BOMOA BOMOA MOROGORO, WATU WAZIMIA WAKISHUHUDIA NYUMBA ZAO ZIKIVUNJWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 426

  • @locibelig4831
    @locibelig4831 ปีที่แล้ว +45

    R.I.P uncle magu forever ur ar ma president. Eternity one love ma Rais wangu unae ishi moyoni🇹🇿

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว +1

      Acha umbea kwani maendeleo yeyeto lazima wengine waumie kwani walipimiwa kama kulipimwa watalipwa la walivamia basi wajue malipo hakuna

    • @froma3732
      @froma3732 ปีที่แล้ว +3

      Musijifanye ati kumsifiaa Maguu hata yeye alivunja nyumba nagapi

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 ปีที่แล้ว +2

      Labda Uncle wako ila Sio yule mwenda Zake na ndie mwasisi wa Bomobomo Kwenye Uraisi wake Kuna Mtu aliyeumiza watu Kwa bomoabomoa kama Yeye..Afya ya Akili I atesa wabongo wengi Sanaa..Alafu ye Mzee sijui aliwalishaga Mdudu Gani wa Tz waliowengi aliwapumbaza Akili Sana Basiii..

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +2

      @@Chanell32 lamda ulifanya haram sio halari yyte aliye upande wa haram hapendi magufuli NA MUNGU PIA

    • @jenyyusuph4973
      @jenyyusuph4973 ปีที่แล้ว +1

      @@froma3732 MBONA mnasikia UCHUNGU semeni Sasa kama katulipa ili tumsemee kama mlivyokua mnamsema Ana jaza watu kwasababu kawaleta NA malori nawakati wema wake TU ndio ulikua unaita watu THAMANI YA MAGUFULI WATU WA HAKI WOTE WAMAKABIRA YOTE WANAIJUA

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 ปีที่แล้ว +24

    "2025 Tena Kwa kishindo..." Alisikika mtanzania mmoja aliyeshinda njaa na kukosa dira ya maisha...
    Kazi iendelee 😫

  • @bakariathumani8105
    @bakariathumani8105 ปีที่แล้ว +19

    Hii ndio tafsiri yaneno kuupiga mwingi.... Kazii iendelee I love Tanzania

  • @himoda7647
    @himoda7647 ปีที่แล้ว +20

    Kwa serikali hii ya Samia Kazi tunayo Wana nchii

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl ปีที่แล้ว

    Mungu anawaona maisha yalivyo magumu unapataje ujasir wa kubomoa

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu tuhumiye haya machozi yawananchi hayatakwenda bure mungu atasimaa Katikati yao

  • @khadhiriramadhan5984
    @khadhiriramadhan5984 ปีที่แล้ว +6

    poleni saana morogoro nimeumia kama vile mimi ndyo nimefanyiwa 😭😭😭😭

  • @petermaroaofficial
    @petermaroaofficial ปีที่แล้ว +7

    Mungu 🙏 🙏 yupo ndungu zangu watanzania

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 ปีที่แล้ว +1

    Yani tatizo la tz wakati wananchi wanajenga serikali huwa ikowapi? sehemu zilisha jaa leo mnavunja hakiikowapi? Poleni sana wanaichi

  • @AhmedAli-ur3uc
    @AhmedAli-ur3uc ปีที่แล้ว +4

    Hiiiii sio sawa hata kidogooo kama hairuhusiwiii kujenga maeneo hayooo ilikuwaje akapewa vibaliii ili ajengee leo kashajengaaa mnambomoleaa Daaaàh inaumaaa sanaaa kwakweliiii

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว

      Mara nyingi hawapewi vibali wanajenga tuu

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 ปีที่แล้ว

      Mara nyingi wa Tz Sehemu nyingi inatakiwa Kupewa Kibali ila Asilimia nyingi wapuuziaji Hawaendi wanajijengea tu yakiwakuta wanze kulialia ila Maelezo ya Viongozi Hao Kama walishapewa Tahadhari ni Ujinga wao Hao Wananchi na Anae Ona wameonewa atakuwa na Matatizo ya Afya ya Akili laa sivyo Mihemko kajikuta Ka comment hajasikiliza clip Hadi Mwisho..SHERIA NI KWAMBA Kabla Hujajenga ni Lazima upate Kibali mamla husika wengi hawaendagi Maana wanajua pia hairuhusiwi ni Viburi tu Maana Arshi Hawawezi kipa Kibali ukajenge pasipo Takiwa....

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      Nyumba 1200, kwani zulijengwa usiku na asubuhi serikali ikaona'siwao wanaona ujenzi kwanini wasijue kabla? Na pia huwezi kuchukua aridhi bila serikali ya kijiji au mtaa kuhusika, wao ndo wauzaji wa ardhi na ma wakala namadalali wa kuuza ardhi

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว +1

      Yaani serikali ya mtaa hamna kitu wachumia tumboni

  • @halimatanzania7869
    @halimatanzania7869 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭mungu hivi kwel ulimchukuwa magufuli kwa nini watu wanateseka hivi dah mungu wasaidie

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +6

    😭😭😭😭 uchungu wa hiyo pesa waliopoteza hapo, Yarabb, Yarabb. Eee Mwenyezi Mungu.

  • @ismailmneka2967
    @ismailmneka2967 ปีที่แล้ว +54

    Tanzania tokea afe Magufuli viongozi wote Wamelaaniwa kabisa

    • @simbaboymawe435
      @simbaboymawe435 ปีที่แล้ว +10

      Sio kil kitu magufuli iyo magufuli kawavunjia watu wangap au umesahau

    • @reginabenzi9631
      @reginabenzi9631 ปีที่แล้ว +3

      💯I agree 🌷

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว +4

      Magufuli ndio kabisa maendeleo yanaghalama kama ulijenga bila idhini na eneo si rasmi we Italian tuu ndio maana ukitaka kununua eneo nenda ardhi kahakiki kiwanja unachonunua

    • @rashidissa5887
      @rashidissa5887 ปีที่แล้ว +3

      Wewe mwendawazimu!!Nani ameasisi bomoabomoa?

    • @biggievandar254
      @biggievandar254 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa mtamkumbuka Sana siwangepewa MDA jamani

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 ปีที่แล้ว +2

    Hii nchi hii dah yan mpaka nimelia me ni bint wa miaka 23 nimejenga, kwa hatua niliyofikia sahiv karib namaliza halafu mtu aje kunibomolea?????na nimejichanga mwenyewe kwa jasho langu mtu anasambaratisha aisee uchungu ninaoskia kama nimebomolewa mm na mungu aliepushe hili lisinitokee wallah

  • @alfaniomary2506
    @alfaniomary2506 ปีที่แล้ว +5

    Mungu ndo katuwekea nchi hii lakin mnajimilikisha sawa mungu atatupigania
    Leo mama mboga kachanga mia mia zake na kujenga nyumba leo mnabomoa ee mungu tusaidie
    Hawa mambwa wa tanzania watuache coz nass tunahaki yakuishi

    • @khadijayusuph2634
      @khadijayusuph2634 ปีที่แล้ว +1

      Sasa hivi mtu akijenga anachukua kibali"je hawa hamkuwapa vibali? Na Kama mliwapa ni kwa nini mliwapa?

  • @faridyshaame4705
    @faridyshaame4705 ปีที่แล้ว +18

    Kwani watu wanapo anza kujenga mamlaka husika hua zipo wp mpk ifike huku hii nchi haina mipango ya muda mrefu mipango yake ni ya kukurupuka tu ndio chanzo cha yote haya

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 7 หลายเดือนก่อน

      Mamlaka ziko nyingi ofis ya kibali ukienda wao wanataka pesa,hawajui kiwanja ni choko au vip

  • @therealaitar4149
    @therealaitar4149 ปีที่แล้ว +6

    Mwisho wa hii Tanzania ni mbaya sana
    Ipo siku watatumia siraha zao zote zitaisha na tutakua tayari kufa

  • @ezekielsamweli5432
    @ezekielsamweli5432 ปีที่แล้ว +9

    MUNGU hataiacha Tanzania fanyeni mnavotaka Ila ipo siku moja tu mtaamini kuwa Mungu anaipenda Tz...

  • @kelvinathuman8545
    @kelvinathuman8545 ปีที่แล้ว +5

    Duuuh hayaa maishaa Mungu wetu woteeee jmn 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

    • @ibrahimisaack4400
      @ibrahimisaack4400 ปีที่แล้ว +1

      Tukiwambia ijaribuni chadema hata miaka mitano hamuelewi nabado

    • @fakihdarusi4385
      @fakihdarusi4385 4 หลายเดือนก่อน

      Pengine huenda alipojenga sio sahihi

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 ปีที่แล้ว +6

    Inauma Sana jamani viongozi muwahurumie wananchi maisha magumu mnawavunjia nyumba zao dah nchi hii noma sana

  • @wemamatonya1567
    @wemamatonya1567 ปีที่แล้ว +7

    Mmmh hii nchi hii Mungu atusaidie

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 ปีที่แล้ว +2

    Safiii Sana aendeleee kubomowa kusudi akili ije mnapewa kanga na vitambaa tishert wali 2025 mjitambuwe wangekuwa wanapima viwanja na kugawa hayo you yasinge tokea

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 ปีที่แล้ว

      Umeona eee, hawajifunzi, tokakupata uhuru,kuna mlalahoi kaishi kwa furaha ktk Nchi yake hii TZ?wanao faidi nakuishi vizuri ni hao viongozi mnao wachagua, mnawachagua ili mkawape wao maisha waishi wao kwa raha,kuna haja gani kuchagua viongozi?wao ndio watoa vibali vya kujenga wao pia ndo wauza aridhi nawao wao ndo wakuja kubomoa

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 ปีที่แล้ว +2

    Ukisikia mtu anakuwa kichaa ndy huku sasa we nishuhudie nyumba yng inavunjwa km hivyo nahisi ningeanza kuvua nguo hapo hapo nakukimbia uchi eeh Mungu wape moyo waliokutwa na haya matatizo roho ina uma sana mtu umejinyima miaka tele ili upate pakujistiri leo unakutwa na haya aah Mungu tusaidie yasifike kwetu

    • @karasuyazidi8547
      @karasuyazidi8547 ปีที่แล้ว

      Je kipindi unanunua kiwanja ukifuata sheria kweli maana asilimia kubwa watz tunapenda shoti Kati

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 ปีที่แล้ว

      @@karasuyazidi8547 Unaijua Serikali ww kaone yule wa Zanzibar nyaraka zote anazo na hati ya ujenzi kapewa kwann azuiliwe akiwa kashajenga yaani mtu unanunua unajiridhisha na unafata sheria lkn miaka mbele wastukia ooh eneo hili sio wakati mnauziwa na wenyekiti wa Serikali za mtaa ndy watoa ushahidi wa hati na maandishi juu wao hawajui km hilo eneo sio hd wakubali kutia saini?

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 ปีที่แล้ว

    Mama samia lisimamie hili usipofanya hivyo nawewe ni kiongozi mkuu utaulizwa kutonakana uliowaongoza siku ya qiama haipo mbali utajibu nini?😭😭😭😦😭😭😭 hemu watizameni hao masikini wanyonge wamejenga kwa tabu hasbiyallahu waneemalwakeel

  • @oklahommy9838
    @oklahommy9838 ปีที่แล้ว +1

    Naona watu wanasema R.I.P Magufuli musimtie dosari huyo mzee wa watu huko aliko Mungu amrehemu .......
    Nadhani kama mnakumbuka alipokuwa waziri wa ujenzi bungeni akihojiwa kuhusu watu kubomolewa nyumba zao kwenye hifadhi ya barabara bila fidia alichokisema wacheni unafiki wenu sheria ni msumeno kama wamejenga ndani ya hifadhi wacha sheria ichukue mkondo wake

  • @sadocklundi5216
    @sadocklundi5216 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugu zetu, lakini watanzania hatuchukui vibali vya Ujenzi tunapotaka kujenga, hiko kitu kimeshawahi kunigarimu,siwezi jenga nyumba bila kibali cha ujenzi. Kama eneo lina shida huwezi pata kibali cha kujenga

  • @zikenims6167
    @zikenims6167 ปีที่แล้ว +2

    Hii kitu uisikie kwa mwenzio wallah Allah atuhid waja wake poleni ndugu zetu Tanzania ndo inch ya viongozi wa ovyo imeshindwa kuratibu toka zamani mipango miji ujenzi kiholela sasa ivi wanatesa wananchi

  • @davidmbwilo4954
    @davidmbwilo4954 ปีที่แล้ว

    Mkundi ndio sehem ambayo ilikuwA na speed kiuchumi daah serikali hiii poleni sana ndugu zetu Mungu atawalipia soon

  • @raphaeltmasudi5295
    @raphaeltmasudi5295 ปีที่แล้ว

    Mwanamke mwenzenu Tanzania Bado sana

  • @ellymaz2187
    @ellymaz2187 ปีที่แล้ว +2

    Hivi wakati watu wanajenga hadi kufikia hatua hiyo nyinyi maafisa ardhi mnakuwaga wapi?

  • @samolaamili9858
    @samolaamili9858 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo pamoja na wahanga hila hiyo arizi mnayotaka kuzulumu wananchi na hasara mnayowatia hipo siku hitawalilia !

  • @salumallysalum4858
    @salumallysalum4858 7 หลายเดือนก่อน

    dahh imenisktisha sana kuna leo na kesho kwa mungu kuna moto

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 ปีที่แล้ว +1

    Ila ww Samia na serekali Yako mungu akulani katika maisha Yako Yan mwananchi anahangaika anajenga kwa xhida af unaruhusu watu wabomolewe nyumba!! Unafkri wameend kubomoa wenyewe bila ww kuwa2ma!! R,I,p magu !! Yan 2024/2025 mbichi au mbivu!! Bora hata vita vipigane Samia aondolewe!!

    • @maryamaliy8509
      @maryamaliy8509 ปีที่แล้ว

      Magufuli mshasahau alivyowavunjia nyumb wat

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 ปีที่แล้ว +1

      @@maryamaliy8509 Haaahaaaa..Nakwambia wabongo Sisi Akili Zetu zinashida Huwa hatukumbuki Kabisa hayo..Na sijui yule Mzee aliweka nini Kwenye Akili za wabongo Maana wamekuwa kama Mazuzu..Yaanii Hii copy na kupaste tu i

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 ปีที่แล้ว +13

    Alisema magufuli mtanikumbuka kwa wema wangu

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว +3

      Magu kwani hajabomoa hajafukuza wafanyakazi jamani maendeleo yanaghalama

    • @zaytunhijja6771
      @zaytunhijja6771 ปีที่แล้ว +1

      @@samwa9496 kwa kuwa hayajakufika wewe

    • @blockchain1203
      @blockchain1203 ปีที่แล้ว

      Mmmh..!Kuna Mtu Alie haribia watu Maisha Kwa Bomoabomoa kama Huyo Mtu..?Tena kama Hujui heri unyamaze. Ndie kinars wa Bomobomo Kwenye Hii Nchii..Yaani Hiyo ni Copy na Past Alafu wakati Mwingine wa Bongo tunadharau na kipuuzia Vitu Sana mmtu annambiwa Hapa usijenge anajenga akija kubomolewa mnalalamika Bahati Mbaya Mkuu Hapo Kasema Kila Kitu Sasa mncholalamika Nini Maelezo yanajitosheleza..

    • @karasuyazidi8547
      @karasuyazidi8547 ปีที่แล้ว +1

      @@samwa9496 swali kwa Nini watu wanalia na kumkumbuka yy

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani nimeuza nyanya nyumba hivi inauma mweeeeee

  • @lama6310
    @lama6310 ปีที่แล้ว +9

    CCM oyeeeeee 😂😂😂😂😂..Mama Samia Oyeeee, Nawasalimu kwa Jina la jamhuri la Tanzania Kazi iendelee🙌🙌..royal Tour Oyeeee,,.

  • @ednajeremiah928
    @ednajeremiah928 ปีที่แล้ว +5

    Kwa kweli hii sio haki jamani watoto watalala wapi😭😭😭😭😭

  • @alphantatu3893
    @alphantatu3893 ปีที่แล้ว +3

    Mama ufai toka zako kaeni Akina mama wote muishike

  • @allykassim1120
    @allykassim1120 ปีที่แล้ว

    Dah! Yaani huu mwaka kila kona watu wanavunjiwa nyumba tatizo nn au mnauziana maeneo ya raia jaman

  • @treyvissy9854
    @treyvissy9854 ปีที่แล้ว +1

    It’s sad kuona hao wananchi wanafikir huyo samia ndio msaada wao .. 😔

  • @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
    @FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl ปีที่แล้ว

    Nikiangaliaga picha i uwa naumia sana mungu atawashugulikia tu

  • @veronicabwamukuru1265
    @veronicabwamukuru1265 ปีที่แล้ว +2

    Hii inch jamani!!!! Kuna mapori mengi hayana kazi yeyote SI mwende huko? Km kweli serikali inafuatilia maelekezo ya viongozi mbona panya rod wanatamba Kila kukicha hakuna udhibiti wowote? Dah!!! Sema Sana omba yasikukute

  • @owenmutale8686
    @owenmutale8686 ปีที่แล้ว +2

    Eti hamkuziondoa wenyewe dah mkuu wa wilaya mungu anakuona

  • @letsgrowwithm4620
    @letsgrowwithm4620 ปีที่แล้ว +6

    Vitu vipande bei, nyumba zibomolewe, vifurushi mtihani, maji na umemee tatizo, deni la taifa liongezeke, maendeleo= 0 Hii serikali .

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo

  • @maliamusaidy2395
    @maliamusaidy2395 7 หลายเดือนก่อน

    Chozi la mnyonge ulipwa na munguuuuu

  • @dullahwibbo5874
    @dullahwibbo5874 ปีที่แล้ว +1

    Kiukweli hii nchi hiii mungu atusaidie kwa kwelii

  • @margrethjonesmshana8555
    @margrethjonesmshana8555 ปีที่แล้ว

    Yaaaaaani Sijui HAMUMUONAGI huyu MR ABOOD,yaaani Toka nasoma morogoro yeye ni mtu wa kusawazisha mambooo,Mtu wahurumaa,Mpeni kama ikimpendeza MAlkIA jamani awe huyu ni solver's (solving nashindwa niandikeje kiingereza kama kimehamaa🏃🏃❤️

  • @dullahtechtz3422
    @dullahtechtz3422 6 หลายเดือนก่อน

    Dah

  • @ahmedhamad2410
    @ahmedhamad2410 ปีที่แล้ว +2

    Nchi haiongozwi na mwanamke ikawa salama hayo ni maneno ya bwana mtume mie nimenukuu tu

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu anawaona hakika

  • @amadembenze6719
    @amadembenze6719 ปีที่แล้ว

    Noma sana rais wasaidie

  • @ibrahimsamson4193
    @ibrahimsamson4193 ปีที่แล้ว +3

    Mama anaupiga mwingi😭😭😭😭

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 ปีที่แล้ว +6

    Kujenga kulivyo kuwa kugumu hasa ukiwa masikini nyumba moja unajenga miaka hd 10 leo hii wanakubomolea, poleni sana 😫😫😫

  • @mariyamsalalah8204
    @mariyamsalalah8204 ปีที่แล้ว +2

    Daaaaah 😭🙌😥😥😥🙌hamna huruma na Wana nchi wenu

  • @getajo1153
    @getajo1153 ปีที่แล้ว +3

    Hivi ndo vile viwanja vya Instagram itakuwa...

  • @hassanabdillah3325
    @hassanabdillah3325 ปีที่แล้ว +2

    Naipenda sana Tanzania nimezaliwa Tanzania sikuja kibahati mbaya hii ndio nchi mungu aliyoniumba niende wapi

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 ปีที่แล้ว +4

    Ttzo letu n uoga tu ndo kitatuumiza, hkn nchi iliyopata mapinduzi kirahisi jmn ifike muda watu wakinukishe tu tutaheshimiana tu....

    • @onlinetv2910
      @onlinetv2910 ปีที่แล้ว

      Unaonaje tukakianzishe maan watu waoga wanarud nyuma

  • @jrjuma7054
    @jrjuma7054 ปีที่แล้ว +1

    Serikali ikitoaa aangizoo jaribuni kuelewa jamn,,Serikali inanguvu Sana ikiamuaa,,Haya ni maoni yang 👏👏

    • @neemaisrael688
      @neemaisrael688 ปีที่แล้ว +1

      Wananchi ni wabishi, nilishashuhudia mtu anajenga juu ya bomba la dawasco, akiambiwa anssema kifo cha wengi ni harusi. Tujichunge. Kulia sio sababu wamekiuka.

  • @josephmakonga3201
    @josephmakonga3201 ปีที่แล้ว

    Naomba kuuliza swali je viwanja walivitoa wapi maana unaponunua kiwanja lazma upite serikali ya mtaa

  • @hallin9561
    @hallin9561 ปีที่แล้ว +3

    sasa tofali wanazipeleka wapi

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 ปีที่แล้ว

      Wanaenda kujengea kwao 🤣🤣🤣

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 ปีที่แล้ว +1

    Poleni Watanganyika afuu wakiweka mikutano yao nendeni kama kawaida mumeipenda wenyewe mutaisoma number kwa wote

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 ปีที่แล้ว

      Wepesi sana kusahau maumivu

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 ปีที่แล้ว

    Daaaaah Bas bhna

  • @abdullahissa7548
    @abdullahissa7548 ปีที่แล้ว +2

    Hii ndiyo tanzania sasa

  • @mamuoman7849
    @mamuoman7849 ปีที่แล้ว

    Ardh ni ya Mungu sio ya serikal Mungu yupi mnaomwabudu nyie Mungu simama na wanyonge

  • @masikasaidi8805
    @masikasaidi8805 ปีที่แล้ว

    Mungu wangu😭😭😭😭😩

  • @komuhsengo9796
    @komuhsengo9796 7 หลายเดือนก่อน

    Mama ndiye mdhamini Mkuu WA ardhi, je ina maana hajuwi? Kamishna ni mtumishi tu

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 ปีที่แล้ว +2

    Kwa Nini wanawaacha wananchi wanajiwekeza ????Serikali inakuwa wapi mpaka wananchi wanaishi mda mrefu???

  • @farajambigo7702
    @farajambigo7702 ปีที่แล้ว +1

    sasa hizo tofali zinaenda wapi?! tz atar

  • @chidychief7166
    @chidychief7166 ปีที่แล้ว

    Serekali imekua ya kichoko bora tupigane tu tuheshimiane viongoz wanajijali wao mbwa hawa wanaona dunia yakwaoo , , , k sana hawa , , wakati raiya wanajenga mnawaangalia mnasubir wamalize mje mbomoe wasengee wakubwa

    • @shekrastipson3638
      @shekrastipson3638 ปีที่แล้ว

      rais wa saiv utumbo tu kwakwel tunamkumbuka sana J.P.M

  • @coachmohamedmmiji6619
    @coachmohamedmmiji6619 ปีที่แล้ว

    Ulale salama

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 ปีที่แล้ว

    Da R.I.P Doctor johni pombe joseph magufuli umetuwachia mzigo msito mama samia anatuteza wanaichi wake eee mungu shuka

    • @athumanmtunguja4412
      @athumanmtunguja4412 ปีที่แล้ว

      Tumeipenda wenyewe ngoja tukione cha moto

    • @athumanmtunguja4412
      @athumanmtunguja4412 ปีที่แล้ว

      Maisha yenyewe magumu mpaka watu wameanza mpaka wamemaliza kijenga mlikuwa wapi

  • @jmazura7400
    @jmazura7400 ปีที่แล้ว

    binadamu, tathmini ilifanyika na serikali kutoa katazo la kujenga. Watu wengine kwa kujua na wengine kwa kutokujua wakaendelea na ujenzi. Tatizo lipo kwenye uwajibikaji wa viongozi wa chini: wenyeviti, watendaji, diwani, maofisa wa mipango miji kwenye Halmashauri. Haiwezekani watu wajenge wakati kuna zuio na viongozi wapo tu wanaangalia.

  • @kessylukombe1811
    @kessylukombe1811 ปีที่แล้ว

    Kazi iendeleeee

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 ปีที่แล้ว +5

    Kazi iendeleeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtakoma na hiyo kauli

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +3

    mie Hua najiuliza kuna Viongozi wa kijiji.wa mtaa na wengine kwanini mnawaacha wanyonge wanajenga mnawaekea umeme mnawaekea maji kisha mnarudi kwabomolea

  • @daniellevoso523
    @daniellevoso523 ปีที่แล้ว

    Kazi ieeendelee

  • @Nyangindu
    @Nyangindu 5 หลายเดือนก่อน

    Maisha ya bongo shida sana watu wanabomolewa nyumba kisa wanyama

  • @likandafilm9709
    @likandafilm9709 ปีที่แล้ว

    kwani tatizo nn, wamekiuka sheria gan ya ujenzi?

  • @nauwarykabuma3793
    @nauwarykabuma3793 ปีที่แล้ว +1

    Mungu atakulani ww Mkuu wa wilaya

  • @arafamaneno2627
    @arafamaneno2627 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa rip magufuri mtetezi wa wanyonge daima tutakukumbuka🙏😭😭😭

  • @hashimmwinja1940
    @hashimmwinja1940 ปีที่แล้ว

    Poleni sana morogoro....huu ni ubabe

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +1

    Kazi iendelee 🔥

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 ปีที่แล้ว

    Eeeh mungu tupe kiongozi bora 2025😥😥😥it's painful

    • @geraldlyimo2859
      @geraldlyimo2859 ปีที่แล้ว

      Ni ngumu bila katiba mmpya tutasubiri sanaa

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 ปีที่แล้ว +1

    Sina cha kusema ila inauma sana wallahi yani unabomoa Nyumbaaaa kwa hali hii ngumu hivi jamani

  • @jafariathumani2451
    @jafariathumani2451 ปีที่แล้ว

    Sisi atuna viongozi ila tuna wata wara yani mabeber meusi uma Sana yan kama utu Hawana bac Ata busara pia wame kosa situna tafuta pesa kwa shida sana wao Wana ishi maisha Mazur kupitia kodi zetu pamoja na rasilimali za mnchi emungu wasaidie wanganga wote na utujalie tuje kupata viongozi wanao kuku tambuwa na kuku ogopa

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli ona watu wako tunavohangaika MAGUFULIIIIIII😭😭😭😭

  • @farresfedrick9430
    @farresfedrick9430 ปีที่แล้ว +2

    Wenye haki wakiwa na amri, watu hufurahi; Bali mwovu atawalapo, watu huugua.
    When the righteous are in authority, the people rejoice: but when the wicked beareth rule, the people mourn.

  • @shukranichomolla4977
    @shukranichomolla4977 ปีที่แล้ว +2

    Mmmmh mim sisemi kitu ila Mungu kama yupo anaona

  • @blackhunter455
    @blackhunter455 ปีที่แล้ว +2

    Baba yetu shujaa wetu ,tumpate wapi kama yule kipenzi Cha wanyongee!!!!!???

  • @abubakarikisuju80
    @abubakarikisuju80 ปีที่แล้ว +7

    RIP JOHN JOSEIPH MAGUFULI

    • @athumanmtunguja4412
      @athumanmtunguja4412 ปีที่แล้ว

      Mpaka watu wameanza ujenzi hadi wamemaliza nyie viongozi mlikuwa wapi

    • @johnsonbagambi1908
      @johnsonbagambi1908 ปีที่แล้ว

      Magufuli alibomoa nyumba za watu kibamba, Kimala,na kibaha ,

    • @fadhilikyandofadhilikyando5666
      @fadhilikyandofadhilikyando5666 7 หลายเดือนก่อน

      Magufurii ndio nanini bwana kimara na kibamba alikuwa magufuri yup

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 6 หลายเดือนก่อน

    Jamani mambo gani haya ndani ya Nchi yetu

  • @devotajoel3730
    @devotajoel3730 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭R. I. P MAGU😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Mungu ukowap

  • @bakarimuhamedbakari3605
    @bakarimuhamedbakari3605 ปีที่แล้ว

    Ewe unaezulumu unatambua yakwamba Dua ya unaemzulumu Huwa haipingiki? Macho Yako yanalala lakini uliemzulumu anakesha usiku kulia na kumshtakia aliumba mbingu na ardhi na akauumba ww ambae Leo unakiburi na kuwazulumu wanyonge? Allah walipie waja wako

  • @blockchain1203
    @blockchain1203 ปีที่แล้ว

    Kama anayosema Kiongozi Hapo ni ya kweli Tuacheni Mihemko na Hao Wananchi wamezingua wenyewe na Bahati Mbaya ndiovyo ilivyo Kwa Wabongo walio wengi Hii Nchii tu nadharau Alafu yakitukuta tulaumu..

  • @zuleikhakhamis3303
    @zuleikhakhamis3303 ปีที่แล้ว

    Huyu mwanamke wa wapi mshenzi kama hajabeba viumbe miezi tisa tumboni sasa wanawavunjia kisha wanachukua matofali watoto wataenda wapi km watoto wao wanafanyiwa ivi wangejickiaje kufanyiwa hivi serikali muwe na huruma hawa hawa wananchi ndo munaenda kuwaomba kura ili mushibe na familia zenu wakisha wapa kura ndo malipo haya jamani muwe na huruma sisi wazazi na dunia mapito tuu

  • @fatmakhanii1676
    @fatmakhanii1676 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭yupo mungu hakimu wa haki

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani sasa ubabe sasa baas

  • @ambakisyemwanjemba5787
    @ambakisyemwanjemba5787 ปีที่แล้ว

    Kwa marehemu haya hatukuyaona tofauti Sasa tunaiona

  • @kimcash3079
    @kimcash3079 ปีที่แล้ว

    We mkuu wa mkoa dada we.kmshukuru shetani