#DIDKENYALOSETOTANZANIA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 137

  • @4806lency
    @4806lency 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aki Kenya hatutaki ku dominate in anything, we just want to better our lives in all sectors, miradi zote zinafaa kulenga mwananchi wa kawaida that's why we keep on fighting, sio juu yenu but sisi,eish

  • @DerickKiondo
    @DerickKiondo 3 วันที่ผ่านมา +6

    Kenya ina SEZs kibao all over the country na zote ni massive kuliko iyo sinotan mfano ni naivasha,ndogo kundu ,Nakuru ,Nairobi na zingine kibao ongea facts bana

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Wapi Kuna uongo Arif ..nmezungumzia mbili tu or ulikuwa unashauri nzungumzie zote? Nakuja huko

  • @MASAGATOURGUIDE
    @MASAGATOURGUIDE 3 วันที่ผ่านมา +2

    Kaz nzr sana na funzo tunalipata Trojan brother

  • @our10picks18
    @our10picks18 3 วันที่ผ่านมา +2

    Wow! 😊 The fact that Tanzanians are so obsessed with everything Kenya shows just how Tanzania looks up to Kenya as its big brother and Kenya keeps setting the bar very high for Tanzanians to emulate and finally reach its ambitions, most of which Kenya achieved decades ago! 👍
    Otherwise love from Kenya 🇰🇪 ❤

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Kiingereza hicho boss kikali sana 😀😀

    • @eddyvillejracamosie5562
      @eddyvillejracamosie5562 2 วันที่ผ่านมา +1

      You have achieved none Manze, eti umeachieve tayari?. If that’s so, why are you guys so poor that most of you can’t even afford sima na sukuma?. Na sasa you are protesting day and night due to life hardening. Relax manze, acha ku-flex wakati nguvu hauna 😂😂😂

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      @eddyvillejracamosie5562 haha

  • @wilfredemayot6969
    @wilfredemayot6969 2 วันที่ผ่านมา +2

    How can an industrial park be built within three years ? Can that be achievable? I doubt that

  • @vickymo.2-studio
    @vickymo.2-studio 3 วันที่ผ่านมา +3

    Atlist hii ya leo umejaribu sana kutokuwa bias

  • @YASSEENIDRISS
    @YASSEENIDRISS 3 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa hivyo tanzania inategemea Sana blueprint ya Kenya,ndio maana tanzania inafanya miradi mingi ambayo Kenya inafanya,, tofauti Ni kwamba ya Kenya Ni mpango Wa vision 2030

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      😮😮

    • @ngamaizinzi3987
      @ngamaizinzi3987 3 วันที่ผ่านมา

      Sio kwel, presenter ndo kaiweka kwanamna hiyo, ndo maana tunarakiwa kuwa makini sana tunapoongelea vitu.
      Hii mipango na project zinazofanyika Leo Tanzania ni mipango iliokuwepo zaidi ya 30-40 iliyopita. I'm sure hata kwa Kenya n hivyo hivyo. So nchi moja ikitangulia kutekeleza project flan , haimanishi nchi nyingine ikija kutekeleza Leo eti inaiga kwa nchi nyingine 😂
      Example, kujenga sgr Tz vision iliokuwepo tangu awamu ya Mkapa lkn imekuja kutekeleza kwa haraka na Magufuli.
      Example, nyingine Tanzania tumejenga brt project tangu 2012 , Kenya wakijenga brt Yao tutasema wameiga Tz?, unafikiri Kenya hawakuwa na hiyo vision ya kujenga brt kabla ya 2012?.
      Kwahiyo Tz wasijenge barabara coz Kenya wamejenga wa kwanza, kwahiyo Tz watakuwa wamewaiga Kenya? na Kenya wasijenge hydroelectric power energy au modern bus terminals coz Tz wakijenga kwanza.na kufanya hivyo n kuiga Tz?😂

    • @HansChuma
      @HansChuma 3 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂 unacheza wewe tanzania hainaga SHOBO hiyo

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      @HansChuma 😃

    • @ngamaizinzi3987
      @ngamaizinzi3987 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@tanzanianexplorer Wacha kufuta comments. Hutaki opinions za watu futa video kwa TH-cam.Bure kabsa

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazungu waliijenga Kenya,Magufuri akaijengavTanzania. Tanzania is bigger

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา +2

    Hivi sasa Uganda nao wanajenga SGR yao ili kuiunganisha na SGR ya Kenya kupitia mji wa mpakani wa Malaba

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 2 วันที่ผ่านมา +1

    Wazungu walibeba sana kenya ilikwa kamalango kuu la kibiashara magufuli sasa tuna washenyenta

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา +1

    Tafauti ya SINOTAN na TATU CITY ni kubwa. Sinotan ni eneo dogo la viwanda ili hali TATU CITY na KONZA CITY ni Miji mikubwa mipya ambayo inajengwa pole pole kama vile Dodoma City sababu ya gharama kubwa. Bila shaka inachukuwa mda kujenga Miji ukilinganisha na eneo la viwanda kama SINOTAN

  • @patrickochieng79
    @patrickochieng79 3 วันที่ผ่านมา +3

    But bro me nikona Swali moja tu ushawai fika Kenya kweli....cos Kenya is so far my brother.. I've stayed in tz for 7 years ....am telling you bado mbali sana..I would say tz kwa basi tu na reli ya stima tu ..vitu vingine tuachie sisi kama mabingwa

    • @ZuberiKafashe-mi2wr
      @ZuberiKafashe-mi2wr 3 วันที่ผ่านมา

      Hauna ubigwa wowote bro kwa wakati huu kaeni kwa kutulia kitu ambacho kimetuchukua sisi ni miundombini ya barabara kujenga. Huko tumeshamaliza kwa hiyo inchi umefunguka inchi inaenda kwa speed ya 180.
      Huku kenya mkirudi nyuma kwa speed ya 220 .rushwa. maandamano.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Asee

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Asee

    • @highlife6779
      @highlife6779 2 วันที่ผ่านมา

      Tz umekaa wapi mkuu😂😂😂

    • @saimonmanyerezi7169
      @saimonmanyerezi7169 2 วันที่ผ่านมา

      You are so far as Kenyan but maneno yako yanapingana na ya Rais wako,sio sisi Watanzania tuliojilinganisha na ninyi.

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

    Explore with Trojan hakika sioni sababu ya kuleta mashindano baina ya Kenya na Tanzania. Hizi nchi mbili za Afrika ni ndugu na zote bado zinapambana na changamoto za nchi zetu changa.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      Au sio... Mashindano huleta challenge ya kukua zaidi na ndio maana hata wanafunzi Huwa wanakuwa graded... Wa kwanza Hadi wa mwisho

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

      @@tanzanianexplorer Shida ni kuwa watu wengine wanapandisha hamasa na kuwanza vita ya kijinga ya mitandaoni kila moja anavutia kwake. Ata wengine wanatusiana kwa ubishani wa kijinga

    • @bene28april
      @bene28april วันที่ผ่านมา

      Tulia wewe upewe dozi

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา +1

    Sikubaliani na kauli yako kuwa Kenya na Tanzania ziko kwenye vita vya Kiuchumi. Nyie mbloggers ndiyo mnaojenda hiyo dhana kwa manufaa yenu wenyewe

  • @leonardmutai1483
    @leonardmutai1483 2 วันที่ผ่านมา +1

    You don't compare industrial park with a city

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kenya iko na Bandari nyengine mpya huko Lamu inayounganisha Kenya na Uganda , Ethiopia na Sudan Kusini na inalenga kufika Chad.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      Asee

    • @frankmahenge5943
      @frankmahenge5943 2 วันที่ผ่านมา

      Kwa Africa mashariki bandari ya Darsalama ndio Top

    • @jimmyodari5487
      @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

      @frankmahenge5943 hayo ni maoni yako binafsi. Hebu fanya Utafiti kwa Google

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      @jimmyodari5487 au sii

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      @frankmahenge5943 asee

  • @MarkOcholla
    @MarkOcholla 3 วันที่ผ่านมา +1

    Huyo jama ako na ufala sana kazi yake ni kulinganisha vitu ujinga mtupu

  • @eddyrandu3127
    @eddyrandu3127 2 วันที่ผ่านมา

    Sontan ni industrial area. Tatu is a city. Utalinganisha vip

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      Tazama na uelewe...ndo uulize. Au kiswahili inakupa shida?

  • @DonOkwaro-by7lt
    @DonOkwaro-by7lt 2 วันที่ผ่านมา

    Never compare Mombasa port to dar es Slum port

  • @DonOkwaro-by7lt
    @DonOkwaro-by7lt 2 วันที่ผ่านมา

    Go check the blue prints of tatu city there's nothing in Tanzania comes close to it 😂😂 we've not even mentioned konza city and dongo kumdu SEZ 😂😂

  • @Patriot_kenyan
    @Patriot_kenyan วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania is so beautiful, Kenya seems to be 10 years behind Tanzania in developments. Congratulations Tanzania 🎉 keep going ❤

    • @pinchesmbuche4354
      @pinchesmbuche4354 วันที่ผ่านมา

      Kizuri cha jiuza patriot Kenyan

    • @GengeMauMau
      @GengeMauMau 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mtanzania_Mzalendo Keep pushing this trolling, unatumia jasho nyingi sana 😂. Bado haulipwi pesa ni hi chumvi yote umejaza kwa mtandao 😂😂😂

    • @Patriot_kenyan
      @Patriot_kenyan 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @ go back to gatundu

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

    Explore with Trojan huko Kenya hizo Industrial Parks na Special Economic Zone kama SINOTAN ziko nyingi tu, ata ni karibu kila mji mkubwa

  • @kilimanjaroflavour
    @kilimanjaroflavour 2 วันที่ผ่านมา

    Ila kusema kweli kama sio Mzee magu kutuamsha ungekuta TZ leo tuko nyuma ya uganda kiuchumi kwa uovu uliokua unaendelea miaka nenda rudi.

  • @InsideSouthAfrica247
    @InsideSouthAfrica247 3 วันที่ผ่านมา

    Sinotan wanajenga mijengo old school design not modern... But let's wait and see juu bado it's new

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

    Ungelinganisha SINOTAN mradi na Industrial park ya NAIROBI GATE INDUSTRIAL PARK . Mradi wa Tatu City malengo yake ni tofauti kabisa na huu mradi wa SINOTAN Tanzania

  • @Babygalndanu
    @Babygalndanu 2 วันที่ผ่านมา +1

    This your title of whether Kenya is losing to Tanzania is meant to give tanzanians false hope 😂. That it's overtaking Kenya by giving biased opinions and making those who have never travelled the two countries to compare for themselves believe you. Not cool!

  • @felixaloo
    @felixaloo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna Nairobi gate sez

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 วันที่ผ่านมา

    Huoni sahii kulinganisha tatu city na industrial park ila unaona sahihi kulinganisha wakenya wanajua kiingereza kuliko watanzania?.

  • @YASSEENIDRISS
    @YASSEENIDRISS 3 วันที่ผ่านมา +1

    Alafu sidhani inafaa kulinganisha tatu city Na maradi Wa industrial park Ni tofauti Sana,,,,Ila Kuna mradi unaitwa Naivasha industrial park mkubwa Sana ndio inafaa kulinganisha Na huo wa tanzania

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Okey

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂Hiyoo Naivasha Ina viwanda vingapi tucheke kwanza nendeni barabarani huko mukamtoe kasongo Raisi mwizi Duniani

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 วันที่ผ่านมา +1

    Wa kenya kazi yao Kubwa ni politics, ukabila, kuchoma moto majengo ya serikali, kupora bidhaa za wafanyabiashara na maandamano. Mnategemea kuendeleza miradi yenu kwa uhuni wa aina hii? Wadhibitini vjijana wavuta bangi na mirungi.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Asee

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 3 วันที่ผ่านมา

      Na bado GDP yetu iko juu 😂😂😂😂😂maandamano is part of our constitution 😂😂to put pressure kwa maendeleo for common mwananchi...nyinyi ni watu waoga 😂😂 hamuezi kuandamana😂😂😂😂mnajifanya mko sawa😂😂😂😂😂😂na bado nchi yenu iko nyumaaa😂😂😂GDP says it alll😂😂😂😂😂😂😂

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      @emmakicham4664 GDP haha

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 3 วันที่ผ่านมา

      Oe watazamavi si mbaki na upole wenu na huku Amna saut yoyote hata baya likiwa amuwezi sema maana mwagopa kufa sie tuacheni tunyoroshe taifa letu Namin ipo siku litakua swa then matunda mtayaona nyie wapole mbaki na maendeleo kibao...

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      @mohamedsuleiman1222 wataza what?

  • @martinezzkenya1716
    @martinezzkenya1716 3 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania ni kuiga chenye Jirani wanafanya ..😂😂usibishane na ndovu kunya utapasuka musamba Tanzania🤣🤣🤣🤣

  • @anthonyjohn-sm5tb
    @anthonyjohn-sm5tb 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania jaribu angalau kufahamu unacho sema usilete porojo Kenya Kuna special economic zone nyingi sana Sasa hapo Tanzania ni hiyo sinotaki haya karibu Kenya ili ukafahamu usiyoya jua kwani utaishia ukitapatapa bure hebu katembele naivasha babu au nenda machakosi na na Bado hizo baadhi ya sehemu mbadala za zili zopo baado zengine kibao.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      Tanzania pia zipo kibao..washa notification zitakufikia soon nikipost kulinganisha tena zingne

  • @jimmyodari5487
    @jimmyodari5487 2 วันที่ผ่านมา

    Ni vizuri uelewe kuwa hapa wewe unalinganisha miradi miwili yenye malengo tofauti. Kenya hivi sasa iko kwenye harakati za kujenga miji mitatu mipya na sio ya viwanda peke yake bali ni miji ya Kiteknologia. Hii miji na Konza City , Tatu City na Oakland City. SINOTAN ni kasehemu kadogo mno ka Viwanda tu.

  • @fredsabora2543
    @fredsabora2543 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania kazi yao ni kucopy vitu Kenya walishafanya miaka 100 iliyopita

  • @DenisAduvaga-k2q
    @DenisAduvaga-k2q 3 วันที่ผ่านมา +1

    tatu city mji ambao unajengwa iko na kila kitu ndani yake tatu city si industry park

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Au sio

    • @emmakicham4664
      @emmakicham4664 3 วันที่ผ่านมา

      ​@@tanzanianexplorerTatu city sio industrial park😂😂😂😂 wueeh wabongo trying so hard😂😂😂😂😂

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      @emmakicham4664 research and visit their website

  • @kevinochieng6458
    @kevinochieng6458 2 วันที่ผ่านมา

    Hawa majirani wako nyumba sana, hata reasoning yao ni ile ya chini sawa.Masomo uko ya critical thinking nikama rocket science kwao

  • @philimonkitosi8604
    @philimonkitosi8604 2 วันที่ผ่านมา

    Tanzania tupovizuri kunaviwanda vyakilaaina ila nyinyi wakenya nindugu zetu hatuta waacha njaa iwauwe tutawasaidia ijapo mnatuponda kwamba hatujui kiingeza sisi hatujali hivyo tunajua mnatutania tu nyinyi ukweli wenu mnaujua kwamba tazania ni baba wa kenya

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 วันที่ผ่านมา

    Tanzania kwa sasa haiwezi kuitegemea kenya kwenye product za viwanda, tz ina viwanda vingi, issue ya chakula ni kenya ndio wanaitegemea tz kwenye mahindi Michele nk, Kenya mnaangamia kiuchumi.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Asee

    • @Vegasboy254
      @Vegasboy254 2 วันที่ผ่านมา +1

      Yani bado tukiwaonyesha tumewapita bado mnasema tunawategemea kwa chakula uliskia wapi😂

    • @frankmahenge5943
      @frankmahenge5943 2 วันที่ผ่านมา

      ​@@Vegasboy254 kweli ikitokea mipaka ikafungwa Kenya njaa itawa ua afu Tz maisha sipo

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  2 วันที่ผ่านมา

      @frankmahenge5943 haha

  • @PabloDallas255
    @PabloDallas255 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kenya wakaze bana 🤣 tumechoka kuwapita kila kitu.....bado hako ka GDP 2028 tunawapora na enyewe

  • @FredyMwaijande
    @FredyMwaijande 3 วันที่ผ่านมา

    Tanzania ni bora

  • @The2000.
    @The2000. 3 วันที่ผ่านมา +1

    You really need to travel ignorance is so bad

  • @mohamedihamisi292
    @mohamedihamisi292 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂😂😂😂hila wakenya ukisikia wanavyojisifia humu ndani utasema labda nchii yao ipo ulaya kumbe hapo tu kibera na Mathare njaaa na ukabila inawatesa

    • @erikoyugi8094
      @erikoyugi8094 วันที่ผ่านมา

      Hiii unasema ni uongo....Mathare ina kabilq zote bana....what you guys are talking about kwa ground ni different kabisaaaa

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  วันที่ผ่านมา

      Haha

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  วันที่ผ่านมา

      Kiswahili kigumu eeh kuelewa?

  • @Purity-j5j
    @Purity-j5j 2 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 3 วันที่ผ่านมา +2

    Tanzania kwa sasa haiwezi kuitegemea kenya kwenye product za viwanda, tz ina viwanda vingi, issue ya chakula ni kenya ndio wanaitegemea tz kwenye mahindi Michele nk, Kenya mnaangamia kiuchumi.

    • @tanzanianexplorer
      @tanzanianexplorer  3 วันที่ผ่านมา

      Au sio

    • @mohamedsuleiman1222
      @mohamedsuleiman1222 2 วันที่ผ่านมา

      @@SalvatoryMtunga walazimisha umarufu kwl polepolen msije mkaenda kwa DD si mwezenu alienda

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 วันที่ผ่านมา

      ​@@tanzanianexplorersiyo au siyoo ndiyo ukweli sikumbuki Mara mwisho kutumia bidhaa ya Kenya ni lini natumia bidhaa ya Tanzania tu na kidogo south Africa kuanzia maziwa mpaka sabuni

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 วันที่ผ่านมา

      ​@@mohamedsuleiman1222kulazimisha Acheni kuleta bidhaa zenu uone Kama Tanzania itangaika nenda kauzie Somalia huko