UTATA MAHAKAMANI MWANAMKE ANAYEDAIWA KUMUUA MUME WAKE MOSHI KUJIFUNIKA HADI MACHO,NDUGU WACHACHAMAA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 6 หลายเดือนก่อน +3

    Mnataka waandishi waendelee kuziandika hizo habari mpate faida gani

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 6 หลายเดือนก่อน +2

    Unafiki tuuh, hapo mnataka mali

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 6 หลายเดือนก่อน +3

    Hacheni unafiki, umbea unawasumbua kujifunika ni mahamuzi ya mtu hayawausu

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru 6 หลายเดือนก่อน +2

    Uhuru wa MTU Lazima uheshimiwe

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru 6 หลายเดือนก่อน +2

    Husimpangie jaji

  • @lidyakisoka-is4ru
    @lidyakisoka-is4ru 6 หลายเดือนก่อน

    Mnataka muone uso ili

  • @KishiwaKulwa
    @KishiwaKulwa 6 หลายเดือนก่อน

    Syo yyr

  • @florarwegerera8025
    @florarwegerera8025 6 หลายเดือนก่อน

    Na wewe Juma unajifanya unajuwa kila Sheria hacha unafiki, hunauhusiano wowote na hiyo familia

  • @YusraMadodo-xq3gw
    @YusraMadodo-xq3gw 5 หลายเดือนก่อน

    Hapa ni mwendo wa hijabu tu hadi kileweke na kesi kupikwa tarehe siku ya misho kesi hakunaga

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 6 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie vipi, sio yeye kivipi, unataka umjuwe ni yeye wewe ni hakimu

    • @lidyakisoka-is4ru
      @lidyakisoka-is4ru 6 หลายเดือนก่อน +1

      @@PendoMatemba waelezee makolo hawa huo ni uhuru wao

    • @MerryRenatus-ck4lz
      @MerryRenatus-ck4lz 2 หลายเดือนก่อน

      Hata nyie pia niwauwaji mfanyiwe uchunguzi