MAUAJI YA KUTISHA MOSHI: MKE AMUUA MUME NYUMBANI KWA MKE MDOGO, NDUGU ASIMULIA ILIVYOKUWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 314

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 7 หลายเดือนก่อน +54

    ukiona m2 humuelewi jaman kaa pembeni jaman mwaume akikuchoka huwex kumfosi mm huu ni mwaka 11 nalea watoto 3 mwenyewe namaisha yanaenda zaidi sana mwaume ndio anaeteseka kwa ss anataka nirudi ila nimemgomea jaman kuna maisha baada ya kuahwa ivo

    • @godfreychaba9673
      @godfreychaba9673 7 หลายเดือนก่อน +2

      Umeamua kuja kunisema huku siyo, sijapenda kwa kweli

    • @LovenessFedrick-cy9fh
      @LovenessFedrick-cy9fh 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mwanaume angemwambia tu lakini Siri hizi na hasira ni hasara 😢

    • @mhabimina4023
      @mhabimina4023 7 หลายเดือนก่อน

      Never force kweli wa mama tujuwe kujipenda ,ukiona bwana yako anakucoka toka tu ,walk away Mungu atusaidiye so sad 😞

    • @brendashao36
      @brendashao36 7 หลายเดือนก่อน

      Kweli shetani Yuko kazini

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@godfreychaba9673
      Kwani kumtaja jina😂😂😂

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 7 หลายเดือนก่อน +22

    Tukiona mambo ya ndani magumu tukae kando, tulie na Mungu akijibu amina, asipojibu amina pia!
    Nakataa roho za kisasi kwangu na uzao wangu ktk jina la Yesu
    Lala salama Evagroo

    • @devothakalanda9740
      @devothakalanda9740 7 หลายเดือนก่อน

      MUNGU ATUSAIDIE kuwa na uvumilivu.

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 6 หลายเดือนก่อน

      Huyu mama alidhamiria kuua anastahili anyongwe mpaka are amekosa adabu

    • @KaburuKimath-eu5nf
      @KaburuKimath-eu5nf 6 หลายเดือนก่อน

      Amekosa adabu sana

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 7 หลายเดือนก่อน +34

    Wanawake tunajua ni kweli inaumiza haswa pale wanaume wanapoanza kuhangaika lakini tujue hawa watu ss sio mama zao.ukiona huelew ni bora kutafuta amani ya moyo wako kuliko kuishia magereza.kuna maisha nje ya ndoa jamani ndoa zisiwauwe au kuwapeleka magereza.

    • @octavianpeter8472
      @octavianpeter8472 7 หลายเดือนก่อน

      Nikwel mungu atutendee tutende yaliyo mema

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +2

      MUNGU nisaidieni wanaume ni washenzi sana

    • @saimonijonas1471
      @saimonijonas1471 7 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@MiriamAbdallah
      Mwanamke na Mwanamume wote ni washenzi.
      Mshenzi ni mtu yeyote asiyeheshimu utu wa mtu na
      uhai wa mtu.

    • @beatricesamwel8161
      @beatricesamwel8161 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@saimonijonas1471wewe mwanaume msaliti ni mshenzi tena mpumbavu hata bibi inasema azinie na mwanamke ni mjinga mshenzi kabisa na huko moto wake anatamba nao hakuna cha r.i.p hapa

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +32

    Naomba Mungu Baba uniondoleee maisha ya mapenzi maishani mwngu, Ibariki kazi ya mikono yangu niiinuweeee Baba nami nitakutukuza na kkushuru Baba🙏🏽

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 7 หลายเดือนก่อน +7

      Tunakoelekea ndoa hazitokuwepo kwa hali hii😢😢😢

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 7 หลายเดือนก่อน +4

      ​@@AbiaWilliam-s1s Mpenz ndo maana naomba Mungu aibariki kaz yngu nipate pesa yngu nitulie nile nishibe nimuimbie Mungu 🙏🏽 kila siku mauwaji ya mapenzi

    • @mukhsintwaha5909
      @mukhsintwaha5909 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@dorcaskidoti249familia muhimu

    • @subiraibrahim8100
      @subiraibrahim8100 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@dorcaskidoti249mapenzi huwezi yakimbia lazima utahitaji kupunguza oil

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 7 หลายเดือนก่อน +3

      ​@@dorcaskidoti249hutaki mume dadangu?😂😂

  • @urbanmission3072
    @urbanmission3072 7 หลายเดือนก่อน +14

    WANAUME TUNAANZA M AISHA NA WAKE ZETU KWA TAABU SANA, LAKINI TUNAPOFANIKIWA TUNAANZA KUKUMBUKA KUWA KUNA MKE MDOGO, SHETAN ASHINDWE JUU YETU WANAUME

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +3

      Ndugu yangu kikubwa hapa sio huyo kimada mara nyingi mnajisahau na kuanza kufanya dharau kibri na manyanyaso, yamenikuta na mshukuru MUNGU kwa hapa nilipofika na wanangu, yanapomfika mtu kama hana moyo wa uvumilifu na kuikubali na kukaa kondoo unafanywa maamuzi kama hayo

    • @urbanmission3072
      @urbanmission3072 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@MiriamAbdallah ni kweli, lakini mi nmeona WENGI malipo ni hapa hapa DUNIANI,hata mke akijifanya mjinga akanyamaza nakwambia kwer watu Kama hao WENGI TU walishalipwa na MUNGU ndo maana sie wengine tunaamuaga kukaa kando ikiwa mke amegeuka lakin sio kuenderea na MAISHA afu sisi waume hasa ndo tunaongoza kw kibur na ukatiri japo apo unaona maelezo ya kujaribu kuharalisha uwepo wa uyo MUME uko kweny MCHEPU pale NDUGU wanasema alikuwa kw mke mdogo,je wakat anamuoa alinambia kuwa nikipata hela na gar ntakuolea mke mdogo?

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 7 หลายเดือนก่อน +1

      Paza sauti Wanaume wenzio wakusikie

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 7 หลายเดือนก่อน +4

    Wanaume wa kichaga wakipenda ,wanapenda kweli ..Cha msingi nyie wadada wa kichaga kama mmeolewa nawachaga wenzenu jipangeni kuishi ukewenza...wachaga by nature wanapenda hiyo shughuli.. anyways poleni familia

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 7 หลายเดือนก่อน

      Eneo la huko!!! eneo la huko!!! Eh!!

  • @joycemkeka3769
    @joycemkeka3769 7 หลายเดือนก่อน +14

    Jambo kama alijakufika unaweza kulaumu mtu ila kwamimi nasema tuombeane tu mana awezikujua chanzo mbaka kufika hapo mungu atuepushe wote ila kwaakilizetu atuwezi ndoa zimekuwa ngumu sana bila mungu kutuvusha atuwezi inaweza kuwa tatizo sio kuwa na mke wapili ila manyanyaso baada ya kupata uyo mke wapili ndio upelekea aya kutokea mapenzi ayagawiki tuombeane 🙏🙏

    • @miriamsulle8198
      @miriamsulle8198 7 หลายเดือนก่อน +2

      Wanaume mkome saa zingine unavhepuka unategemea nin

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

      Mambo ya ndoa ni magumu mnoo manyanyaso ni chanzo Cha kujiu au kuuwa, namshukuru MUNGU kwa hapa nilipofika jamani wanawake wenzangu maisha bila mume yanawezekana ukiona mapenzi yameisha kwa wenzio hamishia kwa wanao wapende sana na maisha yanasonga tena kwa amani, mi maisha yangu Yana amani kupitia watoto wangu

  • @MaximillianNgoiya
    @MaximillianNgoiya 7 หลายเดือนก่อน +34

    Sisi wanaume tunajisahau sana tukivimbiwa kwa nini ufanye open secret. Kama umemchoka mkeo piga chini mwachie nusu anza upya mbona rahisi hivyo. Kuna sheria za kimaisha hauwezi ukashika mawili. Mwanamke nampa heshima kwa kutomdhuru mke mdogo maana hana makosa.

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 7 หลายเดือนก่อน

      Haswa mshika mawili Moja hupinyoka

    • @mhabimina4023
      @mhabimina4023 7 หลายเดือนก่อน

      Weye ni honest one ,I wish all men’s wakuwe na iyo mentality yenye uko nayo big up too u 👌

    • @MaximillianNgoiya
      @MaximillianNgoiya 7 หลายเดือนก่อน

      @@mhabimina4023 Watu wanaogopa kuanza upya kuna watu nawajua walianza upya na wametoboa

    • @GloryMosha-cx4er
      @GloryMosha-cx4er 7 หลายเดือนก่อน +1

      Alishaondoka kwa mke mkubwa siku nyingi na alimwachia nyumba ya moshi mjini na biashara za hardware na nyingine

    • @MaximillianNgoiya
      @MaximillianNgoiya 7 หลายเดือนก่อน +2

      @@GloryMosha-cx4er Kwa nini hakumpa talaka ? Kama angeondoka tungetegemea kusikia marehemu ameuliwa na aliyekuwa mke wake na sio Mke mkubwa. Walitoka msibani kibosho wakiwa pamoja kabla ya haya yaliyotokea.

  • @Keyjop
    @Keyjop 7 หลายเดือนก่อน +2

    Jmn jmn namfahamu mtu waanza maisha na mumewe wanalalia maboxy mwanaume alipo takilika tu kaanza kumjengea mchepuko kwanza teena bonge la jumba na gari juu la hadhi ya juu
    ...ndio baadae kuanza kjengea mkewake na watt walikua nao 🙌🙌 ukikosa uvumilivua na hekima ya kimungu ndio hayo sasa

  • @JohnTajewo
    @JohnTajewo 7 หลายเดือนก่อน +3

    Imeniuma sana huyo mama mbona anaonekanaga mstaarabu sana anatoa wapi ujasiri wakunyanyua mkono nakumuuwa mume wake.nitamkumbuka sana H.R MSELE BOSI WETU😢😢😢😢

  • @Happizo
    @Happizo 7 หลายเดือนก่อน +14

    Ukatili umezidi....tumrudie Mungu ....asee

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 7 หลายเดือนก่อน +4

    Moshi oyeeeeee iyo ndo maana ya wanawake wanaweza imeanzia Moshi😢😢

  • @neemamtangi4818
    @neemamtangi4818 7 หลายเดือนก่อน +6

    Nikweli mwanamke mwenzetu inauma lkn nibora zaidi ugekaa kando uka anzisha maisha yako kwani mungu asinge kuacha ungeanza upya maan niheli ungekuwa na amani zaidi

  • @RoseTango-hu1ng
    @RoseTango-hu1ng 7 หลายเดือนก่อน +10

    Duuh😢 Wanawake tusiwe namna hii, bora muachane tu jmn, sasa huyu mwanamke amefaidika nini😊 ataishia jela watoto wanabaki kuteseka na kumchukia Mama yao maisha yao yote ata jamii inamtazama kwa jicho la namna gani

    • @SaumuSaidi-z2v
      @SaumuSaidi-z2v 7 หลายเดือนก่อน +2

      Kwn wanaume hawauwi?wanaume malaya sn

    • @SALEHSALEH-lk5jr
      @SALEHSALEH-lk5jr 7 หลายเดือนก่อน

      Na wanawake ni Malaya promax​@@SaumuSaidi-z2v

    • @رقيهالخصيبي
      @رقيهالخصيبي 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@SaumuSaidi-z2vhata kama sasa ukishauwa unapata nini wanawake tubadilike mwishowe unaenda Segelea

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 7 หลายเดือนก่อน

      Shangaa na wewe Jana dar kazikwa mwanamke tena kauwawa vibaya​@@SaumuSaidi-z2v

    • @veronicathomas9422
      @veronicathomas9422 7 หลายเดือนก่อน +2

      Hapo shida ni hasira tuu. Wala hakuwaza kama ataua Ndy maana tunatakiwa kumwomba Mungu atupe tumaini jipya kwa kila jambo

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 หลายเดือนก่อน +5

    Dada Mungu atakutoa kwa msamaha wa police moyo ulichoka,janaume xima ukapigwa kixembe.Ukiwa na hela kiduchu,nyingine xa kule mahali,mnaanxa kufungua zpu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli moyo ulichoka ipo cku atatoka kwa msamaha wa raisi

  • @Niabebewamor413
    @Niabebewamor413 7 หลายเดือนก่อน +14

    Shetani yupo kazini Allah atunusulu walai daaaaa watu tumekua makatili 😢😢😢😢😢

    • @devothakassimu8289
      @devothakassimu8289 7 หลายเดือนก่อน

      Yote kwa sababu ya mapenzi, ambayo kuna muda yanaisha,lakini yakiisha hatukabalian kuwa yameisha

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmeishi miaka yote, mna watoto, Mnafanya wote biashara,
    Mwanaume kuwa na mwanamke nje sio jambo jipya kiasi cha kumuua!!
    Leo nini kinatokea kwa watoto?
    Kabla hujachukua hatua yoyote wafikirie watoto, damu yako itakuwaje? ...usione watu wanazeekea kwenye ndoa, sio kazi ndogo

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 7 หลายเดือนก่อน +3

    Njo kasha uwawa kosa nila mume kwanini asinge mwambiya mkewe kama kuna mwenzake uongo hausaidiyi chochote badala yake uleta matatizo makubwa.

  • @imeldamacha1320
    @imeldamacha1320 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmh! Poleni kwa msiba familia ya Msele...Tuwe na hofu ya Mungu ..inasikitisha sana.

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hajakosea kafanya kweereeee Dawa ya uzinz,,,hakuna bi.mdg Bali mchepuko yaan nmeipenda kadili na muwe nasiyo mwanamke mwenzie

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 7 หลายเดือนก่อน

    Mapenzi 'Mapenzi' Mapenzi 'nini jamani' Alhamdulillah sitaki kumuweka Mwanaume Moyoni abadani' akirudi nyumbani wangu' akienda kwa mwingine Alhamdulillah

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atusaidie🙏

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 7 หลายเดือนก่อน +3

    Nawapenda watoto wangu hivyo sitashindana mtu ambae amesganiona sifai na akaenda kuzaa na mwanamke mwingine mwishowe naishia gerezani hapana.

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 7 หลายเดือนก่อน +14

    Mpk sasa tushazoea haya matukio jmn jmn mukichokana achaneni tu kwasasa kuachwa si aibu tena

    • @baybeshayo18
      @baybeshayo18 7 หลายเดือนก่อน

      Haya matukio yapo kila mahali tunaona kila siku sio mambo na wachaga, hizo roho zinafanya kazi kila mahali

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Usaliti ni mbaya sio kwa wanaume Wala kwa wanawake unauma

  • @martinamahenge4476
    @martinamahenge4476 7 หลายเดือนก่อน +5

    Huyu ndo super woman 😅😅😅😅

  • @felistabrenda-um7lj
    @felistabrenda-um7lj 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kama ni mke mdogo anaetambulika asingemuua, mamae, semeni ni hawara, acheni kuiweka kama mke mdogo, qmmke, na hao ni ndugu wa mwanaume ndio wanazibaziba, huyo ni hawara

    • @nin6324
      @nin6324 6 หลายเดือนก่อน

      Na kanisa limeshiriki kutambua wake wawili dah

  • @ChristinaMushi-t1w
    @ChristinaMushi-t1w 7 หลายเดือนก่อน +4

    Binafsi namuelewa sana bite , hakuna kitu kinauma kama umeanza chini na mme wako ghafla baraka zikiingia kwenye familia anakusaliti moja umenidhalisha kama kuku watoto sita ushanifanya chekecheke kbs sasa unaenda tafuta dogodogo wanaume viumbe wa ajabu sana 😢😢

  • @mwanamisakulembwa1147
    @mwanamisakulembwa1147 7 หลายเดือนก่อน

    Shetanu bailam...kakushawishii..mungu atupe subra nauvumilivu inshaallah

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kumbe kuna wanawake wanafumania mpk leo.Sasa hivi mimi achepuke tu kuliko kufa na magongwa ya moyo.ona anafungwa maisha

  • @hawaa341
    @hawaa341 7 หลายเดือนก่อน +4

    Hasila nae hakutengemea kama ataua Ila ndio hivyo wanaume jifunzeni kuwa na Imani basi kwa wake zenu maana hapo mnatesa wtt sasa baba kafa mama dani yote hayo usaliti

  • @neemareuben311
    @neemareuben311 7 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢aiseee nyie hii dunia kumuuwa mtu imekuwa kitu cha kawaida 😢😢😢😢😢

  • @Stellastella-yi5vu
    @Stellastella-yi5vu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ukiwa na Yesu umepata vyote msihangaike na mambo ya Dunia hii maana ni ubatili mtupu

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 7 หลายเดือนก่อน +21

    Sasa kapata faida Gani 😮 roho ya shetan tu

    • @lusialeonard8343
      @lusialeonard8343 7 หลายเดือนก่อน

      Nyamaz lijakufik ww

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 7 หลายเดือนก่อน

      Ndo uue si uondoke!!!!

    • @MonicaBenitomwalongo
      @MonicaBenitomwalongo 7 หลายเดือนก่อน +1

      Nyamza unakua uchungu wakutafuta maisha na mtu alafu mkozipata michepuko kibao mpaka anazaa nje uyo mwanamke upo sahihi na atatoka tu

  • @maryumamapunda8910
    @maryumamapunda8910 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hatari kwelikweli watu wanauwana kama kuku mungu atusaidie 😢

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 6 หลายเดือนก่อน

    Mkishindwana mwache aende kwani kaenda na Figo zako😢😢😢😢

  • @aminamalilo6605
    @aminamalilo6605 7 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani nasikia mke mkubwa ña mdg kwani Wakristo mna polygamy?!

  • @reginaedward4883
    @reginaedward4883 7 หลายเดือนก่อน

    Huyu mama amefanya kitu mbaya sana,mwanaume kama hakutaki wachana naye sasa umeua ni nini umepata,unaishia jela watoto wako ndio watateseka
    Kenge wewe.😢😢😢

  • @vero57
    @vero57 7 หลายเดือนก่อน

    Wanaume wanaokula nje leo hii hawasubutu, pole sana family,kwanini musikae chini ujieleze kua ume wowa?? Na wewe mke mkubwa kwanini umefanya hivyo utaishia jela sasa

  • @RoverRoom
    @RoverRoom 7 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera mama kutumia adabu ya kifo Malaya huyo.wamezoea sasa mchepuko afurahie sasa😂

  • @rehemamangara6795
    @rehemamangara6795 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wasaidie wanangu waepushe na hiyo roho maana mimi nimeishatokapo huko, okoa na uzao wangu

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 7 หลายเดือนก่อน +3

    Kwani nyinyi wakristo c hamruhusiwi kuongeza mke huyu mke mdg anatokea wapi

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shida ya baadhi ya wachaga ni tamaa ya mali dini hakuna hakuna dini yeyote inayoridhia hiyo jarima sasa wacha akaozee gerezani

  • @jeangodelo5349
    @jeangodelo5349 7 หลายเดือนก่อน +2

    Duuuh... mapenzi konyo ....ona sasa umefanya nn? Mumeo anazikwa ww unaenda kuozea gerezani watoto mnawaachaje? Ungefkiri kabla ya kumfatilia huko alikoenda ungepungukiwa nn mwanamke mwenzangu???? Hasira hasara yote kwa yote nakupa poule ww kubwa zaidi nawahurumia wanao ,..

  • @VeronicaKinemo-hh8vu
    @VeronicaKinemo-hh8vu 7 หลายเดือนก่อน

    Daaaar inauma sana

  • @SuzanRowland
    @SuzanRowland 7 หลายเดือนก่อน

    Jamn wanaume mjitahidi kuheshimu wake zenu mnao tafuta nao maisha,mapenzi yanauma jaman,licha kafanya maamuzi magumu sana jaman huyu mama😢😢wanaume na wanawake kuweni waaminifu kwenye ndoa mtaisha msipokuwa makini

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 7 หลายเดือนก่อน

    Tatizo la wabongo ni kuforce ndoa kama mtu hakutaki move on na maisha yako

  • @praisesteven7774
    @praisesteven7774 7 หลายเดือนก่อน +2

    mtu mzima unaliliaa mapnz lool

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 7 หลายเดือนก่อน

    Hasira hasara yaliyo magumu mkabidhi Mungu, yeye anaweza

  • @adbellar338
    @adbellar338 7 หลายเดือนก่อน +1

    Eti mke mdogo. Hio inatambulika kwa wa Islam kwenye ndoa. Kwa ki kristo hakuna mke mdogo alikua mchepuko. Sema ukweli. Mchepuko aliye zaa naye. Mapenzi haya. Pole alikua kwenye ndoa kafanya mambo ya haraka bila kufikiria.

  • @KwizeLee
    @KwizeLee 7 หลายเดือนก่อน +1

    tushapitia mambo mengi kama haya unapigwa tukio namazarau, ila nikumbukakwamba najipenda pia nawanangu daah nagive up tunapenda ndoa , ila majiyakimwangika hayazoweki , bora ungetoka dada kuriki uriyoyafanya minakusikilia huluma mapenzi anakuponza, watoto wanakosa baba nawewe pia daaa polesana dada

  • @MicknesChongolo-lv9nv
    @MicknesChongolo-lv9nv 7 หลายเดือนก่อน

    Jamani mungu atupe mwisho mwema hizi ndoa ukikuta ndoa haileweki wewe ondoka tuu sasa jela inamuhusu mume kamkosa uhuru kakosa

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tunusuru Tanzania hii laana tusali kwa pamoja ilikuwa Mme Dar leo Mke Moshi hatari sana

  • @valeriamtenga3384
    @valeriamtenga3384 7 หลายเดือนก่อน

    Dah hapa sheria ya Kristo imekua ngumu sasa, ya mke mmoja/ mume mmoja
    Yesu tuhurumie tuuu

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Ninavyona shida itakuwa dharau kibri na manyanyaso

  • @AgnessMsacky
    @AgnessMsacky 7 หลายเดือนก่อน +1

    Nauliza swali mnaoana ili muachane ?

  • @GetrudarCelestineAmede
    @GetrudarCelestineAmede 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mmhh!!
    Mungu tunusuru aisee

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tunajuwa zilenyakati zilizo tabiriwa zimefika tuepusha na majanga haya baba.

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni 7 หลายเดือนก่อน +12

    Wanawake wa ukanda huo ndio zao

  • @SakinaS-dz8ef
    @SakinaS-dz8ef 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli mimi Mungu aniepushe na hilo balaa ni bora niondoke nianze maisha mengine kuliko kuua mtu

  • @AlexBaraka-ey4be
    @AlexBaraka-ey4be 7 หลายเดือนก่อน +7

    Kabla hujafanya uamuz fikir kwanza maan baada ya uamzi wako kuna maisha piah yanaendelea je utakuwa katik jina ngan

  • @Dealson-w5l
    @Dealson-w5l 7 หลายเดือนก่อน

    Wao wanatuua na ss tukifanya hivyo tunawanyanyasa kijinsia jamn

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ni hawara! Wacha kuremba,hawara kasabsbisha watoto wabaki yatima,huyo hawara ni mwixi,angetakiwa auwawe,yaani mwenxio alime juani lije kula kivulini.

  • @jamalkipingu1854
    @jamalkipingu1854 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ukanda una shida Gani? Mbona Tanga tumetulia na Maisha yetu. Ukifuatilia sbb kuu ya haya mambo ni Mali na Wala sii mapenzi. Laiti ingekuwa mapenzi, siamini kama Mwanaume angetoka Nyumbani na kwenda Kwa mke mdogo.

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 7 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mkichokana achaneni kuachana kwa sasa cyo aibu maana matukio yamezidi haswa hakuna kaburi la mtu aliyeachana na mwenzi wake

    • @judicalosika7642
      @judicalosika7642 7 หลายเดือนก่อน

      Msipo kubali "Chemical change!!
      Mkihisi Physical Change ndiyo msingi, TUMEKWISHA haya hayataisha.

  • @janethgenes1074
    @janethgenes1074 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi kweli hua mtu anafikiri kwanza kabla ya kutenda? Huyo mwanaume ni mtoto wa mtu tena mama yake anauchungu nae kuliko wewe mke na pia ana ndugu na watoto wake wote hao wanamtegemea. Ndugu, mtoto, baba, mama wakipotea hakuna replacement lakini mu.e au mke akipotea unaweza olewa na wanaume wengine wengi au mume kuoa wanawake wengine wengi embu tuwe tunafanya maamuzi sahihi ambayo hayataumiza wengine wasio husika. Mungu atusaidie.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

      Huyo mwanaume pimbi kufanya ufuska hadharani

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume washenz sana ndo maana mnauliwa kwann asingemuacha mkewe akahamia kwa bi mdogo

  • @EstherMazengo
    @EstherMazengo 7 หลายเดือนก่อน

    Muda mwingine wanawake tunatakiwa kutulia kwanza, kabla ya kufanya maamuzi, uku nje wanawake wengi wanamambo ya ushirikina ivo wakimpata mume wako ndoa, ivo inatakiwa hekima ya mungu kulsove tatizo kabla ujamzuru mtu

  • @hassanimsizilo
    @hassanimsizilo 7 หลายเดือนก่อน +2

    Iko poa

  • @clementhiddi1486
    @clementhiddi1486 7 หลายเดือนก่อน +2

    Nataka ni- confess ila naogopa nianzie wapi.

  • @michelinemapendo6652
    @michelinemapendo6652 7 หลายเดือนก่อน

    Khaaaa 😢😢😢😢😢ni magogwa ya aliki au😢😢😢nini

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 7 หลายเดือนก่อน

    Inauma sana faida hakuna ungejivua kwenye ndoa wemama muaji utakuwa namaisha gani

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 7 หลายเดือนก่อน

    Wachaga hayo yote kutetea Mali haaaa ngoja akakutane na jela naitamuuza Hadi atakufa kwa kuwa ameua

  • @Zainabmilanzi-p3j
    @Zainabmilanzi-p3j 7 หลายเดือนก่อน

    Nimeipenda sana hery ulivyomuua mume wako koliko ungemuua mke mwenzio

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Aliona labda mke alifuatwa kama alivyofuatwa yeye

    • @FatmaRashid-bq6yx
      @FatmaRashid-bq6yx 7 หลายเดือนก่อน

      Yenyewe ndo madanganyifu

  • @ElinaJoramNyingi
    @ElinaJoramNyingi 7 หลายเดือนก่อน +14

    Tatizo wanaume mnajichagaya mkiwa amna kitu mnatulia na mke wako ukipata tu unatafuta wa kula nae Mungu tusaidie kwakweli

    • @tabiafataki6896
      @tabiafataki6896 7 หลายเดือนก่อน

      Kawaida mbona

    • @joycemkeka3769
      @joycemkeka3769 7 หลายเดือนก่อน +1

      Sio kawaida ndomana haya yanatokae kabla ujafanya jambo nivema kuwaza kwanza matokeo ya baadae sasa awawote wamepata asala kubwa sana mmoja kafa na mwingine ataishia jela

    • @edsonnelson4464
      @edsonnelson4464 7 หลายเดือนก่อน

      Wanaume kuwa na wake wengi ni kawaida cha msingi ni heshima kwa mke /nyumbakubwa , mbona wazazi wetu zamani waliweza kuoa wake wengi na wakaishi, Angekuwa ndugu yako ndiyo ameuawa kisa kaenda kuona mtoto aliyezaa ungesemaje wanaume hawariziki na mke mmoja labda uwe umemdo

    • @kamarhelo
      @kamarhelo 7 หลายเดือนก่อน

      Ndomana waislam hatuna baya kuongeza mke luksa kuachana luksa

    • @faustaemmanuel1390
      @faustaemmanuel1390 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@edsonnelson4464oa bro siyo kuenda kiuwizi uwizi halalisha ili maswali yasiwe mengi tatizo unavuna na mkeo ukipata unaenda kuchezea na hawara na wao walivyo wajanja hawajui umepataje izo mali wanakutegeshea wabebe mimba ili watumie hizo hela vzr wakat umelala chin na mkeo kuna mda mmekosa kabisa mkalala njaa 😢saiv mmepata unaenda kutumia na vimada mwisho unatia mimba Sasa apo ndo unang'ang'aniwa japo simtetei uyo mama ila najua siyo Bure ukute uyo hawara naye alikuwa anamtukana anamtambishia

  • @joycekweka5416
    @joycekweka5416 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana dini ya kiislamu inaruhusu kuoa wake 3 wako sahihi big up sana.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna lolote nitamaa tuu wangapi wanashindwa kuendelea na uke wenza mpaka wanadai talaka

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Hakuna lolote nitamaa tuu wangapi wanashindwa kuendelea na uke wenza mpaka wanadai talaka kwa upendeleo dharau kibri na manyanyaso

    • @ushindimwakipesile1969
      @ushindimwakipesile1969 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ukiona unakubali uke wenza ujue ww huna thamani,pia ni chizi kama chizi wengine tu

  • @IsackAdampgf
    @IsackAdampgf 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mapenzi jau🤔🤔

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka zetu tulieni....Mtaisha mnoo

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mnatetea ujinga,naomba yawafike mckie utamu wake,watafute mali kwa shida malaya aje adandie.Kwa nini afiche gari kwa jirani kama siyo wixi? Angeingixa gari kwa hilo malaya,yaani huyo dada angemchanganya na malaya na litoto wexi hao.

  • @faustamichael1418
    @faustamichael1418 7 หลายเดือนก่อน

    Xaxa umemtoa uhai watoto wako umewakosexha baba Mme anauma xawa lkn n Bora utafute aman mungu yupo angelipia hayo yote alokutendea

  • @DavidIbrahim-wo5oe
    @DavidIbrahim-wo5oe 7 หลายเดือนก่อน

    Polen sana ndugu zangu kwa janga hilo

  • @upendokiwanga9538
    @upendokiwanga9538 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu tuhurumie tumechoka kusikia mambo mabaya haya

  • @WansolaLuther-tq8qm
    @WansolaLuther-tq8qm 7 หลายเดือนก่อน +4

    Siwezi kumlaumu mwanamke huyo wakati mwingine wanaume mmezidi.

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Uvumilifu ulimfaka mwisho nawaonea watoto huruma

    • @FatmaRashid-bq6yx
      @FatmaRashid-bq6yx 7 หลายเดือนก่อน

      Sanaas

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mapenzi bhana wakati mwingine ni mabaya sana.😢

  • @ashatupa6076
    @ashatupa6076 7 หลายเดือนก่อน

    Poleni sana kwa msiba

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 7 หลายเดือนก่อน

    Duh aise mapenzi ndio yamezidi kuumiza watu duh jaman hii si aibu mtu aki hoka nawewe si umuache tu kuliko kumtoa roho mtoto wa mwanamke mwenzio😢

  • @idinado-wk3lx
    @idinado-wk3lx 6 หลายเดือนก่อน

    Wanawake wa Moshi Mimi nawaogopa sana maana matukiyo kwenu yamekuwa mengi sana mala kuuwa wazazi Kisa Mali mala muuwe wame zenu namengineyo mengi njiee TU duuuu

  • @trifoniambilo2400
    @trifoniambilo2400 7 หลายเดือนก่อน

    We mwanamke umeua mtot wa mwanamke mwenzako jaman,,mambo yakiwa magum si uachie ngaz Sasa umefanya nin

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 7 หลายเดือนก่อน +7

    Ma wanawake ya kichaga na machame makatili kwel kwel sio ya kuoa😢😢

    • @thabealaizer3313
      @thabealaizer3313 7 หลายเดือนก่อน

      Uyu mkibosho

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +2

      Yule wa musoma alikuwa mchaga

    • @gililwise
      @gililwise 7 หลายเดือนก่อน

      We mgojwa kweli.

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 7 หลายเดือนก่อน

      @@MiriamAbdallah wachaga wamezid ni too much

    • @lightnessraymond
      @lightnessraymond 7 หลายเดือนก่อน

      Mmh

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 7 หลายเดือนก่อน +2

    Kua single raha sana mlioko kwenye mapenzi hongereni sana

    • @FekiHappy
      @FekiHappy 7 หลายเดือนก่อน

      Hkn single Sema hawana.mtu mmoja pamanent ukisikia niko single ujue wapo zaid ya mmoja

    • @mussakimaro5588
      @mussakimaro5588 7 หลายเดือนก่อน

      @@FekiHappy Yani usingle raha sana

  • @edisonmaliva1719
    @edisonmaliva1719 7 หลายเดือนก่อน

    Asa anaenda jera maisha 😅😅😅 wivu wa kingese sana yaan.

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 7 หลายเดือนก่อน

    Unakumbuka wale waliocha simba wamuue simba mkongwe,,wao wakawa wanapiga picha wakasema wameacha nature iexist,,,nadhan hiyo pia ni nature mapenzi sio mchezo jamani ukiona we unaweza kukontorooo mshukuru mungu ila jua sio rahisi

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 7 หลายเดือนก่อน +1

    Acha auliwe

  • @annajackson7092
    @annajackson7092 7 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉❤❤

  • @AnnaSaitabau-rf9ko
    @AnnaSaitabau-rf9ko 7 หลายเดือนก่อน

    Me nikishajua mtu ameanza Mambo yake na me naanza kukusanya hela najenga kimya kimya nasepa taratibuuu

  • @MonikaFedrick-td8nv
    @MonikaFedrick-td8nv 7 หลายเดือนก่อน +1

    mnamlaumu mama wawatu amjuyi aliyekuwa anapitiya kwenye ndoayake miatasi tetei mwanaume akiuliwa

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 7 หลายเดือนก่อน

      Sababu sio ata ndugu yako au mtoto wako aliyeumia kwahiyo ndio maana unaona sawa tu

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 7 หลายเดือนก่อน +1

    nasichokijua wanandoa kuchokana ni kipindi cha mpito haina haja ya kuuana inaimiza sana maana ni maisha niliyoyapitia

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Hapa patakuwa na manyanyaso, dharau na kibri hii inaumiza sana kama mtu hawezi kuitawala hasira na maumivu ya moyo,

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 7 หลายเดือนก่อน +1

    hapa ndo na mimi nnapomuunga mkono yule mbunge mwanamke alosema iwepo wizara ya wanaume,kwa sasa sheria za nchi zinawabeba sana wanawake ndo matokeo ni hayo

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      USALITI, MANYANYASO, DHARAU KIBRI ni zao la yote haya kwa jinsia zote mkichokana mmake chini myajenge Kila mmoja achukue ustaarabu wake na sio kuonyesha ubabe

  • @JanethErneo
    @JanethErneo 7 หลายเดือนก่อน

    Duh poleni Sana jmn

  • @beatricemwakasyuka699
    @beatricemwakasyuka699 7 หลายเดือนก่อน +2

    Alusha matukio yamezid . au makanisa hayapo awana ata hofu ya Mungu

    • @vaikaayagadiel520
      @vaikaayagadiel520 7 หลายเดือนก่อน +1

      Alusha ndo wapi jamani

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน +1

      Alusha Iko upande gani tafadhali nijulisheni

    • @Annalisejg2ur
      @Annalisejg2ur 7 หลายเดือนก่อน

      ​@@vaikaayagadiel520😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @leahmanase1034
      @leahmanase1034 7 หลายเดือนก่อน

      Et Alusha😂

  • @Nestoemanuel
    @Nestoemanuel 7 หลายเดือนก่อน

    Acha tu ninunue na kuondoka zangu😅😅😅

  • @NeemaNey-mp2fi
    @NeemaNey-mp2fi 7 หลายเดือนก่อน +1

    Bora tu huyo mwanamke kaua maana Huyo mwanaume shindikana Ila mm nisinge ua ningepiga tuu na kujerui bc

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 หลายเดือนก่อน

      Nae hakuwa na Nia ya kuua ni hasira