WAZIRI MKUU AWAKA, ALICHOKIKUTA HOSPITALI HAKIVUMILIKI, NA PESA ZIMEKWISHA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • WAZIRI MKUU AWAKA, ALICHOKIKUTA HOSPITALI HAKIVUMILIKI, NA PESA ZIMEKWISHA!
    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hajaridhishwa na ujenzi wa kituo cha afya cha Ndago, wilayani Iramba mkoani Singida kwa sababu uko chini ya kiwango.
    Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Oktoba 6, 2019), wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Ndago mara baada ya kukagua majengo ya kituo hicho.
    “Nimepita kote nchini kukagua vituo hivi lakini hapa wamenikasirisha. Wamenileta kwenye jengo nilikaguem nikajua ni jipya kumbe ni la zamani. Lazima nikiri kwamba fedha yetu hapa haijakamilika, jengo la mama na mtoto halijakamilika. Nilipouliza linakamilika lini, wananijibu tuko kwenye final touches (tuko hatua za mwisho),” amesema.
    “Jengo lile halivutii kabisa, wanaotoa maelezo hakuna kinachoeleweka. Sijaridhishwa kabisa na hali hii. Jengo la upasuaji nalo pia nimeona ni la zamani. Hii ina maana hamjajenga jengo jipya. Mimi nataka nione jengo jipya hapa,” amesisitiza.
    YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
    ---------------------------------------------------------------------------------------
    HABARI MPYA DAILY:
    www.youtube.co....
    HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
    www.youtube.co....
    GLOBAL RADIO TV:
    www.youtube.co....
    EXCLUSIVE INTERVIEWS:
    www.youtube.co....

ความคิดเห็น • 154

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 5 ปีที่แล้ว +43

    Wale viumbe wa mwenyez mungu walio tangulia kuliongoza taifa hili toka uhuru wangechapa kaz kama hv tungekua mbali sana ....dah'inasikitisha san haw nao wanatia makono kweny pesa ya kituo cha afya pumbav..

    • @allnaturegoodgrafics9482
      @allnaturegoodgrafics9482 5 ปีที่แล้ว

      Nataka nkukumbushe ulizaliwa ukakuta barabara hospital miradi ya maji NK but hawa wengine wanaendelza walipoishia wale walio pta kwa kipindi chao

    • @zefamange7281
      @zefamange7281 5 ปีที่แล้ว +1

      YANI TUMECHELEWESHWA KWELI NA HAO VIONGOZI WA ZAMANI

    • @mbarakahussein9641
      @mbarakahussein9641 5 ปีที่แล้ว +1

      Yaani kama ingewezekana tungepambana waendelee kama milongo mitatu hivi, Ingekuwa Tanzania zaidi ya nchi za Africa, Tutakuwa tunakimbizana na Nchi kubwa za Europe., JPM endelea.

    • @allnaturegoodgrafics9482
      @allnaturegoodgrafics9482 5 ปีที่แล้ว

      @@mbarakahussein9641 bro huwez vunja katiba huenda hata atakae kuja atafanya mazur meng

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 5 ปีที่แล้ว +2

      @@allnaturegoodgrafics9482 nikukumbushe hawa wa sasa hawaendelezi utoroshaji wa twiga, mauaji ya faru na tembo, utoroshaji wa tanzanite na madini mengine! kwa iyo hawalingani..

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 5 ปีที่แล้ว +17

    HUKU MAGUFULI, HUKU MAJARIWA 👏👏👏💪💪 MOTO UNAWAKA TANZANIA

  • @gustavkunkuta6733
    @gustavkunkuta6733 3 ปีที่แล้ว

    Asante Mhe WM kwa kuendelea kurudusha imani ya wanachi kwa serikali yao kwa jinsi unavyosimamia na kuthibiti matumizi ya fedha za umma.

  • @mkalimussa1846
    @mkalimussa1846 5 ปีที่แล้ว +13

    Ndio Mh wazir ukwel usemwe mungu akupe maisha maref na yenye barak tele

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 5 ปีที่แล้ว +24

    🔥🔥huku majaliwa kule magu hapa kaz 2

  • @ابنعثمن
    @ابنعثمن 4 ปีที่แล้ว

    Hii nchi ilikufa kabisa,Mwenyezi Mungu katika kuihuisha upya ndio ametuletea hawa Majemedari wawili, huku Mh. Magufuli, the prezidaa, huku Mh.Majaliwa,the PM!
    Allah awape nguvu katika utumishi wenu uliotukuka, labda mindset za watumishi wa umma nazo zitafufuka na kwenda sambamba na kasi yenu.
    MUNGU IBARIKI TANZANIA

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 5 ปีที่แล้ว

    Umenijera mkuu,, hujamsimamisha kazi hata mmoja,, tia ndani wote anajibu rahisi sana kwa pesa za wananchi,, tia ndani hao tafadhali

  • @eliphaziamon8794
    @eliphaziamon8794 4 ปีที่แล้ว +4

    Rais ajae oyeeeeeee

  • @rokiroki1825
    @rokiroki1825 3 ปีที่แล้ว

    ALLAH ibariki tz na wabatiki viongozi na wananchi kwa ujula

  • @johnpesambili4806
    @johnpesambili4806 5 ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwasimamia viongozi wetu, muishi maisha marefu kazi mnaifanya kwa kweli nchi mnaisimamia kwa uzarendo wa hali ya juu ingekuwa raisi mngetulisisha watanzania wote, na nchi yetu ingekuwa paradiso ndogo.

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 5 ปีที่แล้ว +1

    Strong educated prime minister in Tanzania

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +13

    Ondoka nae uyo jinga sana

  • @doctor.doctor9352
    @doctor.doctor9352 5 ปีที่แล้ว +2

    Dahh...kazi ipo, tutafika tu kwa lazima

  • @rafikiasante8186
    @rafikiasante8186 4 ปีที่แล้ว

    Fanya kazi mh. Tuko nyuma sana kimaelendeleo.

  • @frankkaijage9726
    @frankkaijage9726 3 ปีที่แล้ว

    Kwa nini mnachezea hera. ? Waziri safi sana. Weka ndani wote

  • @saidykindamba6020
    @saidykindamba6020 5 ปีที่แล้ว +2

    Mh waziri mkuu piga kazi kiongozi wangu
    U ni rais wa tz ujae amin maneno yng

  • @zainabkhatib6509
    @zainabkhatib6509 4 ปีที่แล้ว

    Alhamdulilah na MashaaAllah kupata viongozi wenye kujali wa wananchi wake

  • @kiatu
    @kiatu 5 ปีที่แล้ว +6

    Siku hizi ukweli unasemwa, ni hatua muhimu kuelekea a high performing government. Wakuu wa wilaya baado wako nyuma

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 5 ปีที่แล้ว +6

    Daaah wallah ina uma cjui awa wa2 wana dhamira gan

  • @singidaboy1586
    @singidaboy1586 5 ปีที่แล้ว +3

    Duh tz kuna mamb yanatia Hasira 😞

  • @Wastara001
    @Wastara001 5 ปีที่แล้ว +17

    Fuata nyayo za magufuli baba majaliwa. Tz itasonga mbele

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 ปีที่แล้ว +1

    Niaibu sana

  • @hamisshabani3126
    @hamisshabani3126 5 ปีที่แล้ว +14

    Huyo mkurugenzi kapiga hizo m400 afukuzwe tu na alipe pesa zetu. Pumbavu zake

  • @professamuddy5407
    @professamuddy5407 3 ปีที่แล้ว

    Hao ni sawa na wezi tuu! Walipe fedha zetu na pia wahukumiwe mkuu. Tia ndani hao.

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 5 ปีที่แล้ว +3

    Mamaee haijabaki mkuu siku zako zinahesabika

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 5 ปีที่แล้ว +9

    Amakwer watu tunapenda pesa zawatu wanyonge duu hiro kwer barahhh 😏😏😏hhh maduuuu???

  • @charlesfrancisco1303
    @charlesfrancisco1303 5 ปีที่แล้ว +1

    I wish niwe President on future,I swear nitawafunga wengi.

  • @abdallahhamza9689
    @abdallahhamza9689 5 ปีที่แล้ว +2

    Joto mkuu yupo kwingine anakamua Bado huyu yupo kwingine asee ni fire

  • @mallemaOg
    @mallemaOg 5 ปีที่แล้ว +8

    Hapa KAZI tu woyooooo

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 5 ปีที่แล้ว +4

    Huku Ziara ya Magufuli huku ziara ya Majaliwa.. Kitaeleweka tu, TZ sasa sio mahali pa mchezo

  • @evelyinipaja1202
    @evelyinipaja1202 4 ปีที่แล้ว

    Hawa watu wachukuliwe hatua kali, hi wabinafsi wasiojali maisha ya wenzao.

  • @zakiazakia4552
    @zakiazakia4552 5 ปีที่แล้ว +10

    Tumbua wasikuchoshe baba washenzi hao yani wenzao wanatumbuliwa wao wanakula

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 5 ปีที่แล้ว +5

    WARUDISHE PESA na wafukuzwe Kaz..ushenzi huu

  • @SalmaSalma-nb2cv
    @SalmaSalma-nb2cv 4 ปีที่แล้ว

    Majaliwa uku magu uku jafo timu safi hii mungu akulinden

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 5 ปีที่แล้ว +5

    Kweli mjomba hana kazi watu tunaijua ela kwa kutumbua kote bado watu tuna ujasili wa kupiga kweli nimekubali wabongo si moto usiozimika

  • @immaculataroeser9094
    @immaculataroeser9094 2 ปีที่แล้ว

    Ahmed Masunda umesema sawa kabisa.

  • @mussamanumbu3718
    @mussamanumbu3718 5 ปีที่แล้ว

    Hapo wapigaji wengi sanaa

  • @nasriabdalah6574
    @nasriabdalah6574 5 ปีที่แล้ว +1

    Amin majaliwa anaenda kuwa rais 2025

  • @salmaoriginaloriginal6478
    @salmaoriginaloriginal6478 5 ปีที่แล้ว +5

    Daaah usi waache ao zaa nao

  • @parisjr7407
    @parisjr7407 5 ปีที่แล้ว +2

    Sasa mwiguru nchemba anasimamia kwenye Jimbo lake...Huyo Mwguru Nchemba zigo la Ma

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 5 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki raisi wanchi na uwongozi wake wote kwa utendaji mzuri

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 5 ปีที่แล้ว

    Ruby huwez nielewa panaitaj umri kunielewa sis tuliozion awamu zote tano ilifika wakat tukiamka saa kumi usiku kuweka jiwe dukan ili tupate nunua chakula ...nyamaza kabisa usinikumbushe muulize babako atakwambia...huko nyuma kulikua na upumbav siwez ht kuongea ..eti viongoz wazur ,dah eti kutuunganisha,dah,upeo mdogo san we wa wapi?.......

  • @silamwamlima2758
    @silamwamlima2758 4 ปีที่แล้ว +1

    Wazir mkuu anafanyakaziii sanaaaaaaa

  • @ahmadmasunda8198
    @ahmadmasunda8198 5 ปีที่แล้ว +6

    UKIONA MTU MZIMA NA MWANAMUME ANAPENDA PESA KWA NJIA RAHISI !! BASI JUA MTU HUYO ANAVINASABA VYA USHOGA FUKUZA SUKUMA NDANI

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 5 ปีที่แล้ว +10

    Pesa washakura hapo 😂😂😂😂😂kavurugwa nesi nadafutar rake

    • @samweledga8298
      @samweledga8298 5 ปีที่แล้ว +1

      Asanteni viongozi Wangu tumbua hao

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 3 ปีที่แล้ว

    Wabongo wamezoea kupiga mtu akipata nafasi tu harembi.🤔Mungu anawaona😱😱

  • @deusomar493
    @deusomar493 5 ปีที่แล้ว +2

    Yuko wapi mwarry wa tabora!

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Ni balaaa

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 5 ปีที่แล้ว +10

    Yaan wabongo bado tu mnataka kupiga ela za bure badiliken bhana nyie viongozi wachini ndio mnamuangsha Jpm

    • @alfredlimu308
      @alfredlimu308 5 ปีที่แล้ว

      Ata sijui wanataka nn hawa watu

  • @emanuelshayayi54
    @emanuelshayayi54 5 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli,kuongoza kazi.Yaani mwananchi wameleta mawe ya kujengea msingi.Halafu Mbunge katoa mifuko mia nne (400).Bado jengo mbovu?.Aibu kweli.Mkurugenzi aibu.Mtawaua na presha viongozi wetu.

  • @polloz77
    @polloz77 4 ปีที่แล้ว +1

    Bado baadhi ya waliyo pesa dhamana
    Nafikiri hii awamu ya tano kama awamu zingine zilizopita ulaji
    Mjuwe watu walikuwa wanakula nchi bila hata huruma watu wanapotoza maisha kwa ajili ya huduma ndogo
    Wanabahati sana kama walikuwa China wote wangekuwa death penalty no questions to ask

  • @romeoromeo4125
    @romeoromeo4125 5 ปีที่แล้ว +1

    Yaan apo uliposimama kutoa hotuba ata bati inaonekana ishaanza kutu!!

  • @robertterry8909
    @robertterry8909 5 ปีที่แล้ว +13

    kamua baba kamua jembe kamua inchi iende

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 5 ปีที่แล้ว +6

    Hao wausika wafukuzwe tu

  • @charlesmataba8344
    @charlesmataba8344 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU IBARIK TANZANIA

  • @kipesekiaruwamallya3098
    @kipesekiaruwamallya3098 5 ปีที่แล้ว

    Shkamoo tanzania

  • @richardnganya7536
    @richardnganya7536 2 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji unachanganya Marais !! Majaliwa hakusema John Magufuli....! Uwe nakini.

  • @emjay1016
    @emjay1016 4 ปีที่แล้ว +2

    inabidi tupitishe sheria mbili kali kwa ajili ya watu wachache wezi,wasio wazalendo na huruma na watu maskini tena wanyonge daah
    1: Ikigundulika umekula pesa kuanzia Billion moja ni KUNYONGWA MPAKA KUFA
    2:kama pesa ni chini ya hapo bas huyo mzandiki na fisadi bas wakatwe vidole vyote vya mikono

  • @jumamkokota9484
    @jumamkokota9484 5 ปีที่แล้ว +3

    Watu wanatia asira kwakweli serikali inatoa pesa lakini akuna mazuri yanayofanyika ni ubabaishaji tu wamezoa kupiga tu

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyie Wakurugenzi,mnaendelea kutingisha kiberiti,
    Kimejaa,inakula kwenu.

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanajua kama kawaiida yenu uwaga amkagui kwa kina. Ndio mana wanalipua kazi

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 5 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu kibaya kama hawa watu wa Afya wanavyo vifanya unajua mkuu hospital,vituo vya Afya vingi ni vibovu sana na kuhusu mashuka ya wagonjwa wanatandika mazuri adi aje mkuu kama wewe au zaidi yako

  • @happymsaki1720
    @happymsaki1720 5 ปีที่แล้ว

    Na mabati yanakutu jamani hiyo bodi ione hata haya Mungu wangu hizo rangi huko kama batiki

  • @kagirwatryiphonekagirwa7645
    @kagirwatryiphonekagirwa7645 4 ปีที่แล้ว

    Kwasitaili hiii nchi hatabadilika kama viongozi wetu wakuu wanahangaika Lakini wasaidizi hawaheleweki

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 5 ปีที่แล้ว +1

    Dah aibu kweli kuna watu wana roh o ngumu, mpk leoi ufisadi badi upo🤣🤣🤣 mtanyooshwa tu

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 4 ปีที่แล้ว

    Huyu mleta rejista mh mrefu kweli.hayo mabati ya hospitali tayari yana kutu!! Hii mpya kweli

  • @melkizedekiwiliam5533
    @melkizedekiwiliam5533 4 ปีที่แล้ว

    Huyo ndio Rais ajaye. Majaliwa piga kazi.

  • @allymamlo252
    @allymamlo252 5 ปีที่แล้ว

    Jamani

  • @mohdsalum3832
    @mohdsalum3832 5 ปีที่แล้ว +2

    Washakula hela hao

  • @azizauledi4108
    @azizauledi4108 5 ปีที่แล้ว

    Yaani wanaitia Aibu serikali inatoa pesa kusimamia tu vizuri miradi pia issue mpaka wasimamiwe km wakimbizi duuuuu hatariii🙄🙄🙄

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 5 ปีที่แล้ว

    Wataelewa tu mh.

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    10 percent hakuna tena

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu5025 4 ปีที่แล้ว

    Wakandarasi acheni hizi kazi. Kama huna mahala pengine pa kupata fedha

  • @ilovecomputers1630
    @ilovecomputers1630 5 ปีที่แล้ว

    Haijabaki Mkuu 😁😁😁

  • @judithnjunwa6668
    @judithnjunwa6668 5 ปีที่แล้ว

    IPO KAZI........................HIVI HAWA HANA HOFU KABISA YA KULA HELA ZA WANANCHI, SERIKALI YENYEWE HII IKO MAKINI,

  • @lazarosilayo6918
    @lazarosilayo6918 5 ปีที่แล้ว +4

    Mabati yenyewe yana rangi mbilimbili😂😂

    • @emanuelemanuel9223
      @emanuelemanuel9223 5 ปีที่แล้ว

      Hivi kweli nyie watendaji hasomi alama za nya kati? Bila aibu mkurugenzi unajibu hakuna pesa iliyobaki. Hata ingekuwa mimi ni singe kubali huo ujinga.

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 5 ปีที่แล้ว +4

    Badilikeni mbona maeneo mengine wamefanya vizuri kwa nn nyie?

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 5 ปีที่แล้ว

      COSMAS DAUD Singida wabunge wao wakitaifa sasa hata ufuatiliaji ndo unakuwa zero kabisa😀😂

  • @sharifumanjem5287
    @sharifumanjem5287 5 ปีที่แล้ว +2

    Muheshimiwa njooo na Rungwa uone madudu kwenye miradi ya maji zahanati na upande wa Elim utatowa machozi

  • @sumaidgasto9151
    @sumaidgasto9151 5 ปีที่แล้ว

    Halafu tunataka viongozi wasiwe wanatumia nguvu. Lazima nguvu itumike ili mambo yaende maana tukitumia maneno na kusikilizana tutashindwa ndio maana nchi ilitaka kuyumba na CCM ilikosa mvuto kutokana na kusikilizana na si kupelekana kasi licha ya kauli mbiu iliyokuwepo ambayo ili agiza kasi na hari mpya

  • @issackjoseph6436
    @issackjoseph6436 5 ปีที่แล้ว

    Matokeo ya watumiaji Wa wataalam duni

  • @Moon-wf2ec
    @Moon-wf2ec 5 ปีที่แล้ว +7

    Mgojwa akiona jengo tuu ugonjwa unazidi atimaye kafa😂😂😂jengo tuu tabanahhh😂😂😂😂

  • @mahirwilliam5109
    @mahirwilliam5109 5 ปีที่แล้ว

    Watupishe

  • @gilbertemmanuel6891
    @gilbertemmanuel6891 3 ปีที่แล้ว

    Majaliwa me nakubali kaz yako ira tatizo ni chama chako

  • @mwamengele
    @mwamengele 4 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ndio vituo vya afya vya Mh JPM vilivyojengwa kwa miaka 4
    1, 2, 3, 4, 5, 6, 7, 8, 9, 10, 11, 12, 13, 14, 15, 16, 17, 18, 19, 20, 21, 22, 23, 24, 25, 26, 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33, 34, 35, 36, 37, 38, 39, 40, 41, 42, 43, 44, 45, 46, 47, 48, 49, 50, 51, 52, 53, 54, 55, 56, 57, 58, 59, 60, 61, 62, 63, 64, 65, 66, 67, 68, 69, 70, 71, 72, 73, 74, 75, 76, 77, 78, 79, 80, 81, 82, 83, 84, 85, 86, 87, 88, 89, 90, 91, 92, 93, 94, 95, 96, 97, 98, 99, 100, 101, 102, 103, 104, 105, 106, 107, 108, 109, 110, 111, 112, 113, 114, 115, 116, 117, 118, 119, 120, 121, 122, 123, 124, 125, 126, 127, 128, 129, 130, 131, 132, 133, 134, 135, 136, 137, 138, 139, 140, 141, 142, 143, 144, 145, 146, 147, 148, 149, 150, 151, 152, 153, 154, 155, 156, 157, 158, 159, 160, 161, 162, 163, 164, 165, 166, 167, 168, 169, 170, 171, 172, 173, 174, 175, 176, 177, 178, 179, 180, 181, 182, 183, 184, 185, 186, 187, 188, 189, 190, 191, 192, 193, 194, 195, 196, 197, 198, 199, 200, 201, 202, 203, 204, 205, 206, 207, 208, 209, 210, 211, 212, 213, 214, 215, 216, 217, 218, 219, 220, 221, 222, 223, 224, 225, 226, 227, 228, 229, 230, 231, 232, 233, 234, 235, 236, 237, 238, 239, 240, 241, 242, 243, 244, 245, 246, 247, 248, 249, 250, 251, 252, 253, 254, 255, 256, 257, 258, 259, 260, 261, 262, 263, 264, 265, 266, 267, 268, 269, 270, 271, 272, 273, 274, 275, 276, 277, 278, 279, 280, 281, 282, 283, 284, 285, 286, 287, 288, 289, 290, 291, 292, 293, 294, 295, 296, 297, 298, 299, 300, 301, 302, 303, 304, 305, 306, 307, 308, 309, 310, 311, 312, 313, 314, 315, 316, 317, 318, 319, 320, 321, 322, 323, 324, 325, 326, 327, 328, 329, 330, 331, 332, 333, 34, 335, 336, 337, 338, 339, 340, 341, 342, 343, 344, 345, 346, 347, 348, 349, 350, 351, 352.

  • @frankdaniel2661
    @frankdaniel2661 4 ปีที่แล้ว

    inakera kwakwwli

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed5546 4 ปีที่แล้ว

    Niaibu sqna

  • @qadinacci
    @qadinacci 5 ปีที่แล้ว

    Dada wa Watu anatetemekaa ha ha ha ha

  • @mirajiibrahim51
    @mirajiibrahim51 5 ปีที่แล้ว

    Manina waziri mkuu anataka kuona register kujua watu wangapi wamefika apo ... arafu kuna wajinga bado wanataka kula hela daah jamani badilikeni serikali hii sio ile mlio kuwa mmeizoea mnapiga hela hakuna mtu anakuja kuwa kagua someni arama za nyakati mtaisha....

  • @ngurelore6031
    @ngurelore6031 5 ปีที่แล้ว +1

    Amna fisha bodi kwel ao waizi

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua wote

  • @mhangwacastory8765
    @mhangwacastory8765 5 ปีที่แล้ว

    Kwa Mara nyingine tena niseme viongozi wetu wanahitaji kuombewa tu ndo zawadi pekeee maana they are very serious ever,nahisi muda tu watu tu hawajawaelewa

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 ปีที่แล้ว

    Yani hilo jengo halifanani na dhamani ya kiwango cha pesa kilicho tajwa bati lenyewe lina kutu huyo mkurugenzi ni wakunyonga kabisa hafai hana maana hata kidogo fukuza wote na hizo pesa watudishe pumbavu kweli 😠

  • @alikarisa
    @alikarisa 5 ปีที่แล้ว

    Mheshimiwa KM shutukiza alimashauli ya Bukoba kata kashai. Vituo vya Afya huko havina huduma na vipimo.

  • @SefrozaMafuru
    @SefrozaMafuru 5 ปีที่แล้ว +1

    Mbona watanyooka tu..

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 5 ปีที่แล้ว +1

    Inasikitisha sana

    • @christophermkwesso4134
      @christophermkwesso4134 5 ปีที่แล้ว

      Kule magu uku majaliwa mpira kati aya sasa gonga like twende zetu!!!!

    • @renatuspeter776
      @renatuspeter776 5 ปีที่แล้ว

      Hongera kwa kazi nzuri!

  • @muhammadabassi8428
    @muhammadabassi8428 5 ปีที่แล้ว

    watuambie pesa wameweka wapi alaaaa

  • @jumakilewa7265
    @jumakilewa7265 3 ปีที่แล้ว

    CHama kishike hatamu vinginevyo hakuna kitu

  • @ceciliajohn4358
    @ceciliajohn4358 5 ปีที่แล้ว

    Kweli magufuli na kasim majaliwa ni mapacha

  • @muhammadabassi8428
    @muhammadabassi8428 5 ปีที่แล้ว

    kazakaza muheshimiwa mpka kieleweke safar hii

  • @wolfgangkichai8577
    @wolfgangkichai8577 5 ปีที่แล้ว

    Hiviii hawana hata aibu ??😂😂😂😂😂 watanyooka tuu🤨🤨 🤨🤨