Uwanja wa Mej. Jen. Isamuhyo ulivyoandaliwa tayari kwa mazoezi kwenye CHAN 2024
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- #CHAN2024 | Viwanja vya mazoezi kwa ajili ya michuano ya CHAN vipo vya kutosha nchini Tanzania… na huu ni mmojawapo…
Kwenye hili, Naibu Waziri, Hamis Mwinjuma anasema ... “CHAN ni kama maandalizi ya kuelekea kwenye AFCON 2027…na sisi tuko tayari”.
Michuano hiyo itafanyika katika mataifa ya Kenya, Uganda na Tanzania mwezi Februari mwaka huu na itakujia kupitia kisimbuzi chako cha #AzamTV na #AzamTVMaxApp
#PamojaAfrika #WakatiUmefika
Uwanja wa kazi Gani ?mpira wenyewe hamjui kucheza
Tumewajengea nyie mnaojua kucheza
How far , na mmetolewa Leo na Zanzibar 😂, Zanzibar kazi nzuri, yaani wakenya bwana😂
@@EphrancinaBeyanga tizama matokeo sio kukurupuka nani kashinda anafu uje uwandike pumba zako hapa
Wakunya wajinga sana wimvu na uchawi ndioo Kazimierz yahoo na bado
Na ki English eti 😂😂😂.. what a crap..Eti kenya tuko juu kuliko wa tz kwa sababu tunajua ngeli zaidi😂😂😂... kuleni hio English yenu sisi huo uwanja tunajenga nyie mnaumia😅