SHULE YA SHERIA || Ufafanuzi watolewa kuhusu mchakato wa mitihani ulivyo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kufuatia sakata la kufeli kwa idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma kwenye Shule ya Sheria nchini na kisha kufunguliwa kwa kesi katika mahakama za hapa nchini ili kujua undani wa mchakato wa usahihishwaji wa mitihani, Shule ya Sheria nchini imetolea ufafanuzi jambo hilo kupitia mahojiano ndani ya Azam News.

ความคิดเห็น • 5