D Voice feat Mbosso - Tunapendana (Official Lyric Audio)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Click👇🏾 Download The Song
dvoice.lnk.to/...
Tunapendana (We love each other) is a beautiful celebration of love and connection. The song captures the deep emotions of longing, joy, and devotion in a relationship, where both partners cherish and support each other through life’s ups and downs. With soulful vocals and heartfelt lyrics, it’s a reminder of the magic of true love and the happiness it brings.
/ @itsdvoice
For Bookings:
dvoice@wcbwasafi.com
Follow D Voice On:
Instagram: / dvoice_ginnii
Facebook: / dvoice_ginnii
Twitter: / dvoice_ginnii
TikTok: / dvoice_ginni
#DVoice #Music #Wasafi
Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Ila mistari ya Mbosso huwa hatari sana kenya wapi likes za Mbosso Khan
Bon début de matinée en chantant
Moto... Hapo kwa rumu
Anaeza fanya sisi tuko single tuthani mapenzi ni matamu❤❤
Bomboclaaaat konde gang for every body ❤ ila ukwel d umefunikwa
Umemuona konde apoo au umevimbiwa makande sheikh Said
wanangu wa geng🎉
Sele kaua
Chuki za machawa wasanii wanapendana
@@CallmeYokihelewa neno konde gang sio konde shenzi
🎉huyuu mbosso ni mtu hatarii sana kama mchezajii basi Ndio messi 😅like chap.
Cr7
Hakika
Nitakubali ni kama Messi kwa sababu ni mfupi tu ila hits zake ni za ki Ronaldo 😂
ronaldo
Mbosso 10/10 mwandishi kweli kwa nyimbo zake zote 💯 ,Tena Kawa mwalimu mzuri kwa D-voice .wapi like za mbosso
Tulorudia verse ya mbosso gonga lik hapa😅❤
1:49
Tuko wengi 😂😂😂
Ila mbosso
Mondi akiskiza hii verse ya mbosso anaishia kutikisa kichwa tu. HUYU JAMAA NI MDUDU ANAEKULA MAIKI
Mbosso ambaye ana juwa sana nyimbo za love
Tulio shangaa kuskia BOMBO CLAAACT tujuane apa Kwa like
😂😂😂 nimeshagaa kwl 🙈
Alikuwepo studio hiyo siku
nimeshangaa sana akh aya ni mambo gani 😂🤣
Hahahahaha niliposikia BOMBO CLAAAAACT nikatarajia kakohozi ka mnyama tembo🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘🐘
Mkubwa Mkubwa Tuu
Mbosso 🫡
Wangapi tupo kukuza kipaji Cha d voice
Naomba unieleze jinsi ya kupata hio logo ya usanii inayotokea baada ya jina lako
😂😅ndio pekee ulichokiona ila ujinga aloandika aaah@@FUNTIMEHQ
😢guys am inlove iswear 😢😂 mnipee ata likes tatu basi 🙏
Ila MBOSSO kwa iyo shairi nampa 1000/1000
Mbosso khan umeuwa tena saaaaanaaaa
Mboso ukimshirikisha kwenye jambo lako baaasi linakua lake 😂❤🎸🎸
Goma tamu sana,Mwanangu Mbosso ameuwa sana umu,eti bomboclaaa😂😂😂😂😂❤
MBOSO YUPO SERIOUS SANA GOOD JOB 🔥
Nomaaa saaana mashinee mbili zimekutana🎉🎉
Kasema Bomboclat ananyonga ndumu...yani shavu kwa Jeshiii
Mm kusikia tu bomboclaaaaa mwili wote ukasisimuka
Kweli mwenzangu
Mboso anahasira na music 😂😂😂♥️♥️♥️💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💜💜💜💜💜
kwelii noma
Akii😅
Wakali wa mashairi hao @mbosso 🤴khan & @dvoice jini 🔥🔥🔥
Mbosso deserves the whole tune. Khan ni Hatari aiseee
Daaah mbosso mkorofi bombo claaaaaat tena daaah ukorofi sana huu
Kwani mlitaka team konde gang tukuje hapa nini? 😂...enyewe hili ni banger.. nimelieka kw my festive playlist❤
Bomboclaaaat .. imebaki kikohozi😅
Mbosso nae mbombocaaaat 😁
Like za mbosso na dvoice Zimwagwe hapa...❤
Bomboclaaaaaaa 🔥🔥 konde boy for everybody
UYU MBOSSO AKAMATWE NA ZAMANA YAKE IZUILIWE MAANA AYA MAUWAJI ALIYOYAFANYA UMU HAPANA AISEE🫡🫡🫡🫡🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
Kama uko fan wa D Voice kutokeya Burundi gonga liké apa 🇧🇮🇧🇮
Bomboclat in the building ❤❤😂💯🔥🔥🔥🔥♥️mnajua mpka basiii ❤️
Ki ukwel mmeua xana hii ni ngoma kali ni ngoma ya kufungia mwaka 👏👏👏
Huyu mbosso serikali itie hela🙌🏼
Bomboclaaat hadi wasafi wanamkubali
Anaimba nn 😂😂😂 apg show nangwanda
Unamkataaje mtoto wako
Kwan alitoka wapi hadi wasimkubali 😅
@@richarddominick3172 Being respectful
duh wewe d voice unakichaa sanaaa unajua paka unakela uyo mbosso ndo mama yng
Mbosso umeandika ukiwa mtupu nini🔥🔥🔥🙌🏾
Bombocraaaat 💨💨💨
Mbosso sio vzr hivo kumkandamiza mwenzio ka udongo wa mfinyanzi hata kama ndo ukubwa
Isingekua mbosso isingenoga,,, bomboclaaaat💪💪💪
Acha roho ya kichawi
Kweli kbx
Sikilza hp saut ya mbosso unavyo ingia hp mpk Raha inanongesha furan
@@MrTop-wj7no c roho ya kichawi, ukweli usemwe, alafu ni maoni yangu,ww sema kwa maoni yako jomba. 😀
Wotee wameuaaaa, d mwnyewe ameanza vemaah acha ududu mtyuuu wew😢
Bomboclaaaaa❤❤❤❤❤❤ konde boy
Kama nawewe unakubaliana namimi kwaba dvoice amefunikwa kwaiyi ngoma nipe like❤❤ 2:38 Dvoice kaza buti sana we mdogo kwa mistari mbele ya khan🎉🎉
Ukimshirikisha Mboso jiandae kisaikolojia maana kufunikwa ni lazima 🙌🔥🔥🔥
Wa kwanza toka Congo
Anaejua kua dogo divoice kakalishwa humu naomba like zangu 😅😅
ila kajitahid sana mbosso sio mtu wakumkurupukia anakupoteza vibaya mno. Dvoice tried his best..!
Nawewe karirishwa tukuone
@@BIGBon-d8e umeelewa kweli kilichoandikwa?
D voice amepotezwa sana na mbosso
@suleimanmohamed5991 acha ujuaji na ndiyo tatizo kubwa la wabongo KILA mjinga anajihisi anazo akiliiii kalime mziki hujui chochote kuhusu mzikiii
Mbosso kwa uhandishi jamaa noma sana !!
Nyimbo kali sana kwa leo nasikiya wende kwa iyo iyo kasi d voice 🎉
Unyama sana d voice ana jua mbosso naa iyo voice ya tembo ....like zaa tembo na mbosso ukuu🔥🔥🔥🔥
mbosso never dissapoint dondosha like kwa khan 😍🤗
Boomboclaaaaaaaaa ikafanya nikarepeat song
Dalili ya kolabo ya mbosso na harmonize tushaiona.
Mboso Khan
Ooh naoa mwaka huu this song daaaaah mamaqe 🔥🔥🔥🙌🏻🙌🏻😁
Ila mbosso mungu kakujalia kipaji cha peke yako kaka❤Naomba dua zangu zifike kwa mungu na akupe maisha marefu ndugu yangu mbosso
D.voice ushakuja kuwa mdudu saiz unajua
Mbosso khan mtu wa maana kabisa hujawai kukosea Umemnyooxha Mdogo wetu
Aisee mbosso anaimba🤩 nyimbo kwa ujumla tamu sana
The first from Kenya 🇰🇪 like of mbosso & D voice niekeni 😅😂
Mbosso mshedede kilungi. Unajua sana
Mbosso ameachana sana na kujikamatia the first place. Un artiste complet
Nani aliye rudiya Zaidi ya mara mbili kama mimi?? Really Dvoice you and mbosso you be the best
bomboclaaaaatttt🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe Mbosso kwani una subiri ningie kwenye penzi jipya ndo utowe nimbo nzurii kiasi ichiiii daah aise naukubali sana mziki wako mwamba yani kama wewe mwenye kusoma comment yangu kama ndo umeingia kwenye penzi jipya usikose ku like 👍 na ukikosa ku like basi ujuwe ujaelewa kipande cha Mbosso Khan 🎉🎉🎉🎉🎉
Mbosso umeua sana daaa bomboclaaaaaaaaatttt 😅😅😅😅🙏🙏👏👏👍
Nyie Wote wa nyumban afu mme ua kinoma noma Ase WCB for life 🎉🎉🎉🎉
Tuliorudia,mistari ya Mbosso gonga like hata 12
Tunapendana by dvoice Ginni vs mbosso Khan tena ni hatariii kinoma 🔥🔥🔥🙌
jaman mbosso nahiz nyimbo zako unanifanya nizidi kumpenda baby wangu♥️♥️Kaz nzur last born👍👍
Aaah Mbwana kilungi ameua sana 🔥🔥🔥🔥🔥 King khan 👑👑👑
mbosso kayuwa kwenye iyi ngoma sana 🎉🎉🎉
D voic noma umemkimbiza mbosso khan kwa k. O haaaaanakubari.... Kiwanda cha burudani... Miziki mizur... Ipo... Uku...
HUYU MBOSOO ANA BALAAA SANA
Nani kapenda kusikia sauti ya K bomboclaaa❤
🔥🔥 d voice alikuwa anajichelewesha TU kuimba singeli
Sireous guys mbossa so dvoce kuwa makini kwenye kolabo kama za aina akikisha uvutwi ishati
d voice kaharibu huu wimbo
(Bomboclaat)!!Haki Ya Mungu,,Nanyonga Ndumu
Ngoma kali Sana daah D_voice unajuwa paka unakera never disappoint my mwamba from Drc Congo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩💥 💥💥🎉🎉🎉
Uyu mbosso 🙌🙌🙌🙌 nyieeeeeee atengweee🙌🙌🙌🙌
Mbosso daaaaar cjui unawaza nn unaaandika verse balaaa
Dvoice haujui kuimba kabisa. Umemsikia mbosso alivyo pangilia mistari Safi sana
Anae skia sauti ya zuchu kwandanii nipeni like
Mm hapa
Kabisa😂😂😂
Kabisa , zuchu kiungo fundi
Kaanza kama zuchu😅
Mbona kama ni ya yammi
Bomboclaaaat konde gang for every body......
d voice umeitangaz hi nyimbo ukiwa burundi
Ukwel acheni majungu wote wameua vibaya sana❤❤❤❤❤❤
Tamu Sana Jo ...hi kijana pia Iko na talent
Konde gang is for everybadyyy🔥🔥🔥🔥🔥🔥
let's go d voice
Daaaaaa Mbosso Pewa Maua yako🌹🌹
Km shabik wa mbosso weka like 👍
Bomboclaaa mbosso umenihuwa kweli mkali wamahutamu d voici ❤❤❤
Neno umeniuwa inakuje uandike umenihua? Mnatuharbia lugha
Mbosso Khan🔥🔥🔥🔥
Dah umemshilikisha na mwambaa Khan mme fanya mauaje jaman punguzeni 🤩🤩
Sijapenda mbosso kumficha mwenye nyimbo mmngeandika pia ft. Zuchu mana sauti yake imesikika vizuri
Wewe MBOSSO uta kuuwa, D-voice bado sana
Bombo claaaa
Mwenye wimbo kafunikwa
D voice 💥🔥🔥🔥🔥🔥Raha Burundi tunapata kwako
Mbosso you've killed it💣🔥🔥
Bombooooclaaaaaaaa....nanyonga ndumuuu......
Khan we hatal moto wa kuotea mbali bomboooo kilaaa 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
1:50 Pole sana D voice, Naona nyimbo yako umemshirikisha mwenye nyimbo 😂😂😂
Ila Mbosso 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
😅😅😅kweli
nimependa kwenye bomboclaaat
D voice umezingua. Mbosso 🌻🌻
Hiiii mashine ya mistari au ilitoroka na daftar la yamoto band mbosooo mistariii
Kwanza from usa