Jmn mm ni mvivu sana kuspray maji, but am trying my best ku keep my scalp clean. Yan nikisha twist na leave in Conditioner na shea butter nabana, then uvivu unakuwa kweny kuzifungua ili kupulizia maji, kiukweli nashindwa kuuondoa huo uvivu kabisa🙃. Nyie wenzangu mnafanyaje?
@@radiaarady3307 there are alot of naturalists kwa mi naona do what your hair loves ukiona kitu kime kukubali stick to it hii mambo ya kuiga no oils no butter alaf kwa nywele zetu hizi Afro kinky hair kila saa zina jifunga mpenz utawezaje ku retain unyevu for 30 days au unatumia maji kila siku bcz 30 days ni nying na scalp yako je ? Si itakua dry bila oils or butter
Waaoo dada God bless you
Karafuu,geli yabamia uwatu sasa mfano nikitaka kutengeneza mafuta ya nywele nafanyaje?
Jmn mm ni mvivu sana kuspray maji, but am trying my best ku keep my scalp clean.
Yan nikisha twist na leave in Conditioner na shea butter nabana, then uvivu unakuwa kweny kuzifungua ili kupulizia maji, kiukweli nashindwa kuuondoa huo uvivu kabisa🙃. Nyie wenzangu mnafanyaje?
Unapatkana wap
Dar es Salaam dada. Nina saluni iko Victoria hapo huwa pia naweka products zangu.
Umesikia kuna njia nyingine ya kusaidia nywele kukua na afya nzuri? Inaitwa 30 days detox au wengine wanaita no oils, no butters.
Ukoje hiyo na hizo nywele sizitakatika na kuwa kavu🤭
@@radiaarady3307 ukiosha na kuweka conditioner, halafu ukiweka styler unakuwa umepata moisture ya kutosha.
Kwa siku 30 bila kuosha au
@@radiaarady3307 there are alot of naturalists kwa mi naona do what your hair loves ukiona kitu kime kukubali stick to it hii mambo ya kuiga no oils no butter alaf kwa nywele zetu hizi Afro kinky hair kila saa zina jifunga mpenz utawezaje ku retain unyevu for 30 days au unatumia maji kila siku bcz 30 days ni nying na scalp yako je ? Si itakua dry bila oils or butter
Habari, bidhaa hizo ni bei gan