Acheni ujinga mnapaswa kuanzisha safari kuanzia Dodoma! Pia routes nyingine Kigoma na Southern Highlands! International routes pia! msitafute visababu!
Uzeni mabasi mnunue vifaa vya kisasa vya kilimo, limeni ngano hivi tutaagiza Ukraine na Russia hadi lini je hamuoni kama ni fursa? Msikariri huo ndio ujasiliamali
YAN HUJUMA ZIKITOKEA KWENYE SGR MTATUELEZA ASEE MBONA HII NCHI N KUBWA KUNAMAENEO KIBAO HAYANA USAFIR PELEKEN MABAS HUKO MUWE MNAFIKIRIA NJE YA BOX
Time to consider cross-border routes and to venture into new local routes
Acheni ujinga mnapaswa kuanzisha safari kuanzia Dodoma! Pia routes nyingine Kigoma na Southern Highlands! International routes pia! msitafute visababu!
Wanaendesha kampuni za serikali kabla ya kupata faida wameshaanza matumizi makubwa.ndio maana biashara za serikali zinakufa.
Njia rahisi kushindana ni kupunguza nauli mabasi.
Kwa hiyo mnatakaje?? Si mbadilishe route
wasituingilie,, kwanza abood alikua nanazoea yakutuletea mabas mabivu mbeya
Uzeni mabasi mnunue vifaa vya kisasa vya kilimo, limeni ngano hivi tutaagiza Ukraine na Russia hadi lini je hamuoni kama ni fursa? Msikariri huo ndio ujasiliamali
Naamini hakutakuwa na hujuma kwa train!