BIBI ALIYEKAA SITI MOJA NA RAIS SAMIA KWENYE TRENI AONGEA “USALAMA TAIFA, WANANIOGOPA, MUUZA DUKA”

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 59

  • @GeorgeElias-p5o
    @GeorgeElias-p5o หลายเดือนก่อน +31

    Waliogundua uyu mama ni Kitengo mstaafu nipe like😂

    • @morganyiskaka815
      @morganyiskaka815 หลายเดือนก่อน +5

      Ilikuwaje akawa mualikwa watu wa vitengo hawa

  • @Hakuzwe
    @Hakuzwe หลายเดือนก่อน +8

    Mimi sigo mutanzania.Niko mukimbizi kutoka DRC kivu.Namupenda mama samia saana.Mama mupe.anajishusha.Niko Zambia.Mama ukija Zambia natamani nikusalimiye.Mungu akubariki.akupe maisha malefu.

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน +10

    Itakuwa mstaafu usalama wa Taifa. Hata majibu yake yako makini hakurupuki.

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 หลายเดือนก่อน +4

    Tunasema kazi iendelee, lets the work continue mambo mazuri huko na safari njema kuelekea katika maendeleo ili tuendelee tunaihitaji watu, ardhi siasa safi na uongozi bora . !!! 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✅⚒️

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 หลายเดือนก่อน +5

    Mama ana utulivu fulani ambao nimeutamani. Hekima ya kujibu inaonesha wazi kuwa ni mcha Mungu

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤ Bibi ni M Christo Mkatololiki

  • @gladysmsele4291
    @gladysmsele4291 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani hata Mimi nampenda Madam president huku Arusha National park kitongoji Cha momela wananijua nnavyompenda Kwa ni birth mate wangu 27 January ❤❤kazi iendelee siku nikionana naye live I will be very happy keep it on madam president 🎉

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 หลายเดือนก่อน +5

    Acha Janja janja mamangu 🤣🤣🤣🤣🫡

  • @IBISUSADIVERSE
    @IBISUSADIVERSE หลายเดือนก่อน

    Wow it was so amazing

  • @piusmdoe3200
    @piusmdoe3200 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama Mosha,umetisha.

  • @Dockbrand
    @Dockbrand หลายเดือนก่อน +2

    Oyo nae usalama

  • @BrightMsemo
    @BrightMsemo 2 วันที่ผ่านมา

    Mama mosha umewakilisha karume

  • @osnelcloud1610
    @osnelcloud1610 หลายเดือนก่อน +1

    Yuko smart sana

  • @oman1oman179
    @oman1oman179 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤huu mama mansha nimependa kuongea kwakwe anahekima sana

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja หลายเดือนก่อน +2

    Mwanasiasa mkongwe nchini Mdhihiri,aliwahi kusema,wanasiasa wengi wakati wa Uchaguzi,wanajishusha sana .Kama haitoshi wanaweza kuonekana wa ajabu.Rais kukaa na mtu wa kawaida.Hapo kampeeni simeanza.Chezea ccm ww! Mwandishi,tengeneza kiwango cha taaluma yako,maswali ya. kizamani mno .Eti usalaama wa Taifa ?

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe aliandaliwa

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 หลายเดือนก่อน +1

    Aliandaliwa kukaa na rais ndio maana walimnyanyua na kumuonyesha wapi akakae na watakuwa wamemfuatilia ni mtu wa aina gani haikuwa tishio kwa usalama wa Rais maana ni mwanamke mzee bibi !

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 หลายเดือนก่อน +1

    Nlijua ni mama anna mkapa

  • @Dockbrand
    @Dockbrand หลายเดือนก่อน +1

    Uyo nae usalama

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt หลายเดือนก่อน

    Mashallah

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 หลายเดือนก่อน

    Kweli ni mstaagu Huyo wa usalama

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 หลายเดือนก่อน

    Mama kama mama alikaa kwenye trn kwa sababu

  • @ausonjustinian4673
    @ausonjustinian4673 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera sana mama. Hii nafasi ni km kuokota kitu cha thamani. Mungu akkutanishe nae tena km ilivo tamanio lako.

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 หลายเดือนก่อน

    Nilimwambia akae na mm akakataa😢😢

  • @alexvenas2699
    @alexvenas2699 หลายเดือนก่อน +4

    Danganya toto hiyo

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de หลายเดือนก่อน

    Nataman ningekuwa n mm ninmekaa siti moja na Mama Samia jmn dah'wenzetu wanabahat

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 หลายเดือนก่อน

    😂 sawa tumekulewa

  • @idrissamohamed1100
    @idrissamohamed1100 หลายเดือนก่อน

    Watu kwa Kupiga Ramli Hodari

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula หลายเดือนก่อน

    Mama anajituma sana. Mh. Rais miwezeshe apate nyumba ya wapangaji japo vyumba 20 apumzike na biashara

  • @robartifabiani
    @robartifabiani หลายเดือนก่อน

    Kama taifa tunasafari ndefu sana kama habari ndio hizi

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamkie mama/bibi ndo uendelee na mahojiano

    • @syliviakente9460
      @syliviakente9460 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama namkumbuka alikuwa anafanya kazi kwenye jengo moja Azikiwe karibu IPS jijini Dar es Salaam

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 หลายเดือนก่อน

    Kipenyo...

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 หลายเดือนก่อน

    Kila kitu mnajua kukikuza ajab n ip

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 หลายเดือนก่อน

    Kampuni binafsi Haina jina😢

  • @Nedjadist
    @Nedjadist หลายเดือนก่อน

    Angempisha rais dirishani. Halafu alikuwa anaperuzi! Amekosa vinono!

  • @alexchungu6263
    @alexchungu6263 หลายเดือนก่อน

    Komando SGR

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h หลายเดือนก่อน

    Hongera mama😊

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf หลายเดือนก่อน

    Acha maswali hujasoma cuba

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

    RAIS HAWEZ KUKAA NA WATU FROM NOWHERE HUYU LAZMA ALIKUWA MTU WA VITENGO😂😂

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd หลายเดือนก่อน

    HIYO SITI ALIYOKAA RAIS NI PANA NI MAALUM KABISA KWA AJILI YAKE RAIS IPO KAMA KITANDA CHA 6 KWA 6

  • @devissyprian1526
    @devissyprian1526 หลายเดือนก่อน

    Wabongo.bhna mna mambo ya ajabu sana

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis หลายเดือนก่อน

    Lakni wabogo kila kitu ni ushamba

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 yaan tayar imekuwa stor kukaa tu bibi hiv wabongo lini mtafanya kazi maana? Hiv kuna maajabu gan kukaa karibu na rais? Du

    • @exaverysimon1064
      @exaverysimon1064 หลายเดือนก่อน

      nenda na wew kakae nae kama n rahis

  • @allen853
    @allen853 หลายเดือนก่อน

    tazama bonge la movie recaps Kali za MAPENZI YA LEO 🔥🔥🔥🇹🇿
    th-cam.com/play/PLAdDZHUkCaMgi0p4TzXzJ0YfqF7cX-fP_.html&si=oPyPJ1s7aqI1GWaM

  • @RaymondMsuya-x3w
    @RaymondMsuya-x3w หลายเดือนก่อน

    Bibi mkakamavu kbsa huyu atakuwa mstaafu huyu

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +6

    Mm natamani kukaa na Yesu.. Binadam wanakufa wenye madaraka kuna wakati wanawekwa jela 😎

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga หลายเดือนก่อน +2

      Yesu pia ni binadamu

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน

      @@SalmaBinyaga uaminivyo wewe mm naamini kama ni Mungu nasijakulazimisha kuamini hivyo

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 หลายเดือนก่อน +2

      Kama unataka kukaa nae basi unashauriwa kufa kama Yeye!

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv หลายเดือนก่อน +1

      Wangu haina haja ya kufa kwan Yuko hai alisha kufa akafufuka. Nadhan unamjua alie kaburini mpk Leo huyo ndo nakushauri wewe umfate alipo

    • @samwa9496
      @samwa9496 หลายเดือนก่อน

      Acha chuki Kuna roho chafu ndani yako

  • @abbassalum6824
    @abbassalum6824 หลายเดือนก่อน

    Bando langu