Asante, I wish Tanzania could build a line that connects Uganda at the Uganda - Tanzania border of Muukula to Dar es Salaama port, that we be good and we would be stronger as East Africans. Nelson Uganda
We're constructing the SGR from Mwanza to Isaka (it almost 60% complete). It will connect to Tabora - Dodoma - Morogoro - Dar. In Mwanza there's a newly-built MV Mwanza which will be ferrying passengers and cargo in Lake Victoria. But the 3.4km long JPM Bridge is nearing completion by the of side of this year (2024). There'll be so many options to connect Uganda and the Tanzania's SGR lines
Tulia, Mimi ni kati ya Maraisi wanaokuja wa Tanzania, kwa hakika utafurahi ktk kipindi changu. Rais wetu aliyepita alikua anasema tuko nyuma sana, kwa lugha nyingine hivi vitu vilipaswa kuwapo Africa miaka mingi tu iliyopita lkn Kuna mahali Kuna kizingiti. AM COMMING!
Bravo! Nice video. This is the video we were waiting. All other videos were too administrative focusing on interview with TRC big bosses...no trip details.
Wakati umetimia tutumie umeme BRT badala ya disel tuokoe fedha za kigeni. Umeme tunao wakutosha. Tuweke mfumo wa umeme mabasi ya mijini au Treni ndogo za mijini za umeme. Okoa fedha badala ya kuongeza kodi tu. Hili likifanyika pamoja na mifumo ya kupunguza rushwa nchi itakuwa tajiri zaidi.
r.l.p jmp wetu mzalendo kwa uthubutu waliokuwa wanakupinga sasahivi tunawaona kama kinyesi cha nyani jike 😂😂😂 au kinyesi cha juma lokole choko la wcb😂😂😂
Tanroad morogoro wamelala usingizi. Mpaka sasa hawajajenga barabara ya lami kuingia station. Hakuna dalili. Hiyo barabara inayotarijiwa kujengwa tokea 8 8 haiishi leo wala kesho. Kwa ujumla Tanroad wako usingizini.
Anzisha trip ya saa tano mchana kutoka Dar to Morogoro hasa siku za Weekend ili wadau tukajimwage Morogoro maana hii ya saa 12 asubuhi inabidi mtu ajiaandae kuanzia saa 10 usiku.
@@godlove20sasa saa kumi, siku inakuwa imeisha, inapaswa kuwe na ya dar moro muda wa saa nne au saa tano, ili, mtu awe na muda wa kuwapo huko morogoro na kuweza kurudi na treni ya saa moja na nusu usiku itokeayo moro kurudi Dar
Kwanini vyoo vichafu this early angalia floor ipo wet imelowa kabisa mtu anakanyaga maji machafu anaenda nayo kwenye seat train nzima inakua chafu, hii kitu watanzania itatutia aibu
In Tanzania life is changing very fast,we are proud of what our leaders are doing
Mungu ibarik Tanzania 🇹🇿, Mwenyezi Mungu mbarik SSH na Viongozi wote na Wananchi wa Tanzania 🇹🇿
Amen
amin inshaallah
Ameen bila kumsahau mwamba WA Africa jpm mungu amaze mahala pema
Abarikiwe anendelee kuhamisha Wamasai na Kuuza Bandari 😂😂
Hii Train imeiheshimisha nchi yetu pendwa viva Tanzania na Watanzania wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kabisa
Mpaka huku niliko natembea kifua mbele kwa kweli. Tumeheshimishwa sana
@@temuemanuel4671 Wameitendea haki hii project
@@godlove20 Kabisa
Loved the video, very nice work. Can’t wait to take a trip myself. Shout out from Barbados. Asante sana kaka.
Thank you very much..I really appreciate 🙏
what are you doing in Barbados?
@@filamupictures9349 I’m in technology (Cloud), went to school in the US. Married a Tanzanian, love Barbados but Tanzania ni nyumbani..
Hatua nzuri sana hii. Hongera nyingi sana kwa watekelezaji wote wa hii ndoto kubwa ya maendeleo 🎉🎉
Hakika ile ndoto imetimia
GOD BLESS TANZANIA
Amen
Good job❤,from Sénégal !
Thank you
Asante, I wish Tanzania could build a line that connects Uganda at the Uganda - Tanzania border of Muukula to Dar es Salaama port, that we be good and we would be stronger as East Africans.
Nelson
Uganda
Hopefully this railway one day will connect Uganda, Drc Congo, Rwanda and Burundi
We're constructing the SGR from Mwanza to Isaka (it almost 60% complete). It will connect to Tabora - Dodoma - Morogoro - Dar. In Mwanza there's a newly-built MV Mwanza which will be ferrying passengers and cargo in Lake Victoria. But the 3.4km long JPM Bridge is nearing completion by the of side of this year (2024). There'll be so many options to connect Uganda and the Tanzania's SGR lines
The plan is we connect via lake Victoria
Soon Uganda will see electric train in your country 😊
Tulia, Mimi ni kati ya Maraisi wanaokuja wa Tanzania, kwa hakika utafurahi ktk kipindi changu. Rais wetu aliyepita alikua anasema tuko nyuma sana, kwa lugha nyingine hivi vitu vilipaswa kuwapo Africa miaka mingi tu iliyopita lkn Kuna mahali Kuna kizingiti.
AM COMMING!
Bravo! Nice video. This is the video we were waiting. All other videos were too administrative focusing on interview with TRC big bosses...no trip details.
Thank you. I really appreciate 🙏
Naona mzee umerudi kwa kasi zaidi.. safi sana mkuu....
Asante sana Mkuu..Nilipotea sana. Mdogo mdogo tunarudi kaka
It will train our people to manage time
Marvelous brief coverage, Huree! Mr. Godlove. You did it!
Asante sana Mzee 🙏
Wakati umetimia tutumie umeme BRT badala ya disel tuokoe fedha za kigeni. Umeme tunao wakutosha. Tuweke mfumo wa umeme mabasi ya mijini au Treni ndogo za mijini za umeme. Okoa fedha badala ya kuongeza kodi tu. Hili likifanyika pamoja na mifumo ya kupunguza rushwa nchi itakuwa tajiri zaidi.
Dar mpaka moro imekuwa safari ya kawaida tu, mungu ibariki Tanzania.
Kabisa
ilishakuwa ya kawaida toka zamani, sasa inazidi kuwa ya kawaida
The best video so far
Nice video
Thank you very much..I really appreciate 🙏
Airport to learn
Asante sana kaka Godlove m.tuko pamoja
Asante sana Kaka
Good work better than other videos...but failed to show speed limit, food offered,seat classes,and other services offered
Thank you..Hopefully next time 🙏
Train ni nzuri sana kwa ndani ongereni sana
Shukrani sana
r.l.p jmp wetu mzalendo kwa uthubutu waliokuwa wanakupinga sasahivi tunawaona kama kinyesi cha nyani jike 😂😂😂 au kinyesi cha juma lokole choko la wcb😂😂😂
Great video do more
Thank you very much..I really appreciate
Viva Tz aluta continua🎉🎉🎉🎉🎉🎉
💪💪🙏
Safi Sana mkuu , video nziri
Shukrani sana Mkuu
Good job brother
Thank you very much brother
Tanroad morogoro wamelala usingizi. Mpaka sasa hawajajenga barabara ya lami kuingia station. Hakuna dalili. Hiyo barabara inayotarijiwa kujengwa tokea 8 8 haiishi leo wala kesho. Kwa ujumla Tanroad wako usingizini.
Inabidi waongeze kasi hapo
Hawana budget allocated for that project.
❤❤❤❤❤❤
Magufuli
💪💪
Oyeeeee🎉🎉
Thankyou
Anzisha trip ya saa tano mchana kutoka Dar to Morogoro hasa siku za Weekend ili wadau tukajimwage Morogoro maana hii ya saa 12 asubuhi inabidi mtu ajiaandae kuanzia saa 10 usiku.
Kabisa yaani ipo ya saa 10 pia kwa wanaoshindwa asubui
@@godlove20sasa saa kumi, siku inakuwa imeisha, inapaswa kuwe na ya dar moro muda wa saa nne au saa tano, ili, mtu awe na muda wa kuwapo huko morogoro na kuweza kurudi na treni ya saa moja na nusu usiku itokeayo moro kurudi Dar
VIVA TANZANIA ALUTA CONTINUA
💪💪💪
R.I.P.JPM
🙏
CHONDE CHONDE WATANZANIA TUZINGATIE USAFI......, KWENYE VYOO, VITI NA MIUNDOMBINU KWA UJUMLA........tuachane na ukawaida
💪💪
Wawe makini na usafi
Hivyo vyoo kuwepo MTU maalumu kuvisafisha vinginevyo itakuwa majanga rangi ya njano chooni hatari kubwa viongozi.
Itabidi wafanye kama wanavyofanya katika ndege
Kuna kampuni imepewa hio tenda
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❣️❣️👏👏
💪💪💪
Kwanini vyoo vichafu this early angalia floor ipo wet imelowa kabisa mtu anakanyaga maji machafu anaenda nayo kwenye seat train nzima inakua chafu, hii kitu watanzania itatutia aibu
Itabidi wafanyie kazi
Hili jengo ukiwa nje linaonekana dogo
kumbe ndani ni kubwa hivi
Nikubwa sana hilo Jengo.
Na Bado Kuna space kubwa haijatumiwa ndani
jengo ni safi sana ndani hilo lina level nne jumla (Ground , first level , second level na third level ) , na pana sana ndani...
VIVA TZ ALUTA CONTINUA
💪💪
Mchongoko ni mbovu au mbona hauonekani?
Mchongoko Bado ipo katika majaribio ile..itaanza mwezi ujao route ya dodoma
mchongoko itakuwa ya Dodoma, subiri mwezi July, ikianza safari za Dodoma
Mungu hibariki inchi yetu.. nduguzetu wakenya sijui wapo wapi maan bila wao sisi hatusikii raha tumemiss vituko vyao😂😂😂😂😂😂
Amen
Oh Noooo .. kumBe U shaBkia MwaniTesaa.unTd .. not WAtchin Tenaaa
Mabingwa wa FA 😂😂