Sheikh Rusaganya ACHAFUKWA Na Wanaume Wa Aina Hii "Kufanya Vitendo Hivi Wewe Ni DEMU Na Uhanisi"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
- #QiblateinOnline #2024 #Islam #Tanzania #Mapinduzi
Follow Us On:
INSTAGRAM: / qiblatein_onlinetv
FACEBOOK; www.facebook.c...
TH-cam; / @qiblatainonline
Mashallah Mungu atakulipa Shekhe tusemee vijana tunaharibikiwa kwa utamaduni wa kuiga Allah atusamehe 😢
Allah akuhifadhi sheikh wetu
umesema ya haki Allah akulipe
Umesema kweli sheikh wangu, nakukubali sana
ALLAH('AZZA WAJALLA) AKUHIFADHI SHEIKH WANGU
Innaalillah wainna ilaihi rajiuun kwa kwel inahuznisha. Allah atuongoze ktk njia ilonyooka. Amiin
Unaseme kweli Mungu atuongoze ktk njia ilinyooka, sasa njia ilinyooka ni Yesu kristo, uyo neno la Mungu linasema ndo njia yakufika mbingu, ukimufwata huyo Yesu kristo lazma utafika, ila ikikoseya Yesu kristo kumu amini kama yeye ndio njia, lazma mbingu uta ikosa, wa Islam fateni Yesu kristo waca mambo ya ki dini
Allah akupe umri mrefu sheikh rusaganya... Following from Mombasa Kenya
MashaAllah tabarakaAllahu..Mungu awaongoe shall zetu inshaaAllah
Subhanallah.Allah akbar
Kwel kabix shekh hap umeongea ukwel mtupu big up mwalimu
Mashaallah tabarakaah
Shukran Sheikh wetu mawaiza mazuri
Mungu akupe afya njema
Mungu akupe pepo inshaallah
Allah akupe Maisha mrefu na akujalia jannah
Maashallah sheikh Wang karibu sisi kwa sisi manzese tumekukumbka sana!!!!
Mungu akujalie shekhe
Shukran shekhe kwa ukumbusho Allah akulipe na atujaalie kubadilika inshaallah
Shukran shekh allah akujazi akuhifadhi akulinde akupe na afiya njema akujaliye na kula lakheri nakuomba shekh wasaidiye na hawa mbwa wanao uwawa siyo haki kuna sindano zao na hawapati chakula binadamu wengi wamekosa imani wajiyona niwao tu ndiyo wanao faa kuishi hayawani kwao hawana haki wanahaki kwa allah aliwaumba akawaleta duniyani siyo haki kuwauwa namna vile
Mungu akujalie baba
Shukran 😢
ALLA Akupe kila lenye kheri sheikh wetu akulinde ha Sahara na ubaya pia. Ahsante kwa kutueleza yanayofaa. Wanaume wajirekebishe .
Subhannallah! Subhannallah! Subhannallah!
Inalillah wainna ilaihi rajiun shukran ya sheeh
Allah akujalie inshaallah
Allah akulipe kheri shekhe wangu
Swadacta Allah akulipe na akuhifadhi
Subhanallah
Nikweli Kabsa Shekhe Wangu Hakka Mwenyez Mungu Akuzidishiee Uzmaa Na Afyanjemaa
Shukran sheikh waambie ukweli na kuna masheikh wengine wanaenda kwa hao hao ati wanaombea duwa wao na watoto wao wainje ya ndoa
Usema kweli mtumishi barikiwa sana,
Mimi sio mwislamu lakini nakerwa sana na macheni na mapete ya kishetani yanayovaliwa na watoto wakiume pa moja watoto wake,
Minguni tutafika tumechoka sana
Shekh asante kwa kusema ukweli
Alla akulipe kwa kutupa mawaidha Allah Akibar
Allaahu Ak'bar ! Allaahu Ak'bar ! Allaahu Ak'bar
Subhanallah.yaani Dahh!!!!!
Subhanaallah
Mungu akujarieee
Yaarab 😢😢😢😢 tujalie mwsho mwemaa
Ujumbe umewafika
Waambie kweli shekhe wamezidi hao
😢 Innah lillah wa innah ileikh rajiuun
Alla akulipe kwa kutupa mawaidha Allah Akibar ❤❤❤❤
Mashàallah sheikh
❤❤ Allah akbar
Mashaallah
Innalillah wainailayhi raajiuun Allah atupe hidaya ya iman
Mainshallah babu yngu Ashimu Ruzzaganya
Yaaraby tuongowe katika njia ilionyooka
Sheikh wallahi msiba huo kwa vijana wa kisasa
Allah kulipe kwakutukumbusha
Sub-hana llah
Mmi mwenyewe kiongozi nasikitika sana! Ni ushenzi!
Subhaallaah Allaah akuhfadh OST z
😢Allah akulipe
MashaAllah sheikh Hashim rusaganya
Mashallah kheri ishallalah
Mashallah shkh
Mashallah best shekhe
Allah akuzidshie barakha
inailillah wainalilah rajauni 😢😢😢😢😢😢
Mitihani lkn kizazi chetu kinaharibiwa na mazingira, tujipange na elimu ya mazingira sana wote hao wana jua dini kiasi ila mazingira yametuteka sana
Afadhali Sheikh umetaja hilo wengi wamelifumbia macho LINAKERA MNO WALLAHI JAMANI WAISLAMU TUNAELEKEA WAPI
Hiyo ni kweli sheikh
SubhanaAllah
Ety mpaka mmfee subhanallah
Shekhe sema sana lakini huo ni ulimbukeni na niushenzi mkubwa tuwaombee duwa wafe na wafuasi wao wanaowaelekeza kufanya hivyo
Wengine wakiume wametoboa pua af wanajiita tembo sasa sijui tembojike
😂😂tembo 💍
😂😂😂😂hatari kweli kweli
😂😂
Wasengee tuu watu wengi wanadhania usenge ni kufirwa ilaa hata kujivesha mapambo ya kike ni usengee
Mbona wasahau simba tangu lini simba akavaa vipuli
Mim ni mfurs nasijawai ona hii kitu anayoasema uyu sheikh urwmbo urisiwe na mtoto wakiume ebu muulizen uyu sheikh anawajua wafurs ni watu wa taifa gan apa anasema wazungu wafurs inaonekana ana miemko ya allah lakin hasomi natinalit za mataifa ya watu mbali mbal ujumbe mzur sanaaa allah ambarik ila amekosea hapo katika uzungu na ufurs
Hujamuelewa vizuri
Masha anlla
Masha Allhwa 😢😢😢
Amin
❤❤
😢😢wallahi
Im not a muslim but you are talking the real rot in the society. I hate it seeing people behaving this way
Sheikkh ni kweli maana watoto wetu wakiafrica wanesahau.mila natamaduni zao.
Mtuhani sana. Sikuhizi
Alla akulipe kwa kutupa mawaidha Allah Akibar ❤❤❤❤😅
INALLILAH WAINAILAH RAJIUN
Subuhana la
Wanafanya kazi za Yule Joka wa zamaniiii
Sheikhe umeongea wanaume wanaharibika wanajifananisha na wanawake jamani jamani muislam,,anaiga mila za watu,Allah atuongoze
Anlla akuzalie
Nikweli mzee
tunaiga akina turgut bey Osman bey walikua wanavaa pete dole gumba
🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
❤❤❤💯💯🤲🙏
th-cam.com/video/ouYAcZJtItk/w-d-xo.htmlsi=6SwmJD3jhtoAw2mq
Ona hii asara na usheitwani
Masheikh kama nyinyi ndio tunao wataka Chana Sheikh Achana na mashoga
Zote biashara matangazo dalili hzo ni uchoko
We mshamba
Ndio mnaowatetea nakuwajingia msikiti, watengeni acheni njaa
اللهم يوفقك فى تبليغ الدعوة
Diamond papai
Wengine chupi wanatuwekea mlango na mabos zetu yani ukiamka unakutana nayo na si mume wako nyie 😢
Mwambieni diamond
Kama niwakuskia ataskia tu inshllah lengo nikujenga sio kubomoa nilivyomfaham shehewetu
Mapapai hao
Mashehe wte wangekua km huyu ingekua raha watu wangenyooka tu lkn ao wengne wanakesha kuomba missada kwa hao wasanii
Warembo wa kiume Akina mondi
😂😂😂😂haki siyo ya kucheka lakini yanatia hasira
Kwelii wasanii wengi wa bongo flaver ni machokoo
😢
Hatari shekhe watu wanafanya mpaka tattoo shekhe Haram
Upo sahihi hao ni mashoga 😭😭😭
Kwa mawaidha yako uko sawa, ila usijiingize kwenye siasa
Huyu hanaga siasa anasema ukweli..kwa yyte yule hata iwe mwanasiasa muradi kaleta mambo mabaya
Bonge la shekhe..wembie hao mwaka mpya sisi unatuhusu nini
Ukafiri umetawala shekhe