Exclusive: Nahreel kuhusu maisha, muziki na malipo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2016
  • Nahreel ni producer kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva ambaye mikono yake imehusika kwenye hits kama Don't bother ya Joh Makini na A.K.A , Zigo ya Ay na nyingine, alikutana na Millard Ayo kwenye Interview na kuifanya hii Exclusive.
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 46

  • @balozibalozi5257
    @balozibalozi5257 8 ปีที่แล้ว +10

    Unaongea Vizur am in love with this boy sorry Aika

  • @rockchikwendy
    @rockchikwendy 8 ปีที่แล้ว +2

    millard my mentor, this is how all radio shows should be. Good work.huge fan of your work

  • @mankyamwasha2224
    @mankyamwasha2224 8 ปีที่แล้ว +2

    Aise nilimic sana kupita humu ila nothng bad nimeenjoy vya kutosha milly,thanksie..bravo👏👏

  • @basunisadiki2338
    @basunisadiki2338 8 ปีที่แล้ว +2

    millardayo big Up mtu wetu wa nguvu kwa kutuleteya nahreel

  • @jaystar1004
    @jaystar1004 8 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzuri brother millard me nakuombea kwa mungu azidi kukupa mafanikio zaidi na kuweza kutuletea vitu vzr zaid......Narheel mungu akuongoze.

  • @ommytoto6184
    @ommytoto6184 8 ปีที่แล้ว +2

    To b honest millard uyo jamaa noma noma he iz the best keep up nahreel

  • @mosesmbwilo471
    @mosesmbwilo471 8 ปีที่แล้ว +1

    kazi nzurii kakaa millard napenda xanaaa unachofanyaa huwa sikosi kutazama kila unachopost pamojaaa

  • @calamaraderiesgallant3640
    @calamaraderiesgallant3640 7 ปีที่แล้ว +2

    jaman bonge la Handsome... sura ya kisuperstar nahreel

  • @saimmabula3442
    @saimmabula3442 8 ปีที่แล้ว +2

    Yeah Nice Interview sana ila kuna kitu umesahau kumuulizia kuhusu ile inshu yake ya Nahreel School of music...kufundisha maproduzya wa muziki

  • @khadijamalifedha5862
    @khadijamalifedha5862 8 ปีที่แล้ว +2

    Asante kaka kwa kazi nzuri mungu aendelee kukuweka mtu wetu wa nguvu

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  8 ปีที่แล้ว +1

      +Khadija Malifedha Amen, asante sana mtu wangu wa nguvu Khadija kwa kuniandikia, asante pia kwa kutazama mtu wangu

  • @evanceackim8308
    @evanceackim8308 8 ปีที่แล้ว +1

    katisha sana ....sema fanya kama kumu interview ad+ baba la baba ..baba joniii....adam mchomvu.

  • @harunahussein6717
    @harunahussein6717 8 ปีที่แล้ว +1

    Safi Millard jamaa namkubali sana kitu cha bei ya mkaaa

  • @officialkdee35
    @officialkdee35 8 ปีที่แล้ว +1

    gud job guyz nawakubali sana one day Nahreel beat utakuj kupig kaz na dr dre coz unajuhudi sana Emanuel mkono

  • @Onicavee
    @Onicavee 7 ปีที่แล้ว +1

    my best produser

  • @oswaldfrank9070
    @oswaldfrank9070 8 ปีที่แล้ว +2

    Millardayo asante kwa time yako kutusogezea

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  8 ปีที่แล้ว

      +Oswald Frank Asante nawe pia kwa time yako kutazama mtu wangu Oswald.

    • @ramadhansalim8069
      @ramadhansalim8069 8 ปีที่แล้ว

      +Millarxd Ayo

  • @lubbanhood
    @lubbanhood ปีที่แล้ว

    Am following you my guy

  • @wardaeddywardaeddy4878
    @wardaeddywardaeddy4878 8 ปีที่แล้ว +1

    Very nce nimependa sana iyo kituuuu

  • @gideonndagara1617
    @gideonndagara1617 8 ปีที่แล้ว +1

    nzuri hii

  • @arthurluke4085
    @arthurluke4085 8 ปีที่แล้ว

    Nice work ...inspiration @Millard Ago & Nahreel

  • @jorickmaanga3131
    @jorickmaanga3131 8 ปีที่แล้ว +2

    oyooo safi sana

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  8 ปีที่แล้ว

      +Jorick Maanga asante sana mtu wa nguvu Jorick kwa kutazama mtu wangu na kuniachia comment yako

  • @rosemarybyabato1799
    @rosemarybyabato1799 8 ปีที่แล้ว +6

    good bt ajasema nahreel studio yake iko wapi watu tukarecod ngoma

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  8 ปีที่แล้ว

      +Rosemary Byabato asante kwa kutazama Rose.

    • @brianswai5004
      @brianswai5004 8 ปีที่แล้ว

      sanawari arusha

  • @abdallasalim6595
    @abdallasalim6595 8 ปีที่แล้ว

    Big up millad Ayo kazi nzuri

  • @tonyjah2546
    @tonyjah2546 8 ปีที่แล้ว

    buda bos mirladayo nakupata fit sana joh 254 kama kawa mazee

  • @ShawnBeatz
    @ShawnBeatz 8 ปีที่แล้ว

    So inspiring

  • @sophiegeremy7997
    @sophiegeremy7997 8 ปีที่แล้ว +1

    good nareel

  • @othmanally1411
    @othmanally1411 4 ปีที่แล้ว

    Nahreel the best producer

  • @innocentmushi1550
    @innocentmushi1550 3 ปีที่แล้ว

    Inspiring🙌

  • @Yourfinearts360
    @Yourfinearts360 19 วันที่ผ่านมา

    Who’s watching this in 2024?😂

  • @hughosanchez4770
    @hughosanchez4770 8 ปีที่แล้ว

    nice interview. Big up millard ila 4*60=240 :D

  • @laurentmagazi1204
    @laurentmagazi1204 8 ปีที่แล้ว

    thanks brother for shoo

  • @bucheetv9124
    @bucheetv9124 8 ปีที่แล้ว +1

    nice sana

    • @millardayoTZA
      @millardayoTZA  8 ปีที่แล้ว

      +Eric Matemba Thanks for watching mtu wa nguvu Eric.

    • @everestinamwavula8727
      @everestinamwavula8727 8 ปีที่แล้ว

      +Millard Ayo I love u so much...may God help u more....

  • @mudyommary3803
    @mudyommary3803 8 ปีที่แล้ว

    Good Broo

  • @linagakii7151
    @linagakii7151 8 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @reginabwija1204
    @reginabwija1204 8 ปีที่แล้ว +1

    Mallard ayo,tunaomba umuhitishe wema,atuambiya kama Kweli yeye anamimba?

  • @kamole3
    @kamole3 7 ปีที่แล้ว

    @Millard Ayo. time calculation at 16:52 must be wrong.

  • @salehethedon2763
    @salehethedon2763 5 ปีที่แล้ว

    Mia mia

  • @hellenimmaculate5953
    @hellenimmaculate5953 4 ปีที่แล้ว

    Msabato😭😭😭😭

  • @basunisadiki2338
    @basunisadiki2338 8 ปีที่แล้ว +1

    millardayo big Up mtu wetu wa nguvu kwa kutuleteya nahreel