Dadangu hongera sana nimependa unavowafahamisha watu kwasababu wengine hawawaambii watu kua unga na mayai uwe vipimo sawa na sukari ninusu yake mashallah Allah akulipie nitapika mkate bila ya kukosea kwa mwalimu wewe
Waalaikum salam Sikilizeni maelezo kwenye video vizuri tafadhali. Nimeelezea in a very simple way that unaweza kutumia chombo kingine chochote kupimia bora tu unga na mayai viwe viwango sawa na mayai nusu ya chombo utakachotumia.........sikilizeni maelezo vizuri kabla kuuliza maswali au kucomment.
Dadangu hongera sana nimependa unavowafahamisha watu kwasababu wengine hawawaambii watu kua unga na mayai uwe vipimo sawa na sukari ninusu yake mashallah Allah akulipie nitapika mkate bila ya kukosea kwa mwalimu wewe
Mashaa Allah mkate umetoka vizuri sana👌na recipe ni so easy
Mzuri Mashaa Allah 😍
Mashallah mkate ni laini kama nilivyotarajia
Mapishi mazuri
So Nice MashaAllah
Asalam aleikum. Jazakallah for the recipe. Very nice. I baked today, mashallah very delicious. 👍👌❤
Waalaikum salam
Aamiin
I am glad .
Mashallah
MashaaAllah yumy yumy moto n juu chini ama
Ndiyo, kama unatumia oven, weka moto wa juu na chini....kama unatumia makaa weka makaa juu na chini lakini chini weka makaa kidogo sana
@@farwatskitchen13 Shukran habibty
Masha Allah
Maa Shaa Allaah.
Ni sawa na cake.
Ndiyo dear
Kama keki tu
Very nice
Thnx dada farwat but pls specify sukari ni robo na unga robo hapo sijaelewa
Kma una vanil
Mm nataka kujua kule kuchanganya unga unauchanganya mbiombio au
Baking powder umeweka kjko kidogo au kikubwa
Hellow nilifanya hvyo lkn je nitafanyaje mkate uumuke
Asalam aleikum.kipimo ni muhimu dada.ukisema vibakuli Huawei kuelewa
Waalaikum salam
Sikilizeni maelezo kwenye video vizuri tafadhali. Nimeelezea in a very simple way that unaweza kutumia chombo kingine chochote kupimia bora tu unga na mayai viwe viwango sawa na mayai nusu ya chombo utakachotumia.........sikilizeni maelezo vizuri kabla kuuliza maswali au kucomment.
Vp.hamira
Haiwekwi
Tunaomba utuoneshe kipimo cya unga jamani
Huu mkate una tofauti gani na cake?
This is actually a sponge cake......kwetu tunauita mkate wa mayai
kwa nn wakat wa kuanza unaanza na speed ndg
Huo unga ni wa mchele au ni wangano?
Nasri Hamadi wangano
Mkate
Kwanini nikifanya mkate juu ya mkate kuna nyata sukar
Vipimo ni muhimu,vibakuli vinatofautiana
Wewe umesikiliza maelezo vizuri kweli??????
Kama utapig kwa sipidi kubwa moja kwa moja kun tatizo
Kama sina hiyo machine, naweza nikapiga kwa kutumia Nini? Ili iwe nzito kama hivyo
Unaweza ukatumia whisk japo itachukuwa muda mrefu sana
Je. Kama huna hiyo mashine?!
Nyamizi Hamisi mchapo
Ndiyo,unaweza ukatumia mchapo japo itachukua muda mrefu sana
Hamn hamila
Mashallah