ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Pasipo YESU ni hasara tupu
Nyimbo ya Nilikua Msafiri Bora inanifariji sana lakini kwa Ujumla nyimbo za SDA nazipenda sana. Mungu awabariki wooooote.
Bwana aendelee kukutumia sawasawa na mapenzi yake
Blessed
Ni nani.....huyu ....amen
Hakika nasikia sauti ya Mungu kupitia nyimbo za Dada huyu tumwunge mkono
ubarikiwe mtumishi wa bwana tunabarikiwa na nyimbo zako
kila nikisikiliza nyimbo zako Dada NAMSIFU nafarijika sana hasa ule wa msafiri najiona ninakazi ya kufanya ili Bwana anitakabali ubarikiwe sana
barikiwa sana
Amen
dada Hakka nyimbo zako znatia matumaini mungu akubariki
nilikuwa msafiri inaniliza na kunibariki ubarikiwe
nice