SPRAY YA KUKUZA NYWELE HARAKA || huandaliwa nyumbani tu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 144

  • @evitarobert9549
    @evitarobert9549 3 ปีที่แล้ว +9

    Grace my dear,Mungu akubari sn hii kitu ni noma,jamani nimefanya kama wewe nywele inalainika vzr sn alafu inajaa,Ahsante sn kwa vitu vizuri halafu bei rahisi sn

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว +1

      Nimefurahi sana mamy.Ni bei rahisi na ina matokeo mazuri.Endelea na matunzo dear utaenjoy

    • @evitarobert9549
      @evitarobert9549 3 ปีที่แล้ว

      Amina my dear

    • @muniraabdulrahman5656
      @muniraabdulrahman5656 3 ปีที่แล้ว

      Congrats mrembo nekupenda sana sana sana

    • @getrudesemu8844
      @getrudesemu8844 2 ปีที่แล้ว

      Na ukiweka tu karafuu ktk maji baridi inafaa?
      Na unaweza kutumia mda gani?
      Naiweka ktk friji?

    • @getrudesemu8844
      @getrudesemu8844 2 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 naomba unijibu please

  • @mirahjovin
    @mirahjovin 10 หลายเดือนก่อน

    Hii ni nzuri sana nmeangalia na nmeitumia kwa wiki mbili tuuh nshaona matokeo mazur, nyele imekua nyeusi na imenyooka haijadumaa km ilivyokua hapo nyuma😊

  • @queenlulu1631
    @queenlulu1631 2 ปีที่แล้ว +4

    Nyele za dawa inafaa??

  • @magretwanjiko8501
    @magretwanjiko8501 2 หลายเดือนก่อน

    Inaweza tumika kw muda gani Bila kuharibika

  • @rebecarobert7306
    @rebecarobert7306 2 ปีที่แล้ว +2

    Naweza fanya hiv nikiwa nimesuka

  • @thureyaomarhamad5017
    @thureyaomarhamad5017 ปีที่แล้ว

    Kma mtu unakawaida ya kusuka tu je unaweza kufnya au mpka uzifumue nywele ?

  • @ValentinaDeo-y2d
    @ValentinaDeo-y2d 5 หลายเดือนก่อน

    Jmniiii zanguuu zimekatikaaa sanaaaa mbelee na nyumaaa

  • @peninadauson158
    @peninadauson158 ปีที่แล้ว +1

    Habari my mimi nasumbuliwa na mbaa alafu nywele zangu ata ukipaka mafuta zinakua zimepauka naomba nisaidie

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  ปีที่แล้ว

      Wasiliana nasi dear 0764986838

  • @magiehanai2544
    @magiehanai2544 3 ปีที่แล้ว +2

    Shea buyer inatengenezwaje?

  • @JanethOjiwa-cz2nv
    @JanethOjiwa-cz2nv ปีที่แล้ว

    Ok nashukuru sana mpendwa na VIP Kama auna mafuta ya casto oil uwezi tumia yeyote ya maji

  • @YusrahSidi
    @YusrahSidi ปีที่แล้ว

    Nkuulize siz naeza tumia haya mafuta ya parachuti

  • @neemasolomoni2623
    @neemasolomoni2623 2 ปีที่แล้ว +3

    nywele yangu mbele ni ndefu na nyuma nifup sana imekatika nifanyej ziweze kujaa na kulingana

  • @rosembowe8779
    @rosembowe8779 2 ปีที่แล้ว

    Je ukitemgeneza nyingi ya wiki nzima haiharibiki?

  • @DairusKagoma-j5e
    @DairusKagoma-j5e 5 หลายเดือนก่อน

    Jaman had raha nywele zako

  • @SalmaAbdallah-yo9tn
    @SalmaAbdallah-yo9tn 2 หลายเดือนก่อน

    Wenye nywele za dawa vp inafaa kutumia

  • @catherineanthonymakalwe7069
    @catherineanthonymakalwe7069 2 ปีที่แล้ว

    Haioshwi ukimaliza kulala?

  • @glorycahogo7743
    @glorycahogo7743 3 ปีที่แล้ว +1

    Hii condition inaweza kaa ndani Ya siku ngapi bila kuharibika?

  • @fortunatankya3242
    @fortunatankya3242 2 ปีที่แล้ว

    Unaweza kutumia karafuu ya unga?

  • @SeciliaMengo-nj5kn
    @SeciliaMengo-nj5kn ปีที่แล้ว

    Greece my dear VP ukitumia stimmingi ya kitungu ya dukanai Kwa Kila wiki or Bada ya wiki mbili arafu ukawa unafanya zoezi kama Hilo usiku na asubuhi Huwa inafa napo

  • @husnahussein5019
    @husnahussein5019 2 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia karafuu ilosagwa?

  • @كريساكينا
    @كريساكينا 2 ปีที่แล้ว

    Unaweza tumia kwa nywele dred ama huwez mpenzi

  • @phoebestanley376
    @phoebestanley376 ปีที่แล้ว

    Naweza kutumia kwa nywele za dready

  • @annapantaleomushi3582
    @annapantaleomushi3582 3 ปีที่แล้ว

    ayo maji siwezi kuchanganya na karafuu pamoja ili yachemke vizuri?

  • @fashiont789
    @fashiont789 3 ปีที่แล้ว +1

    Nywele natural raha sana...

  • @imanijuma8444
    @imanijuma8444 3 ปีที่แล้ว +1

    Hello mpendwa samahani heti naweza nikatumia spray ya karafuu na nikapaka leave in condition ya karoti kwa wakati mmoja

  • @MwajumaAdam-e1v
    @MwajumaAdam-e1v 3 หลายเดือนก่อน

    Kwaiyo ata nikiichemsha kama Leo alafu ikaaa ata siku tatu kwenye kichupa Haina shida

  • @halimaally2918
    @halimaally2918 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona nywele zako nyeusi umeweka piko au super black

  • @roseleonc755
    @roseleonc755 2 ปีที่แล้ว

    Mambo dada naomba kuulza kwaiyo spray nitmie ya carafuu na mafta ya mnyonyo nywele inakuaa nyeusi na inajaaa ???

  • @mamamwajei8789
    @mamamwajei8789 3 ปีที่แล้ว

    Ngoja namie nitengeneze tena sasa ivi..aaaf nywele zangu nyepesiiii zinapuputika mno,,,nipake mafuta yapi?

  • @tumpemwakatumbula
    @tumpemwakatumbula 2 ปีที่แล้ว

    Dada samahani nilikua nauliza Shea bata

  • @onyangoollago644
    @onyangoollago644 2 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza dada et. Ni sahihi kuchanganya maji ayo na glycerin

  • @Alykeba
    @Alykeba หลายเดือนก่อน

    sio poa nimeipend

  • @shukurujuma2376
    @shukurujuma2376 3 ปีที่แล้ว +1

    Ni nzuri asante hivi huwezi kuchanganya leavinconditioner ya karot na hiyo karafuu??

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Inafaa sanaaa mamy

    • @shukurujuma2376
      @shukurujuma2376 3 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 Ahaa sawa na vipi kuhusu kuharibika ukisha mix karrot na karafuu kwasababu hiyo ya karrot kama huna fridge si inaharibika

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kutujuza hayo habbity,najitahidi sana kufuatilia mafunzo yako tangu nimeijua channel yako,ubarikiwe sana...naomba nifahamishwe mafuta gani mazuri kwa ngozi ya kichwani,maana mm Nina asili ya ngozi kavu ya kichwani kiasi hunipelekea kusumbuliwa na mba ,mwanzo nilikuwa natumia mafuta yenye sulphur kama soul mate na sulphur 8 lkn nilipojifunza kuwa hayafai kwa natural hair nimeacha sasa napaka mega ila sijui kama itanifaa kwa nywele zangu za asili

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Tumia mafuta ya olive oil mamy yatakusaidia

    • @ZainabuKassim-l1c
      @ZainabuKassim-l1c 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@gracebimz7935mambo vip kiukweli nimependa video zako, namii ni mhanga wa nywele hivyo nimeanza kuzibembeleza, mm natumia mafuta ya rosemary, je naweza kutumia maji ya karafuu na rosemary pamoja.?

  • @aminahussein327
    @aminahussein327 3 ปีที่แล้ว +1

    Mamy mafuta ya hair growth na Castor Oil nitapataje huku Zanzibar

    • @habibahussein1664
      @habibahussein1664 3 ปีที่แล้ว

      Castor oil hiyo nyeusi inauzwa kwenye maduka ya dawa za asili

    • @paulinaausi4752
      @paulinaausi4752 3 ปีที่แล้ว

      Mi nimetumia saizi jamani nywele laini balaa asante kwa somo zuli na inajaa dada safi sana

  • @sellahmwanyambo5759
    @sellahmwanyambo5759 ปีที่แล้ว

    Samahan hayo mafuta ya mnyonyo ni sh ngapi na

  • @reubenjr9540
    @reubenjr9540 3 ปีที่แล้ว

    dear nilibodray ila nywele inakatika

  • @kijanamstarabu3607
    @kijanamstarabu3607 3 ปีที่แล้ว

    God bless you😍😍😍

  • @halimaally2918
    @halimaally2918 3 ปีที่แล้ว +1

    Hiv spray bottle inapatikana wap

  • @floramukhtada6001
    @floramukhtada6001 3 ปีที่แล้ว

    Je,hata ukisuka unapulizia au?maana kama n kilasiku inakuwaje au ataukisuka unapulizia tu

  • @DairusKagoma-j5e
    @DairusKagoma-j5e 5 หลายเดือนก่อน

    Karot ikoje

  • @ummmuhammadabdullahsalafiy4984
    @ummmuhammadabdullahsalafiy4984 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran san Dada😻♥🌹🥰😍💔🌺

  • @zuennahhakika1006
    @zuennahhakika1006 3 ปีที่แล้ว +1

    Spray bottle inapatikana wapi?

  • @secheanderson9829
    @secheanderson9829 3 ปีที่แล้ว

    Dear Shea butter napata wapi? Niko kahama nimezunguka maduka yote sijapata tafadhali nisaidie

  • @graceramadan5583
    @graceramadan5583 3 ปีที่แล้ว +1

    Naenda kujaribu

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Sawa mamy usisahau mrejesho

    • @graceramadan5583
      @graceramadan5583 3 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 ndio wajina lazima nilete ila naomba siri ya nywele zako kujaa na zina afya zangu hafifu sana

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 3 ปีที่แล้ว +1

    Nkweli my dear mie nlifanya hiyo karafuu habat soda na ndegu wallah unywele wngu umekuwa na umejaa paka raha

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Wowwwww Hongera sana mamy endelea na matunzo

    • @fatmaallyabdul1732
      @fatmaallyabdul1732 3 ปีที่แล้ว +1

      Hiyo dengu inatumikaje?? Na inaandaliwaje,pliz nijuze dear

    • @theodoramkoka9899
      @theodoramkoka9899 3 ปีที่แล้ว +1

      Tujuzane kuusu dengu na habat soda

    • @magrethemmanuel6270
      @magrethemmanuel6270 3 ปีที่แล้ว +1

      Ndegu ndo nn love cjakupata apo please

    • @saumuimeda5181
      @saumuimeda5181 3 ปีที่แล้ว

      @Magreth Emmanuel Zipo km chungu mawe ningekuwa na pich ningekuonyesh

  • @ReyB-yf8bx
    @ReyB-yf8bx 7 หลายเดือนก่อน

    Ata nywele yangu ikiwa na dawa inafaa

  • @HappySwai-r2w
    @HappySwai-r2w 6 หลายเดือนก่อน

    Nywele yenye dawa inawezekana

  • @shadyamakota6151
    @shadyamakota6151 3 ปีที่แล้ว

    My dia nywele zangu ni zile za kujaja nikaweka dawa now Zina katika Sana yaan naogpa adi kuzichan nifanyaje ziwe laini

  • @rehemaboazi6918
    @rehemaboazi6918 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante kwa mafunzo nilikuomba uniambie unga wa ulezi kwakingereza unaitwaje ukunijibu dada ninashida nao nakuomba tafazari niambie.

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Asante mamy unga unaitwa SORGHUM FLOUR

    • @rehemaboazi6918
      @rehemaboazi6918 3 ปีที่แล้ว

      Asante kwa ukinijibu nimeshukuru Sana.

  • @saumu7760
    @saumu7760 4 หลายเดือนก่อน

    ila haya maji yakausha nywele jman

  • @princessdickson6900
    @princessdickson6900 3 ปีที่แล้ว

    Dada bottle izo spray napataje nipo dar

  • @rebekakivuyo3461
    @rebekakivuyo3461 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante

  • @jacklinejeremiah4473
    @jacklinejeremiah4473 2 ปีที่แล้ว

    Hilo kichupa inapatikana wap

  • @sarahmollel5656
    @sarahmollel5656 8 หลายเดือนก่อน

    Karafuu ya unga inafaa

  • @barnabaskwangu9387
    @barnabaskwangu9387 3 ปีที่แล้ว +2

    Ni mapambano mpaka kieleweke habari ni natural hair, thanks my dear

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Karibu sana mamy hadi kieleweke kabisaa

    • @janethseverin148
      @janethseverin148 ปีที่แล้ว

      Dada abari samahani mim nywele zangu zimedumaha yaani azikihi nifanyeje

  • @babyrehema1977
    @babyrehema1977 2 ปีที่แล้ว

    Mimi nasuka minyoosho inafaa

  • @johannesjonathan5209
    @johannesjonathan5209 3 ปีที่แล้ว

    Chini ya ngozi umepaka mafuta gan

  • @tatuta6529
    @tatuta6529 3 ปีที่แล้ว +1

    Nitajaribu sasaivi mpendwa

  • @adventinamapera7109
    @adventinamapera7109 3 ปีที่แล้ว

    Je naeza pata iliyotengenezwa taari

  • @happyngulo4722
    @happyngulo4722 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuja kutoa shuhuda jamani Mimi imenikubali ihi kitu nywele zilikuwa zimekatika mbele afu nyekundi Sana Ila toka nimeanza mambo ni 🔥

  • @neemarujalimba6320
    @neemarujalimba6320 3 ปีที่แล้ว

    Kwaio naweza tengeneza nyingi nikawa natumia hata kwa week

  • @ruthkisasi5194
    @ruthkisasi5194 2 ปีที่แล้ว

    mtu anaeza spray nywele zikiwa na dawa

  • @Joweriacaketools
    @Joweriacaketools 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama umesuka minyoosho je? Maana wewe hujasuka hapo

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ukisuka mnyoosho sio nywele zote zitapata unyevu dear

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ukisuka mnyoosho sio nywele zote zitapata unyevu dear

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ukisuka mnyoosho sio nywele zote zitapata unyevu dear

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ukisuka mnyoosho sio nywele zote zitapata unyevu dear

    • @babyrehema1977
      @babyrehema1977 2 ปีที่แล้ว

      Na ukiwa umepulizia maji ya karafuu mpaka mchana yanakuwa yamekauka ila kwa ndani panakuwa panaunyevu ila kwa njee panakuwa pakavu inakuwa haina tatizo my

  • @babyrehema1977
    @babyrehema1977 2 ปีที่แล้ว

    Kama sina hayo mafuta ya mnyonyo naweza kutumia mafuta mengine

  • @AhmedSalimu-c1j
    @AhmedSalimu-c1j ปีที่แล้ว

    Vp kukuza nywele fupi kwa wanaume

  • @themembinga3996
    @themembinga3996 3 ปีที่แล้ว +6

    Nywele zangu zilikua na relaxer nikaamua kuacha nikazipunguza mpk kwenye natural,naanza kuzikuza tena bd ndogo je hy inafaa ikiwa bd nazitonea,na nahitaj niwe na natural hair tu

  • @respauncontestedbeauty6841
    @respauncontestedbeauty6841 3 ปีที่แล้ว +2

    Nadhani nywele kitafika kiunoni now

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Hahaha jitahidi mamy zitakua

    • @respauncontestedbeauty6841
      @respauncontestedbeauty6841 3 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha asante mi nywele yangu ili haribika ila sahivi nzuri mno asante sana

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว +1

      @@respauncontestedbeauty6841 Karibu sana mamy endelea tu na matunzo Yan utazifurahia

  • @radiaarady3307
    @radiaarady3307 3 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimejaribu lkn kichwa kilikuwa kinaniwasha balaa nikaacha

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Uliifanyaje dear? Uliweka na nini na ulitumia pamoja na mafuta gani?

    • @radiaarady3307
      @radiaarady3307 3 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 nilikuwa na spray na nikawa napaka mafuta ya maji t bas km siku tatu hivi nikaacha my dear

  • @halimasaid5753
    @halimasaid5753 2 ปีที่แล้ว

    Ss km umesuka je utatiaye maft ss

  • @tumpemwakatumbula
    @tumpemwakatumbula 2 ปีที่แล้ว

    Natak Shea bata

  • @salomenyambabi5194
    @salomenyambabi5194 3 ปีที่แล้ว +2

    Jaman nimetumia maji ya mchele na kitunguu nywelezangu zimekuwa nyepesi kama zinadawa mi sitaki ziwehivi nifanyaje

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว +1

      Tumia parachichi na asali mamy

    • @HAAM670
      @HAAM670 2 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 Ni Kila mtu itamfanya hivi au ni huyu tu ndo mwitikio wa nywele zake kuhusu Maji ya Mchele na Kitunguu Maji???@Grace Bimz???

  • @muniraabdulrahman5656
    @muniraabdulrahman5656 3 ปีที่แล้ว

    Tuletee na product ya asil ya kuta mvi

  • @nairatymustapha9389
    @nairatymustapha9389 3 ปีที่แล้ว

    Naomba namba yako dear

  • @doralike8490
    @doralike8490 3 ปีที่แล้ว +1

    Nikwa Aina yote ya nywele au

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ndio mamy aina yoyote

    • @doralike8490
      @doralike8490 3 ปีที่แล้ว

      @@gracebimz7935 sawa mpenz asanter

  • @magiehanai2544
    @magiehanai2544 3 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba yako ya wasap

  • @priscarmshama8897
    @priscarmshama8897 3 ปีที่แล้ว

    Huoshi?

  • @lilianhelbert9421
    @lilianhelbert9421 3 ปีที่แล้ว

    Hivo vichupa ntavipata wap

  • @magesirvesta2211
    @magesirvesta2211 3 ปีที่แล้ว +1

    Nywele za dawa tunatumia

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Ndio dear unatumia

    • @salomenyambabi5194
      @salomenyambabi5194 3 ปีที่แล้ว

      Nywele zangu zimekuwa nyepesi sana kwa jili yamaji ya mchele na kitunguu nifanyaje sitaki ziwe hivi

  • @fransiskamkwawi5316
    @fransiskamkwawi5316 3 ปีที่แล้ว +1

    Na nywele yenye dawa inafaa kuspray Kwa kutumia hiyo karafuu au ni natural Pele ake

    • @gracebimz7935
      @gracebimz7935  3 ปีที่แล้ว

      Inafaa lakini si kila siku mamy.Atleast mara 3 kwa wiki