliana na watazamaji wetu, hivyo tunawakaribisha kutoa maoni yao na kuuliza maswali.
    Tunajitahidi kuwa bora katika kila kitu tunachofanya. Tuna ubunifu mkubwa na tunaonyesha ubora katika video zetu. Tunaamini katika upendo kwa jamii na tunataka kuwahamasisha wengine kufanya kazi kwa bidii na kufikia malengo yao.
    Karibu ujiunge na Manyunyu TV, mahali pazuri pa kujifunza, kuburudika na kujumuika na wengine. Asante kwa kuwa nasi!
    Tupigie: +255652730422

ความคิดเห็น • 31

  • @jamillahmujungu2253
    @jamillahmujungu2253 5 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri sana sana. Hongera sana Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuendeleza kazi kubwa ya watangulizi wako na kuanzisha mipango mipya kwa maendeleo ya Tanzania na yote yanakwenda sambamba.
    Watu wengi sasa wanafurika kuja Dodoma kutafuta na kupata fursa mbalimbali.
    Hakika "Dodoma ya sasa si ya zamani".
    Kongole sana viongozi kwa kazi kubwa ya kutuletea maendeleo.

  • @alfinmbilinyi5985
    @alfinmbilinyi5985 6 หลายเดือนก่อน +3

    Yeah!Ila bado sijaona fly overs pale jamatini na magorofa marefu pale mji mkongwe.serikali ijenge majengo ya ghorofa ya kisasa hata 8 tu yabadili manzari ya jiji hili la Tanzania.pale uwanja wa ndege wa zamani air Tanzania wajenge jengo refu kabisa la makao makuu.Tenda wapewe wakorea au wajapan na wachina.ndiyo wataalamu wa kujenga gorofa za guides kuhimili tetemeko la ardhi kwani Dodoma ni bonde la ufa.Hata hivyo kazi nzuri.

  • @JosephMpangala-wd5mp
    @JosephMpangala-wd5mp หลายเดือนก่อน

    Ongela sana Dodoma.

  • @ludewayetutv
    @ludewayetutv 6 หลายเดือนก่อน +2

    HONGERA SANA MANYUNYU TV HAKIKI MAKALA HII NI BORA SANA MWENYE NILIO NJE YA MKOA NAFURAHIA KUTAZAMA MAKALA HII MMEUPIGA MWINGI SANAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA SAUTI NZURI PICHA KALI UBUNIFU MKUBWA SAFIIII KEEP IT UP

    • @ManyunyuTv
      @ManyunyuTv  6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana ndugu yangu 0652730422 tuwasiliane

  • @williamngochani7008
    @williamngochani7008 6 หลายเดือนก่อน +7

    It because of JPM

  • @ombenikichao
    @ombenikichao 5 หลายเดือนก่อน +1

    Makala mzuri, shida mtangazaji hajui kbs matumizi ya R na L hii ni aibu kubwa, ajirekebishe.

    • @ManyunyuTv
      @ManyunyuTv  5 หลายเดือนก่อน

      Tunashukuru kwa maoni yako

  • @JenifaMassawe-vu1nl
    @JenifaMassawe-vu1nl 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dodoma ya sasa si Dodoma ya zamani. DODOMA FAHARI YA WATANZANIA. KARIBU IDODOMYAAAAA❤

  • @silvanomuhumha9760
    @silvanomuhumha9760 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa Dodoma ni fahari ya watanzania karibu dodoma

  • @seciliagodwin8495
    @seciliagodwin8495 6 หลายเดือนก่อน +1

    Waooo! Awesome 🎉

  • @seciliagodwin8495
    @seciliagodwin8495 6 หลายเดือนก่อน

    Haichoshi kutazama Wala kusikiliza.Kazi nzuri sana

    • @ManyunyuTv
      @ManyunyuTv  6 หลายเดือนก่อน

      Asante sana

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 6 หลายเดือนก่อน +1

    Dodoma yetu ❤❤❤❤❤

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 6 หลายเดือนก่อน +3

    Inafanana na Gaborone

    • @kelvincharles7263
      @kelvincharles7263 6 หลายเดือนก่อน

      Gaborone imepagwa vizuri na majengo ni marefu

    • @ahmedkyama4734
      @ahmedkyama4734 6 หลายเดือนก่อน

      sio kweli kuhusu magorofa marefu

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 6 หลายเดือนก่อน

    Ndiyo Dodoma ni kama Colorado Springs huko Marekani. Ambako nilitembelea na kujionea mwenyewe mwaka 2008, Jimbo la Colorado.

  • @Mnyatucomedytz
    @Mnyatucomedytz 6 หลายเดือนก่อน +1

    🎉🎉🎉

  • @mattiasChiwanga
    @mattiasChiwanga 6 หลายเดือนก่อน

    Nice

  • @ColonelChanila-ur9zy
    @ColonelChanila-ur9zy 5 หลายเดือนก่อน

    Nilifurai na hata Sasa makao makuu kuwa katikati yanchi

  • @farajakwilasa471
    @farajakwilasa471 6 หลายเดือนก่อน +1

    RIP JPM 😋😋✊🏿

  • @Nedjadist
    @Nedjadist 4 หลายเดือนก่อน

    Nyerele basi? Shughuri za kiselikari? Na nwamuacha atangaze? Haya bana, amehonga kitu!

  • @augustinempule7385
    @augustinempule7385 6 หลายเดือนก่อน

    Kuzuri

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 6 หลายเดือนก่อน +2

    Eti south 😂

    • @JenifaMassawe-vu1nl
      @JenifaMassawe-vu1nl 6 หลายเดือนก่อน +3

      Nakwambia ukijichanganya kidogo unapoteza muelekeo 😂

  • @petermganga4434
    @petermganga4434 4 หลายเดือนก่อน

    Umesahau chamwino

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 6 หลายเดือนก่อน

    Jpm

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aya bwana hii ndio idodomeya

    • @twiser6029
      @twiser6029 6 หลายเดือนก่อน

      Fungua bomba ya maji sasa😂