ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

BINTI ALILIA PENZI LA JUMA LOKOLE ASHINDWA KUJIZUIA AMVAMIA OFISINI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ส.ค. 2021
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 1.3K

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili 3 ปีที่แล้ว +11

    ❤❤❤

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 3 ปีที่แล้ว +20

    Djuma mnalingana manshallah 😂😂😂😂 wifi wataifa mzuri kweli 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @shabanishila3961
    @shabanishila3961 3 ปีที่แล้ว +20

    Masha-allah Dada mzuri, Allah akujalieni ili juma afikie hatua mzuri ya kumuoa Dada wa watu anampenda kweli

  • @saliminasalim3751
    @saliminasalim3751 3 ปีที่แล้ว +9

    Mbona wanawake huwa hatupendani Sasa chakukuchekesha mpaka kuanguka ni nini? Eee Mungu msaidie huyu msichana afanikiwe akitakacho InShaaAllah

    • @shakila3982
      @shakila3982 3 ปีที่แล้ว

      Sioni tatizo kwa kicheko chake kwani ata hiyo bibie anachekesha

    • @upendokagali2783
      @upendokagali2783 2 ปีที่แล้ว

      Usikute alisha mdet akamtenda so anamkatisha huyo dada moyo ....natamani amuoe ili yamshuke

    • @shamayzawahir2508
      @shamayzawahir2508 2 ปีที่แล้ว

      Mungu amfanikishe nn bana. Asifanikishe asiwe na juma ah Familia matatzo tu iyo wee ah badala ya kutulia zake uko Anajitia wazim Kupenda kupo lkn sio kujidhalilish hivo

  • @joycechaz2840
    @joycechaz2840 3 ปีที่แล้ว +8

    Wadada tutafuteni kazi haya mambo ya kupenda hovyo na kujirahisisha ni kukosa kazi sidhani kama angekuwa officen angekuwa hapo kulilia mapenzi😂😂😂

  • @joelkahuya6719
    @joelkahuya6719 3 ปีที่แล้ว +48

    Waliogundua dada aliyempa pole kaona wivu tujuane

  • @dalilahrashid4077
    @dalilahrashid4077 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi nampenda yule mbea mwengine na comment nikitoka kenya

  • @dottohamisi9844
    @dottohamisi9844 3 ปีที่แล้ว +27

    🤣🤣🤣🤣Eti wanawake wanahuluma adi chizi Anapendwa 🤣🤣🤣Juma mke huyo umempata

  • @amaniomballa1855
    @amaniomballa1855 3 ปีที่แล้ว +38

    Shikamoo Bongoo..Tz ukifa na stress kujitakia

  • @ismailyusuf1647
    @ismailyusuf1647 3 ปีที่แล้ว +12

    Na mm siku moja nitakuja hapo
    wasafi nampenda sana ZUCHU 🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @felistersmejumaa5188
    @felistersmejumaa5188 3 ปีที่แล้ว +57

    Inshallah dada iwe ya kheri uwe ukiletewa umbea tu

  • @halimakalinga7764
    @halimakalinga7764 3 ปีที่แล้ว +21

    MashaaAllah kam kwel iwe kheri

  • @jesuyesu4227
    @jesuyesu4227 3 ปีที่แล้ว +28

    Juma ,,eti chizi anaweza pendwa🙈🙈🤣🤣🔥🔥

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 3 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂🇰🇪🇪🇺

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 3 ปีที่แล้ว +4

      Alafu huyo dada kumcheka Mwenzake ndio nini? Weee ukisema cha nini. Mwenzako anasema nitakipata lini? Kupenda ni kawaida tu kw Binadam, yuko wazi kampenda, tena wanawake wakipenda wanapenda kweli kweli

    • @florakabadoelkana6764
      @florakabadoelkana6764 3 ปีที่แล้ว +1

      @@monicahovda4524 kweli kabisa

    • @Pompolo_pom
      @Pompolo_pom 3 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda4524 kanikera kwa kweli kupenda ni ktu simple sijui alicheka nini ama alimuwahi

    • @jesuyesu4227
      @jesuyesu4227 3 ปีที่แล้ว

      @@monicahovda4524 umenielewa vibaya ww nyooo kwani ,umesikiya nimemucheka yéyé Wala nimecheka jisi Juma kaongeya ,,juma kaongeya ,,ivi kweli nachizi ,anawezwa pendwa n'a mm nikafurahishwa namusemo huyo

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 ปีที่แล้ว +3

    Naomba wasafi waanzshe kipindi mukiite HEKAHEKA ZA WASAFI watafutwe wadada wa hivi

  • @maliammwesongo2695
    @maliammwesongo2695 3 ปีที่แล้ว +6

    Mashaallah juma ni kheri hyo

  • @ZINDUKAMUISILAMU30
    @ZINDUKAMUISILAMU30 3 ปีที่แล้ว +6

    Unampenda kwei au utamchezea🤣🤣🤣 like km umeckia hii

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 ปีที่แล้ว +4

    Wasafi Kweli Mchanga Ameng'ara Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah Dada Hujakosea,Kazi Kwa Juma.Acha Tusubiri Mualiko.

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 3 ปีที่แล้ว

    Hivi we Dada unajua Kama umempenda mwanamke mwenzio au unajitetua tu

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 ปีที่แล้ว +59

    Hahahahaha nimecheka ety wanawake wanahuruma hata machizi tunapendwa 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @linkishish2057
    @linkishish2057 3 ปีที่แล้ว +8

    Allah akujalie mazuri dadaa

  • @ghhhhy1812
    @ghhhhy1812 3 ปีที่แล้ว +16

    From 🇧🇮 Saudia mashaallah juma mupende na wew

    • @jambo3751
      @jambo3751 3 ปีที่แล้ว +2

      Naona kama ameiga yule dada alietoka Mombasa Kenya aliyekuja Tz kumfata Mbosso😄

    • @hadiyajuma3974
      @hadiyajuma3974 3 ปีที่แล้ว

      L0

    • @hadiyajuma3974
      @hadiyajuma3974 3 ปีที่แล้ว

      0l

    • @africanqueen956
      @africanqueen956 3 ปีที่แล้ว +1

      🇸🇦🇸🇦🇸🇦 saudia hii

    • @jambo3751
      @jambo3751 3 ปีที่แล้ว +1

      @@africanqueen956 SA sio Saudia ni SOUTH AFRICA lakini Saudia ni KSA yaani KINGDOM OF SAUDI ARABIA.

  • @aminakipande5645
    @aminakipande5645 3 ปีที่แล้ว

    msambaa mwenzangu looh unayaweza hongera na wewe mwanaidi sio pouw kumwambia mwenzio maneno hayo hovyoo sjui unajikuta nani mxiuu zako wee

  • @annwangari1495
    @annwangari1495 3 ปีที่แล้ว +3

    Wow nice I'm form Dubai

  • @africantv172
    @africantv172 3 ปีที่แล้ว +7

    Sasa huyo dada kampendea nn juma ? Kweli mapenzi upofu 🤣

    • @teacherangel3278
      @teacherangel3278 3 ปีที่แล้ว

      Kweli niupofu juma alivyombea kapendewa nn

  • @joesimba1146
    @joesimba1146 3 ปีที่แล้ว

    Sijapenda the lady with yellow the way she acted , kwanza huyo ni mwanamke mwenzake lkn anaonekana yuko Na madharau whta makes her laugh mpaka aanguke, tusidharauw watu jamani, tuwe waungwana kidogo

  • @mohamedabubakar9852
    @mohamedabubakar9852 3 ปีที่แล้ว +1

    Mimi.Namtaka huyo Mwajuma...she looks stunning always Mashallah

  • @RandB_Channel
    @RandB_Channel 3 ปีที่แล้ว +8

    🤣🤣🤣🤣🤣 tatizo la Juma anatukanaga sana rangi nyeusi utazani yy ni mwekunda .ila hana kasoro yoyote.eti kumbe machizi tuna pendwaka dooo juma

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +12

    Mashallah mzuri Mwenyewe huyu dada,juma fanya nusu ya dini tule mbunga 😄 maana siyo ajabu hata Bii khadija alimtamkia Mtume Mohammad kuwa anampenda

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +1

    Adui wa mwanamke ni mwanamke...huyo dada mwengine ywacheka kana kwamba ni jambo geni....basi ywampa pole mwenzake hajui alichopanga Mungu

  • @faridaissa2588
    @faridaissa2588 3 ปีที่แล้ว +20

    Et ntamshirikisha esma na mama dangote wakikubal sawa!! Kwan ndo wazaz wake hao🤣🤣

    • @zaza8625
      @zaza8625 3 ปีที่แล้ว

      Wa mbea wenziye

    • @stainasimkoko708
      @stainasimkoko708 3 ปีที่แล้ว

      Ndio si wanamlea

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 ปีที่แล้ว

      Ndio mwenye yuamlea na kila siku husema Mama Dangote ndio mama

    • @faridaissa2588
      @faridaissa2588 3 ปีที่แล้ว

      @@saumsalim9966 ok

  • @mename6020
    @mename6020 3 ปีที่แล้ว +17

    Dada amependa huo umbea wa juma lokole..

  • @user-ud3fg1hw8v
    @user-ud3fg1hw8v 3 ปีที่แล้ว +19

    Mashaallah natural beauty mungu akujalie heri dadangu uwe n mpenz kwli

  • @vestinedusabe4285
    @vestinedusabe4285 3 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahaha yaani jamani machozi chini!!! nami nitafutie Hussein Machozi kaka angu nami naria everyday from Kigali

  • @fatiabakari4020
    @fatiabakari4020 3 ปีที่แล้ว +2

    Mm nakupenda wewe mtangazaji

  • @sophieatieno5148
    @sophieatieno5148 3 ปีที่แล้ว +20

    😂😂😂 I was finished the moment she started crying 😂😂😂 Tanzanians you will make us die of laughter..Ona vile Mchagga OG anaenjoy hii situation haha

  • @kadoluxclassic7476
    @kadoluxclassic7476 3 ปีที่แล้ว +25

    Dada amepatikana 🤣🤣🤣mim naona ata angejipendea wew hapo mtangazaji dhaaa 🤔 Bongo Shikamo munamambo nyie vituko haviishiii🤣🤣🤣

    • @mdasad2148
      @mdasad2148 3 ปีที่แล้ว

      Juma ukipendwa machoz 😅😆😆😆🎺🎺🎺🎺

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 ปีที่แล้ว

    Jamani nani kaona sauti ya huyu dada inafanana na sauti ya Cat wa bongo movie' like hapa👇

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 ปีที่แล้ว

    Huyo Kaka smart sana.He knows how to handle women Pamoja na Huyo mtangazaji pia.Safi sana.Dada hongera kwa ujasiri wako.Usikate tamaa.Juma Ni wako

  • @Hanskapella
    @Hanskapella 3 ปีที่แล้ว +7

    Daaah pisi inasauti nzuri kinoma

  • @sidrasidra8616
    @sidrasidra8616 3 ปีที่แล้ว +4

    Nami ntaka mwanaume wakunistiri jamani ila awe mwislam kuanzia 33 kupanda naakipatikana tunakwenda kupima kwanza ukimwi asanteni🙏

  • @margaretiminza6270
    @margaretiminza6270 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka lakini. pia yule mtangazaji anajua kuunganisha hongera kwake

  • @sirojustin9674
    @sirojustin9674 3 ปีที่แล้ว +10

    Great expression from the lady. Much love from 🇰🇪🇰🇪

    • @esthermunihire6688
      @esthermunihire6688 ปีที่แล้ว

      Huyo dada alie mpa pole ule msichana naona ana wivu labda anampendaga djuma pahali umu pongeze wewe una mpa pole your are not kind

  • @sophierseyyd1162
    @sophierseyyd1162 3 ปีที่แล้ว +11

    Mmeendn mashaAllah

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 ปีที่แล้ว +3

    Mashoga wanakuwaga na mazalii mjue..harafu utakuta huyo dada anapesa zake. sema kampenda shoga😂😂

  • @fatimachanfi4512
    @fatimachanfi4512 3 ปีที่แล้ว

    Jumo mlole n’intima Amina mngu yawutukuze eaidi

  • @ivethblackqt539
    @ivethblackqt539 3 ปีที่แล้ว

    nimesomatu comment nikaishia kucheka maneno yameniisha yangu macho

  • @marymrema8322
    @marymrema8322 3 ปีที่แล้ว +12

    Mmh tutaona mengi mwaka huu

    • @aminaali792
      @aminaali792 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @bijumafundi1737
    @bijumafundi1737 3 ปีที่แล้ว +5

    Juma msichana mrembo uyo but km hujampenda mjibu TU kiungwana akuelewee!! Mapenzi matamu ukipata mtu mnaependana😘 Juma Owa Sio rahisi!! Tena msichana aaaah Jumaaaa Muelewe 😘

  • @assaneanliassane4680
    @assaneanliassane4680 ปีที่แล้ว

    Dada yangu nami pia nakuunga mkono, nimekupenda sana, napia uku smart sababu ukuwomba kuchezewa umekwenda direct kuwomba ndoa utaki kuchezewa nawe pia Juma nakuwomba mkubaliye Dada yangu, endapo simjui mi niko msumbiji ila ila amewonyesha kwamba yeye ni mwanamke anayejisitiri nakujiziwiya na ujinga kama walivyo wengine nasubiriya ndoa itangazwe nawatakiye kila la kheri

  • @mjuba
    @mjuba 3 ปีที่แล้ว +4

    Eti kuna watu wanahuruma mpaka machizi tunapendwa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @tamarablack254
    @tamarablack254 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamani...Muoe tuu Juma Lokole...Love from Kenya 🇰🇪

  • @shigangamussa2967
    @shigangamussa2967 3 ปีที่แล้ว +17

    Kwahio juma hana wazazi wakumpeleka huyo mwanamke Mpaka aseme esma na mama dangote wakipitisha

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 ปีที่แล้ว

    Haaaaaaa mji mzito huuuuuu acha nisomee comment from UAE 🇦🇪

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 ปีที่แล้ว +16

    Next week mm nadunda wasafi kumtafuta Mchaga OG.😂😂

    • @kisakim5660
      @kisakim5660 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @leylahleylah4599
      @leylahleylah4599 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣😀😀😆

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว +1

      Victoria nimejikuta 🤣🤣🤣🤣🤣kwa sauti nawe unaenda siyo

    • @victoriadaizy5277
      @victoriadaizy5277 3 ปีที่แล้ว +1

      @@sweetluc2660 kabisa mwenzangu siwachwi nyuma haraka sana kabla mabwana hawajaisha wasafi.😂😂😂

    • @sweetluc2660
      @sweetluc2660 3 ปีที่แล้ว

      @@victoriadaizy5277 🤣🤣🤣mwuwahi Mchanga

  • @mamuwadar3850
    @mamuwadar3850 3 ปีที่แล้ว +8

    Bongo ukifa na stress kupenda mashaallah kueleza hisia sio dhambi😂😂😂👌

  • @sofyiaahmid5539
    @sofyiaahmid5539 3 ปีที่แล้ว

    Ukipendwa vimbaa bhuanaaa💪💪😘😘,me mwenyewe nafikiria nmpende nan huko Wcb🤔🤔

  • @muddyissah278
    @muddyissah278 3 ปีที่แล้ว

    Dada ana sauti ninayoipenda Mimi dah angekuja kwangu ningempa Hadi moyo wangu woote akae nao❤️❤️❤️

  • @shabanimiraji2771
    @shabanimiraji2771 3 ปีที่แล้ว +43

    Eti hadi machizi tunapendwa 😂😂😂

  • @mandelanelson7106
    @mandelanelson7106 3 ปีที่แล้ว +6

    Ni mrembo kweli lakini shida ya Lokole umbea mwingi sana..

    • @everlyneiminza5722
      @everlyneiminza5722 3 ปีที่แล้ว

      Cha ajabu dada kampenda ivo ivo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @fettyobah7855
    @fettyobah7855 3 ปีที่แล้ว

    Heee mji huu kila cku mapya ilimladi taflani tu, haya ngoja nifute mikono maji nisome comments

  • @naimanaima4715
    @naimanaima4715 3 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah

  • @linahsemindu4261
    @linahsemindu4261 3 ปีที่แล้ว +3

    Wanawake kujitia aibu tunayaweza Sana khaaa 🤣🤣🥰

    • @joharymussa5820
      @joharymussa5820 3 ปีที่แล้ว

      inauzunisha kiukwel khaaaa

    • @mwgaadam7261
      @mwgaadam7261 3 ปีที่แล้ว

      Kupenda ukaeleza hisia zako ipo sasa sijui anae pendwa yy ata yapokeaje hapo sijui Kiûkweli

  • @agaaah6697
    @agaaah6697 3 ปีที่แล้ว +9

    Umempenda shoga 😀😀😀😀 huyo sawa na wewe tu

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 ปีที่แล้ว +1

    Movie za mjini bhana zinachekesha sana haya twende kazi

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi3899 3 ปีที่แล้ว +1

    Watoto wa leo jamani mnajiabisha kwa nn hamtulii ??kwa kujirahisisha huko hapana.

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 3 ปีที่แล้ว +19

    Kkkkkkkk mdogo wangu mchaga original umetokelezea balaa

  • @ashuraomar4935
    @ashuraomar4935 3 ปีที่แล้ว +3

    Dunia imekwisha tokea nimealikwa mpaka hii Leo sijapata kumpenda mtu nikamwamba sijui ndio ukosefu wa akili za wanawake wengine.uache kukaa kwako uende mpaka wasafi ukamwambie Juma lokole eti UNAMPENDA mpaka mwenye Juma Amekushangaa...Looooo

  • @saadasimba267
    @saadasimba267 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah juma mpendwa huyu dada na inshaallah umuoe

  • @kamaurehema6763
    @kamaurehema6763 3 ปีที่แล้ว +1

    mchagaa ww Juma hoyeee pia mm nakupenda frm Mombasa

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 3 ปีที่แล้ว +8

    Afu mzuri dada wa watu

  • @mariawafula5866
    @mariawafula5866 3 ปีที่แล้ว +9

    Sasa tusubiri ndoa😂😂🙌

  • @ummutaswaufi3980
    @ummutaswaufi3980 3 ปีที่แล้ว +2

    Ila dada tafuta kaz ufanye na muombe mungu akupe mme mwenye kher hapo kwa juma unajichosha tu zaid atakuzin tu

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 3 ปีที่แล้ว

      Nikweri. Kumpenda wasanii hataswara hawana Miele I viiduku

  • @subiransasi8029
    @subiransasi8029 3 ปีที่แล้ว

    Mm nampenda Mwijaku mwenye kuonana nae amwambie hata tu anizarishe inatosha tuu malezi ntajua mm

  • @madamloveness7274
    @madamloveness7274 3 ปีที่แล้ว +5

    Juma Chizi jamani🤣🤣🤣🤣🤣eti Kuna watu Wana huruma 😂😂😂

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 3 ปีที่แล้ว +15

    Mtoto mzur lakin mashaallah ila juma keshakuchukulia poa bibi

  • @tamashaharuna1833
    @tamashaharuna1833 3 ปีที่แล้ว +2

    Juma juma juma nakuomba heshim hisia za mtu kutoka moyoni dada wa watu kaamua mpaka kujitangaza na Bora umpe majibu sahihi usimdanganye ukimdanganya tu sk ukimchit akikuta petrol inakuhusu juma🤣🤣🤣😅 manake Soo kwa mahaba haya niloyaona kwa huyu binti kila la heri

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 ปีที่แล้ว +2

    Huyo aliyempa pole mke wa Lokole mtarajiwa linaonesha wivu kisa yeye haolewi 😵😵😵😵

  • @hassanrahe1397
    @hassanrahe1397 3 ปีที่แล้ว +39

    😀😀😀staki mm, eti unampenda kweli au utamchezea, kweli bint anaweza mchezea juma au juma atamchezea Binti?

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe 3 ปีที่แล้ว

      Kwani kuchezea ni nini??

    • @mohamedkhamisishilingi628
      @mohamedkhamisishilingi628 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/fuyHYmhyqro/w-d-xo.html

    • @sarahmcharo1548
      @sarahmcharo1548 3 ปีที่แล้ว

      juma atamchezea binti ha ha

    • @judyjudy2758
      @judyjudy2758 3 ปีที่แล้ว

      Juma kasha pata wa kuchezea hapa

    • @tugabiz4286
      @tugabiz4286 3 ปีที่แล้ว

      Hii kauli ya mtu kuchezewa ikoje kwa kweli mbona inanivuruga. Nisaidieni kufafanua kidogo hapo.

  • @amdunsaid1222
    @amdunsaid1222 3 ปีที่แล้ว +5

    Haya majina ya Amina,Neema na Maria 🤔

    • @sanurandune8066
      @sanurandune8066 3 ปีที่แล้ว

      Ata mm naelewa nisomo yangu huyu Amina hua tunafunguka

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 3 ปีที่แล้ว

    EBITOKE NA BEN PAUL SASA HUYU NA JUMA KWELI KILASHETANI NA M BUYU WAKE. NAYULE DEM ALIKUWA AKIMTAFUTA JUX SIJUI ALIPOTELEA WAPI AMA WALIKUTANA KIMIYA KIMIYA NA AKAACHWA DAH NAKUNA YULE WAKUTOKA KENYA ALIKUWA ANAMTAKA MBOSO SIJUI ALIRUDI NOMA SANA

  • @chichimwariwawanyoike4872
    @chichimwariwawanyoike4872 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂Mungu wangu wabongo mtaniua Walai ati kampenda nani?? Wah hii ni tricky Walai hivi wakumbuka @Ebitoke aki penda cjui nani ule cjui@John Paul ata sishikanishi 😂😂😂anyway all the best gal

  • @deega1234
    @deega1234 3 ปีที่แล้ว +21

    aww Juma that's sweet of you.

  • @mename6020
    @mename6020 3 ปีที่แล้ว +7

    Dada una hasara huyu mume mwenyewe ana hobby ya kuwa na mke 😂😂😂😂...

    • @kamalissabig6076
      @kamalissabig6076 3 ปีที่แล้ว

      Mke analiwa na Mume analiwa wote waliwaji

    • @douglassabiti3977
      @douglassabiti3977 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

    • @jeunajuatv817
      @jeunajuatv817 3 ปีที่แล้ว

      hajui kuwa ni mke mwenzie

    • @capteinchuimchafu7894
      @capteinchuimchafu7894 3 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂

    • @mename6020
      @mename6020 3 ปีที่แล้ว

      @@jeunajuatv817 me cjui kama ni mke mwenza hiyo mume tunaemzungumza apa.. Me najuwa tu hana haja ya mke wala kutaman kuowa na uwezo anao pesa anazo...

  • @jamesmuthangia2287
    @jamesmuthangia2287 2 ปีที่แล้ว

    Juma lokole mupatie mtoto aki yake ee my brow thats too hot na umusalimie lion sana we love you wasafi all

  • @maryakiiki562
    @maryakiiki562 3 ปีที่แล้ว +23

    But you people you can make someone crazy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @achouraachoura5763
      @achouraachoura5763 3 ปีที่แล้ว

      Hahaha 🤣🤣🤣😂🤣 Tanzania atuhami🔥🔥

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 3 ปีที่แล้ว +11

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂Bongo jamani Bongo, weeee dada jamani khaaaaaaaa 😂😂😂😂😂😂Yani aibu naona mimi

  • @zuberikamote2078
    @zuberikamote2078 3 ปีที่แล้ว

    Kiki zimewaishia mmea amua kujakivingine analia aibuu au atakua Binti zimemrukaa☹️☹️☹️Maisha magumu ,Atatombwa mpk kuma ichakae na haolewi☹️☹️😳😳

  • @adorostakatikiro2247
    @adorostakatikiro2247 ปีที่แล้ว

    Jamani siku izi waogope wasichana wanatumwa kuzimu kukuaribia maisha . Mpeleke kwa kuhani Musa kwanza

  • @galary8688
    @galary8688 3 ปีที่แล้ว +9

    Acha namie nikuje bongo nkufate ww OG MCHAGA🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @nazaretimwamba2416
    @nazaretimwamba2416 3 ปีที่แล้ว +8

    Mdada mzuri kabisaaaa uwu njo mke juma 🇧🇮🇧🇮

  • @annwambugu9578
    @annwambugu9578 3 ปีที่แล้ว

    Waaah na ako na penzi kweli coz anaangalia Juma Ana smile kabisa lakini dada Ni mzuri kabisa

  • @veronicahquithern8083
    @veronicahquithern8083 ปีที่แล้ว

    Tanzania kuna matatizo mengi sana, tangu nini mwanamke unaenda kuambia mwanaume unampenda

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo5234 3 ปีที่แล้ว +16

    Namachizi nao tunapendwa🤣🤣

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 3 ปีที่แล้ว +1

    Utamuweza juma uyu ana mengi juma mbongo kuna vituko kutwa kucha sihame miye 😀😀😀 juma owa uyo njoo mkee mzuri juma una mpendaga dada yako esma mashallah ♥

  • @hamidbhos8297
    @hamidbhos8297 3 ปีที่แล้ว

    Jumaa fanya nusra huwezi jua mungu kakupangia nn

  • @ramadhanjuma6257
    @ramadhanjuma6257 3 ปีที่แล้ว +4

    Ss mchaga namm nikija apo nataka kuonana na Simba tu ss munikatalie tutauana

    • @kassimmambo2279
      @kassimmambo2279 3 ปีที่แล้ว

      Jamani ukifa mapema unakosa nengi😀😀🥱🥱🥱

    • @saumsalim9966
      @saumsalim9966 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @linahcharles3981
    @linahcharles3981 3 ปีที่แล้ว +24

    Hehehe 😂😂🤣🤣 wonders shall never end waaah wabongo u gonna kill us

    • @aminachaka4586
      @aminachaka4586 3 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga

    • @linahcharles3981
      @linahcharles3981 3 ปีที่แล้ว

      @@aminachaka4586 Wallah ntaliliaje somebody I just know kwa kumwatch kwa TV au simu 😂😂😂😂😂 ghai like seriously...

    • @ayshasulaiman5026
      @ayshasulaiman5026 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahahahahahaha

    • @costanciazacharia2144
      @costanciazacharia2144 3 ปีที่แล้ว +1

      Jamani

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 ปีที่แล้ว

      Huyu mchaga mwenyewe a nameza mate kwa Amina (Mashaallah)

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 3 ปีที่แล้ว

    Heri nusu shari kuliko shari kamili alafu mchaga leo katokelezea utadhani kaambiwa ndoa leo🤣🤣🤣🤧🤧

  • @mohamedmuhajiri4690
    @mohamedmuhajiri4690 3 ปีที่แล้ว

    Bongo nyoshaa yani hii nchi uchumi unazidi kuporomok coz wengi wetu tumeendekeza san..mapnz

  • @iddimeki4282
    @iddimeki4282 3 ปีที่แล้ว +12

    🔥🔥🔥🔥