Hili silojambo rahisi kulinganisha Mwanza na mji wa kisumu, ... Nimetembelea miji zote mbili na kwa maoni yangu kuwa kulinganisha miji hizi mbili ni utoto... Kimaendeleo Mwanza iko hata ya Karne mingi nyuma ya mji wa kisumu... Kisumu kwa kidogo tutalinganisha na dar,
Mbn cjaona ccm kirumba,rock city mall, airport,jpm bridge,bandari MWANZA kusin na kasikazin,stand za mabasi Kifupi Kisumu hata nusu haiifikii MWANZA tukianA na idadi ya WATYU na vingine
Fanya bidii ujue kingereza, kingereza ni lugha yenye hadhi kubwa duniani kuliko Kiswahili, Kiswahili kinazungumzwa afrika mashariki pekee, Kingereza ni kote duniani, koma kutulaumu kuhusu kingereza, tuna matatizo yetu Kenya na tunajizatiti kurekebisha.
@@chrispinusshibona4118ujinga mtupu, china hawajui kingereza lakini sasa ndio namba moja kimaendeleo, hata urusi n.k ingekua kingereza ndio kila kitu msingeandamana kwasababu ya kilo ya unga wa sima umepanda na bei ya mkata.😛😛😛
@@King_186 VERY TRUE, KAPITA JUU AERIAL VIEW HSKUONYESHA HIZO BARABARA MBOVU. JPM BRIDGE IS A BIG PROJECT, NOT MENTIONED AT ALL. THERE IS BIAS IN YOUR PRESENTATION.

@@tanzanianexplorerKijana unaleta uhasama ila huwezi juwa kwa sababu unazozijuwa wewe,si kila kila masikini anapenda kuna mengi nyuma ya pazia tuletee (MSUKULE)tujifunze pia kigoma
Nimpenda hii video haina mambo mengi kwenye utangulizi safi sana, japo kuna sehemu nzuri nyingi ungesaidia kuongezea. Kwenye kufanya wale wanaotaka kujifunza na wale watafutaji inaweza wasaidia kufikiri kuja kutafuta mfano. Comparisons za miundo mbinu za hospital pamoja na level zake kwenye services wanazotoa, Universities, barabara na madaraja yake mfano mwanza daraja la magufuli busisi ambalo ndio daraja refu zaidi afrika mashariki lililopita ndani ya maji.. daraja la furahisha, airport, buses station, hope kwa upande wa kisumu navyo vipo. Nje ya hapo nimeipanda sana
Ameacha maksudi anajua hapo Tz tumewazidi. Wao Chuo Kikuu kimoja sisi tuna Bugando zonal hospital na Chuo cha Drs .& nurses nk. Huyu kaelekezwa na wenzake kuwa asijochoreshe. Hslafu jskuna view ya Mwanza aliyo onyesha akiwa jirani hivyo kukosa kuona uhalisia wake
Haina haja ya kuweka daraja Kisumu, ardhi yenyewe Iko shwari, Tanzania na Uganda ndizo zinazomiliki sehemu kubwa ya ziwa Victoria, Kisumu Kuna vyuo vingi havijatajwa, kwa mfano Chup kikuu cha Maseno, chuo kikuu cha ufundi cha Kisumu, Chuo cha Nairobi kina tawi lake Kisumu, Chuo cha Kenyatta kina tawi lake Kisumu n.k. upande wa hospitali Kuna, Hospitali ya rufaa ya Kisumu, Agha kan n.k. ukweli ni kuwa upande wa Barbara Kisumu ni Bora zaidi kuliko Mwanza. Mpangilio wa Kisumu unashinda ule wa Mwanza, hivi Sasa Mwanza ina watu 1.2 M na Kisumu ina watu 480,000, Yani watu wa Kisumu hawajafika nusu ya wale wa Mwanza, Kisumu ni Jiji la Tatu kwa ubora wake Kenya ilhali Mwanza ni Jiji la pili Tanzania. Kwa maoni yangu ni kuwa Kisumu ni Bora kuliko Mwanza haswa ikizingatiwa kuwa Kisumu ina watu wachache ambao wamejikaza kujenga Jiji likafikia viwango vya kulinganishwa na Jiji la Mwanza ambalo lina watu wengi ila ujenzi na mpangilio wa Mwanza hauna mvuto kama ule wa Kisumu.
Hiyo kisumu ulipaswa ulinganishe na Mbeya jiji la 4 kwa ukubwa Tz lakini sio mwanza,mwanza labda na Mombasa sawa,maana hata Arusha huwezi ilinganisha na kisumu chuga bado ina hadhi,so maoni yangu kisumu vs mbeya.
@@AmosiTimoteo hii mbeya unayotaja ni mambo ya aibu sana! Picha za Mbeya nko nazo na inakaa kama kambi ya wakibizi maana mji wote ni slums! Mwenye hii youtube account sababu hii ndio kazi yake anaijua Mbeya wala haezi fanta makosa ya kupost hio kitu hapa juu dunia mzima itajiuliza ilikuaje hadi refugee camp iitwe city..
Ata wewe type maoni yako 😂 but for me as a Kenyan I must tell you Kisumu is developing outside the CBD ,Kuna housing projects kubwa moja Iko karibu kumalizika so Kisumu is a solid city projects za
Nawashangaa Watanzania Sasa, mnalaumu mwenzenu kwa kile alichoonyesha? Kenya tutamuelewa maanake huyu anaupendeleo wa kuegemea Tz kwa hivyo hata akionyesha asilimia Moja ya Kisumu na awadanganye kuwa Mwanza ni Bora Bado tutaweka macho tunyamaze manake anapende ubishi
Wantanzania kwani hamna mtandao na data? 😂😂😂 Mbona kutafuta views Kenya kilasiku, hizo video zako zingine za maendeleo Tanzania hazina ladha lazima utaje jirani? 😂😂😂 Tafuta kazi kaka.
Watu wenyu wenye wanafanya Videos kama hivi huwa wanatafuta views kwetu?nyie wasenge mkifanya nini sawa wakifanya wengine wanatafuta views,kenge wewe peleka ushoga huko
Mwenye anasema mwanza inaishinda Kisumu ni kua mzalendo tu lakini infrastructure na majengo Kisumu ipo juu sana. Pia Kisumu ni safi hata ukiwa chini! Wale wanasema Mwanza iko sawa wanasema lakini kwenye moyo zao wanajua Kisumu iko fine!
Unajiona wa maana ilohali pua yako ime angalia chini,unatusi nchi nzima ya kazi gani???jiheshimu na utajiri wako,vyakula,magari na hata kama umemiliki dunia nzimaaaa
Hey bro do u know wasomi wengi hapa africa ni from Kisumu
Au sio
Kisumu well planned and well built
Okey
Sure bro
Hili silojambo rahisi kulinganisha Mwanza na mji wa kisumu, ... Nimetembelea miji zote mbili na kwa maoni yangu kuwa kulinganisha miji hizi mbili ni utoto...
Kimaendeleo Mwanza iko hata ya Karne mingi nyuma ya mji wa kisumu... Kisumu kwa kidogo tutalinganisha na dar,
Duuh
Mwanza iko pouw zaidi
Okey
Mwanza tuko vzri sana
Au sio
Miundo mbinu kama roads and building kisumu iko juu ya mwanza... But mwanza is naturally beautiful.... And mwanza is small compared to kisumu
Au sio
Kisumu ni Kijiji kwa mwanza
@EmanuelRyoba ohoo
Mwanza mwanza
Au sio
Mbn cjaona ccm kirumba,rock city mall, airport,jpm bridge,bandari MWANZA kusin na kasikazin,stand za mabasi
Kifupi Kisumu hata nusu haiifikii MWANZA tukianA na idadi ya WATYU na vingine
Au sio
Ni sawa kinara Mwanza mbele
Mwanza inakaa to kama eldoret kenya😂
Haha
Kisumu Ina rankings zake za kipekee bro Huezi linganisha na Mwanza mji uliojaa PhD holders sio mji ovyo ovyo mji msafi no two EA
Au sio
Leta mtu wa taifa lingine alinganishe.ligi yenu ni burundi.ug
Kenya bado sana kingereza kwingi tu
Haha
Hata wewe umeona Kisumu iko well planned and developed, ni uzalendo tu unaokufanya ukue na mawazo tofauti😂😂
Fanya bidii ujue kingereza, kingereza ni lugha yenye hadhi kubwa duniani kuliko Kiswahili, Kiswahili kinazungumzwa afrika mashariki pekee, Kingereza ni kote duniani, koma kutulaumu kuhusu kingereza, tuna matatizo yetu Kenya na tunajizatiti kurekebisha.
@@chrispinusshibona4118ujinga mtupu, china hawajui kingereza lakini sasa ndio namba moja kimaendeleo, hata urusi n.k ingekua kingereza ndio kila kitu msingeandamana kwasababu ya kilo ya unga wa sima umepanda na bei ya mkata.😛😛😛
@@ElvisSimiyu-i1tripening Kila mmoja anaingia mtandaoni kutafuta views na Kenya
Mwanza ni mji mkubwa zaidi ila haujautendea haki kwani haujaonesha,mandhari ya chini na barabara zote za jiji
This one is noted...haya yote ntayafanyia kazi next time au sio
@@King_186 VERY TRUE, KAPITA JUU AERIAL VIEW HSKUONYESHA HIZO BARABARA MBOVU. JPM BRIDGE IS A BIG PROJECT, NOT MENTIONED AT ALL. THERE IS BIAS IN YOUR PRESENTATION.
Mwanza haujaionesha vizuri, barabara ya kwenda Airport, Nyegezi, Musoma zijaziona, Town Center ,Maeneo ya Capripoint nk
yeah najua but niliselect baadhi ya maeneo hivyo hivyo na Kisumu
Kizungu chako cha mtoto wa chekechea huku Kenya😂😂😂😂bladfaking
Haha na kiswahili chenu?
Fanya bidii ujue kingereza, kingereza ni lugha yenye hadhi kubwa duniani kuliko Kiswahili, Kiswahili kinazungumzwa afrika mashariki pekee, Kingereza ni kote duniani, koma kutulaumu kuhusu kingereza, tuna matatizo yetu Kenya na tunajizatiti kurekebisha.
@@tanzanianexplorerKijana unaleta uhasama ila huwezi juwa kwa sababu unazozijuwa wewe,si kila kila masikini anapenda kuna mengi nyuma ya pazia tuletee (MSUKULE)tujifunze pia kigoma
Nimpenda hii video haina mambo mengi kwenye utangulizi safi sana, japo kuna sehemu nzuri nyingi ungesaidia kuongezea. Kwenye kufanya wale wanaotaka kujifunza na wale watafutaji inaweza wasaidia kufikiri kuja kutafuta mfano. Comparisons za miundo mbinu za hospital pamoja na level zake kwenye services wanazotoa, Universities, barabara na madaraja yake mfano mwanza daraja la magufuli busisi ambalo ndio daraja refu zaidi afrika mashariki lililopita ndani ya maji.. daraja la furahisha, airport, buses station, hope kwa upande wa kisumu navyo vipo. Nje ya hapo nimeipanda sana
Asante sana kaka, be blessed mtu wangu
Ameacha maksudi anajua hapo Tz tumewazidi. Wao Chuo Kikuu kimoja sisi tuna Bugando zonal hospital na Chuo cha Drs .& nurses nk. Huyu kaelekezwa na wenzake kuwa asijochoreshe. Hslafu jskuna view ya Mwanza aliyo onyesha akiwa jirani hivyo kukosa kuona uhalisia wake
@naomimpemba5277 aah Naomi...mbona hivo
Haina haja ya kuweka daraja Kisumu, ardhi yenyewe Iko shwari, Tanzania na Uganda ndizo zinazomiliki sehemu kubwa ya ziwa Victoria, Kisumu Kuna vyuo vingi havijatajwa, kwa mfano Chup kikuu cha Maseno, chuo kikuu cha ufundi cha Kisumu, Chuo cha Nairobi kina tawi lake Kisumu, Chuo cha Kenyatta kina tawi lake Kisumu n.k. upande wa hospitali Kuna, Hospitali ya rufaa ya Kisumu, Agha kan n.k. ukweli ni kuwa upande wa Barbara Kisumu ni Bora zaidi kuliko Mwanza. Mpangilio wa Kisumu unashinda ule wa Mwanza, hivi Sasa Mwanza ina watu 1.2 M na Kisumu ina watu 480,000, Yani watu wa Kisumu hawajafika nusu ya wale wa Mwanza, Kisumu ni Jiji la Tatu kwa ubora wake Kenya ilhali Mwanza ni Jiji la pili Tanzania. Kwa maoni yangu ni kuwa Kisumu ni Bora kuliko Mwanza haswa ikizingatiwa kuwa Kisumu ina watu wachache ambao wamejikaza kujenga Jiji likafikia viwango vya kulinganishwa na Jiji la Mwanza ambalo lina watu wengi ila ujenzi na mpangilio wa Mwanza hauna mvuto kama ule wa Kisumu.
@chrispinusshibona4118 okay
But mwanza is the second largest city in Tanzania and Kisumu is the third largest city in Kenya so kenya is ahead of you guys
Au sio
Hiyo kisumu ulipaswa ulinganishe na Mbeya jiji la 4 kwa ukubwa Tz lakini sio mwanza,mwanza labda na Mombasa sawa,maana hata Arusha huwezi ilinganisha na kisumu chuga bado ina hadhi,so maoni yangu kisumu vs mbeya.
Au sio
@@AmosiTimoteo hizi zako ni wivu tu baada ya kuona Kisumu iko juu ya Mwanza 😂😂 najua unaongea tu lakini unaumwa sanaaaa 🤣🤣🤣
@ElvisSimiyu-i1t haha
@@AmosiTimoteo hii mbeya unayotaja ni mambo ya aibu sana! Picha za Mbeya nko nazo na inakaa kama kambi ya wakibizi maana mji wote ni slums! Mwenye hii youtube account sababu hii ndio kazi yake anaijua Mbeya wala haezi fanta makosa ya kupost hio kitu hapa juu dunia mzima itajiuliza ilikuaje hadi refugee camp iitwe city..
Mwanza is Tz second largest city. Hiyo unafaa ku compare na Mombasa Kenya
Hii kisumu ni kama voi tu huko kwa wataita😅😮😊
haha
Ata wewe type maoni yako 😂 but for me as a Kenyan I must tell you Kisumu is developing outside the CBD ,Kuna housing projects kubwa moja Iko karibu kumalizika so Kisumu is a solid city projects za
Inaitwaje hiyo may be itahelp kuja kufanya coverage pia
@tanzanianexplorery. Makasembo housing program
@@tanzanianexplorermakasembo
Mbona sio Kampala? Umeogopa Kampala inashinda Mwanza 😂😂. Sisi hatutaki hizi comparisons
Hahah...dawa yako inakuja Apiyo
@@tanzanianexplorermhhh vile ug hawapendi tz😂😂😂😂naishi Uganda miaka kumi
Sasa Mwanza umeonyesha nini hapo.
Nawashangaa Watanzania Sasa, mnalaumu mwenzenu kwa kile alichoonyesha? Kenya tutamuelewa maanake huyu anaupendeleo wa kuegemea Tz kwa hivyo hata akionyesha asilimia Moja ya Kisumu na awadanganye kuwa Mwanza ni Bora Bado tutaweka macho tunyamaze manake anapende ubishi
@@chrispinusshibona4118😂😂😂Huyu jamaaa anaiponda sana nchi za wenzake na kuona tz ni bora duniani kote
th-cam.com/video/U5_eZ83VXs0/w-d-xo.htmlsi=JlXCFqOglLtGAOhq
Thanks sana
Kanyakwar housing projects kisumu
th-cam.com/video/wy7OLTE3Ltc/w-d-xo.htmlsi=IJW9Xg1qlEw6UqDt
Nmeiona
Angalia barabara za kisumu miaka tano iliyopita
th-cam.com/video/cGSyHYrV4Qc/w-d-xo.htmlsi=zS2T7J3ollXHuJt5
Sure
Watambue hawanalolote zilipendwa tunajengae eport tunabwawa laumeme wachunguze ninchagani yenye treni ya umeme ipo kinyonge
Au sio
Unashtuliwa na treni ya umeme 😂 hiyo ndio mnaita maendeleo 😂
@christineopiyo7769 haha
@@tanzanianexplorer wewe hata Naona unafuatilia siasa za Kenya 😂 ulijuaje kasongo?? Kuja tukupe uraiyaa😂
Affordable housing projects kisumu
th-cam.com/video/un7CF4uO3io/w-d-xo.htmlsi=Q_ou_O7qtNv7A2zT
Unaikosea heshima Mwanza, linganisha Mwanza na Mombasa huko sio huo ujinga. Bure kabsa 😂
Au sio
Kisumu flyover
th-cam.com/video/mlxyGzWjgtA/w-d-xo.htmlsi=k03sqQKHvVSJnawg
Wewe umerogwa coz hauna content kazi yako nikurudia rudia. Mpuunzi mkubwa
Hahaha au sio
Kenya mna njaa inawasumbua sana, angalieni bei ya mkate itapanda kesho.
Haha
Nyinyi limeni wakenya watakuja kununua mazao sisi tuna hela
@christineopiyo7769 haha nimeipenda hii
Msijali hata nyinyi mtafika huko kwa njaa ni muda tu.
Hili jambo umelizungumzia sanaa kwani unafikiri hatulimi???Mungu tunaye kuabudu fanya jambo kwa Salvatory...
Wantanzania kwani hamna mtandao na data? 😂😂😂 Mbona kutafuta views Kenya kilasiku, hizo video zako zingine za maendeleo Tanzania hazina ladha lazima utaje jirani? 😂😂😂 Tafuta kazi kaka.
Nyinyi ndio mlioanza so tunamalizia usichukie take easy
Daah...bro kwani Kuna tatizo...Kuna wakenya wenzio wanaangalia pia kama ww ulivyoangalia au sio. So let me do my work
😂😂😂😂😂 eti walianzisha so acha tuwamalizie kazi 😂😂😂😂 aki yaMungu
Watu wenyu wenye wanafanya Videos kama hivi huwa wanatafuta views kwetu?nyie wasenge mkifanya nini sawa wakifanya wengine wanatafuta views,kenge wewe peleka ushoga huko
@@RonnieBertinexactly hawa ndio waneleta haya mambo ,alafu sasa wanashtuka..
Mwenye anasema mwanza inaishinda Kisumu ni kua mzalendo tu lakini infrastructure na majengo Kisumu ipo juu sana. Pia Kisumu ni safi hata ukiwa chini! Wale wanasema Mwanza iko sawa wanasema lakini kwenye moyo zao wanajua Kisumu iko fine!
Au sio
Kisumu fananisheni na Moshi wacha upumbafu
@danieljoshua0001 au sio
Mwanza haijaoneshwa vizuri, wala barabara zake kwa chini
@@King_186 we kwani Kisumu ndio imeonyeshwa vizuri?
Kenya ililaaniwa na udongo mwekundu
Dongo Kundu sio?
@@tanzanianexplorer Dongo KUNDU 😂😂😂
daah hilo jina huwa linanichesha sana
Umelaaniwa wewe hata hapo inapolala ndio maana unategemea usukule uwe tajiri koma sanaaa PabloDallas