1. Nasifu shani ya Mungu, mweneza bahari, Muumba pia wa mbingu, jua nyota mwezi, Ni tukufu yako shani, mtengeza mambo, Ya nyakati na zamani, yasiyo na mwisho. 2. Kadiri ya nionayo, ya kusifu Mungu: Nchi niikanyagayo, na hayo mawingu, Hakuna hata unyasi, usiokukuza, Na upepo wavumisha, au kutuliza. 3. Nami kwa mkono wako, naongozwa sawa, Ni pato nikusifupo, kukwomba ni dawa, Umenizingira nyuma, na mbele baraka, Maarifa ya ajabu, yanishinda mimi.
Mungu akuinue dada...akufanikishe katika kumtumikia yeye...
kuna nyimbo ukifumba macho ukasikiliza kwa makini unatamani yesu arudi muda huohuo, huu ni mmoja wapo,,,,,!!!!!!!!
Yaani huu wimbo unanibariki sana, Dada Namsifu Mungu akuinue zaidi Ameni
Nyimbo nzuri.
Cecilia Mndeme nami pia nabalikiwa xna n nyimb za namsifu mungu azid kukutumia..
Amina my dada nafarijika sana mungu awe nawe
Nimebarikiwa sana na nyimbo za Namsifu Makacha
Hakika Mungu akujaze nguvu za kumtumikia yy milele daima
Hongera sana sauti nzuri na tamu sana,Mungu akubariki
Barikiwa Dada Namsifu
A very power message for those whose is HOPE in The LORD GOD. Amen
Amen, this is powerful!
wimbo mzur sana Dada namsifu ubarkiwe
Kazi nzuri sister
hongereni sana
Sabato njema
Huu wimbo lyrics zake naeza pata wapi?
Mzuri sana
1. Nasifu shani ya Mungu, mweneza bahari, Muumba pia wa mbingu, jua nyota mwezi, Ni tukufu yako shani, mtengeza mambo, Ya nyakati na zamani, yasiyo na mwisho.
2. Kadiri ya nionayo, ya kusifu Mungu: Nchi niikanyagayo, na hayo mawingu, Hakuna hata unyasi, usiokukuza, Na upepo wavumisha, au kutuliza.
3. Nami kwa mkono wako, naongozwa sawa, Ni pato nikusifupo, kukwomba ni dawa, Umenizingira nyuma, na mbele baraka, Maarifa ya ajabu, yanishinda mimi.
0:56
Be blessed
Nice family
Where can I get your CDs? This is very sweet music.
Amennnnnnnnnnnn
Umebarikiwa