Msanii ninae wish siku moja nikutane nae live ni huyuu, nimuuliz tu swali, nini kilimsibu mpaka kuweza kutunga huu wimbo wenye mashairi mazuri kiasi hichi,
Huu wimbo unanikumbusha wakati unatoka 2009 nilikua nimekimbia shule nikatafutwa kweli hadi mbuge mda huo wa serengeti akaamuru nitafutwa gharama yoyote nirudishwe..... Duùuuuu. I remember the situation😢😢😢😢😢
Nilipofika pale nikawa naenda mgodini siku mbili tatu mambo yakawa magumu nikaamua kutafuta kazi nyingine nikafanya. Shule ilipofunguliwa ilitakiwa niingie formIII sasa nikakimbilia tarime baada ya kuona watu watanichoma nilipo kwa waalimu na walezi nilipokua nikisomea.
Tarime nilidandia maloli yaliyokua yamebeba mizigo ya minadani uliokua umefanyikia pale nyamongo na jamaa mmoja kawa mwneyeji wangiu ambae alikua akikaa maeneo ya uzunguni-Tarime.
Baadae nilivokua naona wanafunzi wanatoka shule wanapita pale ninapofanya kazi nikawa kama natamani kurudi shule sana ikizingingatia mm masomo nilikua nayapenda sana ila nilikimbia kwa sabab ya walezi niliokua nakaa naasoma niliona kama wananitesa kwa mawazo ya utoto.
Wale tunaosikiliza huu wimbo 2024,gonga like hapa
Babu ushawahi pewa dedication ya hii ngoma Nini??
Mimi ndo nimezailiwa mwaka huu 2024)
Niko apA
It is 2023 and still listening this song
Haujawahi kuchuja kwa kichwa
This is my favourate song of all time
Baby madaha ulijua kunikosha ❤️
What a song🙌🙌
madaha uko wapo jamani?? kama unataka madaha arudi Tena gonna like hapa
Nyimbo kama imetoka jana
Nmepata situation ambayo imefanya niutafute huu wimbo 2024
The same situations
Mimi pia leo
Dah huu wimbo kwa mara ya kwanza niliusikiaga nilikua natoka kazini wazo hill kwenye coster ya mwenge mwaka 2010 daah 😅😅❤❤
Kama bado unaisikiliza hii mbona 2020 gonga like
Kama kawaida wadau tupo
😘😘🥰🥰🥰
¹¹aaa
Huyu dada jaman alipatwa na nini mbona ali imba nyimbo nzur akaa kimya mpka kesho
Wimbo wangu waleo mwez Wa 9 tarehe 26 mwaka 2023 Niko na mke Wang u dativa remember❤
WIMBO UNAONIPA AFYA YA MOYO NA ROHO.
WANGAPI BADO TUNAUSIKILIZA
Niko hapa 2024 Ramadan 15 alhamduliah
Dah 2023 still best song ever,Me natamani siku nikuone nikuulize maswali mengi na pia video sasa baby wetu😍
Kitambo Sana Yaani Kama Bado Unasikilizaga 2020 Gonga Like Tuwe Pamoko
Really like this song,🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma kali sana
Tena nimeipata kwa shida acha tu!
Now 2024 am here
Msanii ninae wish siku moja nikutane nae live ni huyuu, nimuuliz tu swali, nini kilimsibu mpaka kuweza kutunga huu wimbo wenye mashairi mazuri kiasi hichi,
Mi nilishakutana nae
Huu wimbo aliandikiwaga najamaa mmoja anaitwa faza p
Sijawahi kuandikiwa wimbo wangu wowote na mtu kuanzia beat mpaka mashairi sikiliza songs zangu zote utagundua kitu
@@babymadahaofficialdada naomba kufanya collabo na ww pls naomba tuingie studio
@@babymadahaofficialwimbo mzuri sana nitaomba tufanye remix
Naupenda huu wimbo since day 1....Sauti imetulia en tamuuuuu, haichoshi kusikiliza
Hiz ndio nyimbo zakuimba
@@allyshaibu1097 kabisa
Nimejikuta naumisi huu wimbo Leo😘😘😘😘😘
Leo nimejikuta naumis sana huu wimbo ❕❗❕❗
Sana hata mie
Dah mpaka machoz nimekumbuka mbal
Life was so good this times😭😭
Sure was so good moments
🔥
What a masterpiece production from Pancho Latino (R.I.P). The vocal was perfectly fitted to the instruments.
aisee kumbe pancho latino ndio mmiliki wa hiyo sound uhwaaaa,ilikamata sana miaka ya 2009-2012
Produced by one of the greatest keep resting in peace Pancho Latino mafia 🙏
🥰🥰🥰🤣kuna nyimbo unasikiliza afu unasema huyu kafanya cover au yake, maana mtu unasikiliza afu unahisi kama haupo bongo🙌🙌🙌
How old are you?😊
haha haha huyu mdada ni kichwa kwa wadada wote bongo
Moja ya Nyimbo bora kutokea Bongo 🔥🔥
From 2020 👏
Hakika
Nilikuwa naangalia misukosuko part 3. Nikaukumbuka huu wimbo 2024
Hahah misukosuko kina j+ ila zamani ilikuwa maisha poa sana
Ntaupenda Sanaa wimbo huu mpaka nazeekaa
The song is always on our heart when I was primary till sai am a mother, big up bby madaha bless up
Forever in our hearts
@@merianheri4898 do you know the word Amore in Swahili😅
🔥
Bado kitu kipo moto in 2024
Ngoma hii naipenda mpka nataman kulia
There’s some situations ukipitia lazima uitafute hii nyimbo uisikilize….Melody 100%, Vocal 100%, Beat 100% + Message 100% 🔥🔥
Kumbu kumbu zangu 2010 hiyo baba ake noma goma liliachiwa.. Huku mapenzi huko football bonden kwa madina ni noma
Nakukubali Sasa wewe dada unasauti nzuri kwanza Yani ,nakuelewa Sasa mungu akupe maisha marefu sana🥰
Bonge la mashairi huyu Dada yupo poaaa Sana since 2009 naikubali hii ngoma hadi leo
Nyimbo hii swezi kuisahau maisha yangu kipindi mpenz wangu ananisaliti aliwekea nimbo hii 2010 February 10
i miss these days kweli time flies😢
hope yall recover 2025 should be more of wins no negotiation on that
❤🇹🇿
2024 naona kama imetoka Leo hii nyimbo daa maisha yanaenda kasi Sana
Since 2009 releasing this song, from baby madaha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿💯💯💯🙏🙏
Ili goma linaishi miaka yote yani kama bible 🔥🔥
Keep resting in peace Pancho Latino. You are talented bro.
Anajua sana kuimba nandy au zuchu Hawa mfikii
its a supersonic masterpiece.,,baby madaha aliiheshimisha bongo star search
kazi nzuri sana , huu wimbo Leo nimeurudiarudia 12times 👍 hauishi ladha .. keep it up madaha
Mpk dunia itaisha huu wimbo bado unalaza yakipekee hauchoshi km umetoka leoo
Hiii ngoma naipenda Toka ninamiaka Kumi na moja mpaka sasahiv nakubali kichizi sana
Tamu sanaa
sasa iv una miaka mingap?
@@ayoubfadhili4695 aahhhhh🤣🤣🤣🤣🙌
Naupenda huu wimbo😘😘😘😘
Nyimbo tamu Sanaa 2020
Ngoma inaishii
This is the best from day one up to now I wish utoe tena kama huu much love kwako
Pindi niuskilizapo huu wimbo hulengwa namachozi😢, yaani toka nijitambue nilianza kuuelewa nasasa ninaupenda kupita maelezo, pia nikijihisi vibaya wimbohuu hunifariji, hakika niwimbo mzuriiii,2021💪
Nimzuriiii😍😍
Uliimba vzr dadaangu maana haka kawimbo nikatamu San, kanafundisha vzr mpz co km changamoto za Sasa🔥🔥🔥🥰
This is one of my most favorite songs ever written and sang, it lifts me up all the time!
Nilikuwaga naupenda huu wimbo sana duh
Classic of All Time….2024 still best song ever!! 🙌🏽
Daaah hii nyimbo kali san
❤❤ baby umezingua kupumzika kuimba ila HAKUNA ngoma kama hii❤❤
kama bado unausikiliza huu wimbo 2022 gonga like twende pamoja 👍
Tup pmj
wimbo wangu bora wa mdawote aipiti cku bila kuusikiza 2022 bado nadunda nao
Naukubali sana huu wimbo mpaka leo nausikiliza 2022 octobar
Tujuwane 2021
Found this again today after having not heard it for years....still as awesome as the first time I heard it
kama imetoka jana ani❤️🥺
Daah kitambo San nakumbuka enzi hizo Niko mlandiz sijui ata ...😅
2023..... Nimeitafuta kwa shida sana
Huu wimbo unanikumbusha wakati unatoka 2009 nilikua nimekimbia shule nikatafutwa kweli hadi mbuge mda huo wa serengeti akaamuru nitafutwa gharama yoyote nirudishwe..... Duùuuuu. I remember the situation😢😢😢😢😢
Nilipomaliza mtihani wa form II nikawa nimekimbia/kutoroka sehemu nilipokua nakaa na kukimbilia Nyamongo mgodini.
Nilipofika pale nikawa naenda mgodini siku mbili tatu mambo yakawa magumu nikaamua kutafuta kazi nyingine nikafanya.
Shule ilipofunguliwa ilitakiwa niingie formIII sasa nikakimbilia tarime baada ya kuona watu watanichoma nilipo kwa waalimu na walezi nilipokua nikisomea.
Tarime nilidandia maloli yaliyokua yamebeba mizigo ya minadani uliokua umefanyikia pale nyamongo na jamaa mmoja kawa mwneyeji wangiu ambae alikua akikaa maeneo ya uzunguni-Tarime.
Tulipofika kama kawaida ikabidi nisake kazi nifanye nikawa nimepata ka@i kwenye mgahawa maeneo ya Serengeti hapo hapo tarime nikawa nafanya
Baadae nilivokua naona wanafunzi wanatoka shule wanapita pale ninapofanya kazi nikawa kama natamani kurudi shule sana ikizingingatia mm masomo nilikua nayapenda sana ila nilikimbia kwa sabab ya walezi niliokua nakaa naasoma niliona kama wananitesa kwa mawazo ya utoto.
Uriimba snaaaaaa umuuuu
Ngomahiii haichuji, hadi 2021 ina take over 😍😍
Wimbo huu unaishi
Always live in ma heart that song🥰
Best song ever !!best melody i keep listen even its way back song
❤❤❤❤❤ inakbusha kitu
Huuwimbo uliimbwa kwahisia kubwa hadileo 2022 ninaupenda💖 my favorite 😍😍
My first love used to play this song for me.. It's been 10 years now. Just rememberd it. Amazing still 😂
hivi kwann wasanii kama hawa hawapati sapot inauma sana
Yuko wapi huyu Dada nampenda sana anamadah sana
Yuko hapa dar es salaam
Noma sana wazeee❤❤❤❤❤
Naupenda huu wimbo una nikumbusha mbali sana
2008 still mbaka Leo inabamba 2020 SA dizonga kwa natal
I miss home dsm Tanzania
Awwww dah nakumbuka far sana
I still love this song 2020
Kitmbo sana nauwa nainjoi sana aisee
Nimeisikiliza Leo 2021 lakini kama imetoka Leo muziki wa zamani n wazamani Ru🙌🙌🙌🙌
My favorite song mpaka leo 2024 ❤
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sanaaa!!! Nafkiri nilikuwa secondary!! Proudly 🇹🇿
2023 hivi ngoma ni ,🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Forever in my heart 9 years later after I first heard this song
Tanzania tanzania tanzania naita mala tatu tuko mbali Sana majilani hawana wasaniii Wana vituko tu
Tanzania nakupenda
Nzuri Sana❤
One of the very very best song ever.
still listening to it 🥰 2023
ngoma kali sana 2023
Timeless masterpiece..❤
2024 muzik mzuri unaishi 🔥
2021 bado tunamiss hili pigo ..
Touch like kama uko pamoja nami
Jmn vyakale haviishi ladha hadi leo 2022 nhisi kama wimbo umetoka jana
2021 uwiiii hili song ukiw inlove ukiskiza 😋😋😋😋😋
I love this song dearly...is there a video for it...it arouses indelible memories that bring tears of joy to my heart!
we are Going TO SHOOT IT SOON
Soon this year
@@babymadahaofficial Naisubiri sana tena kwa sana!
Dah long time yan vizazi na vizazi vitapita lakini huu wimbo hautokufa milele na milele mpaka mwisho dunia
2021 🎧🎧🎶🎵🎵🎶 gonga like
Time hii ngoma nilikua class 7 amazing song
Duh miaka ya 2009 ndio ukaachia hii ngoma ilikuwa hatari pale unapopanda kwenye jukwaa mtikisiko
Back on days! Baby madaha 🔥🔥🔥
Ngoma ambay cjawai ichoka