Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Plz rais twakuheshimu but vitabu vya mungu vyasema usiongee uongo na ukitoa ahadi utimize jee angalia wapi umekosea juwa mungu yuwajua iniya yko kushinda vile unavyojijua tafakari hayo
Sasa unataka afanye nini? Do you know his constitutional role as commander in chief? Infact, hao mnaowaona kama waandamanaji wa haki na sauti ya wananchi, wamejivika vazi la uhalifu kwa manuio na matendo yao wenyewe. Let them reap what they sow.
Mwanzoni nilidhani Ruto ana akili kumbe ni American puppy, ana kiherehere mwisho wa siku Kenya itaingia kwenye mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe, wazungu wanapenda watu kama Ruto, tabia kama za zelensk, Ruto watch out, be careful
Ili zee sijui linaliwa cku hizi mana linakumbatia watu ambao afrika nzima wanaandamana watote hususan wazungu,mimi nashauri huyu nikirusi cha Afrika awaiwe kwa maslahi ya Afrika sio kwa kenya tuu

Unatow hotuba kwenye Lugha ya kingereza kama vile unawahutubia waingereza
😅😅😅😅😅
You can't deploy any military for it's own citizens, all what you have to do is through away the finance bill
Mwizi
We pray to God for peace to our country🤲
Ruto must Go ✊
Hatusikiiiii tumechoka hata isipotokea imetokea for the fist time in kenya that means ur unfit for us tumechoka
Si umesema wakenya wataendesha gari Haina injini
Umetafacha Moyo wakenya wote
Plz rais twakuheshimu but vitabu vya mungu vyasema usiongee uongo na ukitoa ahadi utimize jee angalia wapi umekosea juwa mungu yuwajua iniya yko kushinda vile unavyojijua tafakari hayo
Vibaraka bhana 😅anahutubia kizungu na kilimshinda kukielewa kule yuesiei😢
Empty promises....He can only deliver what he delivered today.
Ruto is not in charge of this country....deploying the army against it's people?
Sasa unataka afanye nini? Do you know his constitutional role as commander in chief? Infact, hao mnaowaona kama waandamanaji wa haki na sauti ya wananchi, wamejivika vazi la uhalifu kwa manuio na matendo yao wenyewe. Let them reap what they sow.
Kakojoe ukarare uraisi usha kushinda na enderea kusafiri utakuja kuta washapindua
Mr president, we respect you a lot please save your citizens 😢
What respect 🤮😡we don't want him anymore
Mwanzoni nilidhani Ruto ana akili kumbe ni American puppy, ana kiherehere mwisho wa siku Kenya itaingia kwenye mgogoro wa wenyewe kwa wenyewe, wazungu wanapenda watu kama Ruto, tabia kama za zelensk, Ruto watch out, be careful
Werudi kwenyebiashara inchi imekushinda wakitoka bungeni wanakuja kwako
sikiliza wananchi wako, kisha maanisha unaposema wewe ni mcha Mungu, epuka usaliti kwa Tchisekedi apandacho mtu ndicho avunacho